UHIMIDIWE - Kwaya ya Mt. Andrea Anglican Msalato [OFFICIAL VIDEO]
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Song: UHIMIDIWE
Artist: KWAYA YA MTAKATIFU ANDREA ANGLICAN MSALATO
Album: NAYAONA MAONO
Director: NOEL CHIWANGA (Dir. Mac)
GIGAPIXEL IMAGE PRODUCTION
Contacts: +255 754 406 757/+255 653 406 757
E-mail: chiwanganoel@gmail.com
Bado niko hapa. Sijaondoka hata. Uhimidiwe Baba. Ndugu Benard kutoka magharibi mwa Kenya.
Muwaha yalumbwe napenda huduma Zenu wana dom wenzangu
Mungu awainue hii nyimbo ukiisikiliza katika roho ina kitu
Mungu ambariki mwalim aliye andika hii nyimbo pia arechiment ya mziki iko vizuri sana.
Fahari kwa mungu wetu pia nyie ni fahari ya Dodoma na ni fahati ya kanisa la mt Andrea msalato.
Napenda kwaya ya mt. Andrea Msalato Dodoma. Napenda hao waimbaji sana. Hata kama niko maelfu ya kilomita nyingi huku magharibi mwa Kenya, roho yangu ipo karibu na hao waimbaji. Mungu na awabariki sana tena sana. Mpendwa wenu katika kristo Benard Chinua.
Daa nyimbo mzuri sana asa huu wa uhimidiwe unanigusa sana naupenda mno
Mungu azidi kuwainua nimekuwa nikibarikiwa na nyimbo zenu Kila ninapozisikiliza asanteni Sana.
Mmevaaaa vizurii nmependaaa
Wimbo huu pia naupenda sana katkat imani nabarikiwa nao Mungu Ni waajabu sana na upendo wake ni waajabu sana pia amenitoa mbali sana Baba aah! Mungu awabariki sana muzid kupita Level hiyo wana Mt.Andrew Msalato
Hakika Mungu ni Wa Ajabu , daudi alikua mchunga kondoo polin lakin mbingu zilijua kuwa daud ni mfalme,,,,, good song, it make me strong, Mung awabark Mt andrew
Wimbo mzuri
Amina❤
Wimbo umenibarikii jamn adi najiona mwepesiii mbarikiwee
Hamjambo kuna wimbo umeimbwa na dada mmoja unasema" kuna nyakati najisahau mimi natamani kusimulie mimi,uliponitoa mimi ila nakumbuka unajua" Wimbo huu unaitwa aje na mwimbaji ni nani
Joshua Njuguna ni wimbo wa mt.andrea
Unaitwa aje
Mungu awabaliki sana by msafiri nzigilwa kutoka mpwapwa kibakwe
Mbarikiwe tunaomba na Nyimbo nyingine Kama Nayaona Maono itakuwa safi zaidi
Nyimbo nzuri sana melodies arrangement yenu ni super kabisaaaa....unarudia kusikiliza bila kuchoka
Hakika hii ni next level, Mungu azidi kuwainua. Wimbo mzuri sana
Nzuri sana mubarikiwe sana
Mpo vizuri sana ndugu zangu. Nashindwa kuwalinganisha!
Wimbo unabariki ❤️❤️
Nawapenda sana,nimebarikiwa
Mungu awabariki
Mubalikiwe na bwana xna katk huduma yenu amina kubwa
Nawapenda sana Andrea mtakatifu Mungu azidi kuwabarik
jaman mim naipenda sanaaa hii kwaya mungu awabariki nipo dar mnaweza nielekeza niwapi hii cd inapatikana
@@meshacksanga8177 Cheki nami kwa 0754406757
safi sana
Naomba kujua jina la albam nzima ambayo wimbo huu unapatikana. Asante
Napenda Andrea mtakatifu
LaBan Nyemba Ata.Mimi.nawapenda.sana.MUNGu.Awapiganie.
Amen kubwa
Jofu hongera kwa kumtumikia bwana
Sandenyi sana wendece wa muwahaMLUNGU,nkhihulika nyemo mbaha sana,YESU juu juu zaidi
I appreciate