Ndugu yangu Abel Mungu akubariki sana sana sana. Hongereni kwa wimbo mzuri sana. Nawapenda sana wana Uvuke. Mimi ni mfuasi wenu miaka yote. Mungu azidi kuwapandisha utukufu hadi utukufu. ....Tuntufye
Daaaaaaaaaaaaahhhhh...nazidi kumshangaa huyu Muumbaji wa vitu vyote....NAMRUDISHIA SIFA NA UTUKUFU KWA HII KWAYA HASA HUYU SOLOLIST..... Hata mimi Bwana naomba kuona
Tangu mje kututembelea pale Social Udom 2017, mimi nimekuwa mwanauvuke kiroho 🤣🤣🤣 ninawapenda sana, wimbo umenibariki sana moyoni. Salamu zangu sana kwa huyo baba mpiga solo, ametisha sana !!! natumai siku moja nitaimba pamoja na nyie live. Mungu awabariki sana kwaya yetu ya Uvuke 🙏
Mpiga gitaa la soro, Mungu atakutendea mambo makuu usiyo yajua,ubarikiwe baba.
Amina
Mungu ahsante kwa ajili ya mtumishi wako mtendee kama utakavyo.kuwa kipofu siyo kizuizi cha kutenda kazi ya Mungu.Mungu akutendee
Ndugu yangu Abel Mungu akubariki sana sana sana. Hongereni kwa wimbo mzuri sana.
Nawapenda sana wana Uvuke. Mimi ni mfuasi wenu miaka yote.
Mungu azidi kuwapandisha utukufu hadi utukufu. ....Tuntufye
Mungu awabariki. Wimbo mzuri na huu ndio uimbaji wa kwaya. Endeleeni kuwa kielelezo kwa kwaya zingine.
Hakika hii nyimbo imenibarik sana,Mungu azidi kuwatumia watu Mungu ❤
Huu wimbo nimeupenda Sana hasa kuimbwa na mmoja wao alikuwa kipofu jaman pongezi sana
Huu wimbo umenigusa sana nikimwangalia na solo wake yaani Mungu awabariki sana
Amina mtumishi wa Mungu. usiache kusubscribe mpendwa
qqq❤😅😅😮😅😅😅😅😅s😅😅😮sa1aa😅😅😅
Wimbo mzuri sana sana sanaa. kila kitu kiko kwa kiwango cha hali ya juu. this is UVUKE I know.
Wimbo huu umenigusa hakika Mungu atupatie macho ya rohon
Mtunzi wa wimbo mungu akubariki amina
Hongera Sana uvuke mmenibariki Kwa wimbo mzuri Mungu awaongezee vipaji mpate kuihubiri injili takatifu.
Nice song, congratulations
Hakika ni kazi nzuri ya kumtuza Mungu mbarikiwe sana mno mnooo
Amina kubwa
Mbarikiwe sana wapendwa. Nawapenda
Mungu akukumbuke mwimbishaji na unaimba kitu unacho kiishi.
Mungu akubariki Sana uvuke choir kwa nyimbo ya macho nzuri by Dr lupaa
Nawapenda xana uvuke MUNGU awabaliki Kwa kazi nzuri
Mungu awabariki saana kwa utumishi uliotukuka
Kwaya yangu pendwa mbarikiwe Toka enz za lisikien neno ❤️❤️
Nawapenda mno
Ni zaidi ya viwango vya kawaida Mungu awainue mpiga sollo gita umenipa kitu cha kujifunza
Mbalikiwe Sana wapendwa kwakweliiii
Mungu awabariki Sana.
Mungu azidii kuwapa kibalii zaidi katika huduma yenu
Daaaaaaaaaaaaahhhhh...nazidi kumshangaa huyu Muumbaji wa vitu vyote....NAMRUDISHIA SIFA NA UTUKUFU KWA HII KWAYA HASA HUYU SOLOLIST.....
Hata mimi Bwana naomba kuona
Amina.
Hapa naona mbingu sasa. Nimefika. Baraka.
Ameni
Tangu mje kututembelea pale Social Udom 2017, mimi nimekuwa mwanauvuke kiroho 🤣🤣🤣 ninawapenda sana, wimbo umenibariki sana moyoni. Salamu zangu sana kwa huyo baba mpiga solo, ametisha sana !!! natumai siku moja nitaimba pamoja na nyie live. Mungu awabariki sana kwaya yetu ya Uvuke 🙏
Amen
Amina tunakushukuru sana tupo kwa hudua ya Mungu tupo tayari kuimba na wewe karibu sana
Mungu awabariki nliposali kabisa kuu hapo nlibarikiwa sana and I will back again
Mungu aibariki sana kwaya ya uvuke waendeleee kumtumikia mungu Alie hai
Amen
Ukweli huu wimbo Kila siku ninauangalia mara zaidi ya mara 8ukweli unanibariki Sana mtunzi anapaswa apate zawadi
Mpo vizuri sana hongereni
Mungu awabariki sana wana uvuke,Pia ninamuomba Mungu aendelee kuinua na kukukuza kila iitwapo leo kipawa cha Abel
Amina yeye ndie mwl wa Kwaya na nimtunzi wa wimbo huu
Mungu asifiwe. Niko RDC.
Admini aje asome comment,na aseme AMEN au AHSANTE🤣
Safiiii
Karibu mtoto wa nyumbani
Asnt sana
Mungu awabariki sana wimbo mzuri umenibariki sana. Na huu ndio uimbaji wa kwaya.
Amen