VITA KUU KATI YA UONGO NA UKWELI. JODEVI PASCHAL CASSIAN VYA PAMBA MOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • #0788871769 #0766998994 #call0688199370 #

ความคิดเห็น • 69

  • @saidibaraka931
    @saidibaraka931 ปีที่แล้ว +6

    Mtumishi wa mungu tupo pamoja sana tu mpaka mwisho mahubiri yako yana nifariji sana tu maana unasema ukweli kabisa tu

  • @moseskayanda2739
    @moseskayanda2739 ปีที่แล้ว +6

    Brother, you have spoken the truth of God's word. Just keep going and don't be afraid. God will protect you. The Bible says your enemies will come before you in one way, but they will leave you in seven ways.

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 ปีที่แล้ว +3

    Hawaya kufanya kitu yesu akulinde

  • @emilyrissling9703
    @emilyrissling9703 ปีที่แล้ว

    Ni mungu pekee anayestahili kuabuduwa,na kupigiwa magoti, sio mwanadamu, inatisha sana kuona watu wakipiga magoti kwa mwana damu

  • @sharnelluvinzu5090
    @sharnelluvinzu5090 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi , tangu nimjue huyu nabii mkuu, nilijua Sio mtumishi wa Mungu wa mbinguni na Wala SI mtu halisi , yeye na Zumaridi ni mapepo kwa mwili wa mwanadamu ,( demon reincarnate) watakupea zawadi ama msaada ukisha pokea msaada kutoka kwao lazima Kuna mapepo yatakufuata

  • @simonmollel2727
    @simonmollel2727 ปีที่แล้ว

    Mungu akupiganie sana Mtumishi. Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa. Yamkini wote watakaokusanyana juu lakini si katika shauri la Bwana wataanguka

  • @maenduthuleo4503
    @maenduthuleo4503 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mtumushi unatu fumbuamacho na kubaliana namaneno yako watu kulr wanafuatatuu msaada lakin sio kwa mafundi sho

  • @esthermoraa9701
    @esthermoraa9701 ปีที่แล้ว +1

    Sema wazima ndugu tufungue penye giza

  • @djbless6201
    @djbless6201 ปีที่แล้ว +3

    Deep Truth, ubarikiwe Evangelist Paschal Cassian

  • @sofiaayeba6919
    @sofiaayeba6919 ปีที่แล้ว +4

    Amen tume barikiwa ❤❤

  • @chritinaphilip7439
    @chritinaphilip7439 ปีที่แล้ว +1

    Amina sana Bwana akubarik😊

  • @estonmnthali3719
    @estonmnthali3719 ปีที่แล้ว +2

    Yeremia 17:5
    5Yehova anasema hivi: “Amelaaniwa mtu anayewatumaini wanadamu, Anayetegemea nguvu za wanadamu, Na ambaye moyo wake unamwacha Yehova.

  • @julianawanjala6495
    @julianawanjala6495 ปีที่แล้ว +3

    Amen ubarikiwe Sanaa mtumishi wa Mungu

  • @estonmnthali3719
    @estonmnthali3719 ปีที่แล้ว +3

    Amina kweri kabisa powerful preaching

  • @failaprince9250
    @failaprince9250 ปีที่แล้ว +1

    Kweli âme onyesha ninabihi wauhongo ubarikiwe sana m tumishi kazana naukweli

  • @happey2878
    @happey2878 ปีที่แล้ว +2

    Amina sana

  • @jameskenzedex
    @jameskenzedex ปีที่แล้ว +3

    Malaika WA mbinguni Wako pamoja na wewe Mtuishi endelea kuhubiri neno

  • @user-fe9mh3hs4n
    @user-fe9mh3hs4n ปีที่แล้ว

    Amina ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @imakubari-ko8du
    @imakubari-ko8du ปีที่แล้ว +1

    Kanisani Kwa nabi akuna roho wa mungu kbisa

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 ปีที่แล้ว +1

    Asante mungu kwakukupa nguvu zakuongea ukweli ❤

  • @mollyawuor6192
    @mollyawuor6192 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aliye Hai atusaidie kujua ukweli

  • @LusajoMwajeka-tf1nj
    @LusajoMwajeka-tf1nj ปีที่แล้ว

    Waambie hao manabii wa uongo wapiga hela hao mbona wanawasaidia watu wenye uwezo wanaacha kuwasaidia masikini waongo hao jaman

  • @apollokidakule-vg3lz
    @apollokidakule-vg3lz ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi msamehe nabii mkuu bado hajaijua kweli hajamkili yesu maana yake hajaokoka

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 ปีที่แล้ว +3

    Yesutu njonjia ya kweki na uzima

  • @aquinomsigwa6998
    @aquinomsigwa6998 ปีที่แล้ว

    Mpuuzi mmoja

  • @lillianmunyaka2417
    @lillianmunyaka2417 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe sanaa

  • @yasintaraphael8334
    @yasintaraphael8334 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @Reginajohnson19884
    @Reginajohnson19884 ปีที่แล้ว

    Huyu baba anawatoa watu wasiamini neno bibilia sasa yeye anaubiri ukristo gani, nakumbuka nilivyosikiliza Hii clip nilisikia harissa mnooo

  • @failaprince9250
    @failaprince9250 ปีที่แล้ว +1

    Amina ubarikiwe sana aliye katana neno euro la MUNGU utakaa wapi mille?

  • @yohanamgogo-4616
    @yohanamgogo-4616 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana ,ongea ukweli, nawa kabisaa

  • @jeremiatitus4414
    @jeremiatitus4414 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa Sana mtumishi, YESU KRISTO akutie nguvu na kukutunza🙏

  • @saidibaraka931
    @saidibaraka931 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pia mtumishi wa mungu from 🇨🇩

  • @yohanamgogo-4616
    @yohanamgogo-4616 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana Mungu akupe nguvu,na uzidi kuwa na wivu wa kristo ubarikiwe,be blessed

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 ปีที่แล้ว +1

    Vita Kuu ni Kati ya nuru na giza ,Kati ya wema na uovu NA si Kati ya Cassian na Geodave..( mwanadamu na mwanadamu)

  • @chany9950
    @chany9950 ปีที่แล้ว

    Asante papa 🙏🏾

  • @justerkamala3933
    @justerkamala3933 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sanaa mtumishi,Mungu akupiganie

  • @henrysizya239
    @henrysizya239 ปีที่แล้ว

    Ubariwe mtumishi.

  • @nsumbumakala6905
    @nsumbumakala6905 ปีที่แล้ว

    Huyu pasian mahubili yake ni kumhubili Nabii geordev hauna mahubili yaMungu wewe sasa unambingu zako, unashida naye utahangaika sana mpumbavu,

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 20 วันที่ผ่านมา

    Shetani niking'ang'anizi wakutafuta uongouliokaribu na mwanga ili awakokote waliowadhaifu waimani.

  • @IsaiahMuswahili
    @IsaiahMuswahili ปีที่แล้ว

    john1:14 nalo neno lilifanyika mwili.............

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo ปีที่แล้ว

    Tatzo watu n wavivu kuomba tunapenda kuombewa hata wakipakwa mafuta ya bebcare fresh

  • @fauziajoseph643
    @fauziajoseph643 ปีที่แล้ว

    Amen in jesus christ.

  • @nsumbumakala6905
    @nsumbumakala6905 ปีที่แล้ว

    Umekosa maneno yakuwshubilia waumini wako ili iweje unatafuta nini kwa nabii, peleka umbea wako wewe ndo utaenda jehanam maanaumebakikuwasema watumishi mpumbavu,wewe,

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 ปีที่แล้ว +1

    Leo ndiyo naelewa. Nilikuwa najiuliza huyu mbaba Mbona hasomagi biblia jamani. Hana hata aibu. Yaani hayuko kabisa rohoni. Mathew 24 linamhusu

  • @Reginajohnson19884
    @Reginajohnson19884 ปีที่แล้ว

    Huyu nabii anawaleta wengi kuzimu akuna mtu anaetembeza pesa ovyo

  • @maenduthuleo4503
    @maenduthuleo4503 10 หลายเดือนก่อน

    Nataman sikumoja uje kanisan kwetu tutafurai kuku pata mgen kamawewe

  • @hurumalunda2490
    @hurumalunda2490 ปีที่แล้ว

    🙏🙏

  • @mollyawuor6192
    @mollyawuor6192 ปีที่แล้ว

    Biblia limebeba maneno ya uzima nadhani kenye Iko ni viongozi wenye wanaongoza kutafsiri Biblia Dunia,Kuna maneno zingine waliondoa

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว

    Omg!

  • @ShedrackLema-te2mu
    @ShedrackLema-te2mu ปีที่แล้ว

    Ukweli maubiri yako yanafundisha ukweli mungu amekujenga juuyamwamba autatikisika wajie maaduy zako watashindana nawwe lakini awatakushinda

  • @imakubari-ko8du
    @imakubari-ko8du ปีที่แล้ว

    Watu wamefungwaa na mwiri wa kondoo

  • @nsumbumakala6905
    @nsumbumakala6905 ปีที่แล้ว

    Wewe Cassian ulikuwa bongo seshi juzi tu nikakupigia nakula kwa bidii hadi ukapita kumbe shetani kabisa lichawi likubwa unamtukana Nabii mkuu MTU aliye teuliwa naMungu leo wewe unajidal kuwa wewe ndo unahaki mbele za Mungu kwenda zako Acha kujifanya kama ndo una mbingu zakuwapeleka watu kwenda zako umeshindwa kuhubili neno unabaki kuwasema watumishi wewe unaukweli gani? Mpumbavu kabisa kichaa kabisa peleeka

    • @emmanuelkube449
      @emmanuelkube449 ปีที่แล้ว

      Kwan we nae umepew gari, naona unatetea mashetan hao, acha atimize wito wake tatizo nyinyi njaa zenu zitawapeleka moton mtafuten Mung wa kwel co wa kugawa hela mazabahun

  • @1stnews283
    @1stnews283 ปีที่แล้ว

    Nabii ajaongea baya amesema kwa facts....kulingana na wakati, utawala na geography za wakati huo

    • @apollokidakule-vg3lz
      @apollokidakule-vg3lz ปีที่แล้ว +1

      Hujaelewa vizuri msikilize vizuri uelewe

    • @williammasesya2363
      @williammasesya2363 ปีที่แล้ว +1

      Nyakati za mwisho shetani anafanya kazi Kwa uwazi ili mtu achague njia ya kweli au ya uongo ili haki ya Mungu ijulikane atakapohukumu Kwa haki mtu asije skalaumu Mtumishi wa Mungu Alie Hai yaani Yesu Christo endelea kusema kweli Amina Mtumishi wa Bwana Yesu Christo

    • @1stnews283
      @1stnews283 ปีที่แล้ว

      @@apollokidakule-vg3lz Nimsikilize nini ....ivi ushaona waislamu wanalumbana kama sisi wakristo, kila siku mada zake hizi hizi anatafuta kik ...kuweni wajanja kama mataifa

    • @apollokidakule-vg3lz
      @apollokidakule-vg3lz ปีที่แล้ว +1

      Hawezi kupinga biblia akasema yeye ndio nabii amesimama msingi upi akajikuta nabii mkuu wakati amepinga neno

    • @chritinaphilip7439
      @chritinaphilip7439 ปีที่แล้ว +1

      ​@@1stnews283😂😂😂jaman wewe Bwana akusaidie

  • @noelmtumishi7895
    @noelmtumishi7895 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @tamoneeliya5033
    @tamoneeliya5033 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @lovenessvedastus8477
    @lovenessvedastus8477 ปีที่แล้ว +1

    Amina

    • @berhamyegela1787
      @berhamyegela1787 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe mt usiogope.onya .karipia.kemea

    • @selestinamranda3512
      @selestinamranda3512 ปีที่แล้ว

      BARIKIWA MTUMISHI WA JEHOVA,HII NDIO INJILI YA KWELI ,UNALISHA WATU MAZIWA YASIYOGHOSHIWA,YESU FUNGUA WATU WAKO

  • @danielwekesa577
    @danielwekesa577 ปีที่แล้ว +1

    Amina