Sheikh Rashid na Uongozi wako Nakupongezeni kwa kuweka Vipindi kama hivi. Kwa kwali ni muhimu sana kuwafungua macho watu lakini khasa hawa Viongozi wasiokuwa na Uweledi. Wazee wetu hawa Sheikh Salim na Mzee Talib ni WaZanzibari Kindakindaki. ENDELEA na KAZI MZURI.
Serikali ya Zanzibar ipige marufuku watu kuvaa nusu uchi, na pia isiwaruhusu wasanii wa bara akina diamond, zuchu na wasanii wengine kuja kuimba Zanzibar, kwasababu hao ndiyo wanaopotosha kizazi kipya kwa maadili yao mabaya.
TOKEA DR MWINYI WATAWALE, ZANZIBAR LIMEKUA DANGURO,. WAWEKEZAJI WA MAMBO MACHAFU WOTE AMEWALETA ZANZIBAR, ANA ABUDU PESA KULIKO MUNGU ALIYEMUUMBA! DR MWINYI NDIE UHARIBIFU MKUBWA WA MACHAFU YANAYOTENDEKA ZANZIBAR!
Hapo kwenye lugha ndio kunaskitisha na waharibifu wa lugha kuanzia viongozi mpk chini huyo kiongozi anahutubia humfahamu hayo maneno alotumia kusema unajiuliza khasaa ndio neno gani tumefikia hapo na vitabu vya skuli vyoote lugha ya kibara vimebadilishwa vyote sio lugha tulioitumia sie
Maa shaa Allah tunawapenda wazee wetu ❤ tunakuomba sheikh rashid utuletee wazee wetu kila wiki tuwaskilize.
Wazee wetu nimewapenda mnooo❤❤❤❤❤❤ wazanzibar halisii😂😂
Subhanallah mtihani kwenye maharusi pia twawaita waislaam wazima watuimbie watu wanaotembea uchi tutaenda kuulizwa
Hawa wazee Wana elimu kubwa mashaallah Tabarakallah. Allah awahifadhi
Mashaaallah wanesema ukweli juu ya Zanzibar
Hongereni wazee.
Wajitathmini .
Kiendelee kipindi hiki bado tunataka tujue mengi zaidi
Yawning umeongea maneno manito
Hawa watu wazima wakiondoka we will never know our identity
Exactly
Kaka Ali kimtazamo hai Znz kwishaaa.Yagujuu
Mashallah hawa wazee si dhahabu bali mi lulu na kipindi hichi kizuri maoni yangu kiendelezwe
Na bado ndio kwanza moja
Imebakia kwenye historia ya kwenye vitabu
Wajina,naomba hawa wazee wetu uwaalike tena hapo Al-fatah tv
hiki kipindi kinanikumbusha kina mzee Bakari Abeid Mungu awarehemu enzi izo na kipindi chao cha mila na desturiTVZ
Rashd zitumo toktok
Kipindi kiziri lakini naona kinaeeza kufungiwa kwa mazingira ya leo
Usiwakatishe wajina,waache wazee waongee .
Sheikh Rashid na Uongozi wako Nakupongezeni kwa kuweka Vipindi kama hivi. Kwa kwali ni muhimu sana kuwafungua macho watu lakini khasa hawa Viongozi wasiokuwa na Uweledi. Wazee wetu hawa Sheikh Salim na Mzee Talib ni WaZanzibari Kindakindaki. ENDELEA na KAZI MZURI.
Serikali ya Zanzibar ipige marufuku watu kuvaa nusu uchi, na pia isiwaruhusu wasanii wa bara akina diamond, zuchu na wasanii wengine kuja kuimba Zanzibar, kwasababu hao ndiyo wanaopotosha kizazi kipya kwa maadili yao mabaya.
TOKEA DR MWINYI WATAWALE, ZANZIBAR LIMEKUA DANGURO,. WAWEKEZAJI WA MAMBO MACHAFU WOTE AMEWALETA ZANZIBAR, ANA ABUDU PESA KULIKO MUNGU ALIYEMUUMBA! DR MWINYI NDIE UHARIBIFU MKUBWA WA MACHAFU YANAYOTENDEKA ZANZIBAR!
Hapo kwenye lugha ndio kunaskitisha na waharibifu wa lugha kuanzia viongozi mpk chini huyo kiongozi anahutubia humfahamu hayo maneno alotumia kusema unajiuliza khasaa ndio neno gani tumefikia hapo na vitabu vya skuli vyoote lugha ya kibara vimebadilishwa vyote sio lugha tulioitumia sie
Skuli mpaka tisa na nusu utapata da wa kusoma dini
Serikali yenu hiyo inapelekea hayo yote. Utasikia Haki za kibinadamu. Subiri uchaguzi wauliwe watu.
Mtihani mkubwa huu maasi yamezidi sasa mama anaogopa hata muacha baba nyumbani na watoto jamani na hilo litoleeni mada
🤔🤔🤔🤔😭😭😭🙆🏾😱😱
Wapiga kura wanaotolewa huko eti ccm ishinde ndio wanaoyaleta hayo ila safi tu bora tukose wote maana akitawala mpemba ataleta waarbu
@khamisjuma2947 kweli maneno yako
SIASA ZA CHUKI, KUIPUUZA DINI, MUHALI, UBINAFSI, UBAGUZI, UWAJIBIKAJI MBOVU HAYA NDO YANAIMALIZA ZANZIBAR 😢💔
Umemaliza kila kitu 👍 upewe maua yko
Haswaa
Usiwakatishe wajina,waache wazee waongee .