Daah... Hii kwaya inanikumbusha marehemu Babu mzaa Mama alikuwa akiitwa Mzee John Isaka Mlaule alikuwa mpenzi sana wa hii kwaya, hasa wimbo wao wa " nimemuona shetani anateremka sura yake kama umeme huyo amekasirika"
Mungu awabaliki saba nafulahishwa sana na nyimbo zenu huwaga natamani nami siku nikiwa Tz niwe mmoja wenu Kwasasa nawafatilia nikiwa Oman 🇴🇲 nawapenda sana.
chama langu pendwa, MUNGU awainue kuzidi
Amen
Mnaimba.vizuri lakini weke zenu wange jifunika vichwani
Sindio neno la.Mungu linasema❤❤
Mwenyezi MUNGU awabariki Kwa hatua ya kuwa na you tube chanel,
Wakongwe tuwekeeni za zamani, kama watoto sokoni,
Ni huruma za bwana nk
Wimbo mzuri hakika! Waimbaji mmeimba! SOLOIST WA KWENYE KINANDA UNAJUA KAZI IKUPASAYO❤
Uimbaji wa kiutu uzima sana huu,umetulia,vyombo vimepigwa kwa stadium mkubwa sana,ujumbe umejitosheleza.kwaya Bora kabisa Mungu awabariki sana.
Congratulations what a beautiful song. Be blessed by our God.❤❤❤
Jamani kwaya yangu mungu awatie nguvu
Uyu mpiga solo kipofu ila show yake ni moto ❤️
Uvuke itabaki kuwa uvuke Mungu awabariki sana
Sifa na utukufu ni kwa MUNGU hongereni sana watumishi
Wimbo umenibariki sana! Mbarikiwe.....!
Kwanza mmependeza sana
Mulungu yamdimenyi wose 😍
Ahsante Mtumishi
Daah... Hii kwaya inanikumbusha marehemu Babu mzaa Mama alikuwa akiitwa Mzee John Isaka Mlaule alikuwa mpenzi sana wa hii kwaya, hasa wimbo wao wa " nimemuona shetani anateremka sura yake kama umeme huyo amekasirika"
Niliaminishwa hawa ma faza hawajui kuimba😢😢 nisameheni aiseee
Rumbaaa la yesuuu hamjawahiii kukosea tunawaombea sanaaa
Mungu azidi kuwainua kwenye viwango vya juu zaidi. Wimbo unaniliza Sana huu😭😭😭
Nawapenda sana nabarikiwa sana nanyimbo zenu
Mko vizuri Sana jaman
Hongeren Kwa huduma nzr ya kiroho
Mungu awabariki na azidi kuwainua
Safi Sana watumish mbarikiwe sana
Muhubili mke akisoma.neno au akihubili ajifunike kitamba kichwani
Mungu awabarik sana
Endeleeen kubalikiwa🙏🙏
Nabarikiwa sana na uimbaji wenu Mungu awabarikini
Wimbo unanibariki sana huu,,Mbarikiwe uvuke!
Ngoma Kali sana
Nice song be blessed
Wimbo bora wa kufungia mwaka na album ambayo itailendelea kuishi maishani kwetu uvuke hawajawahi kuniangusha
mbarikiwe
Shikamooni Uvuke ! 😀😀😀 huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu Mungu akazidi kuwabariki muifanye kazi yake hiyo, amina. 🙏🙏
Amina Asante sana tunawapenda mno marafiki, wadau na wapenzi wa UVUKE
Mungu awabaliki saba nafulahishwa sana na nyimbo zenu huwaga natamani nami siku nikiwa Tz niwe mmoja wenu
Kwasasa nawafatilia nikiwa Oman 🇴🇲 nawapenda sana.
Mungu akubariki Rafiki yetu karibu sana Uvuke.
Amen Mungu akubariki sana
Amen Asante sana nimebalikiwa tuko pamoja
Safi sana.....
Kazi nzuri mbarikiwe
Barikiwa pia mtumishi
Safi sana Mungu akae nanyi
mbarikuwe nabwana
Mbarikiwe sana
AS USUAL.CONGRANT.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Adam Francis chambo
👏👏👏👏
Wimbo unanibariki sana huu,,Mbarikiwe uvuke!