NENDA SALAMA MAGUFULI (Official Video) UVUKE CHOIR ANGLICAN DCT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024
  • Kwaya ya Uvuke ni moja ya kwaya zinazohudumu katika kanisa kuu la Roho Mtakatifu Anglikana Dodoma iliyoanzishwa tangu mwaka 1961
    Imeguswa na msiba na kuanda nyimbo maalumu kwaajili ya kungana na watanzania katika kuombeleza kifo cha aliyekuwa Rais wa JMT Hayati
    Dr John Pombe Magufuli uitwao "NENDA SALAMA"

ความคิดเห็น • 23

  • @imaninziku5148
    @imaninziku5148 2 ปีที่แล้ว

    Amen mbarikiwe uvuke choir Mungu awe nanyi daima

  • @christinajames2620
    @christinajames2620 2 ปีที่แล้ว

    I cant stop listening to this song,and watching the video ,uvuke choir be blessed

  • @masslubelej2637
    @masslubelej2637 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki uvuke

  • @petermulugu8234
    @petermulugu8234 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli ujumbe huu utadumu kwa muda mlefu
    Kama kumbukumbu za mpendwa wetu JPM hatutazisahau vizazi hadi vizazi! Pumzika kwa amani tuna kumisi sana! Mungu awabariki UVUKE! From Sweden 🙏

  • @catherinemdage4905
    @catherinemdage4905 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika nakumbuka Mengi kwa Mpendwa wetu Magu. Lala Baba. 7:35

  • @beatriceisack5317
    @beatriceisack5317 3 ปีที่แล้ว

    Niwimbo mzuri Sana na umejaa ujumbe

  • @wanzambinya8501
    @wanzambinya8501 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa my prezo JPM

  • @babayakeanna8595
    @babayakeanna8595 3 ปีที่แล้ว

    Asante Uvuke kwa sadaka hii ya wimbo kwa Watanzania

  • @kingadoe8533
    @kingadoe8533 3 ปีที่แล้ว +1

    Watching from the USA.
    Soothing and Sentimental.
    Shares ur pains, With u in Spirit. Amen

  • @annaa.kijanjali7968
    @annaa.kijanjali7968 3 ปีที่แล้ว

    Very nice song. Nawapenda

  • @jaredbosire7598
    @jaredbosire7598 3 ปีที่แล้ว

    Strong message,

  • @georgemzuli3422
    @georgemzuli3422 3 ปีที่แล้ว

    Soon 1k tutafika tuendeleze kusambaza ujumbe huu kwa watu

  • @georgemzuli3422
    @georgemzuli3422 3 ปีที่แล้ว +1

    Nilitamani kuimba nanyi wimbo huu

  • @fellybenard5459
    @fellybenard5459 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri sana

    • @janepherhoya7723
      @janepherhoya7723 3 ปีที่แล้ว

      Hongeren sana mungu awainue viwango vya juu sana masolo wamenibariki mnoo haswa hao wadada mungu awabariki strong sms😍🙏🏻💪

  • @doricemzuli5085
    @doricemzuli5085 3 ปีที่แล้ว

    🙏🙏

  • @georgemzuli3422
    @georgemzuli3422 3 ปีที่แล้ว

    Nice song uvuke kwaya