JE WAJUA SIRI HII JUU YA MAOMBI? | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ค. 2023

ความคิดเห็น • 96

  • @user-vh5cc9yc1l
    @user-vh5cc9yc1l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana Pastor nakufatiya apa RDC sijuwi tapataje kitabu

  • @fedrickyohana7433
    @fedrickyohana7433 3 หลายเดือนก่อน

    Amen mchungaji umejua kunifundisha kitu kizuri

  • @raelsarange638
    @raelsarange638 11 หลายเดือนก่อน +4

    Great I'm proud of my DADDY in heaven i surrender all to him niko Iraq nimeona mkono wake kwenye maisha yangu through pastor mmbaga teachings,sina hofu kusema I'm delivered by God's grace I av got life testimony at times nalia kilio cha furaha ❤❤

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 5 หลายเดือนก่อน

    Exactly like me I talk God as a loving father and He has done much

  • @user-ou6ls5ws9j
    @user-ou6ls5ws9j 12 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiw namug.tuk.tunakusikiriz

  • @NyamariFaith-qu1jm
    @NyamariFaith-qu1jm 7 หลายเดือนก่อน +1

    Am so blessed for ur powerful sermon pastor b blessed with ur family $all ur group in Jesus name 🙏

  • @faithmoraa4542
    @faithmoraa4542 ปีที่แล้ว +3

    Pr, am Faith moraa from Kenya,
    Help me to pray for my girl FABRACIA FATUMA anayeelekekea kufanya mtihani wake wa kidato Cha nne (K.C.S.E) Mungu amfanye mshindi aweze kupata hitaji la moyo wake.(A-)
    Na MUNGU amshindie kabisa
    AMEN🙏

  • @tracysally-im7fw
    @tracysally-im7fw 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor niombee nibarikiwe na mume wangu amkubali YESU na apate kazi ambayo haimsumbui kumlipa,na nirudi kwa wanangu ntashukuru sana

  • @elina4113
    @elina4113 10 หลายเดือนก่อน

    Nimekuwa nafuatilia vipindi vysko Pastor Mmbaga, vinanibariki kila siku .
    Ombi langu Naomba niombee mwanangu wa kwanza ghafla hatakii kuongea nami bila sababu yeyote,nami siko nao kwa muda wa miaka minne niko kazini Nchini Oman,na tulikuwa na mawasiliano mazuri kill mara.
    Nahisi amejiunga na vikundi vilivyo kinyume na mapenzi ya Mungu.

  • @user-xe9yd5pr3k
    @user-xe9yd5pr3k 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji ubarikiwe kwa jina la yesu.,familia yangu naomba maombezi, watoto wangu wawili hawajapata watoto, wengine hawajapata wachumba Mungu wangu aifungue familia yangu.

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 5 หลายเดือนก่อน

    One day I was bleeding for along time I prayed by faith and God healed me and showed me sadaka ya shukurani ya kupeleka kanisani ambayo ilikuwa maziwa mara na mafuta taa

  • @user-id6vb9rc8m
    @user-id6vb9rc8m ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji niombeeee nipate mchumba mwenye hofu ya mungu na mwanaume wa imani s.d.a Kwa umri wangu nimepitia changamoto nyingi kwenye uhusiano nahitaji kuwa na ndoa takatifu ifungwe kwenye mimbari ya wadventista wasabato ni imani yangu mchungaji nimepata mchumba na tutahama kutoka Sengerema na kurudi geita .

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwaminifu siku moja alinijibu kwa sauti nikiwa ninaomba God is a live and near us

  • @RamazaniLumbu
    @RamazaniLumbu 10 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji mungu asifiwe tena akubariki saaaana nalitowa hoja yangu kuhusu ugonjwa ivi alipita ku opération Na leo eko mzuma mungu asifiwe kwa maombi yenu mutuombee mungu atubariki katika viashara yangu

  • @slamafamily5720
    @slamafamily5720 9 หลายเดือนก่อน

    Amen pastor mm.naamini mungu atatendà kabisa yani pastor barikiwa sana kwa mafundisho yako

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 5 หลายเดือนก่อน

    I was childless I and my husband prayed by faith and now we have children

  • @rogerkambale9998
    @rogerkambale9998 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana mtumishi,ninashida kwenye unyumba wangu,naomba uniombeye,Niko congo

  • @SifaelNoah
    @SifaelNoah 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba unisaidie maombi naumwa pumu na presha.

  • @ericksonsteve4075
    @ericksonsteve4075 ปีที่แล้ว

    Kwa maombi pamoja nawe ipo siku nitakuwa shujaa katika nchi yanguh na Dunia Kwa ujumla Kwa jina la yesu kristo Amina.

  • @TeleziaSimbeye-fm3zw
    @TeleziaSimbeye-fm3zw 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hata mi nimesoma baadhi ya vitabu vya kisabato vimenisaidia sana na mi ni Mkaatoriki ubariwe sana mchungaji

  • @user-id6vb9rc8m
    @user-id6vb9rc8m ปีที่แล้ว

    Mchungaji tuombeeee familia yangu tuweze kutoka Geita na kurudi Sengerema Amina

  • @user-id6vb9rc8m
    @user-id6vb9rc8m ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji Mimi naomba unisaidie kuomba tumetoka Sengerema na Kuja Geita mchungaji naomba unisaidie tuweze kurudi Sengerema kule ndiko mungu alikoweza kutubariki na kutuneemesha mambo yake huku mchungaji Geita sio kuzr afu nyumba inabaki pekee yake mchungaji naomba unisaidie kuomba turudi Sengerema

  • @maximilianstephano9578
    @maximilianstephano9578 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi wa Mungu, somo linaeleweka barikiwa mtumishi

  • @user-gs1ld5vd6e
    @user-gs1ld5vd6e 8 หลายเดือนก่อน

    Shalom pastor, nabarikiwa sana na mafundisho, natamani sana niwe kama unavyofundisha mungu aniwezeshe naomba niombee

  • @ngenamangala2559
    @ngenamangala2559 9 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @damaryjohn6985
    @damaryjohn6985 10 หลายเดือนก่อน

    Ninabarikiwa jamaniii

  • @renatuskanuthy5743
    @renatuskanuthy5743 ปีที่แล้ว

    Ashukuriwe Mungu alieponya kupitia kwa mtumishi wake mmbaga

  • @user-ql1px7oh6c
    @user-ql1px7oh6c 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba mtumishi Naomba uniombee nibarikiwe n.a. motto.

  • @rosekemunto660
    @rosekemunto660 ปีที่แล้ว +10

    Mtumishi wa Mungu naomba ,uniombe nipate mchumba mcha mungu na shida na laana za jaamii sikafungwe na kuchomwa kwa nguvu za mungu. Just pray for me. From kenya .

    • @PaulShunda-
      @PaulShunda- ปีที่แล้ว +1

      Ok you good

    • @douglasonchari4407
      @douglasonchari4407 ปีที่แล้ว +1

      Noonde igaa

    • @rosekemunto660
      @rosekemunto660 ปีที่แล้ว +1

      @@douglasonchari4407 than you very much for your prayer.

    • @chalzjuniour3495
      @chalzjuniour3495 ปีที่แล้ว +2

      Habari za mchana, Naomba nikushauri kitu,maamuzi ya muhimu zaidi kufanya kwenye maisha ya mwanadamu ni kumpokea yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yakoo na maamuzi ya pili ni kumchagua mwenza wa maisha, Kama Maamuzi ya muhimu zaidi kwa mwanadamu kufanya ya wokovu Mungu akuchagulii sembuse ili la pili ndo akuchagulie!! Mungu akuchagulii mchumba tafuta maarifa ya kumjua mtu sahihi kwenye maisha yakoo na muombe Mungu akusaidie upate maarifa sahihi, ubarikiwe sanaa🙏

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @DONATUSKomba-pu1bk
    @DONATUSKomba-pu1bk 9 หลายเดือนก่อน

    Pastor,MUNGU aendelee kukutumia siku zote.Kwa kweli kupitia kwako, najifunza mengi.Uniombee,nisiendle kuwa
    nyuma kimawazo

  • @gracejames2395
    @gracejames2395 ปีที่แล้ว

    Pr BWANA asifiwe naitwa grace nipo katolo geita niombee BWANA anipe mume anaelicha jina lake

  • @leticiabaziwani5234
    @leticiabaziwani5234 ปีที่แล้ว

    Pastor naitwa Leticia John Baziwani naomba uniombe nipate kuwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili niweze kushinda majaribu ya ndoa yangu mme wa ni mkenya na amezamia huko natamani sana kuongeza mtoto ila yeye hataki kuja Tanzania na yeye hataki kunipeleka anakoishi Nairobi japo kwao ni migori

  • @MarekelaMarekela-cg4ch
    @MarekelaMarekela-cg4ch 7 หลายเดือนก่อน

    God bless all

  • @maximilianstephano9578
    @maximilianstephano9578 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo lako mchungaji naomba utuombee mimi na mke wangu tuweze kupata mtoto. Maana hatujafanikiwa kupata hata mtoto moja.

    • @upendoloondokalembekela7748
      @upendoloondokalembekela7748 ปีที่แล้ว

      Mwenyezi Mungu ameshawapa haja ya mioyo yenu, fanyeni maombi mkisema Asante Bwana yesu kristo kwakuwa umetupa uzao tayari amen.

  • @EdinaMbilinyi-hm6no
    @EdinaMbilinyi-hm6no ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mchungaji leo nimeelewa Mungu akubariki sana

  • @lennyfrank
    @lennyfrank 7 หลายเดือนก่อน

    Ameen Ameen

  • @elienew3788
    @elienew3788 10 หลายเดือนก่อน

    Ameen asante sana

  • @agiebukutsa8539
    @agiebukutsa8539 ปีที่แล้ว

    Amen Wacha Mungu akutane Na haja ya Moyo wangu

  • @margaretwanjiru9096
    @margaretwanjiru9096 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli MUNGU anafanya muujiza kukupitia nimeyaona kabisa na ninashukuru sana Mungu

  • @rebeccaonyando7214
    @rebeccaonyando7214 ปีที่แล้ว

    Amen and Amen katika jina la Yesu.

  • @user-zf1tx7dg2d
    @user-zf1tx7dg2d 11 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji mungu akubaluki sana uende mbali

  • @estherkahindo2994
    @estherkahindo2994 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki zaidi mzungaji naendeleye kukupa hekima .mapenzi Ya mungu itimilike kwangu kulingana na maombi yako

  • @MarwaTimasi
    @MarwaTimasi 10 หลายเดือนก่อน

    mchungaji naitwa marwa timas wa kitunda dsm naomba yako

  • @molooanne
    @molooanne 11 หลายเดือนก่อน

    Amen pasta tunabalikiwa sana

  • @user-pq8xy3tv7l
    @user-pq8xy3tv7l ปีที่แล้ว

    Ameeene papa pasteur kwa mafundisho

  • @user-zf1tx7dg2d
    @user-zf1tx7dg2d 11 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji mhombee mama angu apone na aanze kazi tena

  • @omankadara6418
    @omankadara6418 ปีที่แล้ว

    Ameen Mungu akuzuze sana

  • @ednaaswile6631
    @ednaaswile6631 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi 🙏

  • @SifaDimatasi-om2rj
    @SifaDimatasi-om2rj ปีที่แล้ว +1

    ❤Ameeeeeeen

  • @user-fr3of9cq1o
    @user-fr3of9cq1o 6 หลายเดือนก่อน

    Pr changamot yang kun mtt anaaguk mapep mtaan kwet ila anataj mtaa mzim nakunalet kutopatan mtaan tusaidie kuomb mung aingilie kat

  • @rehemanashon3739
    @rehemanashon3739 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Mchungaji🙏

  • @molooanne
    @molooanne 11 หลายเดือนก่อน

    Pasta naomba uniombe nipate muchumba

  • @kazidotto8675
    @kazidotto8675 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana

  • @jayras501
    @jayras501 3 หลายเดือนก่อน

    Ata mm nimejua burton ni ngani

  • @KASICHANANDARO-ud1eh
    @KASICHANANDARO-ud1eh 11 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa mungu nahitaji maombi Kwa familia yangu tuwe na Amani...

  • @lucynyigana2801
    @lucynyigana2801 ปีที่แล้ว

    Amina kubwa

  • @JeremiahGuragura
    @JeremiahGuragura ปีที่แล้ว

    Mungu akutendee mema

  • @ephrasienasifiwe3393
    @ephrasienasifiwe3393 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen

  • @psftv6478
    @psftv6478 ปีที่แล้ว

    Barikiweni.

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @tracysally-im7fw
    @tracysally-im7fw 11 หลายเดือนก่อน

    Kuna rafiki yangu anaitwa Judy ametafta mtoto na hapati TAFADHALI muombee

  • @saighilunyangusi4986
    @saighilunyangusi4986 ปีที่แล้ว

    Bwana azidi kukulinda na kukuwezesha mchungaji

  • @divinahmoraaongaki8666
    @divinahmoraaongaki8666 11 หลายเดือนก่อน

    Je hivyo vitabu tutazipata wapi Kenya?

  • @pacshalfrenk8982
    @pacshalfrenk8982 11 หลายเดือนก่อน

    Niombee nipate mototo, na ubarikiwe pr.

  • @claraelengabulunda6750
    @claraelengabulunda6750 ปีที่แล้ว

    Na mimi naitaji kitabu, Niko nachinda sana nikiokoka tena najikuta narudi nyuma nimateso kwangu

  • @user-cc3ct9su2n
    @user-cc3ct9su2n 11 หลายเดือนก่อน

    Pasta bwana akubaliki ninabalikiwa sana na vipindi vyako naomba unikumbuke kwa maombi kila nikibeba mimba zinahalibika nasasa ninamimba tena hivyo naomba uniombee sana

  • @MarwaTimasi
    @MarwaTimasi 10 หลายเดือนก่อน

    nsmba yako ya simu

  • @eunicewacheke5874
    @eunicewacheke5874 11 หลายเดือนก่อน

    Pastor naomba ukanikumbuke Kwa maombi nipate kujenga nyumba yangu.

  • @user-fr3of9cq1o
    @user-fr3of9cq1o 6 หลายเดือนก่อน

    Pr nafwatilia mahubir yak yana nitia moy na kun shid nawez be kupat namb yk

  • @GuzuraJonas-ux6yx
    @GuzuraJonas-ux6yx ปีที่แล้ว

    Chungaji naomba uniombe kuhusu ndoa yangu na uchumi

  • @doricapeter545
    @doricapeter545 9 หลายเดือนก่อน

    Mbaga nakosa pakucoment naomba namba nahitaji kuonana na ww mtumishi

  • @rosejoseph7982
    @rosejoseph7982 ปีที่แล้ว

    Pr nami niombee familia yangu imeishi na magongwa plz niombee

  • @sarahmosiori9774
    @sarahmosiori9774 ปีที่แล้ว

    Hata nami niombee niwe na Imani.maanake nimeishi na fibroids Kwa miaka ishirini.Baba afungue umbo langu.

    • @upendoloondokalembekela7748
      @upendoloondokalembekela7748 ปีที่แล้ว

      Waebrania 11:1,uwe na uhakika umepakata tayari ,fanya maombi ya kushukuru maana Mwenyezi Mungu ameshatenda tayari,Bwana amekupa aja ya moyo wako.

  • @kabalizasekanabomarko6063
    @kabalizasekanabomarko6063 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi wa Mungu. Ningependa kupata namba yako pia. Kuna rafiki yangu hana mtoto kwa myaka 10.
    Ila nimeongea naye na kumwambia pia utapata mtoto.Mungu halali.

  • @user-fx2so9dy5l
    @user-fx2so9dy5l 9 หลายเดือนก่อน

    🎉❤😂

  • @user-bv1pf9pe6d
    @user-bv1pf9pe6d 7 หลายเดือนก่อน

    Ninaomba unisaidie namba yako

  • @user-uo9lc8dk2q
    @user-uo9lc8dk2q ปีที่แล้ว

    bwana asifiwe mutumishi nimebarikiwa sana naomba uniombe juu ya mama yangu alipotea Sasa ni miaka 13 sijui aliko. kama uko hai

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 5 หลายเดือนก่อน

    One day I asked God for lunch while walking on the road then I saw money beside the road and another day I asked for my children mattress while I was walking on the road I saw a matress beside the road but I feared to pick

  • @user-id6vb9rc8m
    @user-id6vb9rc8m ปีที่แล้ว

    Mchungaji niombeeee nipate mchumba mwenye hofu ya mungu na mwanaume wa imani s.d.a Kwa umri wangu nimepitia changamoto nyingi kwenye uhusiano nahitaji kuwa na ndoa takatifu ifungwe kwenye mimbari ya wadventista wasabato ni imani yangu mchungaji nimepata mchumba na tutahama kutoka Sengerema na kurudi geita

  • @deogratiasmazangi-mk4fp
    @deogratiasmazangi-mk4fp 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-zf1tx7dg2d
    @user-zf1tx7dg2d 11 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji mhombee mama angu alikua vizuli tu lakin saivi Yuko kama kachanganikiwa hatujuh chanz nn

  • @ericksonsteve4075
    @ericksonsteve4075 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @justinbigere4393
    @justinbigere4393 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @danielndegwa764
    @danielndegwa764 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @anneedward6981
    @anneedward6981 ปีที่แล้ว +1

    Amen