@@suleimanjokoro Kungekuwa na watu elfu hamsini tu wenye mioyo kama mizuri kama huyu mzee hapa Tanzania nadhani tungekuwa wazalendo wengi na maendeleo kuliko nchi nyingi za Afrika kwa sababu watu wangekuwa wanajali maslahi ya wenzao kuliko yao kama huyu baba
Kumbe aliyemchukua anaitwa msuya?? MUNGU akubariki mtani wangu ulipotoa MUNGU apajaze maana wapare ni wabahil sana ww ni mpare wa Tofaut sana haul ugal na picha ya Samaki unakula ugal na samaki❤
Hongr sana Anthony nimekufuatilia sana toka mwanzo mpk umefika drs la saba Hongera sana kwa kupata A zote 6 Mungu akuwezeshe ufikie ndoto zako Zaidi naomba Serikali ikuwezeshe ukasome kwenye shule za vipaji maalumu
Hii ndo kazi ya wandishi kama Milad online tv good Job Cause ulimtambulisha akatoboa na Dogo Anazidi kutambulika Hongerini Sana Mlio nyuma yake Kumsaidia Athony.
Nafuatilia kutoka Pemba, Cabo Delgado, Mozambique. Hapa nilipo nina machozi ya furaha, kwa sababu niliguswa sana wakati video ya kwanza kuhusu Antony ilipowekwa kwenye mitandao ya kijamii. Hongera sana kwa bwana anayemsomesha mtoto, ambaye anaitumia vizuri fursa aliyeipata.
Msuya MUNGU akubariki sana kwa kujitolea kumsomesha mtoto na Anthony yupo smart hajachezea bahati alio ipata ameitendea kazi mbele pazuri sana in God we can
Huyu baba ni nadra sana ktk ulimwengu huu ebu ubarikiwe sana uingiapo na utokapo hivi ndivyo inavyotakiwa kwa matajiri wanaoweza kufanya hivi iLike my brother
Hakika naamini kila mtu anahitaji njia sahihi dah kama sio yeye vile huyu dogo God bless you my friend Anthony aliyehusika yeyote yule mpaka kufika hapa Anthony Mungu awabariki wotee na wanaofutilia hii kwa upendo ❤❤❤
MashaALLAH..Antoni namkumbuka mdoigo na Ile stori yake na baba ake.saiv amekua na Kawa hodari mungu awabarik nyote mlomshika mkono mtt mwema mpaka kufikia hapa namuomba mungu awe na mafanikio Zaidi ya hapa.Tumefurahi sanaaaa.
Unapo zaliwa duniani unaandaliwa na walinzi wa maisha yako na faraja ivyo kila hatua haipaswi kukata tamaa hongera sana msuya MUNGU azidi kukupa afya njema mpk umalize kazi yako antony pia bado unaweza zaid ya hapo🤝🤝👍
Cjui niseme nini jamani nina machozi ya furaha😢, yaaani wewe baba msuya kila lililo gumu kwako mungu akafanye wepesi, umefanya jambo kubwa ambalo halielezeki pokea ushind na zaidi ya kushinda, Mungu azidi kukutunza na roho yako ya huruma baba, mtangazaji pia kazi yako ibarikiwe zaidi na zaidi sk zote ameeeeni❤❤
Baba mlezi wa Antony, Mwenyenzi Mungu akubariki, pia akukukumbuke kwenye mahitaji yako🤲Antony ubarikiwe sana na Mwenyenzi Mungu akuinuwe daraja🤲Mwandishi wa habari(Ayo TV) mko juu mbarikiwe na kazi iendelee💫💪❤️
Mungu akusaidie Antony uweze kufikia ndoto zako na uendelee kumtegemea Mungu siku zote...pia Mungu akubariki sana Baba uliyemchukua Antony na kumlea katika njia Sahihi ya kumpendeza Mungu 👍 God bless you for everything izack msuya
KENYA LOVES ANTONY AND WE ARE PROUD OF YOU AS YOU SPEAK GOOD ENGLISH LIKE US ...WELCOME TO KENYA,WE LOVE YOU...Hongera Kaka yetu and we wish you all the best in your future endeavours.YOU STORY IS INSPIRING HAVE BEEN FOLLOWING YOU SINCE FROM THE BEGINNING...
Tanzania tungekua na hawa wasamalia wema kama huyu wengi,tusingekua na vibaka mtaani! Ila utakuta miwaziri,mikurugenzi mibunge yoooote ikiongozwa na jizi samia! Wanajilimbikizia mali AMBAZO WATAZIACHA ! WHEN YOU BELIEVE,YOU CAN!( ukiamini,utaweza) super words young mani! May the Almighty God guide n protect you young man! Endelea kumtegemea Mungu,atakufikisha nchi ya ahadi!
Mungu azidi kukubariki Msuya kwa wema wako wote unaoutenda, Namkumbuka sana Antony alikuwa akinisaidia kumenya viazi vya chips na akawa anapewa hela na wasamalia then anailea familia yake akiwa ni mdogo. Mtoto mwenye kipaji chake Mungu azidi kukutimizia haja zako
Mwenyezimungu awabaliki sana wote mlio mkunjulia mikono Anthony mungu awazidishie mpaka mshangae jamani nawewe Godfrey mungu akubaliki sana kwa kutuletea habari za Anthony nimeflai sana❤❤❤
Tunakushukuru sana Mwl Issac Msuya kwa msaada mkubwa wa kumsomesha kijana Antony Mungu wa mbinguni azidi kukubariki mwl ktk kazi za mikono yako. Huyu mwl Msuya apewe hata ubunge wa viti maalumu kama shukrani kwa haya aliyoyafanya.
Mungu akubariki sana Wewe baba uliyemtunza Antony …. Bila kukusahau Wewe uliyepelekea mpaka ajulikane kwa mtu mwenye roho safi …. Nawatakia Baraka za Mungu🙏🏿🙏🏿🙏🏿💕
Hakika mungu ni mkuu mungu akubariki mfadhili uliye muwezesha , ndugu isack msuya neema ya mungu iwe juu yako na uzidi kufanikiwa katika KAZI zako maana upendo ulio ufanya kwa Anthony umegusa mboni ya jicho la mungu naye hatakuacha abadani kwenye uzao wako.
Barikiwa sana brother we na taasisi yako pamoja na wote wenye nia njema na watoto wa Watanzania wenzao. Nakosa maneno ya kusema. So harmonic brother Mungu akipenda haya mema kwa uzazi wako. Amina.
Naikumbuka from the day mnamfanyia interview huyu mtoto jmn alkua n mtoto alie gifted, hongeren Ayo Tv, hongera Mr. Msuya na walimu wote kwa jitihada zenu. Mungu awabariki sana
Kaka uliechukua jukumu la Anton, kumtoa mahali alipo mpaka sasa. Ww ni mtu pekee sana kaka. Mwenyezi MUNGU akubariki sana, akupe miaka mingi uone hata uzee. Ulipo punguza mwenyezi MUNGU akaongeze mala dufu. Hongera pia Anton kwa matikeo mazuri.
Asante Mungu mimi pastor danieli kagoma Niko winners chapel int Tabora mjini nilikuwa namfuatilia Antony mze msuya nakuombea sana familia yako ibarikiwe sana hata Mimi nimefurahi sana
Ma Sha Allah hanakiri sana hata maelezo yake ya hawari aisee mungu hambariki sana ariemrikod kila kitu kinasababu...warimrikod wakawa wanacheka wakaona kama kichekeaho lkn wamempushi vizuri sana mtto mungu hazid kukubariki sana usonge mbele ❤❤❤❤❤
Mungu akubariki Sana Sana kaka yangu Msuya,Mungu akubariki Antony ,Mungu awabariki waalimu walio mtengeneza kuwa alivyo Leo ..Bro Msuya hutapungukiwa
Hizi ndizo taarifa ambazo jamii inahitaji kusikia na kupata siyo media inawapa muda wanawake wanaojiuza inasikitisha sana
Hongera sana Millard Ayo
Uko sahihi Sana, siyo wake wanaofanya show off za kijinga mara waonyeshe magari,pesa,majumba n.k.Big up kwake mtoto Anthony na mfadhili pia🙏🙏
NI kwelii kinachoandikwaaa ndiooo hichooo hichooo tunakiona WENGI WAO WAELUMIKEEE
True
@@suleimanjokoro Kungekuwa na watu elfu hamsini tu wenye mioyo kama mizuri kama huyu mzee hapa Tanzania nadhani tungekuwa wazalendo wengi na maendeleo kuliko nchi nyingi za Afrika kwa sababu watu wangekuwa wanajali maslahi ya wenzao kuliko yao kama huyu baba
@@HOLINESSPIUSE-gv8ud maisha ya mtu ni fumbo na hakuna ajuaye kesho
Masha Allah amekuwa nafurahi saana kumuona jameni nipeni likes Burundi Tanzania sisi ni ndugu kabisa
❤❤❤❤
Zinakusaidia nn likes?
Its just a motivation bro
Tena burundi natamani iwe inchi moja tu kuliko kuungana na wazanzibari bora burundi 😂😂😂
@@AliphonceMartina-q1u Aaaa uchi tena
Mr Msuya Mungu akubariki sana na Ayo Tv ndiyo maana huwa tunasema Ayo Tv ni bora kuliko wote.
❤❤kwishaaa
Hongera Anthony. Hongera mtangazaji. Hongera mfadhili. Hongera walimu wote kwa kazi yenu nzuri. Mungu awatetee zaidi
Waooo Antony ameshamaliza std 7 waooo congratulations Antony. The way he walks you can tell he has focus in life and he will be a great man in future.
Hongera Anthony nimefurahi kukuona milady ahsante kutuonyesha Anthony Mungu akubariki sanaa mtoto mzuri❤❤❤
Baba uliye mchukua antony Mungu azidi kukuzidishia mahali unpo toa paongezeke mara mia
Ameen
Kweli kabisa☝🙏
Ameen
Hakika
Amen
Mr Msuya Mungu akubariki 🙏
na mtoto Antony Mungu amutanguliye kwa masomo yake 🙏na ntangazaji twashukulu sana kwekufatiliya 🤝👍
Huyu ameandaliiwa kuwa RAIS ndivyo itakavyokuwa atabariki wengine sana, ubarikiwe sana Antony
Nakazia ndiye Raisi mtetezi ajaye. For real mpk natetemeka, confidence ya huyu mtoto sina japo kuwa mimi ni mtu mzima. Ana IQ kubwa sana.
Bongo mbn watamuua
@IlhamSameer kivipi pengine kwa faida ya wengi?
Jamani mpaka nalia 😢😢😢😢😢Mungu amlinde na hasadi aje kua mtetezi wa wengine
Tunalia weng my maan ukisikiliza historia yake inaumiza
Ameen 🤲
Ameen
Tunalia sana
Ameen
Huyu aliemsaodia Antony ,has very special place to the heaven,aliona mbali sana.
Ataishi sana Mungu hatamsahau na uzao wake❤
this is a lesson or heart that is required for every human being without discrimination of race or religion, we must live like this❤
ni mtu mzuri
Asante sana. Nimepokea kwa unyenyekevu
Yaani ana pepo yake
Nyie nimejikuta nalia tu, Mungu akubariki mzee Msuya, na Anthony utafika mbali sana👊👊👊👊🌹🙏
Yaaani mimi Mwenyewe nimelia yaani Nimemtukuza MWENYEZI MUNGU anaakili anaufahamuu
Brother MSUYA NIMELIA SIJUI KWA NINI! GOD BLESS YOU MAN OF GOD.
Hata mimi ila nalilia jinsi watu wema bado wapokwa vitendo Mungu aendelee kumbariki sana sana
Mr. Msuya Mungu akubariki sana wewe na kizazi chako kwa mfano huu.
Ameen
amina
Asante sana ndugu
Kumbe aliyemchukua anaitwa msuya?? MUNGU akubariki mtani wangu ulipotoa MUNGU apajaze maana wapare ni wabahil sana ww ni mpare wa Tofaut sana haul ugal na picha ya Samaki unakula ugal na samaki❤
Amina!
Uyu mzee Mungu ,sijui niseme neno gani zur najikuta nashindwa ubarikiwe
Asante sana nimekuelewa
We baba mungu wa mbinguni akuongezee ulipotoa mungu baba akutunze kwa wema uliomfayia Antony kwani ni Wachache sana wenye roho kama yako baba angu
Hii ndo sadaka yakweli mungu akubariki sana
Mungu akubariki sana kwa sadaka uliyotoa
Mungu akuzidishie xana baba Aizack,,nimetoa machoz ya furaha kumbe duniani kuna watu wema,,
The secrets of living is giving. Kudos to Isack Msuya🙏🏽
May he never lack IJN
And agree with you
Hongr sana Anthony nimekufuatilia sana toka mwanzo mpk umefika drs la saba
Hongera sana kwa kupata A zote 6
Mungu akuwezeshe ufikie ndoto zako
Zaidi naomba Serikali ikuwezeshe ukasome kwenye shule za vipaji maalumu
Hii ndo kazi ya wandishi kama Milad online tv good Job Cause ulimtambulisha akatoboa na Dogo Anazidi kutambulika Hongerini Sana Mlio nyuma yake Kumsaidia Athony.
Halafu kuna wapuuzi wengine kazi yao ni kuwahoji wanawake wanaojiuza na wanaume wapenda ngono 😢😢😢
Tuko Anza kumfatilia tangu kipindi kile ana mshtaki baba ake tu like apa❤❤❤
Nafuatilia kutoka Pemba, Cabo Delgado, Mozambique. Hapa nilipo nina machozi ya furaha, kwa sababu niliguswa sana wakati video ya kwanza kuhusu Antony ilipowekwa kwenye mitandao ya kijamii. Hongera sana kwa bwana anayemsomesha mtoto, ambaye anaitumia vizuri fursa aliyeipata.
Duuh kwel antony umeiva mpk mwandishi anaomba uongee kiswahili big up san
😂😂😂😂😂mwandishi kapelekwa mbali dogo noma sana mwandishi ongea kiswahili ongea kiswahili 😂😂😂
😂😂😂 waandishi wengi hawajui kingereza kaka
Mwandishi huyu anajuwa ila alihitaji waelewe woote wanao msikiliza
@@aishakamota6012
Point
Ni kwa sababu amekosea hakuna I thanks God😂😂😂
Mpaka nimesisimka,nimekupenda pia mtangazaji n mfazili ila watangazaji mmekuwa chachu y shida z watu kuonekana❤❤❤❤
Oh my goodness, Kweri Mungu ni Mmoja tu anayeweza kuyafanya tusiyoyaweza,nakutukuza Sana Mungu juu ya Antony❤
Msuya MUNGU akubariki sana kwa kujitolea kumsomesha mtoto na Anthony yupo smart hajachezea bahati alio ipata ameitendea kazi mbele pazuri sana in God we can
Woow!! God is Always there for Us🙏🙏🙏 keep up the Great Work Anthony. Sky is the Limit🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Izack Msuya Mungu akuzidishie Sana kwa roho yako nzuri umeifanya Dunia ionekane mahali pazuri,,Mungu aubariki uzao wako ukastawi sana katika Dunia hii
Asante sana Nimepokea. Iwe kwako kwa kuzidi
Huyu baba ni nadra sana ktk ulimwengu huu ebu ubarikiwe sana uingiapo na utokapo hivi ndivyo inavyotakiwa kwa matajiri wanaoweza kufanya hivi iLike my brother
Mungu amzidishie namuombea mpaka pumzi yangu ya mwisho
MUNGU akubariki sana na akuongezee PALIPO PUNGUA 🙏🙏🙏🙏
Wow! Namkumbuka huyu mtoto tangu alipokuwa yupo mdogo!❤ Mungu azidi kumbariki Sanaaa...Azidi kupata mafanikio!🙏🏻
Unamtaja sana Mungu hongera,Mungu mwema akusaidie katika masomo yako,amlinde huyo anayekusomesha ampe uzima na afya njema.
Ameen
Malezi ya Isaac Msuya....
Tumpongeze na yeye kwasababu ametenda jambo la mfano bora kabisa.....
Hongera sana mr. Msuya pia naami natamani Mungu anisaidie siku moja nifikie hatua kama alivyofanya mr.msuya na familia yake
Amen
Ameen
Hakika naamini kila mtu anahitaji njia sahihi dah kama sio yeye vile huyu dogo God bless you my friend Anthony aliyehusika yeyote yule mpaka kufika hapa Anthony Mungu awabariki wotee na wanaofutilia hii kwa upendo ❤❤❤
Genius always shines ❤ be blessed all of you ❤
Nacheka sana, yaani Antony alivo na sifa. Anapiga kiingereza safi sana. Mungu akufungulie kila la kheri
Antony mhaya,, ila Mungu wa ajabu mnooo ,,nmefurah sana
Antony sio muhaya, ni mhangaza, jamii ya watu kutoka ngara, yaani wanafahamika wanyangara.
Alafu kuna mm hapa nauzee huu hata salamu yakinge sijui😂😂
@@m.mmarckus6298😂😂
Nakwambia hata nikijua kuongea fluent English simpi mtu anishikie nitaongea mwenyewe mpaka kesho 😂😂
Mash Shaa Allah ❤❤ Mwenyezi Mungu ameonyesha miujiza yake. Hongera sanaa kwa baba mlezi.
MashaALLAH..Antoni namkumbuka mdoigo na Ile stori yake na baba ake.saiv amekua na Kawa hodari mungu awabarik nyote mlomshika mkono mtt mwema mpaka kufikia hapa namuomba mungu awe na mafanikio Zaidi ya hapa.Tumefurahi sanaaaa.
Unapo zaliwa duniani unaandaliwa na walinzi wa maisha yako na faraja ivyo kila hatua haipaswi kukata tamaa hongera sana msuya MUNGU azidi kukupa afya njema mpk umalize kazi yako antony pia bado unaweza zaid ya hapo🤝🤝👍
Ww ulie msadia huyu mtoto mwenyezi mungu akufungulie milango yote ya rizk uwe bilinear ❤❤❤❤
Cjui niseme nini jamani nina machozi ya furaha😢, yaaani wewe baba msuya kila lililo gumu kwako mungu akafanye wepesi, umefanya jambo kubwa ambalo halielezeki pokea ushind na zaidi ya kushinda, Mungu azidi kukutunza na roho yako ya huruma baba, mtangazaji pia kazi yako ibarikiwe zaidi na zaidi sk zote ameeeeni❤❤
Amen. Asante sana
0pⁿ⁰p⁰⁰⁰@@furahiniyouthschools6022
Mungu akubariki sana baba una roho nzuri sana sana machozi yamenitoka baba na wewe unastahili zawadi baba.
Zawadi yake njema,ipo kwa Mungu pekee
Abarikiwa
Antony, raisi wetu wa baadae , vizuri sana, hongera sana mzazi mlezi 👏🙏🏾💐
We ni pumbuuu
@@philibertphilipo9569ubaya wake uko wapi mbona matusi kumtusi mwenzio na niwazo lake tu
Amen Amen
@@philibertphilipo9569😂😂
Amen. IWE hivyoo
Baba mlezi wa Antony, Mwenyenzi Mungu akubariki, pia akukukumbuke kwenye mahitaji yako🤲Antony ubarikiwe sana na Mwenyenzi Mungu akuinuwe daraja🤲Mwandishi wa habari(Ayo TV) mko juu mbarikiwe na kazi iendelee💫💪❤️
Mungu akusaidie Antony uweze kufikia ndoto zako na uendelee kumtegemea Mungu siku zote...pia Mungu akubariki sana Baba uliyemchukua Antony na kumlea katika njia Sahihi ya kumpendeza Mungu 👍 God bless you for everything izack msuya
Mungu akubarik mtangazaji kwa kumfuatilia hatua by hatua pia Mungu ambarik sana Msuya
We jamaa Mungu akubariki sana iyo ndo Sadaka ya kweli Mwenyezi Mungu akuzidishie mara Million
Dogo upo vizuri mungu akutangulie pia na mfadhili wako mungu amzidishie hongera sana mzee
Ubarikiwe sana Mr. Msuya , baraka hizi ziende hadi kwa uzao wako na kila ulifanyalo likawe heri kwako.
@@tumainisanga6966 Amina, asante ndugu
Aaaah kinge mwanangu kingeeeeee❤ nkiwaza tulivyomuona enzi hizooooo Mungu mkuu😊
Wewe baba Allah akubarki na akuzidishie katika mali zako na familia yako
Hakika
Daah.. miaka inaenda asee.. nijuzi2 hapa taharifa zake zilitrend
Nimeshangaa kamaliza!
Tumeika sana mitandaoni kabisa
Ndio ujue na uzee unakuja😅
Mr Isaac May Almighty Allah continue protecting and blessing you, indeed you are a great man,be blessed with your family ❤❤we love from kenya 🇰🇪
Mungu akubariki Mr Msuya, uone Watoto WA Watoto wako. Sadaka yako ikumbukwe na Mungu.
Aminaaaa nami nakazia hapo
A man( MSUYA) is Pure n’ Really📌. GOD BLESS
Hakika njia za Mungu hazichunguziki.barikiwa mno kaka Msuya hakika hiyo ndo sadaka zinazompendeza Mungu
KENYA LOVES ANTONY AND WE ARE PROUD OF YOU AS YOU SPEAK GOOD ENGLISH LIKE US ...WELCOME TO KENYA,WE LOVE YOU...Hongera Kaka yetu and we wish you all the best in your future endeavours.YOU STORY IS INSPIRING HAVE BEEN FOLLOWING YOU SINCE FROM THE BEGINNING...
why don't you feel proud of the Tanzanians who made all these possible ? how are you involved in Antony archievment as kenyans . not funny
I like your attitude.You Kenyans 😂😂😂
😂😂😂😂 I don't want to drink Kenyan panadol and I will never drink because I will madness
Welcome to Kenya Antony ❤❤
@@PatrickMwathi-jb6jb you are very stupid this is because you are proud of nonses
I can't believe kwa kweli,,yaani nimeiona Miujiza yako Mungu kupitia Mtoto Antony🙏❤️Baba Msuya Utabarikiwa Milele Duniani na Mbinguni🙏💙
Mwenyezi Mungu akubariki sana Mr. Msuya. Umegusa mioyo yetu.
Watching from Kenya sm so proud of Antony 🎉🎉
Hongera sana pia wewe mwandishi wa habari umemfatilia hadi muda huu safi sana sana
Yupoooo makini huyu baba kuanziaaa kijijinii
He is genius he is very bright😘
Indeed
True indeed , that is so amazing
Yes
Ma shaa Allah ❤️ M/Mungu amlinde Anthony na mfadhili wake
Wow! God is great! MUNGU azidi kukusimamia! Ama kweli God is incomparable!
Tanzania tungekua na hawa wasamalia wema kama huyu wengi,tusingekua na vibaka mtaani! Ila utakuta miwaziri,mikurugenzi mibunge yoooote ikiongozwa na jizi samia! Wanajilimbikizia mali AMBAZO WATAZIACHA
!
WHEN YOU BELIEVE,YOU CAN!( ukiamini,utaweza) super words young mani! May the Almighty God guide n protect you young man! Endelea kumtegemea Mungu,atakufikisha nchi ya ahadi!
Hakika mungu akubariki baba kwa moyo hiyo watanzania wote wanao moyo kama wako tungekuwa hatuna watoto waombaomba god bless you dady ❤
Miaka inaenda juzi tu hapa alikuwa mtoto mdogo sasa hivi nikijana wetu mungu akuzidishie we baba ulie msaidia huyo Antony❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu akubariki kumu fatiliya uyumtoto
wafadhili mlipaswa kuwafadhili watu kama hawa wanaowafadhili wasiojiweza! lakini pia ayo tv big up sana , mnajali sana!❤
wow this is so great.. Mungu amzidishie huyo aliyejitolea kumsaidia siku zote na nyote mliofanya akapata nafasi ya kusoma
Mungu azidi kukubariki Msuya kwa wema wako wote unaoutenda, Namkumbuka sana Antony alikuwa akinisaidia kumenya viazi vya chips na akawa anapewa hela na wasamalia then anailea familia yake akiwa ni mdogo. Mtoto mwenye kipaji chake Mungu azidi kukutimizia haja zako
Mungu anaishi jamani, Ubarikiwe baba mlezi wa Antony endelea na kumhudumia huwezi jua nani at akusimamie badae
Mwenyezimungu awabaliki sana wote mlio mkunjulia mikono Anthony mungu awazidishie mpaka mshangae jamani nawewe Godfrey mungu akubaliki sana kwa kutuletea habari za Anthony nimeflai sana❤❤❤
Hongera mtoto Antony hakika miaka inaenda kama utani
Hongera sana mwanangu Anton
Jamani Mungu ni mkuu!! Hongera sana mzee Msuya, Mungu akutunze na akubariki.
Tunakushukuru sana Mwl Issac Msuya kwa msaada mkubwa wa kumsomesha kijana Antony Mungu wa mbinguni azidi kukubariki mwl ktk kazi za mikono yako. Huyu mwl Msuya apewe hata ubunge wa viti maalumu kama shukrani kwa haya aliyoyafanya.
Hongera zake jaman Mungu azdi kumuinua zaid😇😇😇
Mungu ambariki sana baba aliyemsaidia huyu mtoto Mungu usiniache huyu baba.❤
Tujifunze kitu kimoja kuwa Mungu huwainua watu wake kwa NAMNA ya Ajabu kila la Heri kijana Anthony❤❤❤❤❤ Mwenyezi awainue wote Mliomshika mkono
I’m so happy to see Antony again.
God will take him far 🙏
May God bless you all , to give Antony
this chance to fulfill his dream 🙏
Ooooh my goodness, Mungu akubariki Dr msuya, Ayo Tv pamoja na walimu wa hiyo shule walio mpokea huyu mtoto 🙏🙏🙏 watanzania tunamengi ya kujifunza
Wewe baba uliye msaidia Anton mungu akutunze baba .mungu akupe zaidi pesa namaisha marefu.
Alhamdulilaah rabil aalamin, Mngu azidi kuwabariki wote waliomsaidia Antony,am very happy Mngu ni mwaminifu walai,as kenyans tutazidi kukuombea Antony Mngu azidi kukuongoza inshaalaah ❤❤
We zafaran Gani wa ruangwa auu
@LatifaMatayo-sz2cb Nop am from Kenya 🇰🇪
Safi sana mtoto mnzuri ww ni kichwa utafika mbali mnooo
Mwenyezi MUNGU akutunze Antony utimize ndoto zako
Mungu akubariki sana Wewe baba uliyemtunza Antony …. Bila kukusahau Wewe uliyepelekea mpaka ajulikane kwa mtu mwenye roho safi …. Nawatakia Baraka za Mungu🙏🏿🙏🏿🙏🏿💕
❤❤❤❤Hongera sana Baba ulieguswa na maisha ya huyu mtoto Antony mungu atakulipa zaidi kwa msaada wako❤❤❤❤
Hakika mungu ni mkuu mungu akubariki mfadhili uliye muwezesha , ndugu isack msuya neema ya mungu iwe juu yako na uzidi kufanikiwa katika KAZI zako maana upendo ulio ufanya kwa Anthony umegusa mboni ya jicho la mungu naye hatakuacha abadani kwenye uzao wako.
Barikiwa sana brother we na taasisi yako pamoja na wote wenye nia njema na watoto wa Watanzania wenzao. Nakosa maneno ya kusema. So harmonic brother Mungu akipenda haya mema kwa uzazi wako. Amina.
Amiin
Amen ❤ 🙏
🎉nimetoa machozi ya furaha ubarikiwe sana Bw. Msuya pia. Mama Msuya kwa upendo wa kuongeza familia ya mtoto Antony
Asante brother
@DorothMlapon Asante dada yangu. Yote ni kwa utukufu wa MUNGU
Hongera sana mtoto mzuri Mwenyezi Mungu akupiganie ufikishe ndoto yako👍❤️
Naikumbuka from the day mnamfanyia interview huyu mtoto jmn alkua n mtoto alie gifted, hongeren Ayo Tv, hongera Mr. Msuya na walimu wote kwa jitihada zenu. Mungu awabariki sana
Mashallah amekuwa maerefuka na hongera sana kwako mtt nzuri na hongera sana baba mrezi wa Antony Mungu akubariki zaidi na zaidi lnshallah
Hongera Anton. Hongera mtumishi wa Mungu kwa upendo wako kama Baba wewe ni mlezi mwema Mungu akubariki sana 😢😢🙏
Hongera mfadhili wa Antony na hongera Anthony Kwa kuitendea haki hakika Allah anakupigania katika safari Yako nakuombea Allah akulinde Anthony
Am from kenya and i congratulate this boy i remember that time he said about his father selling the land
Mr Msuya Mungu akubariki sanaaaa....umefanya wema wa pekee kwa huyo mtoto. Tunamuombea Anthony Mungu amuongoze hadi atakapotimiza ndoto zake
Mungu ni mwema sana, mtoto amekua sana, na anaonekana ana hofu ya Mungu, Mungu ambariki aliyejitolea kumlea na kumsomesha huyo mtt
Kaka uliechukua jukumu la Anton, kumtoa mahali alipo mpaka sasa. Ww ni mtu pekee sana kaka. Mwenyezi MUNGU akubariki sana, akupe miaka mingi uone hata uzee. Ulipo punguza mwenyezi MUNGU akaongeze mala dufu. Hongera pia Anton kwa matikeo mazuri.
Asante kwa dua yako njema
Asante Mungu mimi pastor danieli kagoma Niko winners chapel int Tabora mjini nilikuwa namfuatilia Antony mze msuya nakuombea sana familia yako ibarikiwe sana hata Mimi nimefurahi sana
Congratulations father who take advantage to advance Antony God bless u forever
Ma Sha Allah hanakiri sana hata maelezo yake ya hawari aisee mungu hambariki sana ariemrikod kila kitu kinasababu...warimrikod wakawa wanacheka wakaona kama kichekeaho lkn wamempushi vizuri sana mtto mungu hazid kukubariki sana usonge mbele ❤❤❤❤❤
Jamani huyu mtoto kakua duuuh Mungu ni mwema🎉🎉🎉hongera antony
Sio kakua ni wewe umezeeka
😂😂😂
😝😝😝😝😝kwa kweli kuna kaumri kakifika unajikuta ww ndy ww wala hausogei miaka😂😂😮😮😅😅 kumbe ndy umri unasepa hvyo...@@salimmoha7962