MWANAFUNZI MWENYE KIPAJI AMUIGIZA RAIS SAMIA KILA MTU KICHEKO TAZAMA!!!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1.2K

  • @UhaiOnlineTv
    @UhaiOnlineTv  ปีที่แล้ว +15

    ITAZAME ZAIDI HAPA: th-cam.com/video/IEp34Tux-7s/w-d-xo.html

  • @shukurufelix366
    @shukurufelix366 3 ปีที่แล้ว +53

    Km umemwona body guard gonga like nyingi sana,,,kawa uso mbuzii

    • @Octavinaelisa-fn6js
      @Octavinaelisa-fn6js 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @HappyNass-mu3lu
      @HappyNass-mu3lu 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂Naipenda nchi yangu

    • @EmanuelNdosi-ru5pw
      @EmanuelNdosi-ru5pw 2 หลายเดือนก่อน

      Sauti wala hajaipatia ni Mbingu na Ardhi

  • @lilianmusimbi1148
    @lilianmusimbi1148 3 ปีที่แล้ว +32

    Woooow watching from kenya . bodyguard u look so seriously that's gud u can be. Alafu mweshimiwa UAV made my day am proud of u guys,mungu awatie nguvu

    • @josephdezile8917
      @josephdezile8917 3 ปีที่แล้ว +1

      THANKS By bodyguard
      follow me at. joseph.dezile16@com

  • @edinaboss1835
    @edinaboss1835 3 ปีที่แล้ว +11

    Pongez zimuendee bodyguard kaz nzur mungu akubarik sana

  • @beatricemuhia5464
    @beatricemuhia5464 3 ปีที่แล้ว +8

    Kali sana hongela wakenya wenzangu.

    • @DANIMBO-k2j
      @DANIMBO-k2j 3 หลายเดือนก่อน

      Unatuaibisha na hizo hongela zako

  • @wangarigladys8249
    @wangarigladys8249 3 ปีที่แล้ว +25

    Congratulations Talented Student
    Boy child Must be considered in every stuation
    From 🇰🇪ns in Saudi Arabia

  • @bibimpole9455
    @bibimpole9455 3 ปีที่แล้ว +4

    Ww Iga Sauti Ya Magufuli Au Makamo Wa Rais Mpango Usiige Usichokiweza Mama Samia Mzanzibar Sauti Ma Sha Allah

  • @soita254
    @soita254 3 ปีที่แล้ว +14

    What a talent, woow!! Am proud of you and you are going far in Jesus mighty name. Amen

  • @team_JosKenya
    @team_JosKenya 3 ปีที่แล้ว +10

    Kutoka nchi jirani kenya...Kazi nzuri 🔥🔥

  • @evanschaedirectoreffortcon6264
    @evanschaedirectoreffortcon6264 3 ปีที่แล้ว +10

    Excellent imitation. Bigup young man there's brighter future in your talent

  • @najikowakuku3571
    @najikowakuku3571 3 ปีที่แล้ว +6

    Awesome talent, bless you all, nagi from Australia 🇦🇺🇦🇺

  • @simuyangu1356
    @simuyangu1356 3 ปีที่แล้ว +17

    Huyu bodygad ni wa kweli sio ecting

  • @cointhemoney9450
    @cointhemoney9450 3 ปีที่แล้ว +1

    Excellent,...I like the content ad the game here in kenya

  • @kelvinkariuki8796
    @kelvinkariuki8796 3 ปีที่แล้ว +11

    Kudos .....I grew up in such schools here in Kenya.......life is real here

  • @fredrickayunga9564
    @fredrickayunga9564 3 ปีที่แล้ว +19

    Hongera vijana wetu wa Afrika mashariki. 🇺🇸 🇺🇸

  • @megrho5185
    @megrho5185 3 ปีที่แล้ว +6

    Daah!!! Mpaka nimetamani kuja Tabora Kaliua ndo home kwa mama ake mie. Kama umeikubali hiyo mwaga like za kutosha apo chini

  • @farajamassawa731
    @farajamassawa731 3 ปีที่แล้ว +3

    Mmetisha sana

  • @danielmbise382
    @danielmbise382 3 ปีที่แล้ว +61

    HIYO SAUTI UMEFELI,, IGIZA UNACHOWEZA,, BODYGUARD YUPO SAHIHI

  • @hashakatv
    @hashakatv 3 ปีที่แล้ว +73

    Wapi likes za bodyguard....👍

    • @miriamdodi7141
      @miriamdodi7141 3 ปีที่แล้ว +2

      Yuko bizuri bodyguard

    • @hashakatv
      @hashakatv 3 ปีที่แล้ว

      @@miriamdodi7141 Kweli anaonekana mlinzi hodari sana

    • @aishahamis1609
      @aishahamis1609 2 หลายเดือนก่อน

      Hawa ndio tunaowahitaji

  • @zumrakhuzeimah514
    @zumrakhuzeimah514 3 ปีที่แล้ว +6

    Wow ,,love from kenya

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 3 ปีที่แล้ว +28

    Mungu aibariki Tanzania vijana hongereni Sana muweze kufika mbali hongerene San mungu awajaaliye elimu

    • @mageembarikiwa2991
      @mageembarikiwa2991 3 ปีที่แล้ว

      Body guard hongera sana mno uko chojo kabisa

  • @titusmerchades3107
    @titusmerchades3107 3 ปีที่แล้ว +64

    Bodyguard hajabakisha hata kimoja👍
    Hongera sana rais Samia the second kutoa hotuba with full confidence 🙏

    • @fatimambaruku1833
      @fatimambaruku1833 3 ปีที่แล้ว

      Kweli Ila anaongea fasta

    • @titusmerchades3107
      @titusmerchades3107 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fatimambaruku1833 hapo kidogo hakuko sawa. Lakin siyo mbaya san

  • @mercynyangoto6572
    @mercynyangoto6572 3 ปีที่แล้ว +3

    God bless you you are going far

  • @willyhardtv7654
    @willyhardtv7654 3 ปีที่แล้ว +6

    From Kenya. Good work

  • @RevruthKomu
    @RevruthKomu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Your voice is so nice and lovely ❤

  • @thomasgogomoka6404
    @thomasgogomoka6404 3 ปีที่แล้ว +59

    Bodyguard amevaa uhusika vizuri. Well done kijana

  • @Gloriafavour-3gf
    @Gloriafavour-3gf วันที่ผ่านมา

    Leo ni good morning of mine,, nimefurahi yangu yote 🎉🎉🎉

  • @fatmaalhabs6939
    @fatmaalhabs6939 3 ปีที่แล้ว +9

    sauti sio sahihi kabisa tofauti

  • @gwamakakeneth8816
    @gwamakakeneth8816 3 ปีที่แล้ว +1

    Is so very experience for the students 2 show how can copy and pasting am happy 4 that gud creativity

  • @adelinachengula8519
    @adelinachengula8519 3 ปีที่แล้ว +44

    Bodyguard chukua likes zotr

  • @danielmatondo6893
    @danielmatondo6893 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mh my friend thank for you so much

  • @reazahmohjey7724
    @reazahmohjey7724 3 ปีที่แล้ว +22

    Body guard ameweza...from Kenya

  • @Njokidancer
    @Njokidancer 3 ปีที่แล้ว

    Boychild thumbs up from Kenya 🇰🇪

  • @rahmasaid762
    @rahmasaid762 3 ปีที่แล้ว +23

    Mungu ibarik Tanzania barik vipaji

  • @rehemamwanamajani3784
    @rehemamwanamajani3784 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera bodgad umetishaàaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaa nimekubali san

  • @kerriekerrie9059
    @kerriekerrie9059 3 ปีที่แล้ว +5

    Amazing 😍 from kenya

  • @saramwita6519
    @saramwita6519 3 ปีที่แล้ว +4

    Muigizaji wa sauti bado , ila body gurd yuko vizuri,ni mwanzo mwema .alie mwelewa body gurd anisaidie kwa kuweka like

  • @UjingaZaVictorNaman
    @UjingaZaVictorNaman 3 ปีที่แล้ว +82

    Kutoka kenya.hii kali sana

  • @otiliahaule6867
    @otiliahaule6867 3 ปีที่แล้ว +23

    Hahaha hongereni Sana vijana Kwa Sanaa nzuri nawapata vema nikiwa oman bahla😂❤️❤️

  • @symonmumbe2386
    @symonmumbe2386 3 ปีที่แล้ว +23

    Kutoka Kenya...Huyu kijana yuko na kipaji,anafaa kusaidiwa ili kutoa hicho kipawa kikamilifu.
    Japo hajapata kamili sauti ya Rais Samia,amejaribu sana.
    Hongera dogo,endelea vivyo hivyo.

  • @sofyakahnsofya6049
    @sofyakahnsofya6049 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongerath sana vijana. Mungu azidi kuinua vipaji vyenu

  • @jennifermichaels6177
    @jennifermichaels6177 3 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana kijana wetu
    Mama yetu tunakupenda. MUNGU ibariki TANZANIA

  • @lynetmatara611
    @lynetmatara611 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥from🇰🇪🇰🇪🇧🇭🇧🇭

  • @youngbreezy6615
    @youngbreezy6615 3 ปีที่แล้ว +28

    Sauti ni ya kiume lakin Impressions zake ni kama Rais samia!

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 5 หลายเดือนก่อน

    Congratulations keep it up good job 👏👍

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 3 ปีที่แล้ว +15

    Uhuru gani tunataka watanzania Mungu ibariki Tz Mungu mpe ujasiri Rais wetu mama yetu mpendwa Rais mama Samia

    • @thadeipeter2592
      @thadeipeter2592 3 ปีที่แล้ว

      Enzi ya magufuli unaweza igiza ivyo kesho yake unakamatwa , hata ivyo Mungu ni mwema ametuweka huru

    • @mussamgonola3983
      @mussamgonola3983 3 ปีที่แล้ว +1

      @@thadeipeter2592 aaah mkuu Baraka Magufuli ametokea wap

    • @malamalamalago6627
      @malamalamalago6627 3 ปีที่แล้ว +2

      @@thadeipeter2592 bila shaka enzi ya JPM ulikuwa hujazaliwa, au ni chuki tu inakusumbua...cyo kosa lako

    • @thadeipeter2592
      @thadeipeter2592 3 ปีที่แล้ว

      @@mussamgonola3983 ilikuwaje kwa Idris sultan na masoud kipanya ?

    • @wardajoseph6909
      @wardajoseph6909 3 ปีที่แล้ว

      Umeonaaeee hali ya kuwa furaha full kumwagika Tanzania

  • @mnyaluchawala-h8j
    @mnyaluchawala-h8j 2 หลายเดือนก่อน

    Hongela sn 🎉🎉🎉🎉

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 3 ปีที่แล้ว +10

    Tanzanian my neighbours tunawapenda bureeeeeeee......

  • @elizabethkhayasi8422
    @elizabethkhayasi8422 3 ปีที่แล้ว +1

    I am from Kenya! Sauti ya kiume Ila maongezi yapo sahihi kabisa. Bodyguard uko sawa kabisa.👏👏👏.

  • @Bhm_Classic_art
    @Bhm_Classic_art 3 ปีที่แล้ว +20

    Hongera Sana mama kwa maneno mazuri siku ya Mei mosi,tunakuombea Sana kwenye Sala zetu za Kila siku

  • @BellaTuyi-hd7tw
    @BellaTuyi-hd7tw 9 วันที่ผ่านมา

    Bodyguard kaupga mwigi Sana😂😂😂😂
    Asiye mpenda mama, mwambie andike taraka mwenyewe achanane na dunia✊✊✊✊
    ✍️ Mabetu &Co

  • @daudsteven4232
    @daudsteven4232 3 ปีที่แล้ว +22

    Hakika Tanzania ninchi yenye Upendo na umoja nabmshikamono hiii furaha nikwasababu tunaupendo wakweli Nakupenda nchi yangu Tanzania

    • @khadijamisayo7476
      @khadijamisayo7476 3 ปีที่แล้ว

      kweli kabisa, kwenye vita huwezi ona vipaji hivi

  • @fulgencekenyatta9987
    @fulgencekenyatta9987 3 ปีที่แล้ว +1

    Such amazing talent....kudos

  • @olivermfinanga1268
    @olivermfinanga1268 3 ปีที่แล้ว +19

    Tanzania nchi yang nchi yenye vpaji ving nakupenda💋💋😂😂

    • @johanesbina1302
      @johanesbina1302 3 ปีที่แล้ว

      Upo na huku😳😳🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️😂😂

  • @MosesTungu
    @MosesTungu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni ongeza juhudi mtafika mbali

  • @yahayatemu1858
    @yahayatemu1858 3 ปีที่แล้ว +12

    Dogo, hongera. Upo vizuri.

  • @piusoneya754
    @piusoneya754 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana dogo, naona ukienda mbali inshallah 🙏

  • @ponsiankahesi3458
    @ponsiankahesi3458 3 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana uhai TV mmepaisha dogooo nimefurahiiii San maana comments ni nying na views ni weng wanakaribia laki mojaaaa

  • @maggiemaggie3541
    @maggiemaggie3541 3 ปีที่แล้ว

    On top keep up dear

  • @jairuschichete2938
    @jairuschichete2938 3 ปีที่แล้ว +24

    Security is very tight!!

  • @MathiasLuumi
    @MathiasLuumi 7 หลายเดือนก่อน

    Watching from American

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 ปีที่แล้ว +8

    Hongera Sana kijana una kipaji Mungu aendereze kipaji chako🤣🤣🤣

  • @lovemwakyelu9757
    @lovemwakyelu9757 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana keep it up

  • @KDee54
    @KDee54 3 ปีที่แล้ว +11

    Lol! This is a boychild making a very good impression of Samia Suluhu😂

  • @frdmedia6235
    @frdmedia6235 3 ปีที่แล้ว +1

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 body guard yan duniani kilamtu ana rizk yake

  • @mendradynyoni1110
    @mendradynyoni1110 3 ปีที่แล้ว +31

    😂😂😂😂 Hongera kijana

  • @harrietoumah3841
    @harrietoumah3841 3 ปีที่แล้ว +2

    All the way from Kenya napenda nyinyi sana ndugu zangu watanzania

  • @donaldmuna.2714
    @donaldmuna.2714 3 ปีที่แล้ว +34

    Hongera maan hata waigizaj maaruf walianzia mashulen hivyo hogera dogo

  • @winnymem8689
    @winnymem8689 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sanah sanah tenah zaidi at 254

  • @magrethkavula9364
    @magrethkavula9364 3 ปีที่แล้ว +22

    Hongera Sanaa vijana wa kaliua kwetu🤣🤣🤣🤣

  • @jumaramadhani880
    @jumaramadhani880 3 ปีที่แล้ว

    Hongeleni sana kazi nzuri

  • @carolineundisa8509
    @carolineundisa8509 3 ปีที่แล้ว +8

    Very talented

  • @georgekandwara529
    @georgekandwara529 3 หลายเดือนก่อน

    From 🇰🇪 Kenya body guard tosha

  • @ntlena3816
    @ntlena3816 3 ปีที่แล้ว +4

    Talented 👍🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MaryKalondu-w7m
    @MaryKalondu-w7m 4 หลายเดือนก่อน

    You are the best

  • @vianemakarious6395
    @vianemakarious6395 3 ปีที่แล้ว +3

    Hata kama haifanani kabisa lkn lengo ni zuri la kuthamini uwepo wa Rais wetu.Waendelezwe kipaji wanacho.

  • @AikaSwai-w9o
    @AikaSwai-w9o 2 หลายเดือนก่อน

    So amazing😂😂😂😂❤

  • @kanjanjamwimikes9228
    @kanjanjamwimikes9228 3 ปีที่แล้ว +12

    . good idea ... keep on exercises nothing impossible

  • @ZuhuraAdinan-t1r
    @ZuhuraAdinan-t1r หลายเดือนก่อน

    Bodigan umeweza kwaiyo miwan ndo kabisaaa❤❤❤❤

  • @dolingaceri5609
    @dolingaceri5609 3 ปีที่แล้ว +16

    Bodyguard wow rais mwenyewe ameweza congratulations guy's

  • @LinusEdward
    @LinusEdward 11 หลายเดือนก่อน

    Congratulations 👍👍

  • @makerotv8193
    @makerotv8193 3 ปีที่แล้ว +34

    Bodyguard yuko vizuri mno kwa ukakamavu ila utakuwa mbali kazeni mmejitahidi sana.msikate Tamaa.

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 3 ปีที่แล้ว

      Atakua ni skauti labda😂😂

    • @fanikiwamhapa4236
      @fanikiwamhapa4236 3 ปีที่แล้ว

      Dogo km huyu anafaa awe Afande mlinda nchi haswaaa

  • @mr.kasembeli9952
    @mr.kasembeli9952 3 ปีที่แล้ว +1

    Very creative

  • @aishahamisi7115
    @aishahamisi7115 3 ปีที่แล้ว +31

    Bodyguard aongezewe mshahara

  • @nicolausjrjunior4367
    @nicolausjrjunior4367 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyo bodyguard Cheka tu unatakakucheka big up 👌

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 3 ปีที่แล้ว +8

    Sio kwa kupuliziwa pafyumu huko🤣🤣🤣🤣

  • @okothgeorfry3259
    @okothgeorfry3259 3 ปีที่แล้ว

    Good work from kenya

  • @veronkanini3556
    @veronkanini3556 3 ปีที่แล้ว +3

    Wah viongozi wa miako injayo inshallah 🙏

  • @fauziahfamaushebz3740
    @fauziahfamaushebz3740 3 ปีที่แล้ว +2

    Waah...its incredible..God bless Tanzania..luv yuh Tanzania❤

  • @makiwaamuri2632
    @makiwaamuri2632 3 ปีที่แล้ว +35

    Nimempenda bodyguard 😆,yupo makini, soon ataiweza iyo job

  • @RashidyKitanda-g6d
    @RashidyKitanda-g6d 4 หลายเดือนก่อน

    Conguration🎉🎉🎉

  • @masoudmussajecha4254
    @masoudmussajecha4254 3 ปีที่แล้ว +3

    Body qurd 💪💪💪

  • @powerplus1933
    @powerplus1933 3 ปีที่แล้ว +1

    Tz iko na vipawa vizuri.hongera kabisa.

  • @aysherkitoi6547
    @aysherkitoi6547 3 ปีที่แล้ว +9

    Hongera bodyguard yupo vzr atafika mbali

  • @silphiakemunto9103
    @silphiakemunto9103 3 ปีที่แล้ว +1

    From Kenya hii n Kali sana😂😂😂

  • @mohamedjohari8795
    @mohamedjohari8795 3 ปีที่แล้ว +5

    Amejitahidi sana...ipo siku atafanya vizuri

  • @shaniamgunda7838
    @shaniamgunda7838 3 ปีที่แล้ว +2

    Bado sana kwaupande wa sauti ila bodyguard uko vizuri sana

  • @ushindichoiraz3907
    @ushindichoiraz3907 3 ปีที่แล้ว +5

    This is brilliant

  • @NURUKIGOTI
    @NURUKIGOTI 3 หลายเดือนก่อน

    Umetisha,hongera

  • @shakilaabdallaherio5617
    @shakilaabdallaherio5617 3 ปีที่แล้ว +12

    Bodyguard umetisha sana hujaacha kitu😍😍😍😍😍