DALILI SITA (6) BADO ANAKUPENDA':TUPATE UJUMBE KUHUSU KUPENDA NA KUPENDWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @swalehemmang-ii5ge
    @swalehemmang-ii5ge 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa mkuu wangu

  • @MengeniClassicMedia
    @MengeniClassicMedia 4 หลายเดือนก่อน

    Upendo ni Mwanga wa Matumaini katika maisha ❤🎉

  • @johanessjohn
    @johanessjohn ปีที่แล้ว +4

    Congratulations 👏👏👏

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 7 หลายเดือนก่อน +10

    Tangu nimezaliwa sijawahi kupendwa maisha yangu ni yakulia tuu nazeeka na upweke wangu namwa hia mungu yote

    • @fahidashishi255
      @fahidashishi255 7 หลายเดือนก่อน

      Kwanin mahii

    • @christinakomba689
      @christinakomba689 6 หลายเดือนก่อน +3

      Tupo wengi my friend mtu unampenda unamjali lakini yeye haonyeshi

    • @maryjustertarimo9858
      @maryjustertarimo9858 6 หลายเดือนก่อน +4

      Hauko peke yako ndugu yangu, japo sikufahamu, tupo wengi, binafsi siku pata upendo wa Wazazi, walikufa utoto wangu, nikategemea kuupata kwenye mahusiano, lakini kiukweli sijawahi kukutana na mtu wa hivyo, nakutana na matapeli. Sijui upendo wowote, nampenda Mungu tu.

    • @ELLYEDWINILWEZIMULA
      @ELLYEDWINILWEZIMULA 6 หลายเดือนก่อน

      Pole usiwaze kpenz cha watu

    • @MiragorethLaswai
      @MiragorethLaswai 6 หลายเดือนก่อน

      Wenye majina ya Mary kunashida sisi kutendewa visivyo sijawah pendwa ni kuumizwa tuu​@@maryjustertarimo9858

  • @LatifaAbbas-f3m
    @LatifaAbbas-f3m 11 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran

  • @sarahalfani3124
    @sarahalfani3124 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mhhh mapenz yapo kweli siamnini huwa inatokea mara moja tuu.maishani

  • @ErickPhilimon-u5h
    @ErickPhilimon-u5h หลายเดือนก่อน +1

    😮

  • @yudamakaranga4602
    @yudamakaranga4602 9 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 ปีที่แล้ว +2

    Asante

  • @DosianaLulakuze-bv7fg
    @DosianaLulakuze-bv7fg 5 หลายเดือนก่อน +2

    Najuta sana najuta sana sana😭😭😭😭😭

  • @abdulatwifuikangaa8915
    @abdulatwifuikangaa8915 ปีที่แล้ว +2

    Great

  • @MiriamMilanzi
    @MiriamMilanzi 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa Baba sema tupone kwa jina la Yesu

  • @NeemaMugyabuso
    @NeemaMugyabuso ปีที่แล้ว +3

    Nimependa hiyo

  • @TembaThomas-wg6iq
    @TembaThomas-wg6iq 5 หลายเดือนก่อน +2

    kweli

  • @JosephZachariah-is6vl
    @JosephZachariah-is6vl 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli

  • @merinazyd0532
    @merinazyd0532 2 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi kupendwa 😢😢

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y 6 หลายเดือนก่อน +2

    Shukurani

  • @remigeuccleophac258
    @remigeuccleophac258 ปีที่แล้ว +3

    Hakika

  • @FrolaMushi
    @FrolaMushi ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤

  • @ELLYEDWINILWEZIMULA
    @ELLYEDWINILWEZIMULA 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hasantee mkuu

  • @HilmatRamadhan
    @HilmatRamadhan 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli ipo

  • @ZenabAli95
    @ZenabAli95 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤🎉

  • @JOSEPHMwakipesile-n7l
    @JOSEPHMwakipesile-n7l 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna yule anaependa kulialia shida Mara kwa Mara (mahitaji) matumizi yakuombaomba ,,Ninapomwitaji Mimi labda falagha Chenga NYINGI visingizio vingi /Huyo vipi?

    • @lucasshirima2880
      @lucasshirima2880  7 หลายเดือนก่อน

      Ukiamua unaweza kumfanya awe wako ila zipo hatua za kufanya na kupita...

    • @allyway999
      @allyway999 6 หลายเดือนก่อน

      Zipi

  • @PriscillaPrincess-qn4tc
    @PriscillaPrincess-qn4tc 5 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏👏🙏

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 4 หลายเดือนก่อน

    Me nina shida moja anaenipenda simpendi namchukia yule ninae mpenda dharau za kila siku hadi nimeamua kuishi mwenyewe staki tena penzi .nimelia ya kutosha

  • @PricillaPaulo
    @PricillaPaulo 4 หลายเดือนก่อน

    🙏👏

  • @christinakomba689
    @christinakomba689 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu utamkuta umegundua ana michepuko,na labda yule mchepuka hadi anamposti ukimwuliza inakuwaje? Anakwambia kama yeye kaamua kunipost ni yeye,kisha unaona zile post zimefutwa na hasemi nisamehe,ila anakufanyia vitu ambavyo vinakufanya ushindwe kujua ananipenda au la?

    • @fahidashishi255
      @fahidashishi255 6 หลายเดือนก่อน

      Anaee kupenda atakuheshimu mahii

    • @ME-qe8ui
      @ME-qe8ui 6 หลายเดือนก่อน

      Huyo anataka tu kuuchezea lakini wewe ukosiriaz au huyu anamalengo na maisha

    • @maurineboi
      @maurineboi 5 หลายเดือนก่อน

      Asante mm Niko na kama huyo anaomba msamaha lakini anisaidi

    • @MengeniClassicMedia
      @MengeniClassicMedia 4 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉

    • @MengeniClassicMedia
      @MengeniClassicMedia 4 หลายเดือนก่อน

      ​@fa🎉🎉hidashishi255

  • @MariamMvulle
    @MariamMvulle 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤