The best way to maneuver an enemy. Masterpiece song. According to Sun Tzu, the art of war, then, is governed by five constant factors to be taken into account in one’s deliberations when seeking to determine the conditions obtained in the field. In my understanding, you have applied the 3rd principle, which is EARTH. Lyrics was well planned for a future big win.
" mitihani hii haina majibu palipo amani pana taifa nadhifu usitegemee niwe msafi kama malaika wa mbingu na unajua mi binadamu mwenye haiba dhaifu" this provokes a tear Bro 🔥🔥✍️ wino kweli ulimwagika hapa Love from Kenya
oya kaka mkubwa lile atomic bomb unalo andika usisahau kuna mwengine kaunga, motra the future sasa iki kupendeza wa jumlishe tuu wote. Ata ikiwa nyimbo ya lisaa tunaskiliza😊😊
If Rapcha is typing...he better be ready to become she...Dizasta anauwezo wakumbadili Fid kuwa sajna,yeye atabadilishwa jinsia kuwa Zuchu..Akacheze na watoto wenzake wakupiga kelele hapo anaingia kwenye tanuri la🔥🔥🔥
Ngoma ya Dkk 8 Trending on top 5 Zilizobaki hazifikishi Dkk 5 Do you know what it takes to listen to a 8 mins song that doesnt talk about Love/sex/gossips/Politics but STRAIGHT AND RAW HIPHOP!? Oiii "D" that is history
Vigezo wanavyoangalia hao sijui ni vipi ili ikija upande wa usawa hilo tuzo lingaichiwa DIZASTA alihifadhi kabisa maana hakutatokea tena mwengine atakaekuwa na uandishi kama huu
Shida watu wamemjua jamaa juzi tuuu ndo maana Hata wanafananisha na hyo anayeimba Kwa Sauti ya juuu kama kwaya huyu mwamba anajua na nyimbo zake zingine unaweza usielewe Hata mwaka mzima
@@igpk2275 hapo target yake kubwa ni Rapcha ndo maan 80% ya hii nymbo inamuhusu yeye na wala sio diss kwa rapcha hapan ndo maan always anasound we are best friend anamwambia ashukuru sana leo kaka ake anampa darasa bure kwa kuwa ana maujuzi kama Ngwear ama Bruce Lee
huwa nikisikiliza Ngoma za dizasta vina Nakumbuka mistari 2 ya Nyenza MC kuwa " uandishi makini huwa ni ngumu kusomwa" Na "kuelewa kipaji kunahitaji kipaji".uwezo wa dizasta katika kiwanda hiki cha muziki sijaona wa kumlinganisha nae hapa bongo akili ya huyu jamaa ikipimwa vzr unaweza kuta kuna migodi ya madini kama buzwagi,mwadui,kakola,nk Yule dogo kaingia kina lirefu sana sidhani kama ataweza kutoka kama ataweza kuijibu hii kwaufundi kama uliotumika humu namm naanza muziki rasmi
"Wanaita wanawake mabitch, utadhani hawatapata mabinti" "Futa candy crush kwenye simu" "Siwezi ringa nyumbani mbali bro" "Furaha yangu ni kuona umamretire bi-mkuwba nyumbani" "Pole sana universe doesn't play fair" "Ukilala game itakujig-jig now now".... These nukes are not for an individual, Dizasta is attacking an archetype... He is a poetry genius and a gift for our generation.
Dizasta Vina: Huyu jamaa ana uandishi wa kikatili sana. Ukiwa rapper mzuri na mwenye mkubwa kama Dizasta na umeenda Shule kwa Degree 1 au mbili impact yake ndo hii. Hard-core hip hop haina huruma kabisa, na hutakuwi kulia lia kama Rapcha. Yaani humu Rapcha kapewa shule ya kukaza mara 8 zaidi ya jinsi alivyokuwa mwanzoni.
Huyu Rapcha amekuja juzi Mjini na kupata ujasiri wa Kumtaja Dizasta kwenye wimbo. Sasa kapata alichokihitaji. Nadhani huko alipo Rapcha anatetemeka.😂😂😂
Lunya left.. Rapcha Typing🤔.. Tale trip to garilaya.. Fela Muted... Kadgo Witness.. Candy Crush Uninstalling.. Mavuzi got Respect🙌🏾.. Mende got shot💥 Kanisa knows everyting about Dizasta🫢 I'm going to react this Case🏃♀️
Hii inanikumbusha Machine Gun alivyomdis Eminem Killshot ikamuhusu aisee rapa wenu amechokoza mzinga wa Nyuki hii ikawe fundisho Kwa marapa wote wanaodis Culture Dizasta is A Legend men ✊🏾
Sema Tanzania atuna usimamiz mzuri kwenye sanaa kwamana Ukiangalia Tuzo wanapewa wale ambao hawajui uandishi Bali mziki wao una Bebwa na mabiti yenye mkito mkarii na sio uandishi. Wale ambao Wana jua uandishi na hawana promo wanakuwa wanajifanya hawawaoni na hawathamini ila cc mashabik tunazd2 kuwafuatilia atuchoki 🔥🔥🔥🔥 Dizasta is better artist kweny nchi hii uandish wa umakin kama Huu wanao wachache sana na Hawana promo nying na Wala hawapew kipa umbele kwenye media yeyote apa Bongo 😥😥
@@totojinga2795 yan ata hazifanan we jamaa disaster hajawai kurudia beat...mi nawashangaa wanaosema nymbo zake beat lile lile....tatzo watu wanaskia ila hawamskiliz mshkaj ni 🔥🔥
Rapcha umekanyaga waya huyu jamaa SI wakumdiss kabisa hili goma utazani limetungwa miaka 100 kumbe limetungwa siku 1tu na kichwa timamu dah dizasta unajua sanaaaa& good song@
There no coming back after this, this is a straight casket. Mtu anakufundisha alafu anakudiss alafu tena anakukumbusha alafu anakuelimisha alafu anakudiss alafu anakukumbusha. Damn.. after professor jay, fid q na nikki mbishi nimewapa hii nafasi kwa ajil ya u legend... ila this guy disaster nobody can fuck with him, alafu its a miss match katumia bunduki kuua mende
Tupo tofauti kama sigara na tumbaku so ukiletea chuki hiyo ni ishara ya upumbavu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Huu mstari nimeuelewa sanaa kaka hakuna rapper yeyote anaeweza kua kama ww wewe ni the best 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Rapcha alilikoroga...hii kapigwa kwenye kila mshono lazima ainame na kusikilizia maumivu😅😅😅. Nilikua namkubali Rapcha ila kumdiss Vina imebidi nimpunguze kwenye favorites. Dizasta, take a bow brother🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Every now and then I come to revisit this masterpiece. For my mental health
best song ever ..the reality on it is lit broo ...kazi safy
The best way to maneuver an enemy. Masterpiece song. According to Sun Tzu, the art of war, then, is governed by five constant factors to be taken into account in one’s deliberations when seeking to determine the conditions obtained in the field. In my understanding, you have applied the 3rd principle, which is EARTH. Lyrics was well planned for a future big win.
" mitihani hii haina majibu palipo amani pana taifa nadhifu usitegemee niwe msafi kama malaika wa mbingu na unajua mi binadamu mwenye haiba dhaifu" this provokes a tear Bro 🔥🔥✍️ wino kweli ulimwagika hapa Love from Kenya
Watoto wanakuja jana af wanadiss babazao 😅dizasta shkamoo
"Mjini umekuja juzi juzi alafu unaleta makuzi mamaye" kama umesikia hiyo acha like🔥🔥🔥🔥
Mstari wa rapcha huo nn
Black maradona hatari
Rapcha choko yule
Imesikika hiyo naniukweri
ukosawa yooh
oya kaka mkubwa lile atomic bomb unalo andika usisahau kuna mwengine kaunga, motra the future sasa iki kupendeza wa jumlishe tuu wote. Ata ikiwa nyimbo ya lisaa tunaskiliza😊😊
Hizi Dakika 8 za maangamizi make hip hop Culture iko hapaaaaa...
Dizastaaaaa....
Hatwariii,kauwa Sana panorama
Tulio lud kusikiliza tena hii ngoma tujuane kwa likes apa
Haya mlikua mnabisha Kaka yangu dizasta hatojibu niliwaambia ni Kaka yangu namjua sio mnyonge manina likes hapa nizione 😂😁😁
Kama unaamin dogo rapcha kayakanyaga gonga like apa 🐐
Dizasta n vorteller
Rapcha is still young here...Dizasta 💯
Rest In Peace Mangwair Hip Hop legendary. Hollaa Dizazta U re too a legendary bro
Professorial substance, really substantial,full body of work,maths, science and history all combined.The reach for the stars.
Black maradona
this is space's stuff....... people on the earth can not manage
@@luganonsubisi3418 anakwambia yupo tayari alikua tayari na ameshakua tayari
yaani NI wewe2 ukijichanganya anakunyandua
@@luganonsubisi3418 >
Scientists 📻
Kwa kweli huyu dogo nneskiliza ngoma zake kadhaa kuna KANISA, KIKAO, ..ila iyo kikao dah
Ile Siku mbaya na Hatia V, daah!!
Nishadiss hadi kanisa langu msenge, hukumbuki unataka Niue mende kwa bunduki 😀😀😀
master on teaching mode 💪
futa candy crush kwenye simu ✊🏾
as usual, track yoyote ya Dizasta huwa like kwanza kisha nasikiliza, Likes zangu hazijawah kwenda Bure. Dizasta Genius sana
hahahahha
Kumbe wewe kama mimi naanza kulike kwanza alafu ndio nasikiliza.
Hakika
Black maradona
Lunya left..🚶♂️
Rapcha Typing...📝
Tale trip to garilaya...🚗
Fela Muted...🔇
Kadgo Witness..😇
Candy Crush Uninstalling...🚮
Mavuz got Respects 👮♂️
Mende got shots🔫
Kanisa knows everything about Dizasta
If Rapcha is typing...he better be ready to become she...Dizasta anauwezo wakumbadili Fid kuwa sajna,yeye atabadilishwa jinsia kuwa Zuchu..Akacheze na watoto wenzake wakupiga kelele hapo anaingia kwenye tanuri la🔥🔥🔥
Huyo mtoto mwacheni apate somo. Kakutupukia rap Alafu hataki Elimu. Shenzi Sanaa hawa watoto wa type yake.
P hajakwambia game jela,sio daycare?🤣🤣🤣🤣
😂😂😅😅
Black maradona hatari
IDARA YA UHAMIAJI INABIDI WAMCHUNGUZE HUYU DIZASTA ILI WAJUE KAMA NI MTANZANIA AU MKIMBIZI KUTOKA USA …! 🤔
Ngoma ya Dkk 8
Trending on top 5
Zilizobaki hazifikishi Dkk 5
Do you know what it takes to listen to a 8 mins song that doesnt talk about Love/sex/gossips/Politics but STRAIGHT AND RAW HIPHOP!?
Oiii "D" that is history
P hajakuambia ...Game jela... sio daycare
Tuliotoka kule,na tukajua dogo kakurupuka tena
99 tafuten pa kupeny maana c kwa moto wa dizasta. Mtakuf ghafla bila kuugua😂😂😂😂😂
Huyu mwamba apewe tuzo yake ya utungaji Bora, Ngoma zake zote Kali asee🔥🔥🔥
Nakubali dizasta anaulimwengu wake kwenye huu mziki
Akili zao haziwaruhusu kumuelewa ila ngoma za dizasta zinaishii 💥💥💥
Uandishi wa huyu jamaa apewe kazi kwenye ngazi Fulani afundishe wasanii 🔥🔥🔥🔥🔥
Vigezo wanavyoangalia hao sijui ni vipi ili ikija upande wa usawa hilo tuzo lingaichiwa DIZASTA alihifadhi kabisa maana hakutatokea tena mwengine atakaekuwa na uandishi kama huu
Oya kaka ngoma zake uhakika
Edger Vicent Mwaipeta MNYAKYUSA,,,,,,,,The Black Maradona
Professor Tungo
Hao ndo watu waliotoka kwenye dunia ya punchline,dunia ya uandishi bora 💪💪💪💪watu wenye sanaa yao
Shida watu wamemjua jamaa juzi tuuu ndo maana Hata wanafananisha na hyo anayeimba Kwa Sauti ya juuu kama kwaya huyu mwamba anajua na nyimbo zake zingine unaweza usielewe Hata mwaka mzima
Hiyo inaitwa kung’atwa nakupulizwa, unapewa vitu alafu unapozwa you are my best friend 😂😂
Nimecheka 😂😂😂😁😁😁
Hahahahaa hatari kaka
Ah apo rapcha kaya kanyaga hawezi ku bato na uyu jamaa
Kila Mwezi lazima huwa nirudigi hapa kusikiliza. Nitaendelea na utaratibu huu hadi Mwisho.
Kama unamkubali dizasta vina gonga like ipa
KAMA UMERIRUDIA HILI GOMA MARA KUMI KULISIKILIZA GONGA LIKE HAPAAA DIZASTA VINA MESSI WA HIPHOP🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥
Sio mara kumi km tisini
Nmeirudia masaa yote ata sielewi n mara ngap
Iko kwa repeat mode,nimeisikiza siku nzima naona kama ndio naianza mara ya kwanza...lazima apate somo la bure
Sio mara kumi tuuu mara Kwa mara
Sijui ushabiki wa mziki unazingatia nini kwakweli..huyu DIZASTA kwanini sio msanii mkubwa??uandishii utaupata wapi???
Kuna ngoma moja huyu jamaa sijui kashirikiana na Nan vile ....hila anabishana na bounsa ivi....john from Kenya nisaidieni kuipata
Yupo na Shaulin inaitwa Baunsa
Kama umesikia Rapcha kamalizwa kwenye verse ya mwisho weka like hapa 👍👊
Kapewa Kuma Mae
Hatari aiseeerr
Demu wake yupo Dubai na kichupi🤣🤣🤣
hahahahahaaaaaaaaaaaaaaa mammaeee hahahahaaa 🤣🤣😂🤣🤣😂
@@ibrahimusuphian454 🤣🤣🤣🤣
Dah na enda nunua Album yah huyu mwamba kwa kweli 🦅
Nimependa sana huu mstari "Shukuru leo kaka ako nipo so school is free ,skills ka' Albert Mangwair ama Bruce lee" 🔥
Kamaanisha nn hapo
@@igpk2275 hapo target yake kubwa ni Rapcha ndo maan 80% ya hii nymbo inamuhusu yeye na wala sio diss kwa rapcha hapan ndo maan always anasound we are best friend anamwambia ashukuru sana leo kaka ake anampa darasa bure kwa kuwa ana maujuzi kama Ngwear ama Bruce Lee
Umeelewa nn lakn hapo kiongozi??😳😳😳
Eeeh bana nmecheka saana niliposkia huu mstari
Mamaeee🙌🙌🙌🙌
huwa nikisikiliza Ngoma za dizasta vina Nakumbuka mistari 2 ya Nyenza MC kuwa " uandishi makini huwa ni ngumu kusomwa" Na "kuelewa kipaji kunahitaji kipaji".uwezo wa dizasta katika kiwanda hiki cha muziki sijaona wa kumlinganisha nae hapa bongo akili ya huyu jamaa ikipimwa vzr unaweza kuta kuna migodi ya madini kama buzwagi,mwadui,kakola,nk
Yule dogo kaingia kina lirefu sana sidhani kama ataweza kutoka kama ataweza kuijibu hii kwaufundi kama uliotumika humu namm naanza muziki rasmi
Akijb atajib matus na kujisifia king wa 99 na ana hela, ahahahaa
G.O.A.T ✅
The 🐐💪💪💪
Ume tumwa
Hilo Halina ubish
Top 5 zangu, na wewe taja zako
1. Tupac
2.Dizasta
3. B.I G natorious
4. Afande Sele
5. Wengineo
Gezz mabovu
Ngwair
Wizy kharifa
PAC
D vina
Bro sisi tushafunga mwaka labda uamue mwenyewe kutubless na NOBODY IS SAFE 5 tumpe SoMo dogo Maana amejiwasha
ARGENTINA IS PROUD OF MESSI.... HERE TANZANIA OUR MESSI IS DIZASTA. THIS MAN IS COMPLETE PACKAGE THAT THE INDUSTRY NEEDS.
Humu ndani yamepigwa mawe siyo ya dunia hii,msamehe tu dogo alitereza tu mzee wangu
Dizasta vina's tracks you can't listen while walking. You must sit down. 🔥🔥🔥🔥
Gia ya chini ya ufundi wangu
"Wanaita wanawake mabitch, utadhani hawatapata mabinti"
"Futa candy crush kwenye simu"
"Siwezi ringa nyumbani mbali bro"
"Furaha yangu ni kuona umamretire bi-mkuwba nyumbani"
"Pole sana universe doesn't play fair"
"Ukilala game itakujig-jig now now"....
These nukes are not for an individual, Dizasta is attacking an archetype... He is a poetry genius and a gift for our generation.
Not to mention the wordplay skills 🙌🏾
I had to screenshot this bro, stored on my archives ❤
Well put
Rapcha kaa mbali,iki kichwa balaaa
"Tunaiheshimu culture tukifagia hatutupi ndani"🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dizasta Vina: Huyu jamaa ana uandishi wa kikatili sana. Ukiwa rapper mzuri na mwenye mkubwa kama Dizasta na umeenda Shule kwa Degree 1 au mbili impact yake ndo hii. Hard-core hip hop haina huruma kabisa, na hutakuwi kulia lia kama Rapcha. Yaani humu Rapcha kapewa shule ya kukaza mara 8 zaidi ya jinsi alivyokuwa mwanzoni.
💣💣💣 weka mbali na watoto 18🚫⚠️
Huyu Rapcha amekuja juzi Mjini na kupata ujasiri wa Kumtaja Dizasta kwenye wimbo.
Sasa kapata alichokihitaji. Nadhani huko alipo Rapcha anatetemeka.😂😂😂
Lunya left..
Rapcha Typing🤔..
Tale trip to garilaya..
Fela Muted...
Kadgo Witness..
Candy Crush Uninstalling..
Mavuzi got Respect🙌🏾..
Mende got shot💥
Kanisa knows everyting about Dizasta🫢
I'm going to react this Case🏃♀️
Go go go bro 💥💥💥
Bro tufanyie reaction hii😂
😂😂😂van
😅🤣🤣
Your wellcome
Nommaaaa
Hiyo inaitwa kusa unaswe
Ata sisi wenyewe mtaani tunakutana na challenge Kubwa tunavumilia tu
@Dizasta best hip-hop Tz
Kali
Hii ngoma ina unyama mwingi sana nimeplay mara kumi kuisikiliza ❤❤❤❤
Kweli wewe nibalaa vina unapo nipa gwara hskikisha umeoga janaba
Kuna mtoto kakuchokoza mkuu motra the future anautaka moto !!🔥🔥✅
"Kaza ndonga una deal na ma senior...."
Deep thinker 💥deep writer 💥 deep delivery 🔥🔥Usiuwe mende Kwa bunduki📸
Unajua xan bro vina kama vina
Hii inanikumbusha Machine Gun alivyomdis Eminem Killshot ikamuhusu aisee rapa wenu amechokoza mzinga wa Nyuki hii ikawe fundisho Kwa marapa wote wanaodis Culture Dizasta is A Legend men ✊🏾
Ni sawa umemfukuza mtu mpaka kwake akaingia ndani akatoka na shoka 😂
Dogo aliyakanyaga Eminem kaenda kuua
Rapcha kaingia cha kike
@@Damiantuby 😂😂😂😂
@@mugadimon3563 Vina ana line moja anakwambia
Kibaha mile moja/
Mi ni 8 miles-eminem/
UNYAMA DUU ASEE WAMEKA NDO KWANZA NJANUARY HII💥💥💥💥💥
Sema Tanzania atuna usimamiz mzuri kwenye sanaa kwamana Ukiangalia Tuzo wanapewa wale ambao hawajui uandishi Bali mziki wao una Bebwa na mabiti yenye mkito mkarii na sio uandishi.
Wale ambao Wana jua uandishi na hawana promo wanakuwa wanajifanya hawawaoni na hawathamini ila cc mashabik tunazd2 kuwafuatilia atuchoki 🔥🔥🔥🔥 Dizasta is better artist kweny nchi hii uandish wa umakin kama Huu wanao wachache sana na Hawana promo nying na Wala hawapew kipa umbele kwenye media yeyote apa Bongo 😥😥
Mh lakini dizasta ni mpole sana ila ni atari sana akishika maiki
Nilishasemaga tracks zako zitumike kama lecture katika vyuo vikuu hapa inchini... This shit is hot 🔥🔥🔥🔥 🔥🔥🔥 real the blackmaradona 👊👊👊👊
Kuchagua BEAT PIA ni BLESS
Other people are different from the rest of us because they are genius. You will be up forever Dizasta
4
Kila nikirudi nahisi ngoma mpya hahahahahaha
Bongo rapa ni wawili tu Dizasta na fid q wengine ni fujo sema dizasta umeniangusha kumjibu yule dogo ule bado sana
Leteni Ile maiti ya 99 ije kusikiliza huu uandishi Qmmk atajuta
Ni kipindi cha dk 8 sekunde ya 27📝📌🔥# GREAT DIZASTA VINA ✊🏿
Daaah hili darasa sio battle!
*1 Flow’s 100%*
*2 lyrics 100%*
*3 Rhymes 100%*
Jamaa anasound kama kagdo.. hana style hana flows..
Ila beat kama ya ..Nobody is safe 3..ama
@@totojinga2795 yan ata hazifanan we jamaa disaster hajawai kurudia beat...mi nawashangaa wanaosema nymbo zake beat lile lile....tatzo watu wanaskia ila hawamskiliz mshkaj ni 🔥🔥
Namba 6 inaongea huko
Rapcha zamu yake kumsikia broh😂🙌🙌🙌🙌
P hajakwambia game jela siyo daycare 🔥🔥🔥
Nyieeee Hii ngoma nilishaiskiaza kesho ni kali snaaaaa yan inafundishoooo
Rapcha umekanyaga waya huyu jamaa SI wakumdiss kabisa hili goma utazani limetungwa miaka 100 kumbe limetungwa siku 1tu na kichwa timamu dah dizasta unajua sanaaaa& good song@
There no coming back after this, this is a straight casket. Mtu anakufundisha alafu anakudiss alafu tena anakukumbusha alafu anakuelimisha alafu anakudiss alafu anakukumbusha. Damn.. after professor jay, fid q na nikki mbishi nimewapa hii nafasi kwa ajil ya u legend... ila this guy disaster nobody can fuck with him, alafu its a miss match katumia bunduki kuua mende
True definition of rapper sio awa wase** wanaoimba sauti za kike na kufuga nywele kama wachumba ..
KIKATILI NAKILL MASTANZA ..
PROTECT DIZASTA VINA AT ALL COSTS WE CAN'T LOSE THIS LEGEND ✊🏿
Oy huyo dogo anazingua mpe jiwe jingine
Tupo tofauti kama sigara na tumbaku so ukiletea chuki hiyo ni ishara ya upumbavu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Huu mstari nimeuelewa sanaa kaka hakuna rapper yeyote anaeweza kua kama ww wewe ni the best 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Abi mwenyewe anasemaje
oyaaa wee hii ngoma unatoa album 1000 za raptcha😃💥💥💥kumamake 🙌🙌🙌
Hahahahah. Mamaee wallah dah
🤣🤣🤣🤣
yan inshot mwaka ushafungwa😃😃😃💥
Kumamake huyooo
@@Kalifikra akanywe sumu tu😃😃
Mtoto mdogo akacheze anapochezaga dizasta vina*👑 🦉
Sawa fundi tungo, Mungu akuhifadhi zaidi na kukupa maarifa .......unawalea leo kesho wananyea kambi
Sijawahi kuchoka ngoma zako very deep feeling
Mafanikio sio mpaka approve talent🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Approve tale
@Rapcha kachambia upupu @dizasta vina sio mtu mzuri
Siwezi ringa nyumbani mbali Bro 🙌🙏
Bro yule mtoto mdogo tu akuwezi kaka umetisha sana 🔥 🔥 🔥
Oyaaaa mwamba vina unajua mpk unakeraaaa💪
I'm always here whenever i feel depressed.
Thank you Dr. Dizasta Vina for this masterpiece
Kudadadedeki👊👊👊 Nishaumizwa na hii industry na makovu yapp ,we’re best friend bro 😎👊👊👊
Ndugu yangu wa damu aliniambia vission yangu pofu n/
a bado tunaongea, so unani-mind kisa like bob?
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ujawahi kuangusha kizazi cha mashabiki wa hiphop,what a masterpiece.we need u bro.mamae.
Nahitaj ngoma zako zote nizitolee remix
Japo sikuji kuji mbele
Na sisukisuki nywele
Na sifugi fugi upele
Na situpitupi mchele
Sifagilii mananilii machupi chupi tele
Am your bestfriend
mimi nimemfaham dizasta kupitia rapcha mabifu yanasaidia kumbe
Black Maradona🙌
Mtoto amepigwa rabona👏👏👏
😂😂😂Panenka iliyotukuka
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂daah
Daa huyu mwana noma leo nimesikiliza nyimbo zake zote 🤛🏼
Rapcha alilikoroga...hii kapigwa kwenye kila mshono lazima ainame na kusikilizia maumivu😅😅😅. Nilikua namkubali Rapcha ila kumdiss Vina imebidi nimpunguze kwenye favorites.
Dizasta, take a bow brother🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Happy new year leo nime miss hili Dundo 3/01/2025🔥🔥🔥