NEW VIDEO NIPO SINGLE NA SUBIRI MKE KUTOKA KWA BWNA EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 97

  • @rachelpetermush
    @rachelpetermush 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera
    Mch

  • @allynashon8373
    @allynashon8373 9 หลายเดือนก่อน +14

    Pole sana mtumishi wa Mungu, uliwahi kusema ajali uliyopata ilikuathiri upande wa mfumo wa uzazi, nikushauri kama bado tatizo lipo deal nalo kwanza.

    • @annaandrea2812
      @annaandrea2812 9 หลายเดือนก่อน +3

      Huuu ni wimbo tu ameimba kwa kufundisha wengine lakini ana mke na watoto

    • @lusogoalbert138
      @lusogoalbert138 9 หลายเดือนก่อน +2

      @@annaandrea2812 mke wake kasepa kamwachia watoto😀🙆

    • @annaandrea2812
      @annaandrea2812 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ahaa kumbe lakini hiyo ni vita ya huduma aliyonayo shetani akikosa kwenye mambo mengine anakuja kwenye familia na yeye alikuwa mke wa mchungaji hakuwa mama mchungaji kwa hiyo anamaamuzi binafsi ya kutenda kama mmataifa

    • @asminmakoha6889
      @asminmakoha6889 9 หลายเดือนก่อน

      Ushawai mjaribu pumbafu ww

    • @monicaelias3801
      @monicaelias3801 5 หลายเดือนก่อน +3

      Ngoja nimsaidie kukujibu / nimjibirishie Mtumishi wa Mungu kama hutojali,mpaka kufikia kufanya maamuzi yakutka mwenza au kuamua kumuomba Mungu mbele ya vyombo hivi vya hadharani ktk Dunia nzima iko hivii, maana yake Mungu aliyemuumba keshakamilisha kila kiungo hapo alipo swara zima nikwamba Mungu Baba ampe ubavu waje wakufanaba na yeye tu na siyo kwamba bado ile shida eti atibiwe kwanza,hapo shida hata haipo vinginevyo asinge omba Mke wakumfaa na kufanana naye coz tayari swara la kiafya Mungu alishamkarabati kitambo . AMINA .

  • @YefthaKornelio
    @YefthaKornelio 9 หลายเดือนก่อน +11

    AMina nimebalikiwa sana ambao bado hatujapata wasaidizi wamaisha yetu mungu atusaidie maana viluka njia ni vingi pande zote m_k_ Ilanaamini mungu iliye sahihi amen❤

    • @SalomeRenatusi
      @SalomeRenatusi 9 หลายเดือนก่อน

      Mimi namsubiri adamu wangu

  • @joycemughogho3773
    @joycemughogho3773 9 วันที่ผ่านมา

    Ila mkeo ndo hajafa utakuwa unazini mungu akusaidie mtumishi

  • @rachelpetermush
    @rachelpetermush 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa wimbo mzuri
    Mtumshi

  • @veroniquegershomu9197
    @veroniquegershomu9197 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe sawasawa na haja ya moyo wako apataye mke apata kitu chema😍🥰

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 9 หลายเดือนก่อน +5

    Usijali Mungu anawo wengi ila anajuwa wakukufanana ❤❤

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 9 หลายเดือนก่อน +10

    Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi, bali mke mwenye busara hutoka kwa Bwana.
    Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Ni Mungu Muumbaji peke yake anayechunguza mioyo.
    Kima chake chapita kima cha marijani. Moyo wa mumewe humwamini, wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, siku zote za maisha yake.
    Mungu akupe hitaji la moyo wako mtumishi, wa kufanana nawe na roho moja na wewe. Bwana amekuadalia ni siku tu haijafika bali siku hiyo haipo mbali.🙏🙏

  • @pascalinamukui8400
    @pascalinamukui8400 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hallelujah ✋ na mungu apokee maombi yako asikie kilio chako kwa jina la yesu atimize tamanio la moyo wako,akupe mke mwema.barikiwa sana🙏

  • @CatherineMkuu
    @CatherineMkuu 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pascal Amka kuna mtego hapo kwenye mapenz......omba sana una vita kubwa.....mkeo muombee, ni mtego huo

  • @MariamIsasa
    @MariamIsasa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka namuomba mungu akupe hitaji la moyo wako

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 9 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU ni mkuu utampata wako yawezekana hakuwa wako unaweza ishi na mwanamke au mwanaume mkazaa watoto kama sio wako huwa ndoa zinasumbua sana pole mtumishi na hongera kuwalea wao watoto mpaka hapo wamekua watoto tumepewa ni zawadi kutoka kwa BWANA wetu hivyo imetupasa kuwatunza MUNGU akubariki

  • @jessemach4459
    @jessemach4459 9 หลายเดือนก่อน +4

    You have a very good voice and using it well.barikiwa sana
    Wimbo mzuri

  • @twambililemwakalasya2768
    @twambililemwakalasya2768 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akutetee na akupe mpenyo mapenzi yake yatimie kwako 🙏

  • @Stimotheo
    @Stimotheo 6 หลายเดือนก่อน

    Nafikiri mchungaji unahitaji kuendelea kumuomba MUNGU, Lakini pia turudi kwenye katiba ya MUNGU (BIBLIA) inasemaje kuhusu wanandoa wanapotengana na wote wawili bado wako hai? Biblia ndiyo mwongozo pekee wa wakristo wote. Pole sana

  • @Kalewa-b5r
    @Kalewa-b5r 9 หลายเดือนก่อน +3

    Amen ..Mungu nipo hapa nasubiria .kwa macho yangu siwezi kutambua.ila ww wajua

  • @nazarenajoseph2695
    @nazarenajoseph2695 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mkeo Yukon wapi mtumishi was Mungu.

  • @monicaelias3801
    @monicaelias3801 5 หลายเดือนก่อน +2

    BWANA AICHUNGUZAYE MIOYO YETU NA VIUNO VYA KILA MMOJA WE2 KILA MMOJA WETU AJUA KILA HAJA YA MIOYO YETU ,NA AWEZAYE KUKUJIBU KABRA YAKUMWOMBA SAWA NA HITAJI LA MOYO WAKO,MKE,MWEMA SHUJAA WAIMANI KAMA YAKO, WAKUFANANA NAWEWE,YUPO TAYARI KABISA MPAKA SASA, KWAAJILI YAKO ila2 BADO KITAMBO KIDOGO SANA BWANA MUNGU ATAKUFUNULIA NINANI WAKUKUFAA NA MWAFANANA NAYE KILA KITU na YEYE ALISHAONYESHWA TAYARI ILA WW TU BADO HAUJAFUMBULIWA MACHO YA ROHONI NA YA MWILINI SOON MUNGU MTAKATIFU ATAKUDHIHIRISHIA UTAKABIDHIWA KITU CHEMA KIROHO NA KIMWILI ILI MPAMBANE KUIINJILISHA NENO LA KWELI NA TOBA YAKWELI ILETAYO ONDOLEO LADHAMBI ZA WALIMWENGU.SONGA MBELE,VUMILIAPO ZAIDI KIDOGO2 UTAMPATA MWENZI WAMAISHA AMBAYE HAUTOJUTA KUPEWA NA BWANA.AMEN.

  • @boniphacesululu5428
    @boniphacesululu5428 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ujue kifo ndo kinatutenganisha ...wewe ni mtumishi wa Mungu kwaiyo waweza omba Mungu amrudishe maana ndio ubavu wako huyo...ukisema kuna mwingine anatoka kwa Bwana unamaanisha huyo uliyekuwa nae alitoka wapi....Ebu tuweni na Iman kuna kipindi Mungu anatupitisha ili tuwe imara kwa majaribu yotee...Hata huyo ajae majaribu ni palepale ndo hii dunia ya sasa tunayoishi.,...Mungu aendelee kusimamia ndoa yako

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mmeanza kuimba wake zenu badala ya kumsifia YESU kumbuka mke wa kwanza ndiye Mungu anatambua mpaka afe ndio uoe vinginevyo jehanamu inakungoja

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 9 หลายเดือนก่อน

      Yani mwenyewe sielewi kabisa

  • @YusterMgeni-qj6do
    @YusterMgeni-qj6do 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen wanajipitisha kinadelila lengo waninyoe nywele nikikosa nguvu wanitoboe macho

  • @bettykimetto4291
    @bettykimetto4291 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mungu amesikia maombi yangu na mapenzi yake yatumizwe

  • @SaraUlaya-is2ch
    @SaraUlaya-is2ch 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mi ningekupenda kweli

  • @SarahKajwaula
    @SarahKajwaula 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema wakati wake ukifika atakupa

  • @IYEGU-p3n
    @IYEGU-p3n 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pole kaka nahsi ulishawahi kusema kuwa umepoteza nguvu za kiume ilakwa wanawake waleo kuvumikia bila tendo miez mi3 tu nishida huyo alie enda muache aende mungu atakupa wakufanana nawewe

  • @TheofridahChigumbi
    @TheofridahChigumbi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupatie itaj i la moyo wako

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts 9 หลายเดือนก่อน +3

    Amen amen amen.mungu atakupa.

  • @LillianNgao-ob1pl
    @LillianNgao-ob1pl 9 หลายเดือนก่อน +1

    Soo painful mtumish pia mm nangoja 19yrs now tangu mumewangu afariki😢

  • @christowajaogha8779
    @christowajaogha8779 9 หลายเดือนก่อน

    Muombe Mungu amrudishe mkeo mlee watoto,alikuvumilia wakati unaumwa ni jaribu hilo

  • @luselose9944
    @luselose9944 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe mke mwema

  • @tyroneduplooy9903
    @tyroneduplooy9903 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mtumishi Mungu akutie nguvu

  • @iradukundabenigne2108
    @iradukundabenigne2108 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi wa Mungu.
    Mungu ajibu maombi yako.

  • @patrickowino7115
    @patrickowino7115 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo wa faraja Amina

  • @CatherineMkuu
    @CatherineMkuu 9 หลายเดือนก่อน

    Pascal kuna mtego hapo

  • @AishaEduardMbwambo-ux2dp
    @AishaEduardMbwambo-ux2dp 8 หลายเดือนก่อน

    Pole kwa kwa mapito ila kwenye uvumilivu kuna baraka kubwa sana mbele yako kwani kwasasa nisawa nazahaba inapitishwa kwenye moto ili itoke safi hivyo mungu atakupa ulie fanana nawe kwani mke mwema anatoka kwa bwana

  • @heritier5119
    @heritier5119 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mapema sana hivi mtumishi

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kila jambo lina jawabu lake, bali kwa maamuzi mema na subira. Cha msingi, ni kuomba dua kwa Mola akupe akili na maarifa ya kuchakua kilicho
    jema na Cha kukupa heri maishani mwako.

  • @imanimwanjoka2671
    @imanimwanjoka2671 9 หลายเดือนก่อน +4

    Yani kila kitu mpaka uweke social media , uwe unatulia

  • @GeorgeCreth
    @GeorgeCreth 8 หลายเดือนก่อน

    Songa mbele kaka na kaz ya Mungu

  • @GeorgeCreth
    @GeorgeCreth 8 หลายเดือนก่อน

    Songa mbele na kaz ya Mungu kaka

  • @MenackJusten-wf4cd
    @MenackJusten-wf4cd 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen kwa wimbo mzuri

  • @gracegodfrey53
    @gracegodfrey53 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe amani

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 9 หลายเดือนก่อน

    Pole mtumishi ni mapito furaha yako ikaribu

  • @SalomeRenatusi
    @SalomeRenatusi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni, pole pia

  • @FaithMueni-tu8hg
    @FaithMueni-tu8hg 8 หลายเดือนก่อน

    May ur Eva who was made from Adam may the Lord bring ur Eva who is made for ur ribs❤❤Wengi kwalia to hv right men's to marry others they're crying for wife's God time is the best patient do pays🙌🙏

  • @janethKamazima
    @janethKamazima 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mtumishi Bwana atakupa usijali

  • @BeatriceYohana-cp8gq
    @BeatriceYohana-cp8gq 9 หลายเดือนก่อน

    Pole cassin yesu ni jibu

  • @mutembeinguthy9865
    @mutembeinguthy9865 9 หลายเดือนก่อน +1

    I'm Single mimi hapa.

  • @furahag3098
    @furahag3098 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @theresekwizerimana4044
    @theresekwizerimana4044 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nikwapa njooni uniwowe🙏🙋

    • @monicaelias3801
      @monicaelias3801 5 หลายเดือนก่อน +1

      Dah! Angalia ijekua ww naye nimiongoni mwaokina derira my dear mwulize Mungu

  • @TitohAmri
    @TitohAmri 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa

  • @machariacate1514
    @machariacate1514 8 หลายเดือนก่อน

    May God here your prayer

  • @esperancekwizera8634
    @esperancekwizera8634 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen

  • @antipamakoye9593
    @antipamakoye9593 9 หลายเดือนก่อน +1

    Cassian bado mapema San, subiri japo mwaka mmoja for now sio sahihi, kaa na Bwana katika kipind hiki , it may affect your ministry

    • @kibonajuhudi4214
      @kibonajuhudi4214 9 หลายเดือนก่อน

      Kwani imekuwaje mbona alikuwa na mke??

  • @annajotham9478
    @annajotham9478 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kisa na mkasa mkeo kukimbia Nini ???? Isiwe ni ww

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 หลายเดือนก่อน

      Akipata ajali akapoteza nguvu za kiume nahisi ndo tatizo 😊

  • @chelulenaomi5635
    @chelulenaomi5635 9 หลายเดือนก่อน

    God's will will be done

  • @SilviaRafael-mc5ki
    @SilviaRafael-mc5ki 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ingekuwa nabii au mtume limekuta lingehubiriwa mwaka ila kwa sababu ni mtumish wamungu mtakatif kuliko wote tuseme tu bwana yesu asifiwe jaman

    • @felisterandrew8741
      @felisterandrew8741 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mtakatifu kuliko?

    • @osanamgallah4297
      @osanamgallah4297 9 หลายเดือนก่อน +3

      We limbukeni kama huna Cha kuandika tulia aliwahi SEMA wapi yy ni mtakatifu kuliko wote ..ww nao miongoni mwa walipofushwa macho na hao manabij na mitume wa kuzimu ..hujielewi kabisa

    • @SilviaRafael-mc5ki
      @SilviaRafael-mc5ki 9 หลายเดือนก่อน

      @@osanamgallah4297 huo ulimbuken anao mchungaji wako ameshindwa kuangalia ndoa yake anashinda anahubiri wenzie kaachika sasa

    • @SilviaRafael-mc5ki
      @SilviaRafael-mc5ki 9 หลายเดือนก่อน

      @@felisterandrew8741 wote

    • @agnessima5032
      @agnessima5032 9 หลายเดือนก่อน

      ​@felisterandrew8741 eti kuliko wote..😮😅😅hatari sana..mtu anahukumu kabisa yaani duh😢

  • @MichelNdahoza
    @MichelNdahoza 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @rabiamenshoo1988
    @rabiamenshoo1988 9 หลายเดือนก่อน +1

    Inawezekana ameshindwa kukuvumilia kutokana na itikadi zako za ujuaji wa kila kitu, kama aliweza kukuvumilia ulivyokuwa unaumwa na wewe ukakiri imeshindikana vp sasa,, Huwezi jua yawezekana ni majibu ya hao watumishi unaowatukana humu kila siku. Wao pia wana Mungu na wapo kwa kusudi la Mungu hakuna aliyejileta.

  • @lucyachieng2831
    @lucyachieng2831 9 หลายเดือนก่อน

    wafilipi 4:5

  • @Ms-TV-247
    @Ms-TV-247 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mke amekufa ndio uko single unatafuta

    • @monicaelias3801
      @monicaelias3801 5 หลายเดือนก่อน

      Kiukweli hajafa ila alishatembea zake

  • @adamsonmarugumwanyumba6847
    @adamsonmarugumwanyumba6847 9 หลายเดือนก่อน +2

    😮😮😮?

  • @annann2721
    @annann2721 9 หลายเดือนก่อน +1

    Am also single xo we can mingle 🎉

  • @benardcharo4332
    @benardcharo4332 9 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @TheofridahChigumbi
    @TheofridahChigumbi 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupatie itaj i la moyo wako

  • @TheofridahChigumbi
    @TheofridahChigumbi 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupatie itaj i la moyo wako

  • @TheofridahChigumbi
    @TheofridahChigumbi 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupatie itaj i la moyo wako