SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA WAIBIKA HAZARANI EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • #call0688199370 #0766998994 #watsp_status #0788871769#

ความคิดเห็น • 527

  • @MussaJulius-vy9ks
    @MussaJulius-vy9ks 3 หลายเดือนก่อน +3

    Pastor pascal naamini unacho kiubiri ni ukweli mtupu ila wasio amini uongeacho ni wenye akili ndogo sana ila naamn upo kwenye wakati wa kututoa kwenye njia mbaya unatuelekeza njia iliyo streat line naamn ktk nguvu ya mwenyezi Mungu ww ni mtu wa kipekee sana ktk uso wa anga la dunia watu kama ww ni nadra sana kutokea duniani ama kwel ❤❤ mwenyezi Mungu yupo upande wako pia hawezi kukutupa, ila sisi wanadamu ndiyo inatakiwa tuelewe ni wakat ambao ni finyu sana kwa sasa pia Mwenyezi Mungu akujalie awe nawe🙏🙏🙏🙏

  • @mercymamuya7844
    @mercymamuya7844 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akutunze, akulinde . Sema kweli na kweli itakuweka
    Huru. Hiyo ni sauti ya mtu aliye nyikani, tengenezeni njia ya Bwana.,hallelujah ❤huwa nabarikiwa sana kila Nikikusikiliza.. Barkiwa zaidi.

  • @benithomligo9074
    @benithomligo9074 ปีที่แล้ว +6

    Amen mtumishi wa MUNGU,, Naamini MUNGU Yuko upande wako. Lakin MUNGU amekuzingila kwa moto pande zote, Shetani anapigana na wewe koto kote uendako akitafuta namna ya kkuangamiza, lakin MUNGU Yuko pamoja nawe,. Usiogopee maneno Yao na vitisho vyao ,, nilazima iwe hivyo, tangu zaman za manabii na mitume ilikua hivyo, lakin hawakujari maisha Yao hata kufa ,, walimtazamia MUNGU pekee ,, wapo mitume na manabii wa kweli. Ila hawapo bado ila ipo siku MUNGU atawainu hakika ni heri tukanena ya kua wewe ni nabi au mtume kuliko hao wanao jiita manabii na mitume, paza sauti usinyamaze mtumishi,, Sauti ya mtu aliaye nyikani

  • @CelestinoAntonio-jv7ch
    @CelestinoAntonio-jv7ch 11 หลายเดือนก่อน +4

    Nipo Moçambique laki sijuwi vizury kishuaili laki mungu anasaidia sana nakupenda pastor pascoal Cassiano jina lako nimeadika kwenye kireno

  • @cristianoprincegabrielles3951
    @cristianoprincegabrielles3951 ปีที่แล้ว +4

    Ubiri Kabisa Man Of God Cassian.... Ukweli utawaeka Watu wa Mungu Huru...
    Nae Bwana Mungu Wa Majeshi atakupigania

  • @fedhajoseph7687
    @fedhajoseph7687 ปีที่แล้ว +3

    Amina kengele ya Bwana Yesu kristo aliye hai Mungu anayo sababu yakukuokowa mtumishi damu ya Yesu kristo ikufunike .

  • @fredymghamba535
    @fredymghamba535 ปีที่แล้ว +5

    God bless you mtumish , sasa waambie na wale wanaowabatiza watoto

  • @njunisamweli2410
    @njunisamweli2410 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubaliki Sana na azidi kuku ongezea ulizi wa kiroho azidi kuku tia nguvu pasipo uwepo wa Mungu hiyo kazi ni ngum

  • @adophine1063
    @adophine1063 ปีที่แล้ว +8

    Amen, Mungu anaonekana ata nyumbani kwako uki amini tu yesu kuwa bwana na mokozi wa maisha yako yote ya nawezekana, na maombi mazuri ni ya wewe mwenyewe.

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 ปีที่แล้ว

      For your understanding Not Bible says that, chanzo Cha Imani Ni kusikia, na kusikia huja kwa Neno la Kristo, hapo lazima uhubiriwe,uongozwe kumpokea Yesu Moyoni,na. Kufundishwa kuishi katika wokovu na Neno la Kristo

    • @jenipherobwolo6735
      @jenipherobwolo6735 ปีที่แล้ว

      Amen, be blessed pastor

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 ปีที่แล้ว

      No lazima uwe na Spiritual father

    • @andrewmmassy5204
      @andrewmmassy5204 ปีที่แล้ว

      But how,baba wa vipi?uwe na uhakika kwamba ni mungu amekuongoza kwamba huyo ndie exactly spiritual father

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 ปีที่แล้ว

      @@andrewmmassy5204 Watu wengi wanafanya Mambo kwa mihemko Yao halafu wanasema Ni Mungu,Wengine wanajiita watumishi wa MUNGU halafu wanatukana na kuwashambulia watumishi Wengine eti kisa Ni matajiri,Ni vizuri kuongozwa na Roho wa MUNGU siyo kuenda kimwili au kidini

  • @roselyneezekiel
    @roselyneezekiel 3 หลายเดือนก่อน

    This massage is so powerful..... Nimekutana na haya lkn kukuskiza Kuna nisaidia Sanaa,,, barikiwa sana mtumishi 🙏

  • @clasclass
    @clasclass ปีที่แล้ว +8

    May God strengthen you, I always believe in every word that comes out of your mouth

  • @saidibaraka931
    @saidibaraka931 ปีที่แล้ว +1

    mungu akubariki sana tu mtumishi na wote ambao wana jitolea kusapoti kazi ya mungu tuna kuhombea sana tu from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @TryphoneGotham
    @TryphoneGotham 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu unanipa nguvu sana

  • @fnono4368
    @fnono4368 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah hallelujah mungu akubariki mutumishi wamungu tunakupenda Sana 🙏🙏🙏🎺🎺🎺

  • @JanetMachuma
    @JanetMachuma 4 หลายเดือนก่อน

    Amen lord anakupenda sana na ninaipenda jinzi unavyo hupiri na nyimbo sako amen song nikulipe nni mungu wangu kwa yaleyode umenidenda

  • @neemamhongole2801
    @neemamhongole2801 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeen ameeeen MTUMISHI WA MUNGU!!Big up!!!MAY THE BLOOD OF JESUS PROTECT YOU FOREVER,!!!AMEEN!

  • @annijulius4953
    @annijulius4953 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu mwenye masikio na asikie Neno ambalo Roho WA Mungu awaambia watu.

  • @lilianwanjala8728
    @lilianwanjala8728 ปีที่แล้ว +1

    Ameen barikiwa mtumishi kwa kutufumbua macho tumekua tukitembea ilihali SS..n..vipofu wanapona..na..visiwi wnaosikia

  • @winnyakoth8431
    @winnyakoth8431 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki sana akufunike nadamu ya YESU

    • @winifridamwasyika5031
      @winifridamwasyika5031 ปีที่แล้ว

      Tena lidondoke neno hata moja ,Nena yote, mtumishi wa kristo

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 2 หลายเดือนก่อน

    Wewemtumishi waMungu Enjiliyako inafikanakupita kwenye nyikazenye nyokawenyesumu kalizenyemiti yenyemiibanawanyamawote hatari amakweli umesimama kinyume nagizanene linalowapeleka kwenye aanguko lakuzimu. UBARIKIWE SANA.MTUMISHI WAMUNGU WAKWELI. HALELUYA.

  • @JohanessJoseph-mq7um
    @JohanessJoseph-mq7um 10 หลายเดือนก่อน

    Ev. MUNGU. Akubariki sana tupo ktk uwanja mmoja tunahubiri injili ya kunawa mikono tusiwe na hatia kwa mda tuliopewa na mungu nakuombea Mungu akurinde.

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 ปีที่แล้ว

    Sema kweli Paschal, yaani wakinamama tutaangamia sana, tunataka miugiza tunamkataa mwenye miujiza amaye ni YESU. Utasikia mimi ni mfuasi wa nabii Dev, mara mi niwamwamposa lakin si wa YESU. Jamani tunaangamia kwa kukosa maarifa.

  • @SteveIlunga-qx8wi
    @SteveIlunga-qx8wi 4 หลายเดือนก่อน

    Am jambon mtumishi wa mungu mkubwa aliye dju, Niko katika intchi ya Congo, nime penda saana mafundisho Yako mungu akulinde umalize kazi zake asante saana .

  • @JoyceRichard-h2g
    @JoyceRichard-h2g ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Bwana ni kwel kabisa Mungu akulinde na akupiganie na akufunike kwa damu yke wasipate nafasi kufanya chochote

  • @niymaedwin4297
    @niymaedwin4297 ปีที่แล้ว +6

    Mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone 🙏🙏🙏

  • @milcentachando1142
    @milcentachando1142 ปีที่แล้ว +39

    Akuna silaha itakayo inuka kenyume chako itakayo faulu,Cassian🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakueka kw maombi mungu akufunike kw damu yake,keep telling the truth ata wakikuchukia n sawa unamungu

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 ปีที่แล้ว +2

      Unajiingiza kwenye LAANA bilà kujua , Pascal Ni muongo kabisa,haujui Maandiko,anatumiwa na shetani kuwashambulia watumishi wa MUNGU,

    • @fatumaekabe8678
      @fatumaekabe8678 ปีที่แล้ว +1

      Kamasio wakweli basi tufanyeje?kamamimi na sumbuliwana hugonjwa wa presha natakanikimbilie hukokwao .sababu natakakupona.

    • @fatumaekabe8678
      @fatumaekabe8678 ปีที่แล้ว +1

      Nahomba msahadawako wamahombi,ilinifunguliwe kwahugonjwa huhu unaho nisumbua.

    • @barakayekonia7468
      @barakayekonia7468 ปีที่แล้ว +2

      @@patsonkyando1732 au na wewe ni mmojawapo ya manabii wa uongo nini,mbona uneguswa na huu ujumbe ndugu yangu

    • @milcentachando1142
      @milcentachando1142 ปีที่แล้ว +2

      @@patsonkyando1732 kaka pole sana kama haya mafunzo yajakugusa sehemu,kwngu Cassian amekua mwalimu wangu kupitia mafundishow yake,akika mm na mmoja wa wale tumefunga safari canani lazima tufiki

  • @phenymanga949
    @phenymanga949 ปีที่แล้ว

    amen man of God.umesema ukweli mtupu.Mungu akubariki sana kwa kusimama na ukweli na kufungua watu wa Mungu macho.may God uplift yuo more en more man of God

  • @Akinyisafi
    @Akinyisafi ปีที่แล้ว +1

    AMEN AMEN AND AMEN 🙏 🙌 HAPO NI UKWELI BROTHER WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAHARIFA BADALA WATU WATAFUTE MUNGU WANATAFUTA MIUJIZA ENDELEA KUTUFUNUA MACHO BROTHER MUNGU AZIDI KUKUTUMIA ZAIDI KWA KUENEZA NENO LAKE LA KWELI AMENA🙏🙏🙏🦶

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 ปีที่แล้ว

      Huwezi kumtafuta na kumpokea Yesu bilà miujiza,Miujiza mkubwa kuliko yote Ni kumpata Yesu

  • @risperkerubo5184
    @risperkerubo5184 17 วันที่ผ่านมา

    AMEN watakao sikia na kuokoka watamuoma mungu amen

  • @mchekesimwangundo496
    @mchekesimwangundo496 ปีที่แล้ว +1

    Cassian Mungu azidi kukutetea umenifunza mengi sana God bless you man of God.

  • @estermataro3961
    @estermataro3961 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki sana mtumishi uko sahihi kabisa 💯

  • @sandrasandrine3027
    @sandrasandrine3027 ปีที่แล้ว +6

    Mtu atakaye ku chukiya wewe ajui uchungu wa injili ya kweli. Lakini kama aidhivyo Mungu uta ishi maisha marefu paka pale ata penda Mungu .

  • @mosimasatu8942
    @mosimasatu8942 ปีที่แล้ว

    sema kweli baba. kwani manabii wa sasa hawasemi kweli na kukemea uovu bali kutabiri fedha na kuuza vitu vinavyohusianishwa na imani katika Kristo Yesu Bwana wetu. Mungu akulinde unapotekeleza wajibu huo

  • @noeleliasi8401
    @noeleliasi8401 ปีที่แล้ว +3

    Amen man of God we are togather..be blessed

  • @Mariamseify
    @Mariamseify ปีที่แล้ว +2

    Amen amen amen 🙏 from Kenya

  • @mosessilvester7962
    @mosessilvester7962 ปีที่แล้ว +1

    Pascal MUNGU akuhariki nakuelewa Sana jamaa yangu sijawahi kuona mtumishi anae huburi ukweli Kama huu wengi ni wapiga diri barikiwa mno

  • @bienvenuelepelerin
    @bienvenuelepelerin 4 หลายเดือนก่อน

    Amen nduku yangu Cassian mungu akulinde zaidi ,nimimi nduku yako bienvenue kutokapale Congo

  • @StellaEmanuel-mu5vv
    @StellaEmanuel-mu5vv ปีที่แล้ว

    Ameen Mtumishi wa Bwana sema kweli ya Mungu aliye hai usidaiwe damu ya zao hawasikii wanataka muujiza tuu kuliko kusoma neno Wajue Mungu anatakaje yaani inauma sana😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @pascasiehabiyaremye
    @pascasiehabiyaremye ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa Mungu ubarikiwe Sana .Nilitaka kukukosoa kidogo kwamba Bushiri siyo raia wa Nigeria Bali ni raia wa nchi ya Malawi

  • @laurentbulabo5002
    @laurentbulabo5002 2 หลายเดือนก่อน

    Roho ya nambii Eliya mmoja wa manambii wa kale,Mungu ameijaza ndani ya mtumishi huyu. Ee Mungu wape macho ya rohoni Watanzani na dunia kwa ujumla wamwelewe mtumishi wako.

  • @kefamsafiri1028
    @kefamsafiri1028 ปีที่แล้ว +6

    Endelea kutangaza ukweli na Mungu azidi kukuinua tunakusapoti 100/ nashetani ashindwe kwa damu ya yesu Amen, niko marekani

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 ปีที่แล้ว

      Unasapoti ujinga wa Pascal kuwashambulia watumishi wa MUNGU,Pole sana

    • @andrewmmassy5204
      @andrewmmassy5204 ปีที่แล้ว

      Mbona wewe ndio wa kupewa pole!!!!???mana hapa ashambulii watumishi. Ngoja nikufundishe kushambulia ni vile kama angewaongelea vibaya kama kuwatukana lakini hapa anahubiri neno kupitia neno la mungu na anasoma vifungu vya neno la mungu ina maana hata kama Kuna nabii ambae alikuwa anatumiwa na shetani bila kujua akisikiliza anabadilika na pia wale waumini ambao wamekamatwa na shetani kupitia manabii wa uongo wakisikia wanafunguka na kuchukua hatua.

  • @rosekemunto660
    @rosekemunto660 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi wa Mungu akulinde. Sana watched from Kenya.

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Baba aendelee kukulinda maana Injili isiyogoshiwa lazima ihubiriwe nyakati hizi za mwisho ili mwenye sikio asikie apone.

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 ปีที่แล้ว

    Amen nabii wa mungu Niko nyuma Yako kwenye behewa Moja kwenye safari ya kuurithi ufalme wa kristo.

  • @elizabethfatuma9053
    @elizabethfatuma9053 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mtumishi wa Mungu Sema ukweli na Ukweli itakuweka uru

  • @SinyinzaMicheal
    @SinyinzaMicheal 3 หลายเดือนก่อน

    Greetings thank God for you, you are right hundred percent. There is a pastor in America his name is Gino Jennings, he preach also what you are preaching.

  • @anethswilla7563
    @anethswilla7563 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU ni mkuu Wala usiwe na Shaka tupo tunaosikia na kupona kwa hayo unayotufundisha BARIKIWA SANA!!🙏🙏

  • @abdusheriffsheriff8557
    @abdusheriffsheriff8557 ปีที่แล้ว +1

    Mungu yuko mlele na milele, watakutafute wakitumia kila mbinu zozote ila hawana nguvu kmulko Mungu🙏🙏🙏🙏

  • @MusaChipigo
    @MusaChipigo 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupandishe zaid kwasababu kweli ya mungu inaongelewa sana ila watumishi weng ni waoga wanaogopa kuisema kweli

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 ปีที่แล้ว +2

    Napenda injili yako ila wakristo hatujui Mungu tunayemtumikia hata ukiuliza mlokole Yesu ni nani na Mungu ni nani hana mwao

  • @fabianshigela9315
    @fabianshigela9315 ปีที่แล้ว

    Natamani MUNGU aseme nao hao wanaojiita manabii na wanashududiwa mm natamani jambo litokee sema Namshukuru MUNGU kwa ajili yako unawafikishia ujumbe Nakupenda sana nachukia sana mtu anaye chukua cheo Cha MUNGU aliye Hai anajiita baba kwa watumishi wa MUNGU

  • @geofleyfreenwelluka
    @geofleyfreenwelluka ปีที่แล้ว

    Mtumishi kweli mungu akulinde alafu uyo bushili saizi yako Malawi aliludi kutoka south Africa yupo anatikisa Malawi 🇲🇼 🇲🇼 watu wanamwabudu adi njiani wanapiga magoti kiukweli mungu akutie nguvu atakapo wema ukweli mungu akubaliki sana mtumishi wa bwana sema ukweli tupone

  • @marcos377
    @marcos377 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi, Mwenyezi Mungu ni mkuu atabaki kuwa mkuu je, aonapo watu wake wanateseka na kuhangaika hawezi kumtumia shetani kuwasaidia hao watu?

  • @TuaircachimoNantola-po7oo
    @TuaircachimoNantola-po7oo ปีที่แล้ว

    Amém Deus te abençoe sempre; Amina mungu akubariki kila siku.

  • @helenamandele6711
    @helenamandele6711 ปีที่แล้ว

    Mungu akuwezeshe zaidi na zaidi. Mungu akuponye na kukulinda

  • @williamchina6355
    @williamchina6355 ปีที่แล้ว +1

    Amina Mungu akutie Nguvu mtumishi

  • @DavidKatembo-vs3ve
    @DavidKatembo-vs3ve 9 หลายเดือนก่อน

    Amen, 🙏 Baba.mungu akupe hanja moyowako

  • @furahagiselle1235
    @furahagiselle1235 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi Mungu akubariki🙏🙏🙏🙏

  • @emmanuelmilimo8324
    @emmanuelmilimo8324 ปีที่แล้ว

    Mtumishi paschal unanikumbusha mtume paulo..yale aliopitia ni sawia tu na ya kwako..mungu akutie nguvu

  • @Lithanatural
    @Lithanatural 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu uliyejuu mbinguni hili ni ombi langu mpatie maisha marefu sana huyu mtumishi wako kwa ajili ya neno lako na kazi Yako uliyompatia mlinde dhidi ya ubaya na mitego ya adui

  • @ThomasFabian-it3ij
    @ThomasFabian-it3ij 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika vyote vinapita ila neno LA mungu utimia kwa ktk nyanza tofauti

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤Müñgu akulinde akubariki nabarikiwa mnoo unavofichua zambi

  • @safimwanvua5739
    @safimwanvua5739 ปีที่แล้ว

    Mutumishi wa Mungu ubarikiwe saana Na mafundisho ya nyakati za mwuisho, iZi mafundisho aziikalaka ndani ya makanisa, tuna hubiriwa peke Yake mibaraka ijapokua chetani yeye ha Lali Na watumishi wake kwaku zimisha kanisa la kristo yesu.

  • @petermathias8097
    @petermathias8097 ปีที่แล้ว

    Ahsante mungu akubariki mtumishi wa mungu hakika tuendelee kuusema ukweli wa mungu

  • @rubefabi8366
    @rubefabi8366 ปีที่แล้ว +1

    Mie huwa nashangaa sana TAG Majumbasita Yesu anatenda miujiza bila gharama na ni kwa jina lake tu na watu wakikaribishwa wala hawataki ili wafunguliwe bure.

    • @annastaziamasaka3595
      @annastaziamasaka3595 ปีที่แล้ว +1

      Katika watu aliojisazia BWANA ni pamoja na huyu mzee wangu Mch Moses Magembe.Hanaga longolongo kabisa,yuko straight.

  • @alicebeautiful4114
    @alicebeautiful4114 ปีที่แล้ว +5

    I always pray for you we are together in SPIRIT

    • @joelnzyoki2185
      @joelnzyoki2185 ปีที่แล้ว

      True spiritual man of Christ'be blessed

  • @loserianlaizer
    @loserianlaizer ปีที่แล้ว

    Amen Mungu aachili ulinzi na Mafunuo juu yako.

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda9242 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi,,ubarikiwe na MUNGU

  • @EMMANUELMWASILE-te6gg
    @EMMANUELMWASILE-te6gg ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi wa bwana kwa kuzifunua Siri za kimbingu

  • @pascopaul8726
    @pascopaul8726 ปีที่แล้ว +2

    Yesu akutunze brother

  • @moisekodjo5098
    @moisekodjo5098 ปีที่แล้ว

    Mungu aku teteye katika vita vyote na aku fiche ndani ya damu ya Yesu kristo wanazareti alie hai

  • @valentinechari1546
    @valentinechari1546 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe mtumishi napenda nyimbo unazoimba,mahubiri pia. Mungu azidi kukulinda

  • @kimsi682
    @kimsi682 ปีที่แล้ว

    Endela kusema kweli bila kujali wanasema nini. Mungakulwe riki zaidi na akulinde. Mungu akutie guvu zaidi!

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde na akupiganie endelea kusema ukweli tuko nyuma yako muinjilisti paschal

  • @nillyjos1203
    @nillyjos1203 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen Mungu yupamoja na wewe

  • @godfreymlau4471
    @godfreymlau4471 ปีที่แล้ว +1

    Endelea ndugu yangu, mungu akulinde Sana.

  • @emmanuelkiamba7783
    @emmanuelkiamba7783 ปีที่แล้ว

    Mungu akutumie mtumishi wa Mungu ili watu wajue kweli

  • @DuncanYona-dq5pe
    @DuncanYona-dq5pe ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa mungu ubarikiwe na mungu akuepushe na mishare ya shetan

  • @Spark8Technoo
    @Spark8Technoo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akulinde Baba

  • @Pembe-qm5wi
    @Pembe-qm5wi 8 หลายเดือนก่อน

    ❤ Amen na mungu atuongoze Ahsente

  • @eldakadima-tb2iy
    @eldakadima-tb2iy ปีที่แล้ว

    God bless you my brother,. Eldah kadima

  • @bintmwambapa7734
    @bintmwambapa7734 ปีที่แล้ว

    Damu ya YESU inenayo mema ikufunike Mtumishi wa MUNGU alie hai, Tena akupe maisha malefu uzidi kutufunulia kweri ya YESU Kristo.

  • @RodahAdonice-dz4sm
    @RodahAdonice-dz4sm 5 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe kwa kutufunulia maandiko

  • @giftjohn8198
    @giftjohn8198 ปีที่แล้ว

    Mm uwezi kukosoha Imani nilivyo iamini Kwa kuhani msa

  • @KenedyButita
    @KenedyButita 4 หลายเดือนก่อน

    Nikweli baba mungu aktie nguvu kuisema kweliyake.

  • @stellamutembei7567
    @stellamutembei7567 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana mtumishi kulingana vile unaweka maneno wazi

  • @daudokey6018
    @daudokey6018 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi wa mungu ubarikiwe sana

  • @AmossMsafili
    @AmossMsafili 3 หลายเดือนก่อน

    mungu akuinuwe hapo ulipo uiniliwe zaid😊

  • @AgnessAlly-tx2yx
    @AgnessAlly-tx2yx 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi Mungu akubariki Sana sema Kweli tuwe huru

  • @FanikiwaGideon-mb5yn
    @FanikiwaGideon-mb5yn 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu Yu pamoja nawe akika awezi kukuacha maana umekuwa mfumbuzi wa ubaya wa dunia.

  • @zerakisonga1462
    @zerakisonga1462 ปีที่แล้ว +2

    Hakikaa Mungu akutie nguvu sana daa

  • @KiboMussa
    @KiboMussa 11 หลายเดือนก่อน

    Ameen mtumishi,mungu azidi kukutunza sana

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 9 หลายเดือนก่อน

    Ulimwengu wa roho hutekwa na wenye nguvu! Sasaivi Tunateseka na watoto na jamii nzima UNIOMBEE mtumishi Pascal.

  • @JimmyMwakibete
    @JimmyMwakibete 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu. Akufunike. Akutunze mtumishi. Was. MUNGU

  • @jonhmichael-m6q
    @jonhmichael-m6q 8 หลายเดือนก่อน

    ❤ akina Mungu akutie nguvu na ujasiri

  • @EstaLenatusi-ni5ir
    @EstaLenatusi-ni5ir 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki mtumi wa mungu

  • @honestsoka2650
    @honestsoka2650 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi nashukuru kwa neno.Ila kinachonishangaza hawa manabii mbona wanatumia jina la Yesu???

  • @quintavitalis926
    @quintavitalis926 ปีที่แล้ว

    Tusimuogope yule auae mwili Bali tumuogope auae mwili na Roho , hakuna silaha itainuka juu yako , katika Jina lipitalo majina yote Yesu Kristo

  • @grace-oo1zl
    @grace-oo1zl ปีที่แล้ว

    Sana mtu wa Mungu Muda wao wa kuumbuka umefika wanatukera na miujiza yao ya kipepo

  • @lamecklugodi6472
    @lamecklugodi6472 ปีที่แล้ว

    Wewe liuu mimi pia nasema huyu cassian ni mtumishi wa kweli wa mungu na manabii na mitume ni matapeli