MAOMBI YA ASUBUHI | Sitaogopa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2022
  • Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya.
    Yeremia 1:8 | Usiogope kwa sababu ya hao maana mimi nipo pamoja nawe nikuokoe, asema Bwana.

ความคิดเห็น • 1.5K

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว +13

    Mungu akubariki sanaaaa kwa maombi yako ninafanikiwa kwa kila sala ya asubuhi unaponisalisha ahsante pasta

    • @MaombiYaAsubuhi
      @MaombiYaAsubuhi  ปีที่แล้ว +1

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Maombi ya usiku kabla ya kulala yanapatikana kupitia link hii;
      th-cam.com/video/8NSQxaKeB2A/w-d-xo.html

    • @marthandomba6664
      @marthandomba6664 ปีที่แล้ว

      Mung u azidi kukupa nguvu na miugiza katika kuwaombea watu kwa jina LA yesu Ameen

    • @siliviahmwakalobo5717
      @siliviahmwakalobo5717 ปีที่แล้ว

      AMEN 👏

    • @shady8125
      @shady8125 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @hyasinterhyera6793
      @hyasinterhyera6793 10 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @smilewithafrica
    @smilewithafrica ปีที่แล้ว +5

    Amen. Damu ya yesu inene mema juu yangu na Familia yangu. Amen and amen.

  • @LeilaSpembo
    @LeilaSpembo 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ameen asante sana mtumish inifunike dam ya yesu mpka na watoto wangu

  • @JoycenyellaJoyce
    @JoycenyellaJoyce 2 หลายเดือนก่อน +2

    Damu ya YESU ikanene mema juu yangu na juu ya watoto Aminaaaa

  • @hdgHdhd-eu7vf
    @hdgHdhd-eu7vf 10 หลายเดือนก่อน +26

    Ameni asante yesu kwa kuniamusha salama...siku hii ya leo naikabidi mikononi mwako kila silaha iliyo wekwe kinyume yangu naishidwe kwa jina la yesu Christo Ameni tuwe na siku yenye Amani 🙏🙏🙏

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo

    • @enelesiwilliam3472
      @enelesiwilliam3472 3 หลายเดือนก่อน

      Aminaa haya maombi yametendeka mwangu kwa jina laYesu ubarikiwe Sana mtumishi was Mungu,

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa Damu yako Yesu inilinde
    na kunipigania!!!!!!!.
    Amen Amen 🎉🎉🎉🎉

  • @esthermoindi7097
    @esthermoindi7097 21 วันที่ผ่านมา

    Amen asante yesu neema ya bwana inene mema juu ya maisha yetu na familia yangu kila minyololo ndoto Mbaya zianguke Kwa jina la yesu

  • @NeemaMpembwa
    @NeemaMpembwa 5 วันที่ผ่านมา

    Ameen , asanteee kwa kutuongoza Maombi yenye nguvu, Mungu akubariki Mtumishi wake

  • @MinaelSamuelMinael
    @MinaelSamuelMinael หลายเดือนก่อน

    Asante yesu Kwa kuniamsha salama nikiwa mwenyew nguvu na afya amina

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 28 วันที่ผ่านมา

    Ameen Mungu anishindie yote siku ya leo Damu ya Yesu inene mema juu yangu

  • @rosemhina6114
    @rosemhina6114 25 วันที่ผ่านมา

    Nimefarijika kwa maombi haya kwa jina la Yesu na damu yake. Nimeshinda kirahisi sana leo Amen !

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 หลายเดือนก่อน

    Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo Mungu wangu unilinde popote nitakapokuwa siku ya leo mimi na familia yangu

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 25 วันที่ผ่านมา

    Ameen Mungu nakuomba unilinde siku ya leo na Damu ya Yesu inene mema juu yangu nafamilia yangu siku ya leo

  • @user-fk9rs6om4o
    @user-fk9rs6om4o หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi Kwa kuniongoza Kwa maombi ya alfajiri MWENYEZI MUNGU akuzidishe sanaaa

  • @tumasechambo3040
    @tumasechambo3040 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mungu kwa kuniamsha salama siku hii ya leo,sifa na utukufu nakurudishia wewe,maana bila wewe Mimi siwezi peke yangu🙏

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 9 วันที่ผ่านมา

    Naomba Mungu unitetee uwe pamoja na mimi siku ya leo Ameeen

  • @SamuManayaa
    @SamuManayaa 11 วันที่ผ่านมา

    mungu nakushukuru kwakuniamsha kwasiku yaleo dam yayesu uwe ju yang katika roho mtakatifu nenda nami milele amina pia mungu akulindee naneema yamngu iwe juyako mchungaji wetu amina

  • @RachaelFuraha
    @RachaelFuraha หลายเดือนก่อน

    Amen Amen damu ya yesu inene mema juu ya maisha na familia yangu nakushuru mungu wa rehema amen

  • @janeyona2184
    @janeyona2184 2 วันที่ผ่านมา

    Amen asante Mungu kwa kuniamsha salama siku ya leo

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen Naomba Roho Mtakatifu unifunike kwa nguvu zako siku ya leo mimi na familia tazama Munguwangu mwanangu anakwenda kuingia mtihani ukamsmamie

  • @JaphetyJaphetyshemhilu
    @JaphetyJaphetyshemhilu 24 วันที่ผ่านมา

    Damu takatifu ya yesu ikanishindie vita dhidi ya maadui zangu wote ameeeniiii

  • @EstherSafi-ol5lx
    @EstherSafi-ol5lx หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Asante kwa maombi nashukuru asubui njema kwetu sote

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen ubarikiwe Sana mtumishi Kwa maombi

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 2 หลายเดือนก่อน

    Ameeen Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo

  • @YvonneKanana-bl9fs
    @YvonneKanana-bl9fs หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu qwa kunipea siku nyingine,,damu ya yesu ikanene juu ya maisha yangu

  • @LilianNasike-hx1yw
    @LilianNasike-hx1yw 11 วันที่ผ่านมา

    Amen naaamini nimepona kwa damu ya yesu kristo

  • @tumasechambo3040
    @tumasechambo3040 3 หลายเดือนก่อน +1

    Baba katika jina la yesu naomba damu ya yesu mipango yangu ikafanikiwe,unilinde siku ya Lea🙏🙏

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen Mungu ninakuomba unilinde Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ongoza hatua zetu..Mimi na Familia yangu..Pia Watanzania wote.....Damu ya YESU I we nami Mimi niwajuuu.Nifanye wajuuu zaid Amen

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen Mungu naomba unilinde siiku nzima ya leo Damu ya Ya Yesu inene mema juu uangu

  • @janetwakesho5357
    @janetwakesho5357 4 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi kwa.maombi.ya asubuhi ya Leo barikiwa sana

  • @fidelekajeguhakwa5005
    @fidelekajeguhakwa5005 5 หลายเดือนก่อน

    Nakushukuru baba kwakusikiya maombi yangu asubui hii amen

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 หลายเดือนก่อน

    Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo popote nitakapokuwa

  • @janettheis3749
    @janettheis3749 5 หลายเดือนก่อน

    Aminaa nitafanikiwa kwa jina la yesu, Nashukuru mungu kuiona Siku ya Leo

  • @FwasanNyirenda-gy7nj
    @FwasanNyirenda-gy7nj 8 หลายเดือนก่อน

    Amen nimebalikiwa Sana Asate yesu kwKuyakutaaombi Aya mana nimenisulika kifo kwenye ndoto Angu

  • @user-to2fw4cc5g
    @user-to2fw4cc5g 9 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu Christo kutuamusha Salama nakupitia mapmbiyamutumishitunashukuru

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 10 หลายเดือนก่อน

    Ameen Asante Munguwangu nakuomba unilinde kwa mkono wako ulio hodari siku ya leo

  • @NasriHasan-tv7vy
    @NasriHasan-tv7vy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen asante yesu kwa kuniamsha salama mimi na familia yangu siku hii ikawe siku ya leo ikawe siku ya balaka ktk familia yangu

    • @NasriHasan-tv7vy
      @NasriHasan-tv7vy 2 หลายเดือนก่อน

      Amen mtumishi ubalikiwe kwa maombi ya asubuh

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ameen Roho Mtakatifu nifunike na nguvu zako

  • @rithakiondo1099
    @rithakiondo1099 3 หลายเดือนก่อน

    Amen ame asante YESU kwa zawadi ya uhai...siku yangu imebarikiwa

  • @MulokoziAbeli-hu4uk
    @MulokoziAbeli-hu4uk 12 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu umenipa kuioma siku yaleo tena ninakila sababu yakusema asante

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 24 วันที่ผ่านมา

    Ameen Damu ya Yesu inene mema juu uangu siku ya leo

  • @YasmineMwamini-hq7nr
    @YasmineMwamini-hq7nr 7 หลายเดือนก่อน

    Amen asante mungu kwakuni onyesha asubihi yavreo amen

  • @susanmuthoni6549
    @susanmuthoni6549 5 หลายเดือนก่อน

    Amina Asante Yesu nashukuru kwa neema na rehema zako nyingi maishani mwangu.

  • @user-mx9go2qs9w
    @user-mx9go2qs9w 7 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi kwa maombi ya asubuhi hakika ubarikiwe

  • @AnethMwambalange
    @AnethMwambalange 11 วันที่ผ่านมา

    Amen nimefunikwa kwa Damu YESU🙏🙏

  • @SifaJonas-wj9hy
    @SifaJonas-wj9hy 2 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu kwa kuniamusha salama nakabize maisha yangu kwako na familia yangu iwe mkononi mwako amen

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 หลายเดือนก่อน

    Ameen Mungu naomba uniongoze Roho Mtakatifu anitangulie

  • @damarysnasimiyu3427
    @damarysnasimiyu3427 9 หลายเดือนก่อน

    Amen, Asante Mungu Kwa siku ya Leo, Asante Kwa uzima

  • @AncyMerci-un2nu
    @AncyMerci-un2nu 8 หลายเดือนก่อน

    Âmen Amen Amen 🙏 nazipokeya kwa djina la Yesu

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen Damu ya.Yesu inene mema juu.yangu.silu ya leo

  • @berthantukula1029
    @berthantukula1029 9 หลายเดือนก่อน

    Asante kwaneno na kwa maombi Mungu akubariki mtumishi wa Munguu

  • @rolandrekwel6088
    @rolandrekwel6088 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa maombi ya asubuhi yaniweka vyema siku nzima 🙏🙏🙏

  • @user-ou5ig1nr9s
    @user-ou5ig1nr9s 4 หลายเดือนก่อน

    Amen najifunika kwa damu ya yesu kuanzia utosi hadi unyayo

  • @susywambani3654
    @susywambani3654 4 หลายเดือนก่อน

    Amen, Amen and Amen ukabarikiwe sana mtumishi wa mungu.

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen Nakushukuru Mungu kwa kuniamsha salama roho Mtakatifu anifunike kwa nguvu zake

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 หลายเดือนก่อน

    Ameen Mungu wangu naomba unitangulie soku ya leo

  • @user-sf2ms2vs8e
    @user-sf2ms2vs8e 2 หลายเดือนก่อน

    Aminaa damuya yesu inene mema juyangu nafamilia yangu

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 16 วันที่ผ่านมา

    Ameen Mungu nakuomba unilinde siku ya leo RohoMtakatifu naomba unilinde krwa nguvu zako

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 5 หลายเดือนก่อน

    Ameen Damu ya Yesu inene mema juu yangu sku ya leo

  • @user-pz9lr7of8d
    @user-pz9lr7of8d 10 หลายเดือนก่อน

    Amen barikiwa zaidi ya sana,maombi haya yamenifariji sana

  • @condradanyoni6556
    @condradanyoni6556 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu asante kwa kunilinda kwenye kila nitakapo ingia na kutoka kwa damu ya yesu

  • @omaryabdallah6669
    @omaryabdallah6669 4 หลายเดือนก่อน

    Asanante mungu kwa kujiungamanisha na maombia ya asubuh ya leo

  • @carolineakani3065
    @carolineakani3065 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu kwa ulimzi Amen🙏

  • @user-gc2sv1ls5e
    @user-gc2sv1ls5e 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu anene nami,,,pia anene nawe mchungaji wa Mungu

  • @joycekabikile4331
    @joycekabikile4331 27 วันที่ผ่านมา

    Aminaaa. Nnapokea kwa jina la Yesu

  • @EphraimWanga
    @EphraimWanga 15 วันที่ผ่านมา

    Amen na damu ya yesu inene ju maisha yangu siku

  • @GodfreyPhimbaa980
    @GodfreyPhimbaa980 2 หลายเดือนก่อน

    Amen ameni kwa moto ulao unene mema juu yangu katika kila mila fedha juu yangu

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 27 วันที่ผ่านมา

    Ameen Mungu wangu naomba unilinde na kunitetea siku ya leo

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 17 วันที่ผ่านมา

    Amee Mungu naomba unilinde siku ya iikwe ya baraka

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 9 หลายเดือนก่อน

    Ameen ubarkiwe Mtumishi kwa maombi mazuri Ee Nungu siku leo nitetee iwe nzuri n9kauone mkono wako wa baraka

  • @user-ql3fx7fl8c
    @user-ql3fx7fl8c 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen na Asante sana mtumishi wa mungu

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm 10 หลายเดือนก่อน

    Aminaa barikiwa napokea Kwa Jina la yesu

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 หลายเดือนก่อน

    Ameen Naomba Roho Mtakatifu uniongoze siku ya leo

  • @hamisa-h7u
    @hamisa-h7u 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Asante yesu kwa siku nyingine ten

  • @oman798
    @oman798 9 หลายเดือนก่อน

    AMINA ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙏🙏

  • @khadijamasarange
    @khadijamasarange 25 วันที่ผ่านมา

    amen damu ya yesu inene siku ya leo na familia yangu amen 🙏

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 10 หลายเดือนก่อน

    Ameen Nakuomba Mungu wangu siku ya leo iwe amani tele

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 8 หลายเดือนก่อน

    Amen napokea katika Nina la yesu

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen Naomba Roho Mtakatifu anifunike kwa nguvu zake siku ya lee

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 21 วันที่ผ่านมา

    Ameen Mungu nakuomba unitangulie ktk njia zangu siku ya leo Damu ya Yesu inene mema juu yangu popote nitakapokuwa leo mimi na familia yangu

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen Mungu wangu .nakuomba unilinde na kunitetea

  • @EstherSophiabarisa-bj4bg
    @EstherSophiabarisa-bj4bg 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Asante yesu kwa siku ya leo

  • @jorgelilembochabane2928
    @jorgelilembochabane2928 12 วันที่ผ่านมา

    Asante mungu Kwa kunilinda usiku paka asubui hii niapuche na kila baya mbele yangu

  • @mariasiantemi3410
    @mariasiantemi3410 หลายเดือนก่อน

    Damu ya yesu inane mema juu yangu amina

  • @user-gf6ci4sy7h
    @user-gf6ci4sy7h หลายเดือนก่อน

    Damu ya yesu iliyomwagika msalabani ikanene makuu juu yangu pamoja na familia yangu.🙏🙏🙏

  • @DavidAjuna
    @DavidAjuna 8 หลายเดือนก่อน

    Amen. MUNGU akubariki sanà Mtumishi

  • @claudinewasemutoni9806
    @claudinewasemutoni9806 10 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeen katika jina la YESU christo

  • @jennipherray7001
    @jennipherray7001 หลายเดือนก่อน

    Damu ya Yesu iliyomwagika Msalabani Inene Mema juu Yangu na Familia Yangu, Ameen and Ameen 🙏🙏 thank you Jesus thank you God for Everything Hallelujah 🙏🙏🙏

  • @JeanMulimbwa
    @JeanMulimbwa 21 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa maombi ya Siku ya Leo amen amen 🎉🎉

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 5 วันที่ผ่านมา

    Ameen Mungu naomba unilinde.siku ya leo

  • @FuyaelNjau
    @FuyaelNjau 2 หลายเดือนก่อน

    Amen napokea kwa jina la Yesu

  • @queenmaggy8869
    @queenmaggy8869 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu! Niokowe baba! Amen.

  • @josephwawuda3204
    @josephwawuda3204 9 หลายเดือนก่อน

    Asanteee mungu kwa kuiona siku ya leo niondole uovuwote kwa jina layesu

  • @Juliana-vn6so
    @Juliana-vn6so 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa kutuongoza maombi mazuli ya asubuhi

  • @gracenabuno6565
    @gracenabuno6565 7 หลายเดือนก่อน

    Amen yesu uwe mlinzi wangu siku ya leo

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen Nakuomba Mungu unishindie ktk yote siku ya leo

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 6 หลายเดือนก่อน

    Ameem Damu ya Ya Yesu inene mema juu yangu siku ya leo

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 5 หลายเดือนก่อน

    Ameen Danu ya Yesu inene mena juu yangu siku ya leo