HAYA NDIO MADHARA YA KUKOSA IMANI (PR DAVID MMBAGA)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 82

  • @ellycondanptyltd3437
    @ellycondanptyltd3437 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweny somo hili,!!! ni elimu ya juu sana ambayo bila Roho Mtakatifu, sikuwahi kuifahamu ila kwa sasa nimefunuliwa na tena ninaona waziwazi! Atukuzwe Mungu mkuu na ibarukiwe ile siku aliyozaliwa huyu mtumishi wake David Mmbaga🙏

  • @wistonpelezi7951
    @wistonpelezi7951 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa Sana ,,Mungu aendelee kukutumia kama apendavyo.

  • @raheljose9524
    @raheljose9524 2 ปีที่แล้ว

    Mungu nijaze imani rohoni mwangu. Barikiwa sana Pastor Mbaga.

  • @ayubujulius9468
    @ayubujulius9468 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana Pastor Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri na kwa kufungua akili na ufahamu wetu kuhusu IMAN

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 5 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji David Mmbaga Mungu akubariki sana sana na akuinue saaaana siku moja tukutane mbinguni hili ndilo ombi langu kwa Mungu.

  • @paulopatrice2590
    @paulopatrice2590 4 ปีที่แล้ว

    Par. Nabarikiwa sana mafundisho yako ya iman barikiwa sana mchungaji.

  • @nkwembacharles8676
    @nkwembacharles8676 4 ปีที่แล้ว

    Amina mchungaji nimepokea neema ya Mungu aliyehai

  • @sarahwambui879
    @sarahwambui879 2 ปีที่แล้ว

    GOD bless you pastor .

  • @enedygalus3692
    @enedygalus3692 4 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri pastor 👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @upendok.granberg7622
    @upendok.granberg7622 4 ปีที่แล้ว

    Asante Mchungaji kwa somo hili kwani limenifikia wakati muafaka kwa kweli nimefarijika sana.

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 ปีที่แล้ว

    Amen mchungaji wangu, Bwana Mungu akubariki sana sana, Nimefunuliwa sana,

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 4 ปีที่แล้ว +2

    Thank you pastor mbaga for this teachings.Blessings.

  • @roselineombati670
    @roselineombati670 2 ปีที่แล้ว

    Pastor hili ni kweli kabisa maana nimejionea

  • @eutropiangido9684
    @eutropiangido9684 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde na kukufunika kwa mbawa zake mtumishi. Uendelee kuwa chombo cha BWANA. Mimi nimebarikiwa sana na mafundisho unayoyatoa

  • @hellenjack2694
    @hellenjack2694 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante pastor kwa kutubariki@mafinga

  • @dimpledimple7840
    @dimpledimple7840 4 ปีที่แล้ว

    Kweli mwambie Yesu pekee

  • @josphataberi1173
    @josphataberi1173 3 ปีที่แล้ว

    Thank you pastor for the wonderful teaching which has given me challange with hope.

  • @anneleahocholla3008
    @anneleahocholla3008 2 ปีที่แล้ว

    Amina, I'm moved

  • @eddahnyongesa9819
    @eddahnyongesa9819 5 ปีที่แล้ว +5

    Kweli nimechoka nimesumbuka mungu nisaidie God bless you so much pst mahubiri yako yananitia nguvu barikiwa sana

    • @betholuoga9381
      @betholuoga9381 5 ปีที่แล้ว +2

      pr mungu anakutumia kwa kweli, unatubariki, nimeacha kufuatilia vingine mtandaoni kwani nabarikiwa sanaa na mahubiri yakoo

  • @GuillaumeLumande-j3d
    @GuillaumeLumande-j3d ปีที่แล้ว

    Alléluia ❤🙏🙏🙏

  • @jescacharles4188
    @jescacharles4188 5 ปีที่แล้ว +1

    Pr mungu azidi kukubariki nabarikiwa Sana na mahubiri yako nilikuwa nalalamika Sana lakini sasa najikuta namwachia mungu tu kwakweli nimebadilika na mahubiri yako

  • @jeanpierreamada541
    @jeanpierreamada541 4 ปีที่แล้ว

    Pasta aksante kwa neno

  • @rosemshana7885
    @rosemshana7885 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pastor

  • @johnngalya1524
    @johnngalya1524 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akusimamie pastor

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 5 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji somo hili limenigusa mno!Mungu anisaidie niwe na imani.Nimwelewe vizuri huyu Mungu.

  • @olvermbwambo4305
    @olvermbwambo4305 4 ปีที่แล้ว

    Nashukuru saaana nimeelewa kwamba nikiomba msamaha Mungu anasamehe kwahiyo kurudia kuomba kosamoja kilasiku najisumbua kumbe amesamehe amesahau

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 4 ปีที่แล้ว

    Amina mbarikiwe sana Waimbaji wa Yesu❤❤❤❤

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mchungaji kwa kazi yake nzuri inayoifanya

  • @mashaelieazer6120
    @mashaelieazer6120 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa pasta,ninabarikiwa sana na mafundisho yako

  • @rosemshana7885
    @rosemshana7885 4 ปีที่แล้ว

    Nakupata vema pastor

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 5 ปีที่แล้ว

    AMEN...Mungu akubariki mch kwa somo nzuri

  • @elizabethkemmy3963
    @elizabethkemmy3963 ปีที่แล้ว

    Glorly to God

  • @lucyvicent1592
    @lucyvicent1592 5 ปีที่แล้ว

    Pastor balikiwa sana Asant yesu

  • @judithmakoye8766
    @judithmakoye8766 4 ปีที่แล้ว +1

    pastor barikiwa, nashangaa hili somo leo nimejikuta naomba msamaha kwa Mungu kwa kosa la mwaka2013 nikidhani sipokei mahitaj sasa kwasabab yadhambi zanyuma, hadi nimekua na msongo sana na kupata pressure (japo dawa za bp nilizikataa hosp), Mungu nisaidie bado napitia magumu

  • @joelchisunga6311
    @joelchisunga6311 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana mchungaji mmbagga

  • @denismaresa4421
    @denismaresa4421 5 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa sana na masomo yako pastor... Sku moja tukutane ng'ambo ya bahari ile ya kioo yerusalem mpya.. Ambapo hatutatengana tena na hapatakuwa na machozi tena

  • @tawembebwiseelelo2912
    @tawembebwiseelelo2912 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa ujumbe wako mnzuri pastor.

  • @listerokemwa3948
    @listerokemwa3948 5 ปีที่แล้ว

    Naitaji roho mtakatifu aniongoze jinsi ya kumkabithi Mungu mzigo wangu,,,asante pastor kwa hili somo,, ubarikiwe sana.

  • @mn9484
    @mn9484 5 ปีที่แล้ว

    Amina!!! Yesu anabeba mizigo yangu yote!!! Mchungaji ubarikiwe sana.

  • @jamesmedard5538
    @jamesmedard5538 4 ปีที่แล้ว

    Amina.

  • @olvermbwambo4305
    @olvermbwambo4305 4 ปีที่แล้ว

    Naomba Mungu anipatie imani ilioimara niweze lumkabizi matatizo yangu niwehuru maana yy ndo kilakitu

  • @everyneemmanuel5947
    @everyneemmanuel5947 5 ปีที่แล้ว

    Amina mungu tupe neema

  • @michaelgilasi7074
    @michaelgilasi7074 5 ปีที่แล้ว

    amina, ubarikiwe pastor

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 5 ปีที่แล้ว

    Nimemtilia mashaka mungu wangu kwa sababu mchumba wangu sai miezi mi 2 hana kazi stress zimezidi. Nisaidie mchungaji kuwa na imani kwa mambo hayaja tokea. From Qatar.

  • @socialculture4125
    @socialculture4125 5 ปีที่แล้ว

    AMEN LET GOD BE WITH YOU AS YOU TRANSFORM US.

  • @rosemshana7885
    @rosemshana7885 4 ปีที่แล้ว +1

    God bless you with your relative

  • @Dr.Lameck
    @Dr.Lameck 5 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu Asifiwe! nasikiliza na kuangalia kutoka hapa Indonesia. natamani nijue hiyo siri ya manefili na wana wa anaki.

  • @ozmedia443
    @ozmedia443 5 ปีที่แล้ว

    God bless you pastor, thanks a lot

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 5 ปีที่แล้ว

    Mchungaji we ni viwango vingine mungu akubariki

  • @josephinemussa8429
    @josephinemussa8429 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana par David mbaya ,,lakin nawezaje kupata namba yako nimeanza fatilia mahubiri yako nahitaji councillor kutoka kwako mahubiri yako yanatia moyo sana

  • @macklinanicolaus5110
    @macklinanicolaus5110 5 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu wetu ni mwema

  • @edsonmgaya885
    @edsonmgaya885 4 ปีที่แล้ว +2

    Pastor nimeskiliza hubiri lako lote lakini nilisema lazim nisikilize ombi la mwisho ili ukiomba namimi nipate mguso

  • @upendomasasi3218
    @upendomasasi3218 5 ปีที่แล้ว

    Asante pastor nnabarkiwa xana masomo unayo yatoa your are my hero good bless you🙏🙏🙏

  • @lenahasantemchungajiauko8811
    @lenahasantemchungajiauko8811 5 ปีที่แล้ว

    Mchungaji barikiwa zaidi na familia yako

  • @maxmillianmturi1370
    @maxmillianmturi1370 5 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @eliakanyika4422
    @eliakanyika4422 4 ปีที่แล้ว

    Huyu mchungaji namfatilia sanaa mafundisho yake kwa kweli unanibarik sana mimi

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 5 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @yusuphcharles911
    @yusuphcharles911 5 ปีที่แล้ว

    Nimejisikia kubadilishwa kabisa

  • @claudinebatamuriza7804
    @claudinebatamuriza7804 5 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @rachelalfred4331
    @rachelalfred4331 4 ปีที่แล้ว

    be blessed

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 5 ปีที่แล้ว

    Dah MUNGU amekuleta ili tutambue kuwz yeye ni nani Barikiwa sana MUNGU azid kukuongezea material zaidi

  • @jacksonobwago1043
    @jacksonobwago1043 5 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 5 ปีที่แล้ว

    Unanisaidia mno!!!!!!

  • @pauloyona829
    @pauloyona829 4 ปีที่แล้ว

    Sasa mchungaji hao manefili Mungu ndiye aliye yaumba?

  • @josephmirumbe8740
    @josephmirumbe8740 5 ปีที่แล้ว

    Mchungaj nabarikiw sana najisikia kuchot karam kutok kwako lkn Niko kwenye maomb nahitaj unyenykev kwanz maan kama nichangamot huu ni mwak wa sita nikiw kweny changamt lkn Mungu amenifungua na kunifundsh pia

  • @salehekikwa7804
    @salehekikwa7804 4 ปีที่แล้ว

    Toka nianze kukufuatilia kwenye youtube sijawai jutia mb zangu.Natamani siku nikirudi Tanzania nitafte no yko nichangie tv yako pasta injili izidi kuwafikia wengi

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 5 ปีที่แล้ว

    Somo la Wanefili & ----Aisee natamani kuijua zaidi mchungaji.

  • @anastaziafrancis191
    @anastaziafrancis191 4 ปีที่แล้ว

    Laiti ningekusikiliza tangu mwanzo nisingehangaika kiasi kikubwa namna hii kiukweli napata nguvu mpya kwa mafundisho yenye nguvu ya Mungu

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 5 ปีที่แล้ว

    Nakufananisha na Francis Ndacha wa Kenya mutafuteni TH-cam mutajua nisemacho

  • @esterkilalo7046
    @esterkilalo7046 5 ปีที่แล้ว

    nifanyeje ili niwe na iman

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @josephinelusambo4593
    @josephinelusambo4593 5 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @lilianlima8609
    @lilianlima8609 3 ปีที่แล้ว

    Amen