Dizasta Vina - Tattoo ya asili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 277

  • @_jizy
    @_jizy ปีที่แล้ว +7

    Ali said It's not bragging if you can back it up and this one definitely cements it !!
    " Talk about story telling, look at my damn halo
    Sequel zako nyepesi, you're not ready bado "
    " Naweza kufanya uhisi unaexperience msosi
    Baada ya njaa kali, mi ni Shakespearean ghost "
    😂🤝🏾
    And Ringle knows how to deal the cards right

  • @alphaabdallah1406
    @alphaabdallah1406 ปีที่แล้ว +28

    Ingekuwa ni maamuzi yangu, Ningekupa Udaktari wa heshima na ungekuwa mkuu idara ya Sanaa bunifu pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam

  • @jumasamir7317
    @jumasamir7317 ปีที่แล้ว +2

    anaishi kwenye anga ambayo ni miungu2 wanasettle👊

  • @pinecompilation5631
    @pinecompilation5631 ปีที่แล้ว +11

    Enyi watoto mnaosikiliza hii nyimbo mwaka Huu 2043... Dizasta Vina was a great artist hatuwahi kupata Tanzania

  • @jemedalibasama5000
    @jemedalibasama5000 ปีที่แล้ว +17

    Hujawahi kuniangusha kaka 🙌🏽📌ukiona leo sauti yako haitoki vizuri basi chanzo ni Mimi huku nimeweka repeat 🧷👊🏼🙌🏽

  • @DaudiAntony
    @DaudiAntony ปีที่แล้ว +2

    Hakika dizasta kwangu ndo mwan hip-hop was Karne ya20

  • @Chimgege
    @Chimgege ปีที่แล้ว +39

    Hii ngoma imefichwaa sana wanaoamini ilo gonga like alafu tusubili review ya huu wimbo

    • @drmubarakhassan8010
      @drmubarakhassan8010 ปีที่แล้ว +2

      NI SERA ya mwalimu NYERERE adui watatu . ujinga maradhi na umasikini. ila Vina ametumia maradhi ukimwi doa la tatu mawili kati ya mgongo ni ujinga na umasikini. paia ameihusisha na jinsi mambo hayo na ukimwi ulivyoingia tz. then utagudua anasema msimuliaji natoka chini naenda juu, verse ya pili ndio mwanzo wa story. kwa ufupi tu japo kuna mengi ya kufafanua na kujifunza.

    • @mosesharrison5233
      @mosesharrison5233 ปีที่แล้ว

      ​@drmubarakhassan8010 verse ya pili ndo mwisho wa story ni yule mtoto mchanga amekua na kaishia kupitia kile kile kilichomkuta mama yake

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 ปีที่แล้ว +3

    Hichi kichwa kiko sawa...much love frm 🇶🇦🇶🇦

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious ปีที่แล้ว +1

    Brother Una Akili Ambayo Ni Ya Kizazi Cha 2090 Huko Ndiyo Watakuja Elewa Nini Unafanya. 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @TheRealAtomeec55.
    @TheRealAtomeec55. ปีที่แล้ว +34

    Ukiachana na ufundi wa sanaa ya utunzi, ni msanii asie fuata mkumbo wa kuSwitch Genre🔥🙌
    JASIRI HAIACHI ASILI.

    • @sebastianlubava1535
      @sebastianlubava1535 ปีที่แล้ว +3

      na ndio rapa mwenye tatoo ya asil dunian

    • @TheRealAtomeec55.
      @TheRealAtomeec55. ปีที่แล้ว +4

      @@sebastianlubava1535 heheh😂 Maan ni ngum sana kuipata tattoo iyo kwa various artists hakika🔥🙌

    • @ibrangala7753
      @ibrangala7753 ปีที่แล้ว

      Apa kenya🇰🇪 twamsikiza sana uyo mwamba

    • @detlantamarooned1809
      @detlantamarooned1809 ปีที่แล้ว

      ​@@ibrangala7753tuko pamoja sana ndugu.

  • @kiduaalute603
    @kiduaalute603 ปีที่แล้ว +4

    Unaweza kusema vina katumia miaka 5 kutunga hii nyimbo kumbe kwake ni simple tu PURE TALENTS

  • @shaibinhojr3209
    @shaibinhojr3209 ปีที่แล้ว +2

    Hiiiiiiiii ndy nyimbo yenye story za books na kupata maswali mengi San kuhusu elimu iliopo🫂 ahsant dizasta vina Kwa elimu simuliz🙏🙏

  • @daudisinani8342
    @daudisinani8342 ปีที่แล้ว +3

    Embu tuamue sisi kama mashabiki tuifikishe trending za juu zaidi haya twende kazi, share as much as u can watu wanatakiwa wasikie hizi sumu zenye darasa ndani yake

  • @marcodavid7448
    @marcodavid7448 ปีที่แล้ว +18

    Found genius and gifted forever...hebu BASATA ifanye kitu kwak we Jamaa 🥺 you are a really meaning of pure literature... you're beyond Chomsky, ole soyenka,ngungi wa thiongo,chinue achebe and okoit p'bitek 🙌🙌

  • @Enckxxd177
    @Enckxxd177 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh wewe jamaa una kichwa

  • @detlantamarooned1809
    @detlantamarooned1809 ปีที่แล้ว +1

    Kuhusu huyu Dizasta Vina mimi sina la kusema tena, that's very sure,Dizasta ni wa moto kushinda Jua.

  • @selemankilango246
    @selemankilango246 ปีที่แล้ว +3

    King wa hizi kazi aka teacher big endelea ku2pa darasa wao waendelee kucheza amapiano🙌🙌🙌

  • @alphoncesamwel6973
    @alphoncesamwel6973 ปีที่แล้ว +2

    Nmesubiri tattoo ya asili namba 2 itapendezaa zaidi kwa tunaokufuatilia
    I expect higher from Vina rymes

  • @aishaobo6186
    @aishaobo6186 ปีที่แล้ว +1

    Big love from 254 watu wangekuangalia kwa jicho la tatu

  • @MackLaueent-tg7si
    @MackLaueent-tg7si ปีที่แล้ว +2

    Dizasta kwenye ubora wake💪

  • @jaymapambanojuma856
    @jaymapambanojuma856 ปีที่แล้ว +1

    Daah!kuna BinaadamU wamepewana Mungu walichostahili

  • @emiliangasto9467
    @emiliangasto9467 ปีที่แล้ว +1

    Kaka respect kubwa kwako dah akili nyingi ndo unaweza elewa hili goma

  • @kelvinlugono6513
    @kelvinlugono6513 ปีที่แล้ว +1

    Mimi huwa sijutii kukupa skio langu unanibless sana 🙏🏼

  • @allenmushema5844
    @allenmushema5844 ปีที่แล้ว +1

    huu wimbo haujaisha, kabisa yani🙌🏾🙌🏾

  • @CharmingCharlz
    @CharmingCharlz 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bro Your talent is unique kwangu mimi wewe ni musician GOAT

  • @farajiabdallah7438
    @farajiabdallah7438 ปีที่แล้ว +1

    Oyaaaa weee kichwaa unacho mzee, pure talented boy💥💥🙌

  • @raphaelboniventus7215
    @raphaelboniventus7215 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja msimuliaji. Kazi nzuri💪

  • @abdulshakoursalumsaid7125
    @abdulshakoursalumsaid7125 2 หลายเดือนก่อน

    Npo hapa 7/8/2024 baada ya tukio la msichana kubakwa, Dizasta upo mbele ya muda sana kaka 🙌.

  • @fahadjoseph
    @fahadjoseph ปีที่แล้ว +1

    Kak unatishaaa hii ngom nilskia kat kat nikaomba ianzee upyaaa kak hii 🔥🔥🔥

  • @badloso1049
    @badloso1049 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana kazi nzuri

  • @radothehacker4489
    @radothehacker4489 ปีที่แล้ว +2

    Wa kwanza gonga like

  • @michaelisolomon6059
    @michaelisolomon6059 ปีที่แล้ว +1

    Kaka huna dhambi nautakapokufa hakika hautaoza@vina🙏🙏🙏

  • @africanasplumbing8780
    @africanasplumbing8780 ปีที่แล้ว +1

    We jamaabunaandika sana yaaani kama movie

  • @josureabely8899
    @josureabely8899 ปีที่แล้ว +1

    *Akazindikizwa njia panda mwisho wa makazi mwanzo wa msitu mkubwa wa sanza" fasihi Kali zipo umuu hii n chakula ya ubongoo kweliiiii kaka🧠🧠

  • @kingrasdee445
    @kingrasdee445 ปีที่แล้ว +1

    Dizasta uko juu zaid kuwa na subra na zid kukaza nlikwelewa tang wayback man.

  • @NuruMashake
    @NuruMashake ปีที่แล้ว +2

    Kuna abalikuu kutoka kwa kitaa flani, mistari kama nimetafuna daftari. Dah bado bongo sjaiona mwana hip hop kama uyu🔬

  • @jacobmaganga3354
    @jacobmaganga3354 ปีที่แล้ว +1

    ifike mahali dizasta na nacha wapewe tuzo jaman, hawa wanoibeba maana halisi ya sanaa kwenye jamii

  • @rajabmpamwa9051
    @rajabmpamwa9051 ปีที่แล้ว +1

    Daaah mashair yako unayaficha sana lazima utulize kichwa ndo uelewe.

  • @nyamwezkid1431
    @nyamwezkid1431 ปีที่แล้ว +1

    Alafu kuna wasuka suka nywele wanajifananisha na hii talent huyu jamaa ni genius , nakubali uwezo wako nigah.

  • @batatatheog5256
    @batatatheog5256 ปีที่แล้ว +1

    Kama Kawa hujainiangusha. Big up dizasta. Tour Kenya please

  • @chrispinhenry3362
    @chrispinhenry3362 ปีที่แล้ว +1

    Kaka unafanya mziki waheshima sana wenye mafundixho katika jamii ...naomba utengweeh 🔥🔥 mana una upeo na frikra za tofauti 🙌🙌

  • @bennyframa4505
    @bennyframa4505 ปีที่แล้ว +5

    Afu juzi tu nilikuwa naiifikiriaa. One of the best track kwenye collection za Dizasta🙌. Ringle ametisha sanaaa kwenyehii DARK Beat.
    Mvua kubwa ILINYESHA, KUONESHA , hata HALI YA HEWA ILIMSALITI PIAA."

  • @youngcee3145
    @youngcee3145 ปีที่แล้ว +2

    Kaka umekua mtu flan ivii ambaye Kila siku huchokw kisikilizwa,umenikubusha namna ya kuish 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥 appreciate sanaaa

  • @nakali79
    @nakali79 ปีที่แล้ว +1

    Ni emcee makini asiye yakimbia mapambano".. Mtunza misingi halisi, sio wale wa nyeusi na njano".. Mara waimbe taarabu, mara zouk na amapiano".Huyu ni dizasta vina, mchokoze upate kibano"...

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy ปีที่แล้ว

    Who narrates better than DIZASTA, I think the answer is no one like VINA

  • @mataizytembo7043
    @mataizytembo7043 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali

  • @samwelalphonce6326
    @samwelalphonce6326 ปีที่แล้ว +1

    Ya kikubwa Sana hii mzee wangu

  • @barikinehemiah170
    @barikinehemiah170 ปีที่แล้ว +1

    Hii ngoma n nomaaaa🎉🎉

  • @komboally8600
    @komboally8600 ปีที่แล้ว +1

    Kk tuko pamojaaaa d vina

  • @KazeLona
    @KazeLona ปีที่แล้ว +1

    Dizasta vina nimeskiliza Zaid ya mara tano🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gaddibullahtzg5635
    @gaddibullahtzg5635 ปีที่แล้ว +2

    Dizasta Vinaaaaaaa unatisha kama radiation congratulations Brother nakubali lecture zakoooooo🎉🎉🎉🎉

  • @Dancheba_tz
    @Dancheba_tz ปีที่แล้ว +1

    Aisee d.. noma sana

  • @Cabosport
    @Cabosport ปีที่แล้ว +10

    My favorite singer, I'm learning more from this guy.🇲🇿🇲🇿

  • @mosesharrison5233
    @mosesharrison5233 ปีที่แล้ว +34

    Bro your a genius, this is art in its purest form.

    • @dizastavina
      @dizastavina  ปีที่แล้ว +7

      Thank you so much

    • @mdudamotorc9600
      @mdudamotorc9600 ปีที่แล้ว +1

      Cjawah kuona genius wa song like you najuta kuchelewa kujua😭😭

    • @mdudamotorc9600
      @mdudamotorc9600 ปีที่แล้ว +2

      @@dizastavina najuta kuchelewa kukujua we ni genius Mr good song

  • @MashakaKilama-km5gm
    @MashakaKilama-km5gm ปีที่แล้ว +2

    Dizasta ni mwamba wa rap bongo nzima

  • @ghyldinhoclassic9635
    @ghyldinhoclassic9635 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni shabiki Yako mpya from Burundi 🇧🇮 +257 Bro mimi umeniacha mbali sana yani ngoma zako nimeziskia mpaka naanza tumia makamusi tu we ni Genius ❤ Respect Dizasta Vina ❤

  • @therealevah7775
    @therealevah7775 ปีที่แล้ว

    Duuh noma Sanaa nataman siku Moja niweze kupita vizuri Kama wewe bro aisee unajua sanaa🔥🔥🔥

  • @dizastavinafanaccount
    @dizastavinafanaccount ปีที่แล้ว +3

    Kalamu hii iheshimiwe/This pen shall be respected

  • @husseinabdi3377
    @husseinabdi3377 ปีที่แล้ว +1

    Muungano wa tangnyka na zenji.nipeni likes zangu bac

  • @FelixSamuel-d6j
    @FelixSamuel-d6j ปีที่แล้ว +1

    Umetisha bro

  • @KanudaSasi
    @KanudaSasi ปีที่แล้ว +5

    I have never commented on any youtube channel but this one is amazing, the message, flows, beats, and everything is awesome. The true meaning of Rap

  • @frankaloyce6438
    @frankaloyce6438 ปีที่แล้ว +1

    Very genius Dizasta,...The best story teller, but huu wimbo umenifikirisha sana kuuelewa🤔🤔🔥🔥🔥

  • @princenzago5234
    @princenzago5234 ปีที่แล้ว

    Huyuuu jamaaaaa mbn mwamba sana akili ako si ya kawaida kabisa duuuuuuh

  • @thobiasmtakatifu3174
    @thobiasmtakatifu3174 ปีที่แล้ว +1

    Shika .maua yako kaka 🌹🌹

  • @Shortbtz
    @Shortbtz 11 หลายเดือนก่อน

    Dizasta vina ni msanii ambae kila neno linalomoka unatamani kuendelea kusikia neno gan lingine linalo fata,,kiufipi jamaa niaatali sana

  • @scotawizzymrplanb
    @scotawizzymrplanb ปีที่แล้ว +1

    Hip hop kwenye mikono salama 🔥🔥🔥🔥

  • @nyemomtwanga9449
    @nyemomtwanga9449 ปีที่แล้ว +1

    Dah nilijua flashback kumbe dogo alikuja kubakwa tena probably na wajombazake, maana nao dada zao waliwah kubakwa na alieendq kufia porin probably alibàkwa

  • @ojkolabo8737
    @ojkolabo8737 ปีที่แล้ว +1

    Haujawahi nianggusha bro 🎉🎉🎉🎉🎉wanom🎉🎉

  • @DavidKalole
    @DavidKalole ปีที่แล้ว +1

    Dizasta mwenye vina vyake black Maradona we ndo king Wang wa hii game bongo

  • @usafirionline4465
    @usafirionline4465 11 หลายเดือนก่อน

    Kudadeq 🙌 jamaa una madini sanaaaa. Hii ndo tunaita sanaa. Una utofauti mkubwa na ma rapper au wasanii wengine hakika. Huu wimbo nime u Shazam mtaani ikabidi nifatilie

  • @pacojr9441
    @pacojr9441 ปีที่แล้ว

    Tatoo ya asili...vicious cycle of HIV/AIDS, dizasta umetisha sna,napendekeza gvn wakuweke ktk watunzi wa mashairi ya kufundishia ....uko level moja na chinua achebe💪🏾

  • @kashindemhapa2015
    @kashindemhapa2015 ปีที่แล้ว +1

    moja ya ngoma ambayo hua naisikiliza bila kuchoka "shahidi" now umekuja na kitu kipya mithili ile ya shahidi keep up bro umetisha sana vina👍👍

  • @abdurahmnsobo4810
    @abdurahmnsobo4810 ปีที่แล้ว

    Mwamba cna muda mrefu tangu nianze kukufatilia unajua sana japo ngoma zako nazozijua 3 Africa, Uhuru na wimbo huu ww co mtu wa kawaida ili mtu akuelewe inatakiwa acklize wimbo wako zaidi ya Mara moja ule wimbo wa Africa ulnixumbua sana kuuelewa

  • @afterx3172
    @afterx3172 ปีที่แล้ว +1

    Hunaga kazi mbovu mzee

  • @HAWIZO_
    @HAWIZO_ ปีที่แล้ว +1

    Dah! Hii ngoma kali sana sana, hongera kaka mkubwa ✍️🔥

  • @alfredyjoseph9832
    @alfredyjoseph9832 ปีที่แล้ว +1

    Brother anajua sana sema anamafumbo sana

  • @daudisinani8342
    @daudisinani8342 ปีที่แล้ว +1

    still listening na sijasikia bado... tuelewane sijasikia zaid ya dizasta

  • @leenashob7791
    @leenashob7791 ปีที่แล้ว +1

    Wee jamaaa noma sana bhna

  • @abdfattah883
    @abdfattah883 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali dizasta hukosei man

  • @princearsenal9131
    @princearsenal9131 ปีที่แล้ว +8

    Dizasta doing what he does best... Mad respect to this guy

  • @johnngitta369
    @johnngitta369 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Sana kwa mistari yenye fikra pevu🙌🙌🙌

  • @nicokimario3791
    @nicokimario3791 ปีที่แล้ว +1

    Unawakilisha jina💥🙌🏿

  • @FadhiliSolomoni-jr6rs
    @FadhiliSolomoni-jr6rs ปีที่แล้ว +1

    Sana broooo nakubali kaka

  • @RamadhanSwalehe-dw6oh
    @RamadhanSwalehe-dw6oh ปีที่แล้ว +6

    What a genius from this man always i support u since day one

  • @KingJacka_MwanaNzambe_
    @KingJacka_MwanaNzambe_ ปีที่แล้ว

    Hahahaaaa mwamba sana,So genius Brother.Kwa tunaokuelewa "To be continued........."Bonge moja la Muvie daaah.

  • @Yo_tune-tb5sn
    @Yo_tune-tb5sn ปีที่แล้ว +1

    Brooh nakukubali sana vina vyako vimenyooka sana

  • @hassanhassan1019
    @hassanhassan1019 ปีที่แล้ว +5

    God created dizasta for telling us the story... King of story teller

  • @roberthonjovu6045
    @roberthonjovu6045 ปีที่แล้ว +1

    My Idol best story teller

  • @Yuteman_Bigdon
    @Yuteman_Bigdon ปีที่แล้ว +1

    Dizasta vina kabla ujafa ushaacha chata ukutani ambayo aifutiki zaidi ya tattoo ya asiri

  • @amanimushi4052
    @amanimushi4052 ปีที่แล้ว

    Aiseee hawakukosea walio kuita VINA ✊🏾

  • @amulikesanga1315
    @amulikesanga1315 ปีที่แล้ว +6

    Mtoto alizaliwa na virus akiwa na tatoo ya asili nae kabakwa pia. Great story, sometimes history tend to repeat itself, if ignorance is not cured.

    • @kevinnyasaka872
      @kevinnyasaka872 ปีที่แล้ว

      Na alibakwa na vijana wadogo ambao wazazi wao ndio waliomfukuza yule mama kutoka kwenye kijiji

  • @albertayubu3377
    @albertayubu3377 ปีที่แล้ว +1

    "Professor Tungo skills kwenye verses/ Sioni dawa maana nipo ill kwenye Tenzi/ Nipo high na bado naSpeak deadly naSpeak Fact MaMC wengi hawaSpeak Sense/ Yeah mi ndo Simba kwenye Cave/ VINA misumari Inch 9 usije Peku Hata wabane vipi kufanya RAP sitojutia DIZASTA NA BEAT NI VITA YA TATU YA DUNIA"

  • @UPCOMINGWHALE
    @UPCOMINGWHALE ปีที่แล้ว

    nakubali sana @dizasta vina kazi nzuri

  • @nyunyaboy9523
    @nyunyaboy9523 ปีที่แล้ว +1

    mamaee dizasta fundi😅🙌🙌🚀

  • @hamzermahundu6371
    @hamzermahundu6371 ปีที่แล้ว +1

    Nomaa

  • @cobwaafri
    @cobwaafri ปีที่แล้ว

    napenda sana hizi stori yani unajua na unajua tena

  • @thevibeinternational5289
    @thevibeinternational5289 ปีที่แล้ว +1

    Message kaka on it.

  • @ibrangala7753
    @ibrangala7753 ปีที่แล้ว +3

    💯💯 from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @luktz853
    @luktz853 ปีที่แล้ว +1

    Kihodombi street we're proud of u big💪🙌🙌

  • @seangraceswt8037
    @seangraceswt8037 11 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana njia zako bro ubarikiwe