Hakika napata uelewa niliokuwa sina. Barikiwa sana pasta na timu nzima ya mahubiritv. Songeni mbele mmekingwa na nguvu za Mungu hata kusudi litimie. Wasikilizaji na watazama nawaombea mfungulie macho ya kiroho myaone na kuelewa tunayoletewa ya mapenz ya Mungu.
NAJIONA NI MWENYE NEEMA KUBWA....KUFUATILIA MAFUNDISHO YA MCH....MBAGA......YANI HII NEEMA SIIFANANISHI N CHOCHOTE....ASANTE MUNGU KWA NEEMA HII🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mutumishi Wa mungu nakufata kutoka omani nisaidie sana mawazo yakushindwa ya itoke sababu mimi mawazo yangu yote inakuwaka nawoga kusema nitashindwa ku fanya jombo najikaza ya itoke ila mawazo hayo hayanitoke ila ku endelea ku sikia mafundisho yako nitafanyikiwa amina
@@MahubiriPrMmbaga Hello pastor . Thanks kwa today message.🙏 I listen to this video by open dairy on the tales of two messiah. How true is this 🙄🙄. Tena this video by the same Topic their God is not our God
Umeniogoa kwa alama ya 666 nilikuwa natakikana wakati nilisikia maubiri yako nikaona wanakusemea why oh my God niombe jina langu nitolewe Mimi ni kiplagat chebet nko Saudi Arabia pliz pray for me
Mtumishi wa Mungu natamani kujifunza zaidi, ninapopata wateja wengi namshukuru Mungu aliyetupa riziki maana Mungu ndiye ngawaji wa riziki, nikimpunguzia mwenzangu wateja maanake namuelekeza Mungu kuwa umesahau jirani yangu?
❤amen
Nabarikiwa sana na mahubiri Mungu azidi kukutumia pia hua nakuombea kwenye maombi yng
Thank you pastor Mmbaga for the encouraging sermon, really there is surprising benefits from your teachings. May God bless you and gives you strength
Amen
@@MahubiriPrMmbaga Tafadhali mwambie pastor nina shida ya maombi nina tatizo la presha ya kupanda na moyo kupanuka.
Pole sana. Tunakuombea . Mtumie ujumbe wa Whatspp +255 755 932 283
Hakika napata uelewa niliokuwa sina. Barikiwa sana pasta na timu nzima ya mahubiritv. Songeni mbele mmekingwa na nguvu za Mungu hata kusudi litimie. Wasikilizaji na watazama nawaombea mfungulie macho ya kiroho myaone na kuelewa tunayoletewa ya mapenz ya Mungu.
Jambo mtumishi, basi Mungu akupe nguvu zaidi ili undelee na kazi yake. Chantal B.
Barikiwa sana Mtumishi, kunamida huwa unachekesha kweli na hiyo mifano😆😆😆😆🙏
Yaani mahubiri ya mtumishi hayachoshi kwakweli, unapata kujifunza na kuburudika pia 😃😃
Ahhhha pasta una chesha kbs
Nabarikiwa Sana na masomo yako mungu akubariki mtumishi
Pastor Mbagga tuko pamoja sana
Somo zuri sana Mwenyezi Mungu atusaidie kusimama imara na kuelewa
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Pr unanibarik mungu mwema akubariki
ww ni mwalimu wa kwel nimekuelewa sana mungu akulipe mema
Mungu akubariki pr nimekuelewa vizuri barikiwa
Nabarikiwa sana na mahubiri haya 🙏
Kiukweli Mimi napenda mafundisho yako Sana tu, mungu akubariki ninge litamani siku moja ukaribie uku kwet bunda mara🙏
Blessed here in Kenya
Mtumishi be blessed may God strengthen you I have learned a lot from you be blessed once more 🙏🙏
NAJIONA NI MWENYE NEEMA KUBWA....KUFUATILIA MAFUNDISHO YA MCH....MBAGA......YANI HII NEEMA SIIFANANISHI N CHOCHOTE....ASANTE MUNGU KWA NEEMA HII🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi kama wewe. Nasikiliza mafundisho yake labada matatu au manne kila siku.
Amen🙇♂️🙇♂️
Amen Pastor
Barikiwa mtumishi wam🤲🤲🤲🤲🤝🤝🙏🙏❤❤ngu
Amen 🙏 🙏 🙏
Amen amene kbs
mchungaji mbaga uwa nakuelewa sana
Amina Mungaji barikiwa sanaa
Mutumishi Wa mungu nakufata kutoka omani nisaidie sana mawazo yakushindwa ya itoke sababu mimi mawazo yangu yote inakuwaka nawoga kusema nitashindwa ku fanya jombo najikaza ya itoke ila mawazo hayo hayanitoke ila ku endelea ku sikia mafundisho yako nitafanyikiwa amina
Amina
Im happy pastor sababu nimesonga kiwango ingine kwa maisha be blessed
😅
Nitaomba kuingia mbinguni, Kwa BWANA
Somo zuri sana.
Piere liquid
Amina mjungaji kwa usemi wa hakima na maarifa ya hali ya juu.asante sana na mungu azidi kkuongeza saidi
Amina sana nimejifunza kutoka kwako tangu nikusikiliza ni nikujifunza kila siku na kwa kweli limezaa matunda. Asante Sana Mungu akubariki.
Amina pastor nilipo ngoduwa siri hio najivunia huo Baba Yesu
Nabarikiwa na neno la Mungu
Be blessed..
Nabarikiwa sana na Haya mahubiri 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Nimebarikiwa Sana na mahubiri haya mwenyezi akuzidishie tuendelee kujifunza zaidi
Mungu akubarik nimekupenda huna ubaguzi wa dini wala kashfa,
Ahsante sana mchungaji Mbaga umenipa nguvu na namna ya kusikiliza sauti ya Roho Mtakatifu
Nimemuona kijana Makala apo...mtu makini sana
Ahsante kwa mafundisho mazuri baba mchungaji,Mungu wa mbinguni akubariki
Nime balikiwa saana nahubili hili nanina zidi kuujuwa ukuu wa Mungu kupitia masomohaya Mungu akubaliki,
Somo nzuri
Amen...be blessed man of God
Pastor naomba siku utoe somo namna ya kusoma biblia sababu watu wengi tunasoma kama kitab cha hadith
Noted
@@MahubiriPrMmbaga
Hello pastor . Thanks kwa today message.🙏
I listen to this video by open dairy on the tales of two messiah.
How true is this 🙄🙄.
Tena this video by the same
Topic their God is not our God
Surely pastor what you spoke reality in ourselves, all this nimeshudhia kabisa
Mungu akutie nguvu Mtumishi wa bwana
Mungu,akubariki,sana,mchungaji
Amen 🙏
Mungu Baba ni mwema xna somo zuri
Amen
Umeniogoa kwa alama ya 666 nilikuwa natakikana wakati nilisikia maubiri yako nikaona wanakusemea why oh my God niombe jina langu nitolewe Mimi ni kiplagat chebet nko Saudi Arabia pliz pray for me
na spiritual connection
HATA MIMI ULISHA NIFUNDISHA NIMETUMIA NA MUNGU HAJAWAHI KUNIANGUSHA KTK HILI LA KUFUKUZA PEPO KWA HILI MUNGU AMEKUWA MKUBWA SANA KTK MAISHA YANGU.
Amina mchungaji
Amen be blessed
😊
Asante baba mchungaji kwa maombi mazuri
Pasita nakuomba utusaidie.kwaswalilinalo sumbua jeyesu ni mweusi
Mchungaji nashindw kujiunga na App ya mhubir tv
Mchungaji na ni mwalimu , nakuombea Mungu aendelee kua ndani yako, nabarikiwa na kila msg inayo pitishwa kwako na Mungu mwenyewe,
Mtumishi wa Mungu natamani kujifunza zaidi, ninapopata wateja wengi namshukuru Mungu aliyetupa riziki maana Mungu ndiye ngawaji wa riziki, nikimpunguzia mwenzangu wateja maanake namuelekeza Mungu kuwa umesahau jirani yangu?
GLORY TO GOD.
AMENI kubwa
Yani Kama mie nikilazimisha vitu ninakomaaaa
Glory to God
29:58 epigenetics
Biblia inamaanisha nini inapoasema kwa mfano wake na kwa sura yake? Msaada wa kueleweshwa
𝒏𝒊 𝒃𝒊𝒆𝒏 𝒔𝒂𝒏𝒂
Amen
Amina
Amen 🙏
Amen amen
Amen
Amen
Amen
Amen amen
Amen
Amen
Amen
Amen