CHALAMILA AKIWA MSIKITINI ASIMULIA SIMU ya WATU 8 CHINI ya KIFUSI ILIVYOINGIA USIKU WOTE WAKAOKOLEWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน +2

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo หลายเดือนก่อน +16

    Ma sha Allah
    Chalamila slimu kuwa mwuislam
    Mungu akupe hidaya uijue haqqi kisha uusome uislam
    Mungu akufanyie wepesi
    Mavazi ya kiislam yamekupendeza sn wallahi

  • @BeatriceKitembe-gs9si
    @BeatriceKitembe-gs9si หลายเดือนก่อน +5

    Hongera snaaaaa mkuu wetu, hakika tumeona jinsi gani ulipambana. Mwenyenzi Mungu azidi kukutunza na kukulinda 🙏

  • @Aishajohn-o3m
    @Aishajohn-o3m หลายเดือนก่อน +3

    Mashalla umependeza San Mh

  • @KanaufooKweka
    @KanaufooKweka หลายเดือนก่อน +3

    Mkuu wetu unafanya kazi hongera sana

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z หลายเดือนก่อน

    Amina Amina Mtani wangu❤🌹🙏🙏🌹

  • @levinamwanakulya9379
    @levinamwanakulya9379 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenyezi Mungu atakulipa kwa huruma zako

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema kwakweri

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuweke mkuu wetu

  • @SmilingDachshund-xv5si
    @SmilingDachshund-xv5si หลายเดือนก่อน

    Amiina amiina baba

  • @shabanikitogo6613
    @shabanikitogo6613 หลายเดือนก่อน +2

    Dogo sio walauakibal ni Allahu Akibal.

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah!!!

  • @singlemamaof4xx227
    @singlemamaof4xx227 หลายเดือนก่อน

    Pongezi kwako kiongozi wetu na team zote zilofanya kazi usiku na mchama. Asanteni

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 หลายเดือนก่อน +6

    Kiukweli huyu anaupenda uislam

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน +2

      InshaAllah

    • @asnathbusongo3773
      @asnathbusongo3773 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ahz6907
      @ahz6907 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni mwanasiasa😂

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 หลายเดือนก่อน

      Allah amtie nguvu

    • @angelraphael4500
      @angelraphael4500 หลายเดือนก่อน

      Alikwambia anaupenda?siasa haina dini wala kabila 😂😂😂😂

  • @bahiyalumelezy3016
    @bahiyalumelezy3016 หลายเดือนก่อน

    Magodown yahamishe kwenye nyumba zilizojengwa kwa makazi ya binaadam ni hatari kubwa sana ikitokea moto au km hili.mungu atunusuru inshaallah.

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน +1

    ChalamilaTakbiri waislam Allahu Akbaru anajuwa msikitini Hakuna makofi 🤣🤣🤣🤣MashaAllah

    • @ahz6907
      @ahz6907 หลายเดือนก่อน

      Kajifunza

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e หลายเดือนก่อน

    Bado watu wapo chin Allah awasaidye na awaremu wario tanguria na awajarie hafuweni wagonjwa na wariopo chin wapatikane miri yao wasitiriwe aisee inauma sana

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน +3

    Chalamia muislam kasema Takbiri Chalamila wetu Walau akbaru Asghafirullah mashaAllah kajitahid🤣🤣🤣

    • @SharifaALLY-cd7uy
      @SharifaALLY-cd7uy หลายเดือนก่อน

      😂😂😂Walau Akbaru😂😂😂

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 หลายเดือนก่อน

      Akili zenu zinawaza uhaini kila dakika

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 หลายเดือนก่อน

      ​@@tanzcanmediatv4473 zenu kina nani hebu bainisha maana kama lugha hujui ni tatizo

  • @RukiaShomvi
    @RukiaShomvi หลายเดือนก่อน +1

    Mh kibaragashia usikiache kimependeza sana

  • @ashahaji6265
    @ashahaji6265 หลายเดือนก่อน

    Silimu chalamila naona unaukaribis uislam

  • @AishAish-t1s
    @AishAish-t1s หลายเดือนก่อน

    Jamani mungu awape shufaa wote walio toka humo

  • @deohaule98
    @deohaule98 หลายเดือนก่อน +4

    Rushwa ndio inayosababishwa haya yote. Na rushwa msingi wake ni demokrasia iliyo mbovu isiyo na uwajibikaji. Matokeo yake viongozi na raia wana fanya mambo kiujanja janja pasipo kujali usalama wa mali na raia ili mradi tu maisha ya songe mbele.

    • @SesiliaNjala
      @SesiliaNjala หลายเดือนก่อน

      Tamaa.😢

  • @deotvonline2776
    @deotvonline2776 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu hua anasali makanisa yote na hata misikiti ko msijifariji yupo kwa mwamposa kila siku

    • @shasha12-y2h
      @shasha12-y2h หลายเดือนก่อน +3

      kwani unafikiri tunamlazimisha kuingia kwenye dini yetu? hayo ni matakwa yake

    • @MahmoudMohamed-gx1fk
      @MahmoudMohamed-gx1fk หลายเดือนก่อน +1

      Qur an yetu inasem hakuna kulazimishana ktk dini binafs yke uislam unampendeza sn karibu san mkuu wa mkoa

  • @azizhamed6320
    @azizhamed6320 หลายเดือนก่อน

    Huyu hajasilimu bado si alisema anaitwa Abubaker huko nyuma

  • @UELEWAHALISI-s3n
    @UELEWAHALISI-s3n หลายเดือนก่อน +1

    Muumba wetu akulinde wewe na familia yako.

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 หลายเดือนก่อน

    Sasa hivi mtu akitaka kujenga ghorofa aweke milango ya chini itakayotokea nje ikiwezekana hata njia tatu

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t หลายเดือนก่อน

      Jengo likianguka pia zitajiziba na kifus zitavurugika mtihan kwa kweli.

  • @MarthaStephen-m3m
    @MarthaStephen-m3m หลายเดือนก่อน +1

    Anahangaika huyu baba ila ukweli ataujua baadae

    • @ShukurkollAngel
      @ShukurkollAngel หลายเดือนก่อน +1

      Hajahangaika ukweli wowote unatafutwa hata kama mchungu. Wachache wenye kutumia muda na dhamira ya kujua haki au ukweli. Wengine hawathubutu kutaka kujua pengine kwa kutishwa au kutotaka kujua.

    • @AgnesAbel-b1i
      @AgnesAbel-b1i หลายเดือนก่อน

      😢kwahiyo we ndo unajua ukweli? Akiliz zingine hizi

    • @NunuKupela
      @NunuKupela หลายเดือนก่อน

      Anajua ukweli anatafuta namna ya kuingia uislamu ndio maana amesema azikwe kiislamu na apewe sehemu inayoonesha yesu alivyozikwa kwenye bible hamna rejea hivyo anaendelea kuchunguza atawaambia sababu za kupenda uislamu

    • @mcback4384
      @mcback4384 หลายเดือนก่อน

      ​@@NunuKupelaunahangaika na maziko ya Yesu Kristo ya kazi gani wakati kashafufuka na atakuhukumu siku ya mwisho? 😅😅

  • @husseinhaji7928
    @husseinhaji7928 หลายเดือนก่อน

    Hajajajja

  • @SebastianNgimba
    @SebastianNgimba หลายเดือนก่อน +2

    alafu kwa kujipendekeza kwa viongozi wa kikristu,huyu jamaa amewakataaa wakristu mchana kweupe,sasa tutashangaa kuona mnamwita bado muumini wa kikristu huo utakua unafiki mkubwa sana

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji หลายเดือนก่อน +2

      Wagalatia huyo ni MWANASIASA 😢😢😢😢😢wewe BWEKA tu na WACHUNGAJI wako

    • @SebastianNgimba
      @SebastianNgimba หลายเดือนก่อน

      @OmmyJames-xn7ji ndio hapo utakapo jua iman ni biashara,,alisema azikwe kiislam nazingatia hilo,kwamba amejisilimisha na kaukana ukristu

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji หลายเดือนก่อน +1

      @@SebastianNgimba WATU WENGI WANAUKANA UKRISTO SABABU NI DINI YA WAZUNGU SASA WACHUNGAJI WOTE HAWAHUBIRI NENO KAZI YAO NI KUFANYA MAIGIZO NA KUJENGA MAKANISA AMA KUINGIA SIASA

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน +2

      ​@OmmyJame👍👍👍👍👍👍😂😂😂😂😂Takbiri Allahu Akbaru s-xn7ji

    • @SebastianNgimba
      @SebastianNgimba หลายเดือนก่อน

      @OmmyJames-xn7ji hata uislam ni din ya waarabu,tofauti yake ni mbinu tu za wakristu ni feliel kwasababu ni vitisho na fedha,