Dizasta is very intellectual, mindful, script writer, lyricist, musician and natural gifted man you can say he has philosophical, transgressive mindset, with unconventional perspective along with marvelous way of narration from his writing which imply the poetic mentality from very different level. To understand what he intent or the way he conveys the message in his songs you need brain man! For real he is Genius! As ultimatum, has very high consciousness beyond ordinary, he tries to do music in a unique story-telling style way, I have listened 90% of his songs, he did amazing work. I think his work has been very inspirational to young generation musician who fit to this type of music especially in HipHop. When different people try to listen to his songs everyone feels they have been touched in very different way.
Yaan mm manzi yang mara ya kwanza alikuwa ananiambia nyimbo gani hzo lkn baada ya kuanza kumckilzisha MWANAJUA, SHAHIDI, NDOA, MONEY sasahv yy ndio ananipa update kuwa RAFIKI YAKO DIZASTA KATOA WIMBO MWINGINE HUKO anazipenda hasa zile NOBODY IS SAFE tena hasa Namba 4
Hatua ya kwanza naanza kuisikiliza nilikuwa nimetengeneza mawazo yangu kichwani, hatua ya pili nikabadili welekeo. Ebwana! Hatua ya tatu nikasikigina fegi na kisigino cha kiatu. Nairudia tena hii timu. Sina nyongeza brother.
Enyi watu mtakaoishi mpaka mwaka 2080 na mtakaozaliwa mimi Babu yenu niliishi kwenye hii generation ya the best hiphop artist,nimeshuhudia hizi harakati, sijajua kama kizazi chenu kitapata bahati ya Kuwa na Rapper mwenye akili kiasi hiki lakini nawaaambia tu mtu uyu walikua wanam-Underate imagine..Basi mumpe heshima yake Babu yenu huyu.
We Mzee nyoko Sana Yani, umeshindikana, upo nje ya hii sayari, bado sijaona wakufika ulipo kaa wewe🙌🙌🙌bonge la kazi Yani ni 🔥🔥🔥🔥🔥the high voltage ⚡ Mae! Bonge la story Mzee wangu big up Sana 👊👊👊
vina apa ndo nimekuelewa uliposema upo underground umeshikilia nguzo. apa tanzania hakuna roma mwenye stamina ya kurap na wew coz wee ni god wa rapppp khaleluyaa
Nilipata notification yahuu wimbo juzi lkn mazingira niliyopo nikashindwa hata kushika cm......... Hili nidarasa tena.....We jamaa watu wanakuelewa sana
Jamani weekend ilikuwa mbya brother the top of the top best lyrical rapper never seen kabadilisha weekend ninaenjoy popot niendapao na MCHEZAJI WA TIMU💥💥
Ndoto angu nawe ufike ulaya kwa kuwasilisha utungo kwa lugha adhim ya kiswahili ili muda wa ile midundo yao wakujue kaka me Sina jipya kwako nimekukubali toka kigoma sec kaka life Ako lilikuwa very chermming
Dizasta Vinna wewe ni toleo la mwisho la viumbe wa aina yako, upo kwenye dunia yako mwemyewe. Huwa nasikitika sana ninaposikia wanavyokulinganisha na wasanii ambao hawafikii hata robo ya uwezo wako
Dizasta Vina! We ni mwandishi bora na makini sana Big Up Brother Wewe ndo King 👑 Rapper dunia ya music inapaswa ikupe maua yako. Hii ngoma ya kufungia mwaka, music haikati kichwani👏🏿💪🏿👍🏿🖐🏿🙋🏿♂️✍🏿
Big time so kitoto natoa sharout kibaunsa so kinoko......hi ngoma ninyoko nanakukuhakikishia utafika mbali so kidogo.......dizasta we nimbogo kwa round hii madogo watajiona wao maloko.... Aseeee Tena fyonko......nimekuelewa noma hii ngoma ka msokoto.....aseeeeeeeeee umetisha Kaka big man nimependa script yote Kama kitabu Cha rap😂😂🎉🎉🎉 🔥
Brother unajua vibaya mnoo uko vizuri serikali inabidi ikupe tuzo yako pekeyako much respect for the thoughtfull messages ur providing to your funs respect
Dizasta is very intellectual, mindful, script writer, lyricist, musician and natural gifted man you can say he has philosophical, transgressive mindset, with unconventional perspective along with marvelous way of narration from his writing which imply the poetic mentality from very different level. To understand what he intent or the way he conveys the message in his songs you need brain man!
For real he is Genius!
As ultimatum, has very high consciousness beyond ordinary, he tries to do music in a unique story-telling style way, I have listened 90% of his songs, he did amazing work. I think his work has been very inspirational to young generation musician who fit to this type of music especially in HipHop.
When different people try to listen to his songs everyone feels they have been touched in very different way.
🎉🎉🎉🎉🎉
noma sana
Yah sometimes you need to be intelligent too and very reasonable to understand him
Simply, genius.
Definetly
Nasikia harufu ya polisi kwa huyu bwege,
Jesca akamuwai we chizi acha useng×.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Leo wa kwanza nipen like zangu from songea RUVUMA DIZASTA💥💥💥
Unstoppable master vina from BBC London 🏴🔥💥👊
Wa namba flan from Ruhuwiko
Dizasta Vina
Hahahahaa! M nilikuwa nimelala tu ila ningekuwahi kaka, sema hamna mbaya kikubwa uzima👊
Homeboii💪💯
Nimechelewa kidogo nimekuwa 20😢 lakin kama unaamin dizastavina is number one rapper in Tz like here from BBC London 🏴🔥💥👊🇹🇿✈️
My children will have all the freedom to listen to dizasta vina's music or else leave my house
you think just like me brother
What a courage 😅
Itabidi umfundishe kufikili kwanza😂
100
Yaan mm manzi yang mara ya kwanza alikuwa ananiambia nyimbo gani hzo lkn baada ya kuanza kumckilzisha MWANAJUA, SHAHIDI, NDOA, MONEY sasahv yy ndio ananipa update kuwa RAFIKI YAKO DIZASTA KATOA WIMBO MWINGINE HUKO anazipenda hasa zile NOBODY IS SAFE tena hasa Namba 4
Arusha town wamethibitisha hili ni bonge la ngoma,likes ziko wapi
My best writer of all time😊,wanaomkubali Vina tugonge like hapa tuendelee kufurahia mziki mzuri
Waungwana tusiishie kumsifia tu mwamba anauzaga album zake on line tununue kwa wingi ili jamaa aendelee kutushushi midizasta yenye VINA yake
Daah. Mwanangu unatisha kinoma. Mimi kuanzia leo shabiki yako
For those who will be here in 3010 years to come in our absences remember thiz man was our teacher shule nzima kwake❤❤❤❤❤❤❤
WATOA WAPI VITU HIVI KAKA JAMBAZ,,,,,,AU DUNIA TUNAYOISHI CC SIO DUNIA UNAYOISHI WWE,,,,,,UNA MOYO MKUBWA SANA DIZASTA VINA,,,,,,HOPE KALII✊
Hatua ya kwanza naanza kuisikiliza nilikuwa nimetengeneza mawazo yangu kichwani, hatua ya pili nikabadili welekeo. Ebwana! Hatua ya tatu nikasikigina fegi na kisigino cha kiatu. Nairudia tena hii timu.
Sina nyongeza brother.
Alishasema yupo kwenye top two and he is not the second am here to prove ✔✔
Vina is the best
Tuzo ya utungaji Bora inamuhusu🎉🎉🎉🌍🙏
Enyi watu mtakaoishi mpaka mwaka 2080 na mtakaozaliwa mimi Babu yenu niliishi kwenye hii generation ya the best hiphop artist,nimeshuhudia hizi harakati, sijajua kama kizazi chenu kitapata bahati ya Kuwa na Rapper mwenye akili kiasi hiki lakini nawaaambia tu mtu uyu walikua wanam-Underate imagine..Basi mumpe heshima yake Babu yenu huyu.
🎉
Umetisha broo
Huyu mwamba inatakiwa awepo kwenye kitabu cha kiswahili (fasii) na asomwe kuanzia la kwanza mpaka chuo. Kaka dizasta unatisha
We Mzee nyoko Sana Yani, umeshindikana, upo nje ya hii sayari, bado sijaona wakufika ulipo kaa wewe🙌🙌🙌bonge la kazi Yani ni 🔥🔥🔥🔥🔥the high voltage ⚡ Mae! Bonge la story Mzee wangu big up Sana 👊👊👊
Daaaaaah aiseee we ni Mungu wa rap🔥🙌🙌🙌 hallelujah napenda nijifunze uwandishi wako hakuna rapper wala mc anaekufikia
Jama anajua San tumpeni mauwa yak ayanuse👏🥀🌹🌹🌹🌹 mapema kabla ajafa
Man of the world 🌍 mzee wa vinaa , nipe like
We jamaaa unajua mpka unajua Tena
HISIA ZINAZOTEMBEA.✅
Shule Ulikuwa King kwenye Dorm fight Ila ukapigwa na jamaa Prom Night. Hujawahi kuniangusha Prof Tungo.
Narudia tena na tena na tena huyo ndio rapper wangu bora wa muda wote achana na wao wapiga kelele more than story taller 🔥 🔥 🔥
Akili kubwa sana unajua sana kuandika imenibili kusikiliza zaid ya mara tano ili kuelewa.
Mpaka unatamani kama Kuna next episode... Mf you rock🔥
Dizasta the next earth 🔥🔥wachezaji cheza kwa step mi beki 5😂 respect bob
vina apa ndo nimekuelewa uliposema upo underground umeshikilia nguzo. apa tanzania hakuna roma mwenye stamina ya kurap na wew coz wee ni god wa rapppp khaleluyaa
Huyu Ndio Dizasta vinna niliekuwa namsubiri kwa Muda Kidogo!✌️
Watu wanachohifadhi ni mbinu!!!
Best writter,best story teller with incomparable intelligence of the century 🔥🔥viva DIZASTA viva you are a mental therapist
Bongo movie's mnafeli wapi njooni kwa mwamba awape vitu maana movie zenu hazina content za maana
dah ila dizasta me natamani kila siku uwe unatoa ngoma sitachoka kusikilza wew ni number moja yang🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
We jamaa unajua sana aisee sio poa
Big up nilikuwa nawaza kweli tusipate hata song ya kuvuka mwaka
Sijawahi Jutia sikiliza Nyimbo za Huyu Mwamba💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Stanza kama zote 🎵🔥🔥🔥🔥🗣️ sauti ya Tanzania. ......✍️from Nairobi Kenya..
Dizasta wewe basi tena leo ndo nimethibitisha Upo kwenye Sayari Ya Peke Yako Hakuna Mtu Anaefikiria Kuandika More than U 🔥🔥🔥
Bs ndo ivo bhn nusu tumkose dizasta vina 😊😊
Umeufunga mwaka kaka .... HAIPINGWI STORY TELLER 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ni zaidi ya nyimbi big brother dizasta vina..asiye kukubali ni mchawi..1000000000🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kuliendaje na jessica baada ya kugundua dizasta ni polisi😮😮
hatari
Jesca akasema we boya acha usenge🙌
Nilipata notification yahuu wimbo juzi lkn mazingira niliyopo nikashindwa hata kushika cm......... Hili nidarasa tena.....We jamaa watu wanakuelewa sana
Sikutaka kukurupuka kuisikiliza nilitaka nitulie kama hivi leo ndio niingie darasani. Shule ya bure ada bando lako tu✊
Achia jala💥🙌🙌🙏
Hv Basata na Bakita haimuonag huyu mjamaa wamjengee sanam au kumuandalia kitab cha mhan bora wa muda wote wa mashairi na tenz.
👏👏👏👏👏 kabisaaaa Amin bob
Ngoma Kali Hadi unatamani kuskikiliza muda wote
Jamani weekend ilikuwa mbya brother the top of the top best lyrical rapper never seen kabadilisha weekend ninaenjoy popot niendapao na MCHEZAJI WA TIMU💥💥
Sidhani kuna rapper TZ zaidi ya huyu jamaa. More love from Kenya
Black maradona another one🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥🔥🔥
Anajua had anazidi sanaa sasa🔥
Gonga Like kama unaamini Dizasta ni Mwanahihop bora kwa sasa hapa Tanzania.
Storytelling ✍️100%
Strong verses ✍️💯
Style rap 💪💯
Hii niyamoto aise 🎶💪👏👏👏👏
Ngoja nikomenti ili mwaka 2070 mtu akilike inirudishe kwenye hii masterpiece... hii biti sasa acha tu
Najifunza vitu vingi sana kutoka kwa Black maradona kweli huo umeme ni wa Cable nying
Heshima Dizasta kila ngoma inatibu.
Ndoto angu nawe ufike ulaya kwa kuwasilisha utungo kwa lugha adhim ya kiswahili ili muda wa ile midundo yao wakujue kaka me Sina jipya kwako nimekukubali toka kigoma sec kaka life Ako lilikuwa very chermming
Dizasta weka group tukipe hata 10k per month ww jamaa n hatar
REAL LOVE
Dizasta akitoa ngoma naona kama nimepata mshahara
Master kama Master storyteller DIZASTA VINA always ubunifu tu👏👏👏💪🎶🔥🔥🔥🔥
Vipi mazee, nasoma comments zetu kwa sauti ya Dizasta, nikifatiza hiyo beat, jaribu tu utapenda 😂😂😂
Dizasta Vinna wewe ni toleo la mwisho la viumbe wa aina yako, upo kwenye dunia yako mwemyewe. Huwa nasikitika sana ninaposikia wanavyokulinganisha na wasanii ambao hawafikii hata robo ya uwezo wako
Kutoka moyoni Nakuelewa sana Mr Tungo love ftom🇧🇮
Dizasta vina wachezaji timu n mwixho 🎉🎉
Dizasta Vina! We ni mwandishi bora na makini sana Big Up Brother Wewe ndo King 👑 Rapper dunia ya music inapaswa ikupe maua yako. Hii ngoma ya kufungia mwaka, music haikati kichwani👏🏿💪🏿👍🏿🖐🏿🙋🏿♂️✍🏿
Big time so kitoto natoa sharout kibaunsa so kinoko......hi ngoma ninyoko nanakukuhakikishia utafika mbali so kidogo.......dizasta we nimbogo kwa round hii madogo watajiona wao maloko....
Aseeee Tena fyonko......nimekuelewa noma hii ngoma ka msokoto.....aseeeeeeeeee umetisha Kaka big man nimependa script yote Kama kitabu Cha rap😂😂🎉🎉🎉 🔥
Nadhani hii ngoma inahitaji video, itabamba sanaaa 🔥🔥
Kutuletea dizasta ni Namna fulani hivi mungu anatupigania tuwe waelewa
Yo vina Team Nairobi tunakutambua Sana Hip hop ya bongo iko mikono salama❤❤
Mwalimu wangu D zasta nakukubali sana
Unyama mwingi 🎉
nimemsikia kaa humo ndan . hop kuna goma lingine atahusika mna chemistry nzuri saaana. goma limeenda bro
Hahahah dah MAUFUNDII🔥🔥🔥🔥.. Yaani ngoma inaanza kwa kukuhudhunisha afu mwishoni unagundua storyteller ni Police Mpelelezi unajikuta unatabasamu automatically😅😅😅..
Maua kwa @dizasta_vina 🎉
Dah speechless, nawaambia kila siku kitaa kuhusu huyu mwana. Umenifanya nifute nyimbo zote, nibaki na zako tu
Familia Dizasta brother unaweza man calm down utawauwa ao vijana
Mwamba uliko kweli ni mbali sana
daaah me cna neno mkuu umetisha humu✌️✌️✌️✌️✌️
Mwanahip hop msimuliaji bora, ambaye upo tofauti..
Mbona huyu mchizi anajua hivi na yuko bado bongo hakika wa Tanzania tunaweza👍👍👍 nimeangalia movie kwa audio aisee hatarii sana Dizasta
Unajua sana mwamba hautaji kugombania tuzo yoyote umezizidi tuzo hadhi
Brother unajua vibaya mnoo uko vizuri serikali inabidi ikupe tuzo yako pekeyako much respect for the thoughtfull messages ur providing to your funs respect
Kunfananisha Dizasta na vitoto visengevisenge vya 99 ni kumkosea sana huyu Ofsa!
Dizasta mashabiki tulimix nyimbo za move❤
Dizasta hii ni muvi mzee, tunahitaji hii iwe filamu aisee
Mr.Dizasta....UNANIDAI, amini!!
DIZASTA kwenye VINA vyake ni 🔥🔥🔥
Flash yang imejaaa midundo yako tu mzee nkitoka job point ya kwanda nawasha mdundo yaaan motoooo
Muonekano kama rostam barhesa na mengi D lengendary 🫡🔥
Dizasta vina,thanks for Good music and story teller to us like na watch movie flan mmh Rapper wangu Bora wamda woteeee ✍️🎶🎵🙏♥️🇹🇿
Vina!!! Kichupa kimenyooka we ni nyoko√√√
Daaah bro heshima nyingi kwako uwezo wako sio wakawaida 🎉🎉🎉🎉🎉🙌🏼🙌🏼
huwezekani mzeewang ukifa ww huachi pengo yan umeacha kiwiliwili tu mana we ni kichwa
Hanaga ngoma mbovu💪
Hizi ngoma za Black Maradona unaweza ukazisikiliza njaa ikaisha maana zina madini yote
Naaaaam tuko pamoja na dizasta
Story imeeleweka sanaaa vina vimepangika broo unatalent kubwa sanaaa🔥🔥💯💯
We chizi acha usenge 😁🔥🔥
oya hiii niya motoooooo atal brack maradona
Hakuna rapper kama dizasta huyu jamaa ni fundi sanaa❤❤
goma kali saana hujawai niangusha.
Mwambaa unajuwaa tenaa sanaa 🔥🔥🔥🔥
Yes men 'your a real story teller Bongo nzima hamna kama dizasta vina ,kwakifupi jina Lina endana na kinacho skika au kuonekana✌️🆗☑️