Wimbo mkubwa sana huu jamani dada Patricia hongera "viwango hata viwango Mungu akuinue jaman kila siku siachi kukuombea tangu ulivyonibariki BSS nilimjua Mungu zaidi kupitia wew dada"
Hakika kweli mmefanya vyema sana, kuurudia huu wimbo, na masololist wetu wakiwa walewale. Abarikiwe sana mbeba maono. Kila kitu kiko 100%"I salute all of you" Mbarikiwe sana..
Huu wimbo haujawah niacha salama kiroho yan lazima nijiliwe na uwepo wa Mungu🥹 Nawapenda sana AIC Chang’ombe kwaya,Mwenyezi Mungu aendelee kuwajalia mafanikio mengi sana katika huduma yenu yenye baraka nyingi❤❤❤❤❤❤❤..
Nyie wimbo uko moto waimbaji awachuuji wala awazeeki achana na wabana sauti kama wanatoa utumbo kitu kimenyooka DUNIANI hadi MBINGUNI kwanza nmeusikiliza moyo ukafurahi MUNGU akanipa kicheko afu kachozi ( mchozi ) kakashuka aise MUNGU wa MBINGUNI azidi kuwatunza muendelee kuwepo imbeni hadi za GUSA izi nyimbo zina kitu cha ziada ❤
Hii Dvd ya usiku wa manane nanayo hadi leo nashukuru Mungu kwa utumishi wenu Mama zangu Mungu azidi kuwapa afya bado wimbo wa Haleluya sijauona live hapa hii Tamasha ilikuwa moto❤
kama unaupenda huu wimbo tokea zamani angusha likes zako apa
Nilidownload nasikiza kila wakati 🎉
Kama na wewe umeukubali huu wimbo kama mimi ulivyo ni bariki pita ukidondosha like yako hapa na Yesu azidi kutukuzwa milele.
Mungu azidi kuwabariki CVC kwa kazi njema
Mzuri sana
Very nice
Huu wimbo ulitungwa ukatungika...uliimbwa ukaimbika..na tena unaimbwa live unaimbika...hakika..Mungu awabariki sana
Wallah
Hatimae Leo Mungu amesikia kilio changu na watanzania wengine tulikuokua tunaonba kuwaona kwa mara nyingine hawa watumishi wa MUNGU❤❤❤❤❤
Mama yetu hazeeki kabisa
Ukiwa kwa Yesu ni ujana tu
Likes za Kenya hapa
Wimbo wangu pendwa miaka yote❤
Ohh my God thanks for this😢
Sasa ndio mumeaza kuelewa na mambo....hizo nyimbo za kitabo muzirudie tena live pamoja na wale masolo,,Lydia,bahati na Diana🎉
🥰🥰🥰🥰🥰🥰😅yaaah bro
It was a blessing TU has at aic syokimau
umenena neno zuri san
Kabisa ndo zilinoga zilibariki mioyo yetu na bado znaendelea kutibariki
❤
Wow! Watu wangu wa nguvu. Wamama sololist Mungu awabariki na kwaya kwa ujumla. Nabarikiwa sana.
Vile inafaa
Kenya 🇰🇪 is watching
Hawa wamama hawazeeki,I watched their album nikiwa primary 😂😂😂eish the grace is different apa
Hawawezi kuzeeka kihasarahasara kwa sababu Wana Yesu
Ukishakua mwanakwaya huzeeki😂 You live the Grace
Ukiwa unaeyesu uwez zeeka unapendeza tu 😂
Yesu anawatunza kuzeeka siyo rahisi na wanamtumikia kweli Mungu no michanganyo wanaochanganya tunawaona yanayowakumba
It's called the Glow ry of God
Wimbo mkubwa sana huu jamani dada Patricia hongera "viwango hata viwango Mungu akuinue jaman kila siku siachi kukuombea tangu ulivyonibariki BSS nilimjua Mungu zaidi kupitia wew dada"
I lack no comment no blessed be the name of God
A choir that inspires me of singing more ,be blessed
Asanteni sana Wana changombe CVC Aic.
Love you big
Yes wimbo umekaa bomba sana
Nasubili tena wimbo wa NGUSA.
siyo NGUSA Ni GUSA 😂
@@amosbinzi1452 sawa kaka
Nyimbo nziri mno zinabariki sana ila masoro warudi wale wale
Ninaupendo huo wimbo Mungu awabariki kuurudia
Hakika kweli mmefanya vyema sana, kuurudia huu wimbo, na masololist wetu wakiwa walewale. Abarikiwe sana mbeba maono. Kila kitu kiko 100%"I salute all of you" Mbarikiwe sana..
Nimebarikiwa sana na huu wimbo❤
Hii kwaya 🙌🙌🙌🙌🙌
Itoshe kusema Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi sijawahi kuwachoka
Nawapenda Sana na pia Hawa watu hawazeeki Jamani ..... Kumutumikia Mungu raha❤
From Kenya I thank God for AIC Chang'ombe Choir
The best song ever ❤❤
Old is Gold ❤❤❤
Yani mpaka nimesisimka kuona huu wimbo 😢😢😢😢😢 much love jamani hapa mmatuweza❤❤❤
Waaao asant sana CVC nausubiria ule wimbo wa umetukuka upigwe live🎉🎉🎉
Yaaani Kama ninavyopenda mie
😂yaan😂
Jmn mbarikiwe Sana masololist wetu ntangu tupo wadogo Diana,Bahati,Lidya kwakweli hamzeeki nawapenda sana
Jaman Amina sana2
Waaaaaaaaaaaau!!!!! Na iyo part ya mwisho na trumpets 🎺 🎺 🎷🎷🎷🎷🎷📯📯📯📯📯📯📯📯📯📯🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺 ime weza zaidi................. usiku wa manane
Unaisikia hiyo base lakin
Sijawahi kuwachoka kuwasikiliza tangu enzi za GUSA Mwenyezi Mungu azidi kuwatunza mwendelee kumtumikia milele Ameen.
Waliolead huu Wimbooo🙌🙌🙌🙌
Glory be to God, barikiweni zaidi
Jamni moyo wangu umejaaa furahaaaa sana wakati nimeona cover ya usiku mwema nimekwambia Mungu naona uwe ni wimno ule wa usiku mwema wa zamani
Haleluya ifate live pls Dada Bahati nakupend mno😊❤Lyidia na Diana
Nyimbo inaishi miaka na miaka 🙌🙏
Yaan mmewaza kama nilivokuwa nawaza Mimi axee wakuu 🙏🙏
Bahati, Lyidia na Diana Mungu awabariki sana nawapenda mno Jamn sifa apewe Mungu
Jaman hawawatu mungu awalinde sana make nawapenda sana wanavyo imbisha kunasikumoja nitawaombaniwaone laivu👏
HII NYIMBO DAH TOKA 2008 😢
Nawapenda hao masolo WA 3 sana🎉 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Safi sana,.wimbo mzuri sana. USIKU WA MANANE , may Almighty GOD bless CVC 🙌🏿🙏🏿
Mubarikiwe sana kwa Wimbo mzuri sana huu na kuurudia live
😭😭😭am just in tears mtanifanya nihamie Tanzania sababu ya uimbaji
Wow wow big up sana
HIYO BASE ILIYOPIGWA HUMU NDANI YA HUU WIMBO NI YA HISTORIA MPINI UMEKAZWA UKAKAZIKA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Waooh!! Beatiful song ever!! Kumbukumbu nzuri!! Mrudie jinsi zilivyo.
Huu wimbo wa jinsi zilivyo ni very simple ila una bamba sana! Live yake itanoga sana!❤
naukubalii mnooo jinsi xilivyo duuh
namm nausubir jinsi zilivyo
Tm ya vyombo Mungu awazidishie baraka
AIC Chang'ombe🎶🎉🙏
Following from Eldoret Kenya 🇰🇪🇰🇪👏
Aiseeee Mungu amewainua mnatubariki sana
Kazi safi mbarikiwe sana, sasa mfanye mpiga kristo
Huu wimbo haujawah niacha salama kiroho yan lazima nijiliwe na uwepo wa Mungu🥹 Nawapenda sana AIC Chang’ombe kwaya,Mwenyezi Mungu aendelee kuwajalia mafanikio mengi sana katika huduma yenu yenye baraka nyingi❤❤❤❤❤❤❤..
Amina
Mungu Awabariki sana Watumishi wake
❤❤usiku wa manane sheteni anautumia sana na mm naungana na cvc kuchukua tahadhari kwa sala na maombezi ili shetani asiwe na nafasi usiku wa manane
Mmefanya kaz nzuri.huu wimbo unanibarik Sana wakati wote
Usiku wamanane
Love you guys may God bless you. You sing well ❤
❤❤❤❤ ilove this song jamani
Awewe Awa wamama achana nao kabiisa Glory to God😀❤❤❤❤
Moto wa kuotea mbali
Kiukweli IMANI WAMEILINDA SANA,MUNGU AWAENDELEE KUWATUNZA
Faya
Mungu wangu wa mbinguni awabariki sana❤❤❤❤
Nyie wimbo uko moto waimbaji awachuuji wala awazeeki achana na wabana sauti kama wanatoa utumbo kitu kimenyooka DUNIANI hadi MBINGUNI kwanza nmeusikiliza moyo ukafurahi MUNGU akanipa kicheko afu kachozi ( mchozi ) kakashuka aise MUNGU wa MBINGUNI azidi kuwatunza muendelee kuwepo imbeni hadi za GUSA izi nyimbo zina kitu cha ziada ❤
Huwa nabarikiwa Sana pindi hawa wamama wanapoimba pamoja nice song 🙏🙏
Amina barikiweni wapendwa
Great i always love this song
Wimbo una Neema ya juu
safi sana hata Ile ya zamani Iko vzuri pia nawapenda zidi kubarikiwa
Gods first from Japan usiku wa manane
This the type of songs we need.God bless your singing.
Bass ilipigwa !! Jamaa anajua sana Mungu abariki kwa kazi yake
Dah huuu wimbo 😢😢😢😢
Huu wimbo ni FIRE umejaa nguvu ya Mungu
Aiseeeeee✅✅✅
Sifa zirudi kwa Mungu hakika.
Aliyefanya hii mixing humu ni 🔥🔥🔥🔥
Hii Dvd ya usiku wa manane nanayo hadi leo nashukuru Mungu kwa utumishi wenu Mama zangu Mungu azidi kuwapa afya bado wimbo wa Haleluya sijauona live hapa hii Tamasha ilikuwa moto❤
Rudien zooote dunia saivi ipo huku kwenye live.... Mmeutendea haki kwakweli❤❤❤
Wapiga Tarumbeta 🎉🎉An added Glory to AIct!!!
Soo glorious
Safi sana hii.. Mungu awabarikiii
Hakika usiku wa manane ni usiku wa ushindi❤❤
Saaaaaaaaafiiiiiiiiiiiiii sasa asanteni kusikiliza maoni yetu tunaomba zote mzilete live dah safi saaaana hii itawarudisha CVC on Top
Mungu awaweke mahali pa juu ❤❤❤❤
wao nawapenda jamani
Next Jinsi zilivyo kuu
I love that song too 😂😂😂
I second
Yaani utabamba sana
naupenda mno huo wimbo duu
Na HAKUNA😅
Ahsante YESU kwa kutupa tena wimbo huu.🙏🙏
Safi sana umependeza naomba na wimbo mwingine by d mushi
Hawa wamama watatu wanaoanzisha ni Atari na nusu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mmenibariki Sana Mungu awainue ❤❤❤❤❤
God bless you all.
Blessed 🙏🏾
Barikiwa sana kwa huu Wimbo mzuri sana
Hongereni kwa kazi njema.
The Blessed Triplet Soloists mmesolo vizuri kwa remix hii.
Mungu abariki na Kuimarisha huduma yenu na CVC choir.
Huu wimbo mpya kila siku🙌
hapo sawa sasa
Mungu awabariki Sana na azidi kuwatumia nawapenda saba
I love this song jomoni!!
Tamu sana nakubali kabisa
Blessed Choir since 2007
Eeeeeeh bwana eeeeeeh kitambo sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤
Mko sawa sasa mkiwa live.rudieni pia nyenyekieni
Amen kubwa sana nmepitia comment zaidi ya 367 HAKIKA SIFA ZOTE NA UTUKUFU TUMLUDISHIE BWANA WETU ATUPATIAYE PUMZI YAKU.SIFU NAKULITANGANZA JINA LAKE.
Safi kabisa Mama zetu mmewaleta hapo hapo patamu wazo LETU fanyeni nyimbo zote za zamani Live