Sijaelewa Mungu atakuletea mwanaume au mwanamke mwingne kama utaachwa sijaelewa hapo na Mungu amesemaje mke mmoja na mume moja mpaka kifo sijaelewa mtumishi labda nisaidiwe
Faith is a pillar. Never giver up even in a worse situation. kilichopangwa na Mungu lazima kitokee kwa wale wasiokata tumaini. Amina mtumishi, neema ya Bwana ikutoshe na uzidi kuelimisha ulimwengu.
Hii naona wengi hawajaelewa, ni huyu mke wanaemfahamu aliyekuvumilia kipindi cha kukuuguza ulipopata ajali ndiye amekukimbia au ni mchumba wa awali uliyemchumbia ndiye alikukimbia, ndipo ukampta huyu aliyekuvumilia kipindi cha kukuuguza ulipopata ajali? Labda uje ufafanue zaidi.
Kuna siku makonda alikabidhiwa mchango na Mtume MWAMPOSA Tsh m. 10 MIONGONI MWA wagonjwa aliowaombea na wewe ulikuwa ni MMOJA wapo. Unalikumbuka Hili mtumishi? Nami nilihudhulia ibada hiyo. Makonda kukabdhiwa. Mungu akutie nguvu.
*My situation right now😢 I'm asking myself why my parents didn't work hard gor my better life now iam working for my kids and the same time working to take care of my mum . because no property my dad left😢
Sijaelewa Mungu atakuletea mwanaume au mwanamke mwingne kama utaachwa sijaelewa hapo na Mungu amesemaje mke mmoja na mume moja mpaka kifo sijaelewa mtumishi labda nisaidiwe
Amina,umenitia moyo kwakweli wa kuto kukata tamaa najua nitashinda katika jalibu ninalo pitia kwa sasa 🙏🙏🙏🙏🙏
kazi yako ni nzuri barikiwa
Ameen Mtumishi wa Mungu,nakumbuka sn Ulipopitia na Ulipo sasa kwa kweli Acha Mungu Aitwe Mungu Tuuu.kweli Naamini Ni Marufuku Kukata Tamaaa.
Kweli wewe ni ushuhuda Tosha mtumishi wamungu kabisa mungo akubariki sana amen
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa kunitia moyo naomba mungu anibariki na ndoa ya heshima sitakata tamaa tena🙏
Ninapokuona namuona Mungu lakini pia namuona Mh. Makonda daah Mungu ni mwema sana. Mke gani katoroka mbona alivumilia magumu yale jamani🥰🥰
Faith is a pillar.
Never giver up even in a worse situation.
kilichopangwa na Mungu lazima kitokee kwa wale wasiokata tumaini.
Amina mtumishi, neema ya Bwana ikutoshe na uzidi kuelimisha ulimwengu.
Ahsante kunitia moyo Baba
Mtumainie bwana mwenye nguvu na hakuna asilo liweza❤
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa ushauri mzuri wa kutokukata tamaa
Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni atukutukuzwe Sanaaaa Yesu Kristo,
Namshukuru Mungu kwaajili Yako P. Cassian
Pole sana kaka Mungu akutetee
Asante YESU, barikiwa kwa ujumbe wa kututia moyo
I thank God for ever knowing you Paschal...... Be blessed always 🙏
Pastor p.c.nakuelewa sanaaa na nafuatilia sana ideas zako.❤
sijaelewa maana somo linasema sababu za mke wangu kukimbia alafu ndani ya somo nikutiana Moyo tu kulikoni kwani
Hapo umeongea Neno. Kukata tamaa ndo shida kubwa!!!
Sitakata tamaa, ahsante kwa ushauri.
Barikiwa mtumish hakika nimepata nguvu mpya 🙏🙏🙏🙏
Amina ubarikiwe sana mtumishi
Kama umeweza kuishi mbali na wazazi wako.
Utashindwa vipi kuishi kwa ajil ya mke au mme kakuacha wakat mmekutana ukubwan
Mungu akubariki sana Ev.
Usiache uchungu upite bila malipo.umetisha mtumishi
Mungu amupe zamiri ya kukuomba msamaha
Hii naona wengi hawajaelewa, ni huyu mke wanaemfahamu aliyekuvumilia kipindi cha kukuuguza ulipopata ajali ndiye amekukimbia au ni mchumba wa awali uliyemchumbia ndiye alikukimbia, ndipo ukampta huyu aliyekuvumilia kipindi cha kukuuguza ulipopata ajali? Labda uje ufafanue zaidi.
Huyo alikuwa yule mwanamke wakwanza
Nashukuru sana kwakunitia moyo
Mungu azidi kukubariki
Bibi yupi alietoroka ju tunae. Mjua alivumilia mangumu yote uliyo pitia na mungu amuzidishie niwachache kama yeye
Tunis maumivu Kama kazi.big Up mtumishi
Jamani Pascal Cassian,niliyekuwa namwona Msimbazi Centre miaka hiyo? Ee Mungu nakushukuru maana hamna kukata tamaa kweli.
Ubarikiwe sana
Nimekuelewa sana,Mungu akubariki sana
Umenena vyema Mtumishi
Ubarikiwe mtumishi.
Wow amen amen and aki najaribu God bless
Waaaaau this is nice . Watching from Qatar
Lipa ubaya kwa wema hiyo point naipenda mbarikiwa sana papaa
Kwa mara ya kwanza leo najua kuhusiana na 7up
Namimi aiseeee
Ujumbe mzuri sana
Barikiwa kwakunitia moyo
Nakuelewa Sana Pascal
Asante sana mtumishi wa mungu nimejengeka bara bara❤❤
Amina Amina natiwa nguvu
Mungu yupo nawe
kama ayubu,,,Kwa Imani alishinda wakina mtemani waliongea hakujal
Sifa na utukufu ni kwa Mungu mkuu
Amen amen Iam beautiful 🎉
Amen sana
Ubalikiwe mtumishi
Yeye mwenyewe bado hajatoka huko
Amina,mtumishi,
Angalau umejiongelea hujawaponda watumish
Nikweri mungi akumbariki
Amen
Hakika haitatokea siku nikate tamaaa
Vizuri san
Kuna siku makonda alikabidhiwa mchango na Mtume MWAMPOSA Tsh m. 10 MIONGONI MWA wagonjwa aliowaombea na wewe ulikuwa ni MMOJA wapo. Unalikumbuka Hili mtumishi? Nami nilihudhulia ibada hiyo. Makonda kukabdhiwa. Mungu akutie nguvu.
Mungu azidi kikupigia na kukuinua hatua nyingine zaidi.
YESU AKUTETEE MTUMISHI NA ZAIDI HUDUMA YAKO IZIDI KUINULIWA.
*My situation right now😢
I'm asking myself why my parents didn't work hard gor my better life now iam working for my kids and the same time working to take care of my mum . because no property my dad left😢
Hapa ndo Huwa wananichanganya watumishi ktk biblia hakuna kuoa tena labda mmoja wa Wana ndoa afariki......
Amen amen🙏 🙏 🙏 🙏
🤔mungu azidi kukulinda kaka
Amen Amen 🙏
Wewe mtu siyo wa kawaida
Acha ujinga bana sasa kama ameona humufai tena chakufanya akae kwenye moto nikipi we naye
Ameeeeeeen ameeen
Amen🎉🎉🎉
Amen🙏🙏🤝
AMEN AMEN
Amena mungu akuongezae
Nakuelewa saaaana EV Paschal Cassian.....Napenda saana Kazi zako Kakangu. Mungu akubariki saaana Kaka.
Siwezi ku jikatia tamah ao kuikatia tamaha jambo lolote
Ubarikiwe mtumishi nimejifunza kitu
✌️👍🙏.
Living testimony
Ameeeeeeen
Mbona hakukimbia ulipokua na pipe mtumishi uongo dhambi
Sasa uongo wake uko wapi huwezi jua yote
Kasema mke wake wa kwanza hata hajawa maarufu. Nahisi baadae alikuja kuoa mke mwingine. Muwe mnasikiliza na kuelewa vizuri
Mungu Haku bariki
Ubarikiwe sana
Mungu nisaidiye kuwa Imani kama hii kaka paschal sitakata tamaa
Amen
Amen