SIRI 3 ZA MAHUSIANO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025
  • Hizi sio siri kama siri kwa maana sio ngeni kwako lakini haukuwahi kuzijua kama ndio dawa pekee ya kutibu matatizo mengi sana katika mahusiano. karibu utazame. Usisahau SUBSCRIBE.

ความคิดเห็น • 91

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 11 หลายเดือนก่อน +4

    Nimefatilia Video Zako Nyingi Sana Ujumbe Bora Na Safi Mungu Asimame Nawe Uzidi Kujenga Fikili zetu Zielendelee Kuwa Bora

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  11 หลายเดือนก่อน +1

      Asante mpendwa🤝

  • @sein.208
    @sein.208 10 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah
    Jazaa yako ipo kwa Allah

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  10 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sn mpendwa🙏

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah somo nimelipenda sana hili mungu akulipe

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  ปีที่แล้ว

      Amina mpendwa ☺️🙏

  • @OdetteKahambu
    @OdetteKahambu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka, nime ftilia vidéos zako nyinfi tuu!
    Hakika kaka, wewe ni mwalimu mwema sana.
    Ubarikiwe mon chéri

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya หลายเดือนก่อน +1

    Mafunzo mazuri saana😊

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  หลายเดือนก่อน

      @@ButoyiRukiya Karibu sn

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewa sana yaani

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  หลายเดือนก่อน

      @@judithmwambe4767 Nashukuru sn

  • @LightnessMnyanga-uj4yx
    @LightnessMnyanga-uj4yx 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kaka, najifunza mambo mengi kupitia mafundisho yako, Mungu akutunze umenibadirisha sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 หลายเดือนก่อน

      @@LightnessMnyanga-uj4yx ooh amina amina mpendwa😊🙏

  • @janechaula2870
    @janechaula2870 ปีที่แล้ว +2

    Darsa zuri sanaaa

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  ปีที่แล้ว

      Asante sana☺️🙏

  • @AminaTitu-w3g
    @AminaTitu-w3g 4 หลายเดือนก่อน

    Kwakwel nimeiangalia hii video kwa wakati sahihi asant sanaa,, new subscribe

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 8 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you big bruh,you are the best one Ma funzo yako ya muhimu saaana kwenye maisha ya binaadamu.

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  8 หลายเดือนก่อน

      Asante sn mpendwa🙏
      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

  • @RehemaDjumaine
    @RehemaDjumaine 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akuzidishiye Asante saana 😊

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 หลายเดือนก่อน

      @@RehemaDjumaine amina mpendwa, karibu sn😊🙏

  • @linnahcasmir5275
    @linnahcasmir5275 11 หลายเดือนก่อน +2

    Salute broo

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  11 หลายเดือนก่อน

      Asante🙏🏼

  • @AMILIHASSANI
    @AMILIHASSANI 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallag

  • @nervashonza587
    @nervashonza587 ปีที่แล้ว +2

    Kwanza Nimecheka kwa sauti😂😂,pili nimejifunzaa that's facts kaka binadamu wengi wanapenda vinavyoonekana na kupendwa na wengi

  • @ElizabethNoah-k1b
    @ElizabethNoah-k1b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Upewe medali yako 🎉

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 หลายเดือนก่อน +1

      @@ElizabethNoah-k1b asante😀

  • @CharloteMutuyimana
    @CharloteMutuyimana ปีที่แล้ว +1

    Aksante sana mutumishi wa Mungu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  ปีที่แล้ว

      Karibu sn ☺️🙏

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki kaka . Unajaribu kutufunza wakuelewa aelewe

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  8 หลายเดือนก่อน

      Amen😊🙏. Karibu kutazama video yangu mpya

  • @summaiamm538
    @summaiamm538 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza kitu hap shukuran sana Kaka kwa mafunzo mazur

  • @Tressness-ko2dy
    @Tressness-ko2dy 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lastly niseme asante sana for healing my peace of mind❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  9 หลายเดือนก่อน

      Woow good

  • @victoriaaman6628
    @victoriaaman6628 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana nashukuru kwa somo mzuri

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  10 หลายเดือนก่อน

      Karibu sn

  • @najmakinya8779
    @najmakinya8779 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uko sahihi hakuna mkamilifu 💯

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 หลายเดือนก่อน

      @@najmakinya8779 hakika

  • @DavidiMavoco-lb2sh
    @DavidiMavoco-lb2sh หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli kabisa kaka unachokisema

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  หลายเดือนก่อน

      @@DavidiMavoco-lb2sh hakika

  • @Zenabeby
    @Zenabeby 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aki umeingiza kitu kikubwa kwenye akil yangu nashukuru Sana Kaka 💐🎉❤❤😊

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 หลายเดือนก่อน

      @@Zenabeby wow Nafurahi kusikia umenielewa 😊👏

  • @neemasemkiwa8764
    @neemasemkiwa8764 ปีที่แล้ว +1

    asante nimekuelewa

  • @MwanaJumaa-xc7fi
    @MwanaJumaa-xc7fi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuzidishie mana unatupa moyo

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 หลายเดือนก่อน

      Amina mpendwa😊🙏

  • @hgodwin517
    @hgodwin517 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana ubarikiwe

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 หลายเดือนก่อน

      Amen🙏

  • @Switielie
    @Switielie 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekata tamaa hata mwanaume akija akaniambia ananipenda basi naona kama kuna mtu anae na mimi siwezi kuwa kipaumbele chake,😭😭😭

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 หลายเดือนก่อน

      Karibu kwenye darasa la whatsapp group.

  • @AidaSengati
    @AidaSengati 5 หลายเดือนก่อน +1

    We ni mwanaume kweli

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 หลายเดือนก่อน

      @@AidaSengati eeeh😀

  • @JescerProsper-hg1bf
    @JescerProsper-hg1bf 11 หลายเดือนก่อน +2

    Waooo nimependa somo lako

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  11 หลายเดือนก่อน

      Asante sn mpendwa🙏

  • @janechaula2870
    @janechaula2870 ปีที่แล้ว +1

    Kaka una point

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  ปีที่แล้ว

      Asante mpendwa ☺️🙏

  • @sirajimohamed4860
    @sirajimohamed4860 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa mkuu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 หลายเดือนก่อน

      @@sirajimohamed4860 bless ndugu🤝

  • @SimonMrukwamba
    @SimonMrukwamba 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dah hataree

  • @bettymariga
    @bettymariga 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kaka

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  9 หลายเดือนก่อน +1

      Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝

  • @HasnutMfuruki
    @HasnutMfuruki 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mjomba mwombeki❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 หลายเดือนก่อน

      Karibu🙏

  • @FazilahFazilah2022
    @FazilahFazilah2022 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza kitu kaka

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  9 หลายเดือนก่อน

      Good👏👏

  • @HappynessPonera803
    @HappynessPonera803 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nilipote mwanaume ameacha wanawake 5

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 หลายเดือนก่อน

      @@HappynessPonera803 sijaelewa

  • @AidaSengati
    @AidaSengati 5 หลายเดือนก่อน +1

    Una akili sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 หลายเดือนก่อน

      @@AidaSengati asante sn mpendwa😊🤝🙏

  • @JosephineJacob-zo8sq
    @JosephineJacob-zo8sq 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tumeambiwa kwenye biblia tuwe tunasamehe😢😢

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 หลายเดือนก่อน

      Kwenye biblia pia mmeambiwa msizini hadi mtakapo olewa au kuoa. Vipi hapo mnafata?😀

    • @jacquelineeliasmollel5260
      @jacquelineeliasmollel5260 4 หลายเดือนก่อน +1

      😢😊

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 หลายเดือนก่อน

      @@jacquelineeliasmollel5260 😊

  • @kinyambe1
    @kinyambe1 7 หลายเดือนก่อน +1

    M naimani tutabadilika

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  7 หลายเดือนก่อน

      Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.

  • @mbekitv693
    @mbekitv693  ปีที่แล้ว +2

    NIAMBIE HII VIDEO IMEKUSAIDIA??

  • @Simonkbundala
    @Simonkbundala 8 หลายเดือนก่อน +1

    Je kunafaida gani kwa mwanamke kuingia kwenye mahusiano na mtu anayemzidi umri

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  8 หลายเดือนก่อน

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

    • @ChristinaSaimon-qi5in
      @ChristinaSaimon-qi5in 7 หลายเดือนก่อน +1

      Asante

  • @Susanwanjiru-h6d
    @Susanwanjiru-h6d 9 หลายเดือนก่อน +1

    nimenjifusa kitu nime furahi

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  9 หลายเดือนก่อน

      Vizuri sana mpendwa👏👏 subscribe hili usipitwe na masomo zaidi

  • @moshiponola5276
    @moshiponola5276 ปีที่แล้ว

    Shida kipato

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  ปีที่แล้ว

      Kipato kimefanyaje?

  • @tresadaniel6441
    @tresadaniel6441 ปีที่แล้ว

    Naomb namba yko pls nna tatizo

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  ปีที่แล้ว

      0659152333

    • @Joliegal834
      @Joliegal834 11 หลายเดือนก่อน

      @@mbekitv693nimependa mafunzo yako ila nna tatzo unishauri naweza kukutafuta whatsup

  • @SimonMrukwamba
    @SimonMrukwamba 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dah hataree

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  10 หลายเดือนก่อน

      Hatari