ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
JIUNGE NA GROUP LETU 👇👇chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
Natamani sana nione Mpoki,Joti na Masanja kwenye kazi moja!
asante kwa kutufikia wapogoro 💯💯mseli na kambale mahenge moja hiyoo
Utaratibu kwa wazazi hapana mpoki kwa hapo hujatufundisha kitu kaka umechemka siwez wafanyia wazazi wangu ujinga kama huwo hujanifunza kitu mm 😢😢😢
Sasa ww hapa unaona shule yakukufunza utakavyoishi na wazazi wako ???
Hyo ni comedy uschukuie serious kihivyo 😢
Kazi ya sanaa ni kuadabisha sio akuoneshe nini cha kufanya sometimes wanakuonesha kitu ambacho hutakiwi kufanya ila wao wanafanya kikikuuma ndio kwao wamefanikiwa meaning hutafanya
Apo umepata funzo , Kuna kupuliza ili I wake, kupuliza ili izime au kupuliza ipoe... Sasa w chagua elimu uloipata apo acha kukaza fuvu
Kila mtu na walivyokuwa karibu na wazazi wake!
Ukiona hujajifunza kabs bas ichukulie comedy kam ilivyo cheka furah bas
Amecheza. Hivyo kwamba kunawatu wako hivyo . Wenye hakili mbovu kama hizo
Kuna aina nying ya kujifunza kaka, kwan huangaliaga vitu vya mauaji au vita kwahy utakuw umejifunza vita au
Suprise zimegongana😂😂😂😂
Akinaukwa😂😢😮❤
Ila mbembe anajua na ananogesha sana, msiiache hiyo collabo.
😂😂😂dah mpoki et hbr za sumba wanga
Watching from kenya you’re teaching pipo bad education 😢
Kama umeipenda Familia ya Mpoki, nipe Like Yako. 😂
Nijibenue huko ndani😂😂
🤣🤣🤣mzee fala sn
Mwamba mpok ni jembe
Huyu mzee anajua
Mpoki mujuni hatari anajua sana
Mama kabeba kibegi na handbag 😂😂
😂😂😂😂hii imeenda yaan
Hii haifundishi zaidi ya kupotosha
Usichukulie kila kitu serious broo wengine wanatuonyesha mambo yanayotokea kwenye jamii kunakujifunza kwa njià tofauti sio hiyo unayoifikiria Ww tu
Sasa imekupotosha nn 😅
Hii kitalamu inaitwa below the belt
Mpoki anavyotaja hizo sehemu sasa
wapogoro oyeeeeeeeeeh
Sijui ni mimi tuu sijaipenda hii?!
Mpoki n noma
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Ilo surual sasa la baharia mzee mbembe sasa😂😂😂😂
Huyu siku hizi comedi imemshinda bakia kuwa mc
@@AbdilahiMohamed-l1y hujui unachokiongea
Mpoki kwl anapapat Morogoro
Huyu ana majumba ya kupangisha Morogoro lazima apajue
Umechemka mpoki
HAPO MPOKI UMECHEMKA SIJAPENDA
Kuna kitu umejifunza apo Aggy
Kuna watu wana tabia hizo hivyo amewafundisha wabadilike na hizo tabia
Hasa watu wengi wa mjini wanajifanya wapo bize sana ila wakienda kijijini wanapenda wakarimiwe. Ametoa fundisho hapo
😂😂
JIUNGE NA GROUP LETU 👇👇
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR