Ubarikiwe mtu wa Mungu sababu Munguamenitendea makubwa kupitia mahubiri unayotoa Nilikua nnasumbuliwa na urahibu wa kuangalia video chafu na kujichua hilo jambo nmehangaikanalo miaka mingi nimefanya kilambinu lakini zilishindikana ndipo nikasikia somolako ulilo kuaunatusihi kusoma Zaburi za sifa pamoja na nyimbo za sifa nilikua ninasifu krasiku mwishoe Mungu amenifungua kutoka kwenye utumwa, Mungu ni mwema
Nime shukuru Mungu kwa utumizi wake kwako. Kweli siku nyingi sikumujua Mungu kawaida. Tangia nilianza kuku sikiliza nimefanikwa ki roho, Mungu aendelea kukutumia. Asanti Baba Yetu aliyembinguni
Amen kwa kutufundisha mtumishi wa mungu mungu awe nawe daima ila mtumishi wa mungu naomba unisaidie jinsi ya kufunga na muda wa maombi yako pindi umefunga mfano mm nafunga kuanzia saa 20 :00 usku had Asubuh iyo inakubaliwa?
Mtumishi wa baba umenena vyema nakushukuru umenisaidia pakubwa sana "kwa nini kanisani huwa kunahitajika taarifa ya watu waliosaidia na wale waliosaidia? Ikiwa katika kipindi cha juma zima nimesaidia na nikashahau, je ni kosa nisipotoa taarifa yoyote?"
Paster kuna rafiki yangu Ana mwanae kahangaika kw ugonjwa kwa mda mrefu kaenda India na kwingneko lakin bado anaumwa kaniomba nimlete kwako, naomba namba yako kw ajiri ya kukuunganisha nae,( yeye yuko rufiji na hajamkiri yesu kuwa mwokozi)
Mchungaji unazungumza sana na unaongea sana lakini bado ni yaleyale aliyokataza Yesu, Hivi unajua hata Mungu wa kikristo alitengenezwa katika COUNCIL ya Nikea na ni wa uwongo. Hata wewe ni walewale wasiomjua Mungu wa kweli na kumwomba Mungu hahitaji hayo mahubiri mengi mwisho utupu. Tafiti Mungu wa kweli yuko katika kanisa gani kwa jinsi madhehebu yanavyotofautiana kuna nini?
We ndugu umefungwa, Mungu hana dhehebu wala jengo lolote la ibada Mungu ni roho nao wamuabudio imewapasa wamuabudu katika roho na kweli. Kweli maana yake ni neno la Mungu na sio mafindisho yasiyo tokana na Mungu. Unapinga kuhusu Mungu anaye abudiwa kupitia Yesu kristo nami nikuulize kunahaja gani ya msaafu wa kiislamu kukiri kwamba Yesu alikuwa nabii waMungu wakati huyo mungu ni wakutengenezwa? je kwanini msaafu umtambue huyu aliye wa uongo?

Mungu atukuzwe
Mungu azidi kukutunza
😊😊😊
Mungu wetu ni mwema
Ubarikiwe sana Mchungaji siku yatatu leo nafatilia mafundisho.yako naumwa lakini nivya zidi kufatilia napata ngvu nakuanza kupona 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana Mchungaji nabarikiwa sana nakupata nguvu ninapo skiliza 🙏🙏🙏🙏
Muniombee niwe n'a parcelle n'a nyumba ya kupendeza mungu,Pia watoto wangu wafunguke ki elimu
Nime shukuru Mungu kwa utumizi wake kwako. Kweli siku nyingi sikumujua Mungu kawaida. Tangia nilianza kuku sikiliza nimefanikwa ki roho, Mungu aendelea kukutumia. Asanti Baba Yetu aliyembinguni
Haya mafundisho yamenitoa mbali sana mungu azidi kunipigania nazidi kukuwa kiroho amen
❤🎉🎉🎉🎉 ee Mungu wangu nifundishe kuombaa
Kwa hakika,mchungaji mafundisho na mahuniri yako yamenienue sana na kunitia moyo na kunichanua kiroho,be blessed PST.
Barikiwa mtumishi wa Mungu aliye haii,sikuzote huwa na barikiwa sana na mafundisho Yako.
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙏🏼🙏🏼
🙏 nimeelewa sana asante kwa neno la hekima
Na Mungu wa Mbinguni akuzidishie hekima mtumishi
Mungu aendelee kukutumia Pastor.Hapa Milton Keynes U.K shuhuda zinaendelea kuja.Asante sana mafundisho yako yametubariki sana Ubarikiwe.
I have been blessed so much and I have also learnt new things In this teaching. GOD bless greatly Pastor
ubarikiwe
Amina
Ubarikiwe kwa mafundisho mazuri.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu mafundisho yako yamenisaidia sana ,nimejua jinsi ya kuomba na kunyenyekea kwa Mungu
Naiona hekima ya kimbingu imo ndani ya Pastor. Ubarikiwa sana kama tunavyobarikiwa na neno la Mungu.
Kuna nguvu ndani ya haya maombi ..Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Barikiwa mtumishi wa mungu
Maombi ni mtandao pekee wa kuwasiliana na Mungu barikiwa sana mtumishi wa baba
Hili somo limenibsriki sana, barikiwa pastor 🙏🙏
Mungu naomba umjalie mkamwana wangu ajifungue salama ana mapito magumu kwenye ujauzito naomba msaada wa maombi yako Mchungaji wetu.
Nimefahamu mungu anisaidie kufahamu zaidi nipo kenya muchungaji kwa sasa niombee pia nifanikiwe mahitaji yangu pia watoto wangu wawe mukononi mwake
Amen
Thank you the servant of
God for your massage it is so inspiring
Amen ubarikiwe sana babangu kwa mafundisho mazuri yamenibariki sana na kunifundisha ila sijui nitaomba vp hata mungu anijibu
Fundisho ni nzuri nimekubali barikiwa sana Pastor. Asante
Naomba pastor uniombee nipone kimwili magonjwa na uniombee nikue msomi wa bibilia na kuielewa niwe na kiu ya kusoma neno na pia ujumi
Hallelujah Hallelujah Mtumishi wa Mungu Pst Mmbaga ubarikiwe sanaa nimekupata na Asante kwa ufafanuzi wa kuomba
Asante sana...Mahuburi yako yamenibariki sana. naomba kontact..nitajuwa DSM mwezi wa 8 Ili tuonane . ASANTE SANA
Amen kwa kutufundisha mtumishi wa mungu mungu awe nawe daima ila mtumishi wa mungu naomba unisaidie jinsi ya kufunga na muda wa maombi yako pindi umefunga mfano mm nafunga kuanzia saa 20 :00 usku had Asubuh iyo inakubaliwa?
Pastor nmebarikiwa sana na mafundisho Yako be blessed too
asante mungu akubariki pastor jamani mimi nimeumwa mpaka nimechoka na cjui naumwaga nini.
Amina nimejifunza kitu kupitia somo hili Mungu azidi kukutumia
Nimebarikiwa sana Nina Amani moyoni mwangu Bwana Yesu Yesu asifiwe
Mtumishi Wa baba naomba Mungu anifungulie njia nijenge nyumba yangu Na Amani Kwa ndugu ,Na nijuwe jinsi ya kuomba .
Naitwa anna naombakuombewa Nipone magonjwa nakiroho nifunguliwe watotowagu kiakili barikiwa
Umefundisha vizuri sana ,Mch .Mmbaga . Kuomba ili kupata ushindi ni tofauti kuomba kama mshindi. It's amazing to know the difference.
Ee mungu ondoa hofu
MUNGU akubariki sana PASTOR,nikumbuke kwamaombi nifaulu vizuri masomo yangu chuoni ufauru wangu sio mzuri nahuzunika sana
Funzo ya nguvu pr.amen🙏
Nbarikiwa sana amina Mungu atukuzwe sana
Na mimi apa pr niombee juma
Mtu wa Mungu naomba mnisaidie wanangu wameharibiwa na pombe na madawa yakulevya.
Mungu na ajibu maombi yako haya ni maombi ya wazazi wengi.
Somo nzr la kuomba mungu akusimamie
Mungu akubalik pasta kwamafundisho mazuri
Aminaaa Bwana akubariki Pr na atubariki sie pia.
Amen Amen n Amen,,,barikiwa sana pastor
Amen Amen ubarikiwe sana mchungaji wetu David Mmbaga
Dada Mariam anaumwa mikono usiku tu naomba umwombee
Pastor be blessed ...
Happy WE meet in heaven .
Umenierevusha Uzidi Kubarikiwa
Naomba uniombee wananitesa sana hata afya yangu si nzuri mapingo ymoyo si mazuri ni kwa sababu ya huo uchawi wanaonichawia
Ujambo unaweza kushinda
Alléluia 👏👏👏
Kindly, i need to meet you please pastor🙏🙏
Amina BWANA akubariki sana PASTOR
Mungu akubariki mchungaji
Amena Amena Mtumishi wa Mungu Mungu awabariki akuzidishiye mafuta Mungu atuwezesh
Mtumishi wa baba umenena vyema nakushukuru umenisaidia pakubwa sana "kwa nini kanisani huwa kunahitajika taarifa ya watu waliosaidia na wale waliosaidia? Ikiwa katika kipindi cha juma zima nimesaidia na nikashahau, je ni kosa nisipotoa taarifa yoyote?"
Amen Mungu nifundishe kuomba!!! Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu!
Mungu anisaidie kuuelewa namba kuomba
Amen ubarikiwe sana
Mimi naitwa eva nimekuwa nikifuatiwa sana wachawi na mbaya sana wachawi ndani ya kanisa tena hadhsrani
Mungu akubariki mtumishi wa MUNGU nimejifunza kitu!
Ahsante sana Mungu akubaliki nimejifunza mengi
Pastor ukianza kufunga inapaswa kutoa pesa
AMINA ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU
Uniombee muchungaji namatatizo familia Haina mawasiliano mazuli
Mungu akutendee
Mchungaji Niombee nisimame Kiroho.
Barikiwa Sana mtumishi wa baba, naomba kujua mda jtano saa ngapi?
Mungu azidi kukupa ma is ha marefu Baba🙏🏼
Amina
Ndaweza pata aje icho kitabu
Kitabu gani
Amina Amina Mungu akubariki sanaa
Amen🙏
AmenAmenAmen🙏🙏🙏
Ameeen 🙏
Nahitaji kitabu lakini kila nikajaribu kulipia inashindikana
Paster kuna rafiki yangu Ana mwanae kahangaika kw ugonjwa kwa mda mrefu kaenda India na kwingneko lakin bado anaumwa kaniomba nimlete kwako, naomba namba yako kw ajiri ya kukuunganisha nae,( yeye yuko rufiji na hajamkiri yesu kuwa mwokozi)
Poleni sana +255 755 932 283 WhatsApp
Tuombe je Sasa?
Ameen
Amina Aminaa 🙏
Amina 🙏🙏
AMINA 🙏
MUNGU atusaidie sana AMEN
Amen Amen
Mnitumie no,ya pastor mmbaga plz niko kenya
+255 755 932 283
MUNGU akubariki mtumishi
Amen
Pr Mbaga nahitaji kitabu cha Siri ya maombi yaliyojibiwa ! Vinauzwa wapi? Nipo Dsm
Bwana akubariki pastor na team yako yote Mubarikiwe sana , Nina swali pastor Juma Tatu Njo siku gani? Is Wednesday or Thursday
Juma tatu ni Monday! Lakini kipindi hiki kipo Jumatano ambayo ni Wednesday
Oh My Mahubiri tv team I thank you so much for clarifications 😅 I’m from Congo you know your Swahili so had 🤣🤣🤣
Mchngaj
Mchungaji unazungumza sana na unaongea sana lakini bado ni yaleyale aliyokataza Yesu, Hivi unajua hata Mungu wa kikristo alitengenezwa katika COUNCIL ya Nikea na ni wa uwongo. Hata wewe ni walewale wasiomjua Mungu wa kweli na kumwomba Mungu hahitaji hayo mahubiri mengi mwisho utupu. Tafiti Mungu wa kweli yuko katika kanisa gani kwa jinsi madhehebu yanavyotofautiana kuna nini?
We ndugu umefungwa, Mungu hana dhehebu wala jengo lolote la ibada Mungu ni roho nao wamuabudio imewapasa wamuabudu katika roho na kweli. Kweli maana yake ni neno la Mungu na sio mafindisho yasiyo tokana na Mungu. Unapinga kuhusu Mungu anaye abudiwa kupitia Yesu kristo nami nikuulize kunahaja gani ya msaafu wa kiislamu kukiri kwamba Yesu alikuwa nabii waMungu wakati huyo mungu ni wakutengenezwa? je kwanini msaafu umtambue huyu aliye wa uongo?
Ujui unapojua
Rudi kujifunza mtu wa Mungu na mwombe Mungu akusaidie kumjua yeye
Amen Amen Amen
Amina
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏 🙏
Amina🙏
Ameeen.
Amen 🙏 🙏
Amen amen
Amen 🙏
Amen 🙏