Lucas Shirima Online TV
Lucas Shirima Online TV
  • 119
  • 434 376
JARIBU KUHESHIMU KILA KINACHO KUZUNGUKA NDIO NJIA YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA
#life coach#St.Sylivester choir#KMK Gala#Malaika Gabriel Segerea #Despina Mdende#Jimmy Ngamau#Anastacia Muema#Taifa stars#Dar es Salaam#kuanguka ghorofa#kkoo#Israel Palestine#azamtv #kizito #mahusiano #chadema #love #comedian #Tumaini media#Radio Maria Tanzania#Upadrisho Tanga#Joel Nanauka#Chris Mauka#Hamasika#
มุมมอง: 129

วีดีโอ

KUMBUKA,UNAWEZA UKAFANIKIWA BILA KUDHURU /KUHARIBU MAISHA YA MWINGINE.
มุมมอง 14621 วันที่ผ่านมา
#mahusiano #azamtv #chadema #ccm#uchaguzi#upendo#Amani#pangani#Handeni#korogwe#the Galax pro#Tym#Tamasha la Yesu ni Mwema#Tanga#Arusha#Dar es Salaam #Makonda#Despina#kizito Makuburu#Secilia Makuburi#
NGUVU YA MSAMAHA KATIKA MAISHA NA FAIDA NANE ZA KUSAMEHE.
มุมมอง 419หลายเดือนก่อน
#mahusiano #azamtv #chadema #love #comedian #gospelmusic #mahusiano #wasafi#e fm#kizito Makauburi#zanzibar#Nairobi#Makonda#mo dewji#Ali kamwe#Simba sports club #Yanga#Mauki chriss#Joel Nanauka#life coach#Tanga#azam#
HAKUNA UPENDO USIOKUWA NA MAJITOLEO .TUPATE MAMBO SITA YANAYO TUONGOZA KTK UPENDO .Na.LUCAS SHIRIMA.
มุมมอง 242หลายเดือนก่อน
#Mahusiano#Ndoa#mapenzi#azamtv #love #chadema #ccm#comedian #efm #grownmedia#despina mdende#kizito Makuburi#TYM#voice of Africa#Makambako fm#
MAMBO 5 YA KUZINGATIA UNAPOISHI KATIKA JAMII YENYE MTAZAMO HASI JUU YAKO.
มุมมอง 2522 หลายเดือนก่อน
#Udugu#ekaristi#azamtv #love #comedian #efm #mahusiano #mahusiano #itv#film #mandamani#utekaji#viongozi#uzalendo#rais#makonda#chadema media tv#Godbless lema#Kaskazini media#chadema blood#ccm#makala#kigogo#mange kimambi#
MAMBO YA KUFANYA BAADA YA KUTAMBUA /KUJUA MPENZI WAKO AMEKWISHA KUKUACHA
มุมมอง 2462 หลายเดือนก่อน
#azamtv #love #comedian #africa #efm #radiomaria #radiotumaini#kizito makuburi#tym#despina mdende#makonda#husler#ccm#chadema#uchunguzi#mapenzi#usaliti#mahusiano#habari#
DALILI (5) TANO KUWA MPENZI WAKO AMESHAKUACHA (LAKINI BADO HUJASTUKA)
มุมมอง 6873 หลายเดือนก่อน
#wasafi #azamtv #efm #uchaguzi #gospelmusic #africa #comedian #love #mahusiano #kazi#lisu#makonda#ccm#chadema#sugu#samiasuluhuhassan#barazalamawaziri#bunge#jubilei#malaikagabriel#tym#commasava#diamondplatinum#harmonize#kenya#simbatanzania #yanga#
INAUMIZA LAKINI NI MPANGO WA MUNGU ANATAKA UWE IMARA NA MPYA ZAIDI.
มุมมอง 5613 หลายเดือนก่อน
#wasafi #gospelmusic #kwamunguinawezekana #uchaguzi #africa #azamtv #comedian #love #efm #mahusiano#mapenzi#music#yanga #simba#makonda#mama#samia#kenya#maandamano#Dar#
SIFA KUMI STAHIKI ZA KIONGOZI BORA ANAYEPASWA KUONGOZA JAMII KWA MAFANIKIO.
มุมมอง 1424 หลายเดือนก่อน
#wasafi #piano #azamtv #comedian #efm #music #love #love #uchaguzi #uongozi#uongozibora#the Galax pro#kizitomakuburi#despina #despinamdende #uchaguzi serikali za mtaa#kenya#simba#yanga#usajili#mo#simbaday#makonda#
MAMBO 10 USIOGOPE KUANZA UPYA KILA JARIBU NI SEHEMU YA UTATUZI KATIKA MAISHA.(MAJARIBU NI MTAJI).
มุมมอง 4115 หลายเดือนก่อน
#wasafi #azamtv #tbc#efm#tumaini media#music #harmonize #uchaguzi #comedian#makonda#dar es Salaam #Arusha#nairobi#maandamano#kenya#diamond#bunge#usajili#simbasportsclub#yanga#mo#
MAZINGIRA HAYA NI RAHISI KUMFANYA MWANAUME KUCHEPUKA.
มุมมอง 2165 หลายเดือนก่อน
#wasafi #azamtv #gospelmusic #comedian #music #efm #pianocover #uchaguzi #mandamano #kenya#nairobi#Dar es Salaam #mgomo#makonda#the Galax Pro#mkatholic#
MADHARA YA KUHARIBU MAISHA YA MWINGINE ILI UONEKANE WEWE NI BORA ZAIDI.
มุมมอง 2315 หลายเดือนก่อน
#azamtv #piano #comedian #music #efm #uchaguzi #wasafi #wasafi #ktnnews#mahusiano#mapenzi#hamasika#the galaxy pro#tbc#mgomo#mandamano#mgomowawafanyabiashara#Despina#kizito#makonda#
TAMBUA KANUNI KUMI (10) ZA KUISHI MAISHA YENYE MAONO.
มุมมอง 3165 หลายเดือนก่อน
#azamtv #piano #comedian #music #efm #gospelmusic #uchaguzi #wasafi #lucas#kizito#Despinamdende#Meshackaudax#thegalaxpro#Ht#rajoproduction#mdete#Nairobi#mombasa#Dar es Salaam #texas usa#the tempo Choir #ktnews#election#south Africa#johnesburg#pritoria#bunge#budget#bunge la Africa#mwijaku#masodkipanya#claudsfm#simbatanzania #usajili#yanga#albino#
NAMNA YA KUONGEZA MAHABA KWENYE MAHUSIANO YAKO.
มุมมอง 3865 หลายเดือนก่อน
#azamtv #piano#comedian #music #efm #gospelmusic #gospelmusic #uchaguzi #wasafi #mahusiano#mapenzi#ktnews#tbc#itv#Grawnmedia#tumainimedea#Dar es Salaam #budget#kizitomakuburi#nakuru#bunge#waziri#madini#
AINA HII YA KUFIKIRI INAWEZA KUKUTESA ZAIDI MAISHANI MWAKO.(TUJITAFAKARI)NA TUJIONGEZEE UJUZI.
มุมมอง 2785 หลายเดือนก่อน
AINA HII YA KUFIKIRI INAWEZA KUKUTESA ZAIDI MAISHANI MWAKO.(TUJITAFAKARI)NA TUJIONGEZEE UJUZI.
MBINU 6 ZA KUAMSHA MAHUSIANO YALIYOSHUKA KIWANGO
มุมมอง 2895 หลายเดือนก่อน
MBINU 6 ZA KUAMSHA MAHUSIANO YALIYOSHUKA KIWANGO
MWIMBIENI BWANA WIMBO MPYA II JOHN MGANDU II ORGANIST JOHN MASSAWE.TANGA TANZANIA.
มุมมอง 3785 หลายเดือนก่อน
MWIMBIENI BWANA WIMBO MPYA II JOHN MGANDU II ORGANIST JOHN MASSAWE.TANGA TANZANIA.
MAMBO MANANE= KUWA =UTAJUAJE PENZI LA MPENZI WAKO WA KIUME LIMEKWISHA?
มุมมอง 4445 หลายเดือนก่อน
MAMBO MANANE= KUWA =UTAJUAJE PENZI LA MPENZI WAKO WA KIUME LIMEKWISHA?
MAMBO MANNE (4)YA KUFANYA ILI UONDOE STRESS(MSONGO WA MAWAZO)MAISHANI MWAKO.
มุมมอง 6296 หลายเดือนก่อน
MAMBO MANNE (4)YA KUFANYA ILI UONDOE STRESS(MSONGO WA MAWAZO)MAISHANI MWAKO.
MWANAUME MWENYE TABIA HIZI TISA (9) KAMWE USIMWACHE
มุมมอง 8926 หลายเดือนก่อน
MWANAUME MWENYE TABIA HIZI TISA (9) KAMWE USIMWACHE
MAMBO SITA YA WANAWAKE YANAYOWAKERA WANAUME
มุมมอง 1716 หลายเดือนก่อน
MAMBO SITA YA WANAWAKE YANAYOWAKERA WANAUME
MAMBO HAYA SABA 7 YATAKUFANYA UPENDWE ZAIDI.
มุมมอง 2.4K6 หลายเดือนก่อน
MAMBO HAYA SABA 7 YATAKUFANYA UPENDWE ZAIDI.
NIMRUDISHIE BWANA NINI II FELICIAN A.NYUNDO.ORGANIST BALTAZARI II CHUMBAGENI TANGA TANZANIA
มุมมอง 3416 หลายเดือนก่อน
NIMRUDISHIE BWANA NINI II FELICIAN A.NYUNDO.ORGANIST BALTAZARI II CHUMBAGENI TANGA TANZANIA
MAMBO MATANO (5)YA KUFANYA ILI KUJIEPUSHA NA HOFU.
มุมมอง 369ปีที่แล้ว
MAMBO MATANO (5)YA KUFANYA ILI KUJIEPUSHA NA HOFU.
MADHARA SITA YANAYOSABABISHWA NA HOFU KATIKA MAISHA.
มุมมอง 770ปีที่แล้ว
MADHARA SITA YANAYOSABABISHWA NA HOFU KATIKA MAISHA.
HATUA TANO ZA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO YA NDOA
มุมมอง 814ปีที่แล้ว
HATUA TANO ZA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO YA NDOA
DALILI SITA (6) BADO ANAKUPENDA':TUPATE UJUMBE KUHUSU KUPENDA NA KUPENDWA
มุมมอง 23Kปีที่แล้ว
DALILI SITA (6) BADO ANAKUPENDA':TUPATE UJUMBE KUHUSU KUPENDA NA KUPENDWA
DALILI SITA HATARISHI KWAMBA UPO KWENYE MAHUSIANO FEKI.(BANDIA)
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
DALILI SITA HATARISHI KWAMBA UPO KWENYE MAHUSIANO FEKI.(BANDIA)
MBINU (5) TANO ZA KUTEKA AKILI YA MPENZI WAKO.
มุมมอง 11Kปีที่แล้ว
MBINU (5) TANO ZA KUTEKA AKILI YA MPENZI WAKO.
UKIYAONA HAYA SITA (6)KWA MPENZI WAKO. .HATA KAMA UNAMPENDA MWACHE AENDE..
มุมมอง 222Kปีที่แล้ว
UKIYAONA HAYA SITA (6)KWA MPENZI WAKO. .HATA KAMA UNAMPENDA MWACHE AENDE..

ความคิดเห็น

  • @v.k.m5475
    @v.k.m5475 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana kaka🎉🎉

  • @mariamwaka
    @mariamwaka 2 วันที่ผ่านมา

    Asante sana kwa kutuletea dalili SITA za mapenzi feki. 😅

  • @EvaThomas-xo9pf
    @EvaThomas-xo9pf 3 วันที่ผ่านมา

    ahsante kwa mafundisho

  • @joshuaeliakim2157
    @joshuaeliakim2157 7 วันที่ผ่านมา

    Amen .....barikiwa sana

  • @Constantine0
    @Constantine0 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisaa

  • @HusnaPaul
    @HusnaPaul 7 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏

  • @FrolaElias-f2j
    @FrolaElias-f2j 11 วันที่ผ่านมา

    Somo zuri tutumie namba 11:03

  • @delfinapacho1823
    @delfinapacho1823 11 วันที่ผ่านมา

    4.Tabia sugu 5.Kuongozwa na akili za ndugu au rafiki 6. Hana future

  • @delfinapacho1823
    @delfinapacho1823 11 วันที่ผ่านมา

    1.Ikiwa unatumia nguvu sana akupende 2.Tofauti kubwa za kiimani 3.Misimamo na misingi ya maisha

  • @MohamediSleyum
    @MohamediSleyum 13 วันที่ผ่านมา

    2,4,6

  • @MengeniClassicMedia
    @MengeniClassicMedia 14 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉❤❤ Great..

  • @martinngila3028
    @martinngila3028 14 วันที่ผ่านมา

    Fimbo ya mbali haiui nyoka mwalimu. Barikiwa

  • @EdwineRichard-y8b
    @EdwineRichard-y8b 14 วันที่ผ่านมา

    dah mungu nisaidie nipate mwanamke wa sifa zilizotajwa amin

  • @SilverSanga-d1n
    @SilverSanga-d1n 15 วันที่ผ่านมา

    Na hamna ulichopindisha

  • @cookinglist1004
    @cookinglist1004 16 วันที่ผ่านมา

    Sawa kaka maneno yako ni kweli kabisa.

  • @msangibongimichael6209
    @msangibongimichael6209 17 วันที่ผ่านมา

    Tafuta nota zake sizipati

  • @MwanaidSaid-po9bm
    @MwanaidSaid-po9bm 20 วันที่ผ่านมา

    Ahsante kaka Kwa somo zuri mungu akubariki

  • @RoseUrasa
    @RoseUrasa 20 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa mtumishi

  • @saidihungwe8291
    @saidihungwe8291 22 วันที่ผ่านมา

    Hivi nyie mnaufahamu upendo? au mnafahamu vizuri maana ya neno kupenda? mapenzi hayana darasa!!! ila kila mmoja hujikuta ameumizwa ndio anachukua hatua! mtu hawezi akachukua hatua bila ya kutendwa!!!! na mapenzi hamuwezi kupendana woote kwa hali moja! lazima mmoja atampenda sana mwenza wake halafu mwingine atakua na upendo kidogo! mapenzi sio kama shule kusema utahitimu darasa ukatafute ajira! mapenzi ni mfumo wa hisia! na hisia hazina wa kuzizuwia wala wa kuzilazimisha! yaani hisia za mapenzi zikikutuma kufanya kitu au jambo kwa kushinikazana na moyo huwezi ukajizuwia!!! ndio maana kila mmoja ana namna yake ya kupambana na hisia! hisia hazina mwalimu zikichukua nafasi yake zinatenda kulingana na zilivyoamua!!?

  • @christopherhaule8272
    @christopherhaule8272 25 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli si vema kudhuru mwingine ndio upate mafanikio

  • @MengeniClassicMedia
    @MengeniClassicMedia 26 วันที่ผ่านมา

    Kabisa bila shaka 🎉🎉❤❤

  • @AsmaMakamba
    @AsmaMakamba 28 วันที่ผ่านมา

    Asnt

  • @jimmiengamau577
    @jimmiengamau577 28 วันที่ผ่านมา

    Amazing

  • @awuorcess3222
    @awuorcess3222 28 วันที่ผ่านมา

    Good teachings ❤

  • @MengeniClassicMedia
    @MengeniClassicMedia 29 วันที่ผ่านมา

    Kila nafsi itaonja umati..Maisha huisha..

  • @RebeccaAyubu
    @RebeccaAyubu 29 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzur... I like it

  • @SalomeThomaso
    @SalomeThomaso 29 วันที่ผ่านมา

    Amina baba

  • @MwajumaAli-i7f
    @MwajumaAli-i7f หลายเดือนก่อน

    Sadkta mzee

  • @EstherChuwa-f6b
    @EstherChuwa-f6b หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉

  • @jinaop490
    @jinaop490 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ Asante sana

  • @LilyChelangat-b2y
    @LilyChelangat-b2y หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa

  • @AmaniLangsoni
    @AmaniLangsoni หลายเดือนก่อน

    Msamaha ni Kitu kidg sana Pia ni kikubwa sana ukijifunza kuomba msamaa

  • @jennifersongani2734
    @jennifersongani2734 หลายเดือนก่อน

    Somo zuri sana barikiwa

  • @patricktv8606
    @patricktv8606 หลายเดือนก่อน

    Balikiwa

  • @HappnessMaheri
    @HappnessMaheri หลายเดือนก่อน

    💐💐💐💐💐💐🌹🌹🌹🌹

  • @HusnaPaul
    @HusnaPaul หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @MengeniClassicMedia
    @MengeniClassicMedia หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @MengeniClassicMedia
    @MengeniClassicMedia หลายเดือนก่อน

    Msamaha ni tiba na ibada ..

  • @Raphookash
    @Raphookash หลายเดือนก่อน

    Funzo zuri❤❤

  • @Raphookash
    @Raphookash หลายเดือนก่อน

    Msamaha maua🎉🎉🎉❤

  • @kwayamalaikagabrielparokia506
    @kwayamalaikagabrielparokia506 หลายเดือนก่อน

    Msamaha ni utu.

  • @kwayamalaikagabrielparokia506
    @kwayamalaikagabrielparokia506 หลายเดือนก่อน

    Msamaha ni Maua

  • @JumannemasoudiNgeleja
    @JumannemasoudiNgeleja หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @RamadhaniomariKibarati
    @RamadhaniomariKibarati หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana nimekuelewa

  • @mariajojoshoo4465
    @mariajojoshoo4465 หลายเดือนก่อน

    😁😁😁😁

  • @CyusaVanessa
    @CyusaVanessa หลายเดือนก่อน

    Mi wangu anataka nikae kwa nyumba tu niwe na muomba kila kitu nilivyoona ameanza madhalau ati kazi yangu ni kukalisha matako nikaanza kwenda kujifundisha kushoona hadi nikanunua mashini bila msaada wake, So nilivyoanza kazi akaanza kua anani curse 😢 Sijui simusaidie majukumu ijapokua kazi yenyewe hata haina pesa hivyo,so nikaamua kuweka ka biashara ndogo but kila ni kijaribu huyu Mzee ako against yangu hapendi nifanikiwe,nikimwambia tujenge nyumba anasema ati kesho niya Mungu 😢😢😢 Ananidhalau nikimuongelesha ananifokea na kunitusi , sometimes anakata kukula chakula nimempikia, sometimes naskia kuchokeka nimuache hisia ziliisha kitambo juu ya vile anani treat, What can I do I am really tired ndoa ya 13 yrs

  • @khairatKhamis-g7l
    @khairatKhamis-g7l หลายเดือนก่อน

    Asante sana leo nimepata jibu

  • @lucasshirima2880
    @lucasshirima2880 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉❤❤

  • @ErickPhilimon-u5h
    @ErickPhilimon-u5h หลายเดือนก่อน

    😮

  • @Annie-g2l1k
    @Annie-g2l1k หลายเดือนก่อน

    Heko heko sana