SIKIA MAOMBI YETU (Uvuke Kwaya DCT)

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 16

  • @giriadbirusha7006
    @giriadbirusha7006 2 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni Wanakwaya wa Uvuke Dodoma, ama kweli ni kipindi cha Kwaresma.

  • @lailajeremia1259
    @lailajeremia1259 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuli sana mbalikiwe sana watumishi wa Mungu 🙏Amen

  • @Usxznt
    @Usxznt 2 ปีที่แล้ว

    asante wapendwa kwa ujumbe mzuri na wibo mmeutendea haki Mungu azidi kuwainua viwango vya juu.

  • @neemaashery2142
    @neemaashery2142 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri Sana nimebarikiwa...

  • @kedmondjuma9947
    @kedmondjuma9947 2 ปีที่แล้ว

    Namuona mama wa nampenda Yesu

  • @georgemzuli3422
    @georgemzuli3422 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo moja mzuri sana

  • @nyemosoul1581
    @nyemosoul1581 2 ปีที่แล้ว

    Doooooh nimotoo sana 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @samweldaudi545
    @samweldaudi545 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Kwa ujumbe

  • @imanis4992
    @imanis4992 2 ปีที่แล้ว

    Kazi yenu njema sana

  • @juniormichael6989
    @juniormichael6989 ปีที่แล้ว

    Mmeonesha ukongwe wenu uvuke mbarikiwe

  • @christinajames2620
    @christinajames2620 2 ปีที่แล้ว

    Kama mama Kama huyu anaimba vizuri.mimi binti bado najibana,Mungu awabariki Sana,kupitia hiii kwaya naenda kubadilika

    • @Usxznt
      @Usxznt 2 ปีที่แล้ว +1

      Amen, Mungu akutendee kwa kadri ya haja ya moyo wako.

  • @nicolousmwakalengela2258
    @nicolousmwakalengela2258 8 หลายเดือนก่อน

    Kwaya Inaimba Hadi inafika Wakati natamani ningekuwa Mwanakwaya ( UVUKE)

  • @elkanamtangoo9768
    @elkanamtangoo9768 2 ปีที่แล้ว

    💪🔥🔥🔥

  • @rebeccasanga7029
    @rebeccasanga7029 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @mgayaneema3076
    @mgayaneema3076 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kwauinjilishaji