SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 78

  • @fadhilimrope5134
    @fadhilimrope5134 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, kwa neno, nimebarikiwa sana

  • @christellewapa9048
    @christellewapa9048 22 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe baba Na Mungu wako awe Mungu wangu 🙏🙏🙏

  • @SarafinaMelickiady
    @SarafinaMelickiady 21 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Amen Amen barikiwa sana mtumishi

  • @EnelicahKebaso
    @EnelicahKebaso 9 วันที่ผ่านมา

    Nimebarikiwa mchungaji Mungu akuongezee hekima na maarifi🙏🏼🙏🏼

  • @fadhilimrope5134
    @fadhilimrope5134 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mtumishi wa Mungu, ubarikiwe sana, hayo mafundisho nimecheka sana, yani jinsi unavyofundisha yani unaeleweka sana, ubarikiwe mchungaji Devidi

  • @Roda-s3v
    @Roda-s3v หลายเดือนก่อน +2

    Pastor Mungu akubarik sana nataman na mm niupate huo uzoef wa Iman ulio nao

  • @patiencekabyemera
    @patiencekabyemera 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji Mbaga kwa somo hili kwa kweli nimekuelewa zaidi na nina imani kuwa litaleta matokeo mazuri katika maisha yangu na familia yangu kwa ujumla.Namuomba sana Roho Mtakatifu ambae ndie muombezi wetu anijalie maarifa ya kukiendea kiti cha Neema ili nipate suruhisho la mahitaji yangu kiroho na kimwili.May God bless you abundantly the true pastor to this generation......Amen &amen.

  • @angeliquedebora6028
    @angeliquedebora6028 4 หลายเดือนก่อน

    Asante saana BW-YESU 🙏🙏🙏 kwa ujumbe huu wenye upako kupitia mtumishi wako uliyemtuma hapa Duniani ili uweze kuponya kizazi hiki chenye dhambi , amina Aminaaaaaa mtumishi wa MUNGU ❤❤❤ hakika MUNGU wetu ni mwema hakuna wakulinganishwa ..... Ee YESU-BW unirehemu mimi kwani sikustahili mimi 😭😭😭 YEHOVA RAPHA uniponyee kwa kweli kabisa Paster DAVID Baba MUNGU akupe maisha marefu hilo neno la MUNGU limeniondoa ktk vita yangu maana peke yangu nisingeweza hakika nimepokea Silaha kubwa ya kuvunja madhabau ya shetani BW-MUNGU akupe kheri 👋👋👋

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaaaaa aminaaaaa napokea mafundisho mazuri barikiwa sana mutumishi wa Mungu

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekutana na neno la baraka Sana Leo ,hakika Mungu Mwema sana,ubarikiwe Mtumishi.

  • @IsackKamoga
    @IsackKamoga หลายเดือนก่อน +1

    Amina ubarikiwe mchungaji

  • @EstherJeremiah-o9n
    @EstherJeremiah-o9n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mtumishi wa BWANA

  • @olphanyamweya3154
    @olphanyamweya3154 8 หลายเดือนก่อน +2

    Praise God mchungaji hakika nimepata elimu huu ujumbe ni wangu ❤🙏🙏🙏 following from gulf.

  • @SigwaLusaja
    @SigwaLusaja 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asante yesu kwakunifunulia haya kupitia mtumish wako ❤❤❤❤

  • @SubiriaMussa
    @SubiriaMussa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi,Mungu akazidi kukutumia unapoponya roho zake🙏🔥

  • @ReginaMbushi
    @ReginaMbushi 3 หลายเดือนก่อน +1

    ubarikiwe mtumishi Mungu akutunze zaid

  • @aminahaminah3669
    @aminahaminah3669 ปีที่แล้ว +1

    Amen and amen be blessed you 🙏 🙌 ❤️

  • @NICETECHSHOP
    @NICETECHSHOP 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mnikumbuke Kwak maombi mzee amehama nyumbani na kupotea na mama mwingine watoto wamebaki na swali

    • @ikwabeinjilitv9758
      @ikwabeinjilitv9758  2 หลายเดือนก่อน

      Mungu aonaye na afanye kazi yake ya kumrejesha

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 past ubarikiwe sana nakupata

  • @raheemasharoon2020
    @raheemasharoon2020 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mafundisho haya yamenipa ufahamu mkubwa xn nahisi kubarikiwa🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @tabithaEzekiel-y1x
    @tabithaEzekiel-y1x 2 หลายเดือนก่อน

    Nimebarkiwa sana mahubiri hyo bwana akubariki pastor David mbaga

  • @RamadhanMgoloz
    @RamadhanMgoloz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kukupa hekima na busala mtumishi

  • @seraphinaturuka
    @seraphinaturuka 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtumishi nimebarikiwa sana

  • @elienew3788
    @elienew3788 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana Mungu kwa ufunuo huu wa kipekee kupitia Mtumishi Wako 😮❤❤❤

  • @MargaretBaya-m1b
    @MargaretBaya-m1b 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi Mungu akuinue

  • @WilsonNgima-s4m
    @WilsonNgima-s4m 4 หลายเดือนก่อน

    Pastor mafundisho yako ina nibariki sana

  • @BahatiGyslaine-k7m
    @BahatiGyslaine-k7m หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @michaelmasanza2169
    @michaelmasanza2169 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa

  • @AdelinaSadatale-f9w
    @AdelinaSadatale-f9w 5 วันที่ผ่านมา

    Aminaaa sanaa

  • @MaryAllyBugeraha
    @MaryAllyBugeraha 4 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa paster

  • @DEBBOLAHCHOI
    @DEBBOLAHCHOI 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏🙏nimebarikiwa sana na haya mahubiri🙏🙏🙏

  • @MariaKitonka
    @MariaKitonka 4 หลายเดือนก่อน

    Amina Asante Mungu was Rehema

  • @MalaikaBrighton
    @MalaikaBrighton 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika mungu akutie nguvu pastor mahubiri yako yananilenga sana na nimejifunza vitu vingi ubarikiwe naitwa angle au martha nikumbuke kwa maombi pastor na ingekuwa vizuri kama ungekuwa unaweka no ya kuweka sadaka plz

  • @christellewapa9048
    @christellewapa9048 22 วันที่ผ่านมา

    Âmene 🙏🙏🙏

  • @fridahnkatha8962
    @fridahnkatha8962 ปีที่แล้ว

    Amen and Amen to the word of God 🙏

  • @alphoncem.mwachanya9261
    @alphoncem.mwachanya9261 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nikiwa Mombasa nime barikiwa sana

  • @LightnesShoo-d3q
    @LightnesShoo-d3q 18 วันที่ผ่านมา

    Amina mm ni mshindi

  • @StanfordChim
    @StanfordChim 6 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe Pastor

  • @NaftaliZaphania-ql9wk
    @NaftaliZaphania-ql9wk 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kila ninapokuskia huwa najengeka Imani yangu kwa Mungu,sitangojea Jua litue kabla sijaskia hubiri lako

  • @angle3600
    @angle3600 ปีที่แล้ว +1

    Amiin

  • @RevoKatus-vu1gt
    @RevoKatus-vu1gt ปีที่แล้ว +4

    Mungu azidi kukutumia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤by yakobo fumbuka but najaribu kujiunga na mahubiritv inashindikana naprocess zote mwixhoni pass. Word nikiweka inakatariwa2 na ni ya kwel

    • @JosueChengenge
      @JosueChengenge 6 หลายเดือนก่อน +4

      Nipewe number y'a mmbanga

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 5 หลายเดือนก่อน +2

    Aaamen napata uponyaji😢🇹🇿🇴🇲

  • @SivaikyakoMumbere
    @SivaikyakoMumbere 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen amen

  • @ElizabethStivin
    @ElizabethStivin 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wambingun akupe maisha marefu 🙏

  • @kelvinjuma6231
    @kelvinjuma6231 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amina

  • @koropositarevolve
    @koropositarevolve ปีที่แล้ว +1

    Asanti sana pastor nyumbani ni Kenya kutoka kisii County. Nimepata mafunzo yako mazuri ubarikiwe.

  • @asukulunepa1447
    @asukulunepa1447 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu abariki ili neno lime nijenga sanaa

  • @joharissa2020
    @joharissa2020 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @MercyKinya-c5r
    @MercyKinya-c5r 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤amen

  • @pepchallanga3626
    @pepchallanga3626 3 หลายเดือนก่อน +1

    hii ni siri ambayo wengi hatuijui

  • @joycemajala4355
    @joycemajala4355 9 หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @asukulunepa1447
    @asukulunepa1447 3 หลายเดือนก่อน

    Changamoto ya ndoa baba mchungaji

  • @RosemaryFanuel
    @RosemaryFanuel 4 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho yako yamenitia nguvu, mungu akupe mafunuo mengi ili watu waokolewe kupiti mahubiri yako

  • @BahatiMtawa-t6b
    @BahatiMtawa-t6b ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi

  • @pasteurmardochemwale
    @pasteurmardochemwale ปีที่แล้ว

    Niko congo rdc na sikia baba

  • @roselidahkwamboka4424
    @roselidahkwamboka4424 11 หลายเดือนก่อน

    Changamoto za ukoo

  • @janetsandi9543
    @janetsandi9543 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji wewe ni baraka maishani mwangu.

  • @koropositarevolve
    @koropositarevolve ปีที่แล้ว

    Mimi ni mgeni pastor somo lako limenifunza mengi. Ila tu naulisa kama kuvunja madhabahu ya familia unayatolea pesa? Tafadhari nijibu ndio nijue.

    • @ikwabeinjilitv9758
      @ikwabeinjilitv9758  ปีที่แล้ว

      Sijakuelewa vizuri swali lako

    • @joycemrema8022
      @joycemrema8022 6 หลายเดือนก่อน

      Me nlivyo mwelewa swali lake anauliza kuvunja madhabahu hd utoe hela yaan sadaka​@@ikwabeinjilitv9758

    • @HusnaSharifu
      @HusnaSharifu 5 หลายเดือนก่อน

      Nilichoelewa Mimi kila maagano yanadum Kwa sadaka yawe mazuri au mabaya sasa hapo ni kujiongeza yaani nothing is free

  • @christellewapa9048
    @christellewapa9048 22 วันที่ผ่านมา

    Âmene 🙏🙏🙏

  • @AAa-d3v5s
    @AAa-d3v5s 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @christellewapa9048
    @christellewapa9048 22 วันที่ผ่านมา

    Âmene 🙏🙏🙏

  • @christellewapa9048
    @christellewapa9048 21 วันที่ผ่านมา

    Âmene 🙏🙏🙏

  • @christellewapa9048
    @christellewapa9048 21 วันที่ผ่านมา

    Âmene 🙏🙏🙏

  • @christellewapa9048
    @christellewapa9048 21 วันที่ผ่านมา

    Âmene 🙏🙏🙏