MAPYA YAIBUKA MSIBANI /HALIMA KWENDA CCM CHADEMA WAJIBU/SPIKA TULIA ATHIBITISHA WOTE NI WABUNGE...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 62

  • @eliaskahory7116
    @eliaskahory7116 หลายเดือนก่อน +1

    Dr Tulia Umegeuza Bibilia. Mungu Akubariki.
    Ni Ufunuo 14:13 Sio 13;14. Hongera Saaana Kwa Busara Zako Mama

  • @PETERBAJUTA
    @PETERBAJUTA หลายเดือนก่อน +5

    Hongera speaker wetu kwa mahubiri mazuri umenifariji neno imetugusa sana tumejifunza wewe ni Mwalimu nzuri.

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 หลายเดือนก่อน +6

    Hiyo ni kazi ya Mungu kuhusu maisha yake mazuri au mabaya anajuwa yeye muumba

  • @marthaswai1185
    @marthaswai1185 หลายเดือนก่อน +1

    Spika Tulia ana hekima fulani ktk mambo makubwa.Hongera Sasa Dada Tulia

  • @RamaZuenah
    @RamaZuenah หลายเดือนก่อน

    Mr speaker , you have alot of wisdom

  • @JaphetJackson-p6b
    @JaphetJackson-p6b 28 วันที่ผ่านมา

    Alima pole😂 Bosi tulia msibani umeongea maneno mazuri, na ni yakujenga sn tena ume tumia hekima, Mungu akupe maisha marefu🤝

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 หลายเดือนก่อน +3

    Narudia mama huyu bora sana yaani kichwa anacho namkubali sana huyu Spika kwa kweli.atakaekwazika anisamehe

    • @thadeusmarkiminja2282
      @thadeusmarkiminja2282 หลายเดือนก่อน

      Huyu ukimpa nafasi anaweza kuongea hata mchana wote na watu wakakubali na wakamsukiliza na waka enjoy.kama Mwalimu vile.huwa hatembei na Notebook wala kalamu.dunia imemkubali cc ambao hamkubali ni chaguo lenu.

  • @davidrweyemamu938
    @davidrweyemamu938 หลายเดือนก่อน

    Nawapongeza sana kwa kuweka vyama vya siasa pembeni na kukaa kama ndugu katika tukio hili la kumuaga mama Halima🙏

  • @DorisLembarity
    @DorisLembarity หลายเดือนก่อน

    Poleni sana wafiwa, na halima mdee mungu akutetee,

  • @ChristopherMaganga-fe8uh
    @ChristopherMaganga-fe8uh หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mde

  • @mlewamlewa976
    @mlewamlewa976 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze mama yangu kwA hekima yko mungu akuzidishie

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 หลายเดือนก่อน

    Wanasiasa wanachekesha . Sio watu wa kuwachukia.. tuwapendee jamani❤❤❤❤❤❤

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 หลายเดือนก่อน +1

    Mliomtesa mwanae mkae mkijua amekwenda kumtafutia mwanae haki yake kwa Mungu. Mlimfunga na kumpigapiga na mama yake alimfariji sana.

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 หลายเดือนก่อน +1

    Embu mambo ya siasa wekeni sana huyu ni chadema mama na mwanae bc baba nae ni ccm hivyo tupendane ni km Simba na yanga Cha msingi tumwangalie mungu ili tufike kwake mbinguni

  • @evelina9621
    @evelina9621 หลายเดือนก่อน +1

    Siasa.kwenye.msiba.raisi.ni.kwa.watu.wote.kazi.kwenu.viongozi.fanya.kwa.wote.raia.watanzani.vizuri.sana

    • @zamdageuka9153
      @zamdageuka9153 หลายเดือนก่อน

      Punguza nukta kwenye uandishi wako

  • @Wambula..deogratias
    @Wambula..deogratias หลายเดือนก่อน

    Spika huyu ana hekima nje yabunge rakini nae ni nyoka

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai หลายเดือนก่อน +1

    Salim mwalimu uko vizuri

    • @DorisLembarity
      @DorisLembarity หลายเดือนก่อน

      Mheshimiwa tulia ubarikiwe sana una hekima busara na uchamungu sana, mungu akutunze na kukubariki sana.

  • @Wambula..deogratias
    @Wambula..deogratias หลายเดือนก่อน

    Nikosa kubwa sana kuongea mambo ya vyama nayo kua hutuba seemu ya msiba

  • @danielsamweli6766
    @danielsamweli6766 หลายเดือนก่อน

    Ahahahahah mazishi ya tz yanaanza kua kama ya wakenya sasa

  • @PiliMashaka
    @PiliMashaka หลายเดือนก่อน

    Ziara ya rais mkoani morogoro

  • @KasalamaAlly
    @KasalamaAlly หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi kuona wabunge bila kujali vyama vyenu mpo pamoja lakini nyie wabunge wa ccm mlimtenga muheshimiwa Tundu lisu alivyolazwa hosp Nairobi

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 หลายเดือนก่อน

    Kwani halima bado ni chadema?

  • @YesseSaimoni
    @YesseSaimoni หลายเดือนก่อน +2

    Polen sana 😢😢😢

  • @GreceMwalende
    @GreceMwalende หลายเดือนก่อน

    Achenii ujinga fanyenii kazini si kaz Za siyasa zaa ufisadi hadi kwenye makaburi mugeni turia basii

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 หลายเดือนก่อน

    SIKUHIZI HAKUNA MISIBA TENAA, NI SIASA TUU MPAKA NDANI YA KUBURI. HAMNA HATA AIBU. MMEGEUKA KAMA ......

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn หลายเดือนก่อน +1

    Tulia tu nataka bandari yetu.

  • @ngusawales2039
    @ngusawales2039 หลายเดือนก่อน

    Yaan jaman hata msiban ni siasaa😢😢😢😢😢😢!!!

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru หลายเดือนก่อน

    Ni huzuni sana kwenye msiba mnaingiza siasa huyo aliyeanzisha tuliepuke sana kwanza vyama siyo ndugu mtu aweza kuhama chama LAKINI undugu hauhamwi hivyo tukifiwa Watanzania tunashirikiana tunafarijiana bila kujali kabila dini na itikadi za kisiasa kuja kutafuta wanachama msibani mi kiutweza utu na kuleta uchungu kwa wafiwa kwani wanaona kifo cha ndugu yao kimefanywa mtaji

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 หลายเดือนก่อน

    Ccm bhan wana roho ngumu kama Herode unaweza sehemu gani nchi hii ukaongelea chadema ?

  • @NixonJohnson-r4m
    @NixonJohnson-r4m หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Tulia sisi unatufundisha nini😅

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b หลายเดือนก่อน

    Wapi tunaelekea😢😢

  • @user-ou1ls6oj2f
    @user-ou1ls6oj2f หลายเดือนก่อน

    Kuhamia ccm ni mbinguni mnachekesha sana bila aibu ccm

  • @johnsonthomas6166
    @johnsonthomas6166 หลายเดือนก่อน

    Spika Kwan yeye ni mwakilish wa serikali au bunge..?? Kwann serikali isitumwe mwakilish wake kupita waziri au maibu wazir..??? Na kwann spika anasemea kazi ya serikali badala kazi ya bunge..???

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 หลายเดือนก่อน

    Wanasiasa mbinguni hamuendi kwa sababu mnakampeni msibani. Muheshimu msiba.

  • @ymohammed963
    @ymohammed963 หลายเดือนก่อน

    Huyo sio paroko...ni managed siasa

  • @nelsonngemera9832
    @nelsonngemera9832 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani hadi misiba inageuka kuwa uwanja wa kampeni (SIASA)😢..

  • @yonasimion3130
    @yonasimion3130 หลายเดือนก่อน

    Jamani kampeni? Au msibani

  • @vicenttarimo2203
    @vicenttarimo2203 หลายเดือนก่อน

    Siasa msibani ya Nini mmeliangusha taifa

  • @user-sk6ly4oj9c
    @user-sk6ly4oj9c หลายเดือนก่อน

    Tulia anaakili nyingi ila Hilo jamaan liloleta siasa hapo halina akili kabisa

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 หลายเดือนก่อน

    Acha maneno spika ondoka bhanaa hapo sio bungeni ni msibani

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 หลายเดือนก่อน

    Bado mmekuja kuwatonesha hata msibani?

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 หลายเดือนก่อน

    Hayo mambo ya mm chama flan huyu chama flani mlsiban achaneni nayo zikeni mtu mambo ya siasa ni jukwaaani huko

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 หลายเดือนก่อน

    WABUNGE WA CCM WOTE HAO USITUINJOI ...unasubiriwa kwenye chaguzi umbea na umbea utaisha

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b หลายเดือนก่อน

    Kifupi nyote ni ccm kuanzia dr.silaa wote ni chawa wa ccm hatuna chama ila kitaeleweka huko mbele ya safali

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kuhalalisha kitu haramu kisaka tuu ni msiba

  • @amosmangura
    @amosmangura หลายเดือนก่อน

    Msiba kila kitu siasa jamaan Acheni basi

  • @evelina9621
    @evelina9621 หลายเดือนก่อน

    Kwenye.msibani.maombolezo.yatosha

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni หลายเดือนก่อน

    Siasa mpaka misibani

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 หลายเดือนก่อน

    Upuuzi mtupu na ujinga tu, sasa hapo masuala ya siasa yanakujaje hapo masuala ya ccm yanatokea wapi yaani ni ujinga tu, huyo aliyefariki anahitaji walio hai wamuombee ili apate amani huko lkn unakuta mijitu mijinga isiyojitambua wala haijui inafanya nini inaleta mambo ya siasa, msiba sio jambo la mchezo mchezo

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni หลายเดือนก่อน

    Si mumpige huyo mjinga mama mama

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai หลายเดือนก่อน

    Na utalala kweli

  • @yohanaezekiel5422
    @yohanaezekiel5422 หลายเดือนก่อน

    Ni Ufunuo 14: 13 Sio 13 :14 Ubarikiwe

    • @arnoldkalemela5078
      @arnoldkalemela5078 หลายเดือนก่อน

      Ukiwaza kucomment unawaza kukosoa, hakuna zuri au lolote lililokubariki?
      Focus kwenye strength part ya mtu kuna mengi ya kupata sio kuangalia weak part ya mtu

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha หลายเดือนก่อน +1

    Ana PhD ya sheria lakini hajui sheria. Spika hapaswi kujidhalilisha kwa kumwakilisha rais wakati wote ni wakuu wa mihimili ya dola. Sikutegemea awe chawa japo kwa Tanzania, hili ni jambo la kawaida kutokana na kujaa wajinga wengi wawe wenye elimu au la.

  • @NestoyChotta-wk8bl
    @NestoyChotta-wk8bl หลายเดือนก่อน

    jinga sana hili, utafikiri bwabwa

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 หลายเดือนก่อน

    Ujinga siasa msibani mbaya sana.

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b หลายเดือนก่อน

    Ni wewe utajibu mbele ya mugu siku za mwisho

  • @stevenmarunda4353
    @stevenmarunda4353 หลายเดือนก่อน

    Mjinga wa. Mwisho zaidi