- 11
- 151 504
Uvuke Kwaya Kanisa Kuu - Anglican Dodoma
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 26 พ.ย. 2019
Kwaya ya Uinjilisti Uvuke Kanisa Kuu. Ilianzishwa 28/10/1961. Ipo Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu, Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT). Ni Mabingwa wa Uimbaji wa sauti nne, na pia hutumia mahadhi ya kiutamaduni katika kufikisha Injiri.
Tazama Mkono
Mkono Wa Mungu hajawahi kupungua nguvu zake. ni Mungu mwenye uweza.
Anasema njooni tusemezane, dhambi zenu zijapokuwa nyekundu zitasafishwa kuwa nyeupe kama theruji.
Anasema njooni tusemezane, dhambi zenu zijapokuwa nyekundu zitasafishwa kuwa nyeupe kama theruji.
มุมมอง: 3 189
วีดีโอ
Hakuna kama Mungu
มุมมอง 5K2 ปีที่แล้ว
Mwacheni Mungu aitwe Mungu, maana hakuna wa kumfananisha na Mungu. utakataliwa na wote lakini Mungu pekee hawezi kukukataa. KWAYA YA UINJILISTI UVUKE KANISA KUU
MACHO (Kwaya ya uinjilisti Uvuke Kanisa Kuu Dododma)
มุมมอง 31K2 ปีที่แล้ว
Ukikosa macho ni tatizo kubwa! huwezi kufanya kitu bila msaada. misaada mingne utapewa ambayo haikusaidii na matokeo yake unaweza kuporwa hata na kile kidogo ulichonacho. tuombe kupata macho ya Rohoni ili Tuone jinsi itupasavyo kuenenda.
Ndugu zangu (Kwaya ya uinjilisti Uvuke Kanisa Kuu Dododma)
มุมมอง 19K2 ปีที่แล้ว
Mungu husamehe na kusahau maovu yetu.
YUKO HAI MWOKOZI YESU (UVUKE KWAYA KANISA KUU DCT)
มุมมอง 17K2 ปีที่แล้ว
YUKO HAI MWOKOZI YESU (UVUKE KWAYA KANISA KUU DCT)
SIKIA MAOMBI YETU (Uvuke Kwaya DCT)
มุมมอง 9K2 ปีที่แล้ว
Sikia Maombi yangu ni wimbo ulioimbwa na kwaya ya Uvuke K. K Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT)
Mateso ya Bwana Yesu
มุมมอง 14K2 ปีที่แล้ว
Kwaya ya Uinjilisti Uvuke Kanisa Kuu (DCT - DODOMA). Mateso ya Bwana Wetu Yesu.
NENDA SALAMA MAGUFULI (Official Video) UVUKE CHOIR ANGLICAN DCT
มุมมอง 14K3 ปีที่แล้ว
Kwaya ya Uvuke ni moja ya kwaya zinazohudumu katika kanisa kuu la Roho Mtakatifu Anglikana Dodoma iliyoanzishwa tangu mwaka 1961 Imeguswa na msiba na kuanda nyimbo maalumu kwaajili ya kungana na watanzania katika kuombeleza kifo cha aliyekuwa Rais wa JMT Hayati Dr John Pombe Magufuli uitwao "NENDA SALAMA"
DODOMA NDIPO PENYEWE
มุมมอง 11K4 ปีที่แล้ว
DODOMA NDIPO PENYEWE Uvuke Kwaya Kanisa Kuu Anglican Dodoma Wimbo mpya wa Kwaya ya Uvuke - Dodoma DODOMA NDIPO PENYEWE
❤❤❤❤
Mbarikiwe sana wapendwa. Nawapenda
Jamani kwaya yangu mungu awatie nguvu
Amen
Wimbo huu umenigusa hakika Mungu atupatie macho ya rohon
Mtunzi wa wimbo mungu akubariki amina
Nawapenda mno
Ukweli huu wimbo Kila siku ninauangalia mara zaidi ya mara 8ukweli unanibariki Sana mtunzi anapaswa apate zawadi
Huu wimbo nimeupenda Sana hasa kuimbwa na mmoja wao alikuwa kipofu jaman pongezi sana
Kazi nzuri sana, Pumzika Kwa amani RAIS WETU JOHN POMBE MAGUFULI🕯️🕯️🌹🌹🕯️🕯️Pumzika Kwa amani Peter Yobwa🙏
Mungu ahsante kwa ajili ya mtumishi wako mtendee kama utakavyo.kuwa kipofu siyo kizuizi cha kutenda kazi ya Mungu.Mungu akutendee
Hongereni sana❤❤nice song😊
Ndugu yangu Abel Mungu akubariki sana sana sana. Hongereni kwa wimbo mzuri sana. Nawapenda sana wana Uvuke. Mimi ni mfuasi wenu miaka yote. Mungu azidi kuwapandisha utukufu hadi utukufu. ....Tuntufye
Mungu akukumbuke mwimbishaji na unaimba kitu unacho kiishi.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mpiga gitaa la soro, Mungu atakutendea mambo makuu usiyo yajua,ubarikiwe baba.
Amina
Ameni
Uimbaji wa kiutu uzima sana huu,umetulia,vyombo vimepigwa kwa stadium mkubwa sana,ujumbe umejitosheleza.kwaya Bora kabisa Mungu awabariki sana.
Adam Francis chambo
Nice song, congratulations
Naitwa mwalimu Jeff from Nairobi Kenya..Mimi ni tv presenter..wakenya ubarikiwa na nyimbo za uvuke choir,muno..muendelee vivyo hivyo...
Kwaya Inaimba Hadi inafika Wakati natamani ningekuwa Mwanakwaya ( UVUKE)
Nawapenda Mungu awatunze daima ndugu zangu mie
Hakika nakumbuka Mengi kwa Mpendwa wetu Magu. Lala Baba. 7:35
Nawapenda xana uvuke MUNGU awabaliki Kwa kazi nzuri
Muhubili mke akisoma.neno au akihubili ajifunike kitamba kichwani
❤❤❤❤ Asanteni
Hakika yuko hai kwaajiri yetu
Hakika hii nyimbo imenibarik sana,Mungu azidi kuwatumia watu Mungu ❤
Wimbo wa kufariji roho iliyo fazaika, Asanteni sana Mwenyezi MUNGU awabariki Mara kumi elfu.
Uvuke kwaya nawakubali kazi nzuli from chalinze nyama nazareth kwaya dct chalinze nyama❤❤❤
Mungu awabariki Sana.
Hakika nimechelewa kuufahamu wimbo huu. Nimebarikiwa mno na wimbo huu maana unanipa tafakari. Mbarikiwe sana UVUKE ❤❤🎉🎉🎉
Congratulations what a beautiful song. Be blessed by our God.❤❤❤
Naipenda sana UVUKE. Nawafuatilia nikiwa Kibondo Kigoma.🎉🎉
Hakika Mungu atufungue macho ya rohoni🙏🙏🙏🙏
Mungu azidi kuwabariki sana kwa huduma njema hii ya uinjilisti kwa njia ya nyimbo 🙏🙏🙏
Mbarikiwe sana waimbaji wa Kwaya hii Mungu Azidi Kuwatunza na Kuwalinda ili muweze Kumhubiri Kristo Yesu Mfalme Mfufuka katika Uinjilisti kwa njia ya nyimbo
Wimbo mzuri hakika! Waimbaji mmeimba! SOLOIST WA KWENYE KINANDA UNAJUA KAZI IKUPASAYO❤
mbarikiwe mno
Mungu awabariki sana
Daaaaaaaaaaaaahhhhh...nazidi kumshangaa huyu Muumbaji wa vitu vyote....NAMRUDISHIA SIFA NA UTUKUFU KWA HII KWAYA HASA HUYU SOLOLIST..... Hata mimi Bwana naomba kuona
Mmeonesha ukongwe wenu uvuke mbarikiwe
Amen
Nimeongeza wimbo kwenye nyimbo zangu pendwa UVUKE. Wimbo mzuri Sana. Ila gitaa la solo ni hatari sana
Niliaminishwa hawa ma faza hawajui kuimba😢😢 nisameheni aiseee
Mungu awabariki saana kwa utumishi uliotukuka
Dah... sawa ❤❤❤
Ni zaidi ya viwango vya kawaida Mungu awainue mpiga sollo gita umenipa kitu cha kujifunza
Mbalikiwe Sana wapendwa kwakweliiii