Kazi nzuri mungu amsaidie mkuu wakoa azidi kukomesha uo ushetani kwanza udhinifu ni zambi pia unaweza kufa pia kwa magonjwa ya zina ukimwi ubakaji sio tija baka upelekwegerezani uko pia watalipwa wabakaji kwa wabakaji wenzao muheshimiwa nakupongeza kwa kazi nzuri
ndo palivyo asa hapo mnalalaje hamna kitanda wala godogo au mmevitoa mana naona kama kuna makondom hapo alafu wakaka na wababa wazur me nkajua mateja ndo sanaenda kujinunulia kumbe had vijana wazur kabsa
Huyu kijana na vijana wa aina hii watafutiwe msaada wa kisaikolojia, anataka amiliki mwanamke ye kama nani, hafai kuoa mwanamke yeyote ajitafute kwanza
Mkimaliza kuyafanya hayo muataftie na ajila mana wengine siokama wanapenda ila changamoto za maisha wakati mwengine zinachangia kwaiyo kuna umuhimu wakuwaangalia kwajicho la pili.
Ahsante kaka kwa kuwa mkweli, Mungu akupe mke mwema kwenye maisha yako
Kazi nzuri mungu amsaidie mkuu wakoa azidi kukomesha uo ushetani kwanza udhinifu ni zambi pia unaweza kufa pia kwa magonjwa ya zina ukimwi ubakaji sio tija baka upelekwegerezani uko pia watalipwa wabakaji kwa wabakaji wenzao muheshimiwa nakupongeza kwa kazi nzuri
Uko sawa Mkuu wa Mkoa. Una hofu Mungu
Jamani ee oeni mwogopeni Muumba wetu.
Love the guy in the background. Nice adlibs hahaha
Yani sehemu chafu hivyo kunaraha gani 😢😢
Kubabeki eti wanaume wote wengine hatujawai kuja huko 😁😁😁
Wewe utakua ubwabwa😂
Kweli kabisa
😂Uongoo we ushapita huko
😅😅😅😅
Hii bongo Bora mm tu nilikuwa natafuna baada ya kupima 😂😂😂 , Ila huyu Mzee wa Hatuwaoni Tena ni kiboko 😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
Sweet melodies ever
Kama walikua ni majini basi walikua wanachukua hadi akili zao wanachokiongea wanavijua wenyewe....🤣🤣🤣🤣
Kwahy iyo sehemu ina kuwaje???
Haho hao ndo wanunuzi pia huyo.mama amehuliza swali lake lakini haujajbu ipaswavyo 😂😂😂
Kijana unashuka viwango unanunua mwanamke 2000 unatafuta nin apo😢😢😢
😂utelezi kaka Utamu wa pipi mate
Alieona jini apo dirishani kwa ndani alete mrejesho 😂😂😂😂😂
Tunakuomba jamni njoo na Arusha Hili lifanyike Tanzania nzima
Eeeeh haaaa hadi mkopo unapewa😂😂😂
Eti anakukopesha😂😂
Jmn kak anatamn kuoa ila wanawake hawatulii
kwakweli wanakela sn 😭
Hata kama ninjaa ndo iwe buku mbili😅 ctaki
Acha uongo mimi sijaingia hapo.
Nyie mnadindishaga kwel
Ww ni muuzaj number moja
Kaka nimekupenda buuree
Umesema Kweli Kabisa Uko Wanaume Wengi Ndio Wanazamia Uko Lakini Ukweli Wengi Majini Watu Wavunje
Mimi naomba nisaidie mtu Mmoja Kumpatia mtaji ,mkuu wa mkoa naomba MAELEKEZO ya kufika ofisin kwako
Mbakaji Ni mbakaji tu😅
ndo palivyo asa hapo mnalalaje hamna kitanda wala godogo au mmevitoa mana naona kama kuna makondom hapo alafu wakaka na wababa wazur me nkajua mateja ndo sanaenda kujinunulia kumbe had vijana wazur kabsa
Mmeshabeba ukimwi nendeni mkameze dawa lnaenda kuoa nini mwili umeshaoza na ukimwi subiri pempasi
Eti atuwaoni Tena jaman
tutauwa mbooo kwakupiga nyeto mwakahuuu
Jamani Tunakuomba na Arusha Mje
Hahahahahahaha😂😂😂😂😂😂 ndo mkome nyau nyie mtalala mpaka na mandondocha jinga nyie😂😂😂
Mtu akibakwa au kufirwa kafirwa tu itabaki alifirwa ila mfilaji au mbakaji kafungwa 😂 tii Sheria bila shuluti
Hahahaaaa
Dangulo chafu. Lina wenyewe si kila mwanaume
afadhali ya manzese
Moto wa Allah unawasubiri,mushapindukia mipaka
Huyu kijana na vijana wa aina hii watafutiwe msaada wa kisaikolojia, anataka amiliki mwanamke ye kama nani, hafai kuoa mwanamke yeyote ajitafute kwanza
Naombeni mnifahamishe Kati ya Mwanamke anaye danga na mwanamke anaye jiuza
Apo saf
Pachafu sana aaallafu maradhi mengi tabu kwweli mambo yahovyo
Wamehamia online
tatizo mnawaendekeza tu,sasa iyo kuma au choo cha public
Hilo danguro lipo hapo toka 1970
Alikua anapita kwa Dada zake mala moja moja kwa dada zake..🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Kumbe kuna mkopo tena
Video
Uyo mdada na yeye yupo kwenye iyo iyo ya kutoana upwiru kwa awamum😂😂😂 pia na yeye ni mbakaji 😂😂
Mm cjawahi fanya ujinga huo
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
eti ko atuwaoni tena😂😂😂
Aah wapi😂😂
Vijana mnasapot halakati za dadazao
Sio wote bwana watu wapo wanaojiheshim kabisa
Kwan wanao nunua wanawake awajaowa Nan kasema
Kijana mtanashati hawez kuingia humo,
Maswali ya Mama nipepo
😂😂😂😂
Hivi hao wanaume wanaokili kuwa walikuwa wanashiriki wanajua kuwa wanarekodiwa na camera? Je hawana gamilia au ndugu na jamaa? Maana ni aibu
Ila mngewastri wakaka nyuso zao
Za kusitiriwa ni nyeti na sio nyuso
Moshi mfike
Mungu atunusuru nambo ayo nihatari sana uchafu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkimaliza kuyafanya hayo muataftie na ajila mana wengine siokama wanapenda ila changamoto za maisha wakati mwengine zinachangia kwaiyo kuna umuhimu wakuwaangalia kwajicho la pili.
Ujingahuo. Unamuoanani sasa kwa wanawake wa dar
Unamhoji mpererezi!? Hhhhh
Nani Mpererezi
Aaah mmetuua na upwiru walah😢
Waende Mafiati Mbeya pia
Pale pameozaaa
@@wemakingdaily1462 Kabisa Swahiba Vijana hawataki kuoa Kwa sababu wanakidhi haja zao Kwa muda mfupi