MZEE WA GENGE LISILO NA MUUZAJI "SIO UCHAWI ILA WALIONIIBIA WALIRUDI WENYEWE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 105

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 5 ปีที่แล้ว +20

    Hongera mzee,lakini hebu njoo fungua genge Tandale halafu upime nguvu yako. 😁😁

    • @khadeejaabdullah7083
      @khadeejaabdullah7083 5 ปีที่แล้ว +2

      Hahahaaaa

    • @frankgeorge9371
      @frankgeorge9371 5 ปีที่แล้ว +1

      kweli isee njoo ufungue dukq kigamboni

    • @mcheshcomedy5809
      @mcheshcomedy5809 4 ปีที่แล้ว

      Tena watu WA Dar ndo mtakufa haraka!!!🙄 Hamna kinga🙄🤔😀

    • @dullyyesu9036
      @dullyyesu9036 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @goodluckmacha3740
    @goodluckmacha3740 5 ปีที่แล้ว +9

    Nimejifunza uvumilivu, na kuchapa kazi kwa bidii

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 5 ปีที่แล้ว +11

    Kula Mali ya mtu bure,,, kwakweli siyo vizuri

  • @kiissrajabu964
    @kiissrajabu964 5 ปีที่แล้ว +7

    We unasaliii...???
    Jibu
    Vibaya mnoo .😂😂😂

  • @nickkaguli1517
    @nickkaguli1517 5 ปีที่แล้ว +2

    Hatar umetisha mzee kama VP uje ufungue kagenge kengine kitaan kwet

  • @amanzitv
    @amanzitv 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mzee ni noma huyu ndo mwafrika halisi

  • @mimiwewe3547
    @mimiwewe3547 4 ปีที่แล้ว +1

    Agekuwa ni dereva wa lori agepata ajali____ mizimu haiwezi ua watu wengi😂🚶🚶🚶

  • @africatoday861
    @africatoday861 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama umeona nywele za milard ni za kisomali gonga like . Chalii ya r ni msomali.😂

    • @raheemamkambha6013
      @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว

      Chotara wa kisukuma na mmeru huyo🤣🤣🤣

    • @lizzybahati9833
      @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว

      Dah 🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @allexlunny7795
    @allexlunny7795 5 ปีที่แล้ว +1

    Vijana wanalalamika kazi mzee anachapa kazi adi leo

  • @ChichiIbrahim-n6w
    @ChichiIbrahim-n6w ปีที่แล้ว

    Kuna siku milad ulienda marekan ukaenda sheli ukajiekea mafuta mwenyewe bila mhudumu hio nimarekan namba 2

  • @jameskimanikamau6428
    @jameskimanikamau6428 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuja Kenya ata birika itaibiwa

  • @tazamatankfarm9759
    @tazamatankfarm9759 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtalii umeua eti Uzuri wa mke matunzo tupulihe veyaa

  • @ezekielbuluba3940
    @ezekielbuluba3940 5 ปีที่แล้ว

    kuna kitu nimejifunza kwa huyu mzee kua huwezi kuwachanganya mbuzi na kondoo wote wakawa kitu kimoja hata siku moja manaake ni kuna mpiga kazi na mvivu unapolazimisha vikuindi manaake unalazimisha mbuzi kua kondoo kitu ambacho hakiwezekan watoa mikopo wangalie tu huyu mtu yukoje basi na kila mtu afe na chake bidii ya mtu binafsi ndio itakayotoa matunda na si kikundi cha watu.... japo umoja ni nguvu

  • @anthonyibrahimu8389
    @anthonyibrahimu8389 4 ปีที่แล้ว +1

    Noma Millard

  • @shadyshadee8966
    @shadyshadee8966 3 ปีที่แล้ว

    Sifa ya genge Hilo Ni kutohama Kwani hapo be lilipo kuna mizimu

  • @mimiwewe3547
    @mimiwewe3547 4 ปีที่แล้ว

    Haaya basi mzee aliuza asali na miti akanunua gari ya milioni 27, napita tu sina ubaya

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 2 ปีที่แล้ว

    Njoo Nairobi Babu tafathali

  • @twahaabdalla2304
    @twahaabdalla2304 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama umeona chupa ya plastic inawekewa kiza gonga like

  • @babieangel2019
    @babieangel2019 5 ปีที่แล้ว +2

    Number ya hyo mzee please

  • @babieangel2019
    @babieangel2019 5 ปีที่แล้ว +1

    Ntumieni jamani

  • @tazamatankfarm9759
    @tazamatankfarm9759 5 ปีที่แล้ว

    Mitaa ya huko Njombe hilo la Mkalihindonga halijulikani sana sema MTALII unampata ni mpambanaji hatari nilimwambia aje aweke Kariakoo birika yake aone alicheka anajua wabongo hahahahaaaaa

    • @agathakogo4569
      @agathakogo4569 4 ปีที่แล้ว

      naomba number yake please

    • @saramabena3392
      @saramabena3392 2 ปีที่แล้ว

      @@agathakogo4569 naomba unisaidie namba zahuyu mzee my kama ulipata

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +1

    Eee🤣🤣🤣🙄🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @siwemamichael690
    @siwemamichael690 5 ปีที่แล้ว +3

    Babu kumbe unagari kabisa tafadhari naomba unioe tu nitakupenda sana

    • @khadijambaruku2491
      @khadijambaruku2491 5 ปีที่แล้ว +1

      0716599768 piga hyo

    • @suleymansaid9301
      @suleymansaid9301 5 ปีที่แล้ว

      Siwema Michael ntumie namba yako basi rafik we unaish mkoa gan?

    • @agathakogo4569
      @agathakogo4569 4 ปีที่แล้ว

      @@khadijambaruku2491 hii number ya huyu mzee?

    • @agathakogo4569
      @agathakogo4569 4 ปีที่แล้ว

      @@khadijambaruku2491 hii number ya huyu mzee

  • @glodynkondo9800
    @glodynkondo9800 2 ปีที่แล้ว

    uyu mzee ametisha sana

  • @siwemamichael690
    @siwemamichael690 5 ปีที่แล้ว +1

    Natamani ungekuwa mumewangu mwanaume akinichukua asiponilipa akomeshwe

  • @lilianmoshi2245
    @lilianmoshi2245 4 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya CM ya babu

  • @diti4899
    @diti4899 5 ปีที่แล้ว +2

    huyu mzee si wamkabidhi benki kuu alinde

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 10 หลายเดือนก่อน

    Duhhh

  • @mohameda.i.baranyikwa6551
    @mohameda.i.baranyikwa6551 4 ปีที่แล้ว +1

    Millard Ahsante kwa kuwatembelea walemavu. Mimi nilisikitishwa na mchango wake kwa nchi lakini nchji kamsahau. Tafadhali nitumie number ya simu ya mze huu kwenye mzalendo3@gmail.com. Ahsante.

  • @flowinkilangira1545
    @flowinkilangira1545 5 ปีที่แล้ว

    Hahaha mzee mtalikidongo.. Duh Mzee anadhibiti wezi wakati yeye mwenyewe alikuwa ni bonge la wakaba ngeta. 😃😃😃 dingi ni balaa. Watu wa njombe wanamjua vizuri sana huyu dingirai,eti sjawah kubeba kitu cha mtu bila idhini.. Mungu anakuona mzee.. Sema Uzee tu sasa umeamua kutulia.

  • @marianachristophory4916
    @marianachristophory4916 3 ปีที่แล้ว

    Nataka mnielekeze jamani

  • @saudambinga3832
    @saudambinga3832 5 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba namba ya simu

    • @daudyunus1232
      @daudyunus1232 5 ปีที่แล้ว

      0654199010 plz naomba urafik na ww

  • @robbyissack8575
    @robbyissack8575 5 ปีที่แล้ว

    Vijana tuchape kazi

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 4 ปีที่แล้ว

      robby issack . Ndio Maana yake, ushambiwa Usiibe hata katika amri 10 za Muumba.

  • @florambwambombwambo1322
    @florambwambombwambo1322 5 ปีที่แล้ว

    Mzee tubu sana

    • @magymagy2156
      @magymagy2156 5 ปีที่แล้ว +1

      Umeona eeeeeeeh 🤔🤔🤔🙄🙄

    • @lecianhope60
      @lecianhope60 2 ปีที่แล้ว

      Wapi pameadikwa uibie mwezako ,,,dini potovu ,,,kosa ni kutafuta chako kilichoibwa?

  • @innocenttemu02
    @innocenttemu02 ปีที่แล้ว

    Namba yake mbona huja mwambia

  • @josephnjeno2582
    @josephnjeno2582 5 ปีที่แล้ว +2

    Hii post imerudiwa

  • @lulumalima7814
    @lulumalima7814 4 ปีที่แล้ว

    Du Milan naomba nmb za huyo baba nimependa staili yake

  • @leonardmdegela4258
    @leonardmdegela4258 5 ปีที่แล้ว

    Naijua kabra ianguke ilikata propela

  • @marychewe10
    @marychewe10 3 ปีที่แล้ว

    naomba namba zahuyo babu

  • @leonardmdegela4258
    @leonardmdegela4258 5 ปีที่แล้ว +2

    Milad heshima kwako bro

    • @hafidhmoi
      @hafidhmoi 5 ปีที่แล้ว +1

      Milard nakukubali sanaaa.

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 4 ปีที่แล้ว

    Kma huyjui kusoma

  • @khamistano4848
    @khamistano4848 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo kiboko

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 5 ปีที่แล้ว

    Hiyo dawa una faa aisee mi naitaka ya namna hiyo

  • @ليلىفاكي-ش2ش
    @ليلىفاكي-ش2ش 5 ปีที่แล้ว +3

    Milad bonge LA handsome I love you

    • @raheemamkambha6013
      @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว

      @@matysamwel8592 acha wivu bwana

    • @raheemamkambha6013
      @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว

      @@matysamwel8592 kizuri ni kile kinachopendeza macho ya mtu sio lazima kila mtu akipende

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 4 ปีที่แล้ว

    Mambo

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣

  • @samwelmadaraka1521
    @samwelmadaraka1521 5 ปีที่แล้ว

    Mzee nipe number zako

  • @richardedwin118
    @richardedwin118 5 ปีที่แล้ว

    Ayo umeona uvue kofia ucje ukazruka

  • @elizabethleonard6568
    @elizabethleonard6568 ปีที่แล้ว

    Nina mpataje

  • @benajra3374
    @benajra3374 5 ปีที่แล้ว +2

    Namtafuta huyu mzee yuko wap😀😀😀

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 5 ปีที่แล้ว +1

    Eti tangu afungue hilo genge hajawahi kufunga hatari sana

  • @kiissrajabu964
    @kiissrajabu964 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha mzee mtata atariii daah

  • @petersume2780
    @petersume2780 5 ปีที่แล้ว

    mbona habari ya zamani , milard ayo vipi

    • @flowinkilangira1545
      @flowinkilangira1545 5 ปีที่แล้ว

      Ni kipande kilichobaki nadhan. Coz yale mahojiano mengne niliyaoskiliza. Ila mzee mpiga ngeta huyu hatari.

    • @mariamfaki1166
      @mariamfaki1166 5 ปีที่แล้ว

      Siku izi anarudia sana story

  • @leonardmdegela4258
    @leonardmdegela4258 5 ปีที่แล้ว +1

    poa

  • @sammangwana4523
    @sammangwana4523 5 ปีที่แล้ว

    Mbona hamsemi uyu mzee yuko wapi, naona yuko kandokando ya barabara

  • @givoncekiwelu1896
    @givoncekiwelu1896 5 ปีที่แล้ว

    Mhh

  • @danikiswaga5110
    @danikiswaga5110 5 ปีที่แล้ว

    kaka huyo mzee namufaham San shamba langu riko karibuna dalajani hapo

    • @agathakogo4569
      @agathakogo4569 4 ปีที่แล้ว

      nielekeze kwa huyu mzee

    • @wasalimie11
      @wasalimie11 4 ปีที่แล้ว

      yupo hai

    • @dorahkaruma9299
      @dorahkaruma9299 3 ปีที่แล้ว

      Nielekeze kwake tafadhali

    • @saramabena3392
      @saramabena3392 2 ปีที่แล้ว

      naomba namba ya huyu mzee tafazali

    • @saramabena3392
      @saramabena3392 2 ปีที่แล้ว

      @@dorahkaruma9299 naomba unisaidie namba zahuyu mzee kama umepewa

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 5 ปีที่แล้ว

    Millard mbona unarudia story matangazo?

  • @tevintevin1884
    @tevintevin1884 5 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndio dini inaitwa African traditional religion na sio uchawi na huu ndio uafrica