UTAWEZA KUSIMAMA WAKATI WA MWISHO?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น •

  • @josephinemwita3991
    @josephinemwita3991 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe Pastor kwa some Zurich lakutuanda kwa wakati ujao

  • @josephkaranja7632
    @josephkaranja7632 3 ปีที่แล้ว +1

    Pastor umekuwa mtu wa baraka kûu maishani mwangu,kwa mafundisho yako ya kipekee,na nimejitambua Mimi ninani katika ukristo na katika ufalme wa Mungu. Mungu akubaliki na awe nawe daima anapozidi kukupa mafunuo mengi kwa ajili ya Wana wake.am Joseph karanja from Nairobi Kenya.

  • @edgarmlimba6750
    @edgarmlimba6750 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi sana kukubariki pastor kwa kutulisha Neno LA Mungu.

  • @evelynetitus974
    @evelynetitus974 3 ปีที่แล้ว +2

    Mi siyo msabato ila nakutatilia mtumishi wa Mungu napenda mahubili yako ubarikiwe sanaaa

  • @puritychogoro
    @puritychogoro 3 ปีที่แล้ว

    Amen,n.a. asante kwa somo nzuri

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 3 ปีที่แล้ว

    Suti nzuri Mchungaji

  • @stanfordchimola6913
    @stanfordchimola6913 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @rastarasim5810
    @rastarasim5810 ปีที่แล้ว

    Amina!

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @emmashariff6622
    @emmashariff6622 3 ปีที่แล้ว

    Amina mtumshi wa Mungu barikiwa sana

  • @divvanajohnson4895
    @divvanajohnson4895 3 ปีที่แล้ว

    Eliya alikuwa anadeka Sana alijua mungu anampenda Sana, amen

  • @silvesterryaga7365
    @silvesterryaga7365 3 ปีที่แล้ว

    Amina.

  • @jaredmayaka2993
    @jaredmayaka2993 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏🙏

  • @onesmoelias8509
    @onesmoelias8509 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwel pasta Kama husomi neno nivigum kusmama wakat wa mwisho mungu atusaidie

  • @mssaabeli9083
    @mssaabeli9083 3 ปีที่แล้ว +1

    aa mbaga nakupenda sana

  • @aishanjerinjuguna1236
    @aishanjerinjuguna1236 3 ปีที่แล้ว

    Amina barikiwa

  • @ephraimkapemba2600
    @ephraimkapemba2600 3 ปีที่แล้ว

    Aminaa somo zuri🙏

  • @mshigilakarume4425
    @mshigilakarume4425 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana pasta ww ni mwanaume kw wakati wako

  • @neemarugoe8315
    @neemarugoe8315 3 ปีที่แล้ว

    Ubàlikiwe mchungaji mahubili haya yamenigusa Sana naomba mungu wangu Mimi anitetee ni weze kushindwa kalibu lililo mbele yetu

  • @mariapaulo1198
    @mariapaulo1198 3 ปีที่แล้ว

    Asant mtumishi Mimi nimekuerewa nipo imani nafanya kaz nakushululu saana

  • @danielfesto489
    @danielfesto489 3 ปีที่แล้ว

    amen pastor

  • @DanielLulyalya-gl2ro
    @DanielLulyalya-gl2ro 9 หลายเดือนก่อน

    Mchuga.MUNGU.akupe.maisha.malefu.kufanikiwa.kwangu.mafudisho.unayoyatoa.MUNGU.akubaliki

  • @ezekielwilliam4654
    @ezekielwilliam4654 3 ปีที่แล้ว

    Pastor unawezaje kuwa na furaha siku zote za maisha yako maana kila nikikuona unafuraha muda wote mimi naitafuta furaha na raha kama yako sijaipata

  • @gracesamson924
    @gracesamson924 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen

  • @amnamax8676
    @amnamax8676 3 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @khaldn7409
    @khaldn7409 3 ปีที่แล้ว

    Bila kusoma neno la mungu safari yetu kweli mchungaji itakuwa ngumu kwetu. Asante wacha tusimame kwa neno la mungu.

  • @edinahkerubo3800
    @edinahkerubo3800 3 ปีที่แล้ว

    Amen, Rev 2: 10

  • @azizabuyonde8368
    @azizabuyonde8368 3 ปีที่แล้ว

    Huku ulaya yamesha kuwa, hata viongozi wengi hawahubiriyi habari za zambi. Nihatari

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 3 ปีที่แล้ว

    Naita mama…

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @amanacharles8635
    @amanacharles8635 3 ปีที่แล้ว

    Bwana ni mwema

  • @eliachacha5305
    @eliachacha5305 3 ปีที่แล้ว

    Habiri wapendwa katika Christo mwenye namba ya pr David Mbaga anisaidie ninashida naye ya mhimu sana

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 ปีที่แล้ว

    Following frm kenya....barikiwa mchungaji.

    • @blessingkapo5931
      @blessingkapo5931 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki pastor,
      Mungu wangu akushikiliye kwa mambo yote.
      Ombi laku Tukutane mbinguni.
      Nakufata kutoka Congo DRC.

  • @belokangitsi9875
    @belokangitsi9875 3 ปีที่แล้ว

    Jambo much. nahitaji number ya sim ya mtumishi wa Mungu David Mmbaga ya watsapp

  • @christalgrandberry9283
    @christalgrandberry9283 3 ปีที่แล้ว

    Huyu-nabii-wa-uongo-shila-alinichanaganya-sana-akisema-malaika-ana-kwato-

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  3 ปีที่แล้ว

      Ezekieli 1:7 Na miguu yao ilikuwa miguu iliyonyoka; na nyayo za miguu yao zilikuwa kama nyayo za miguu ya ndama; zikimetameta kama rangi ya shaba iliyosuguliwa sana.

  • @ItsPasonYT
    @ItsPasonYT 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @josephmbotwa
    @josephmbotwa 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @rwesimbibicharles8994
    @rwesimbibicharles8994 3 ปีที่แล้ว

    Amen.

  • @dzbbobaraka5177
    @dzbbobaraka5177 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @malipokashindi3535
    @malipokashindi3535 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen