MJADALA MZITO KUHUSU ZANZIBAR ILIVYOHARIBIKA EPISODE NO 02 (SEMA NASI)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 76

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mwenyezi Mungu anawalipa kwa yale mulio wafanyie waarabu kuwadhulumu na kuwauwa bila hatia sasa malipo yake ndio hayo

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 หลายเดือนก่อน +8

    Tatizo ni kuwa Zanzibar si dola tena. Mzee Karume katutia kwenye muungano usiotambulika, kwa khofu yake ya kuja kupinduliwa. Kidogo kidogo Zanzibar inakwenda zake, wajukuu wetu watasikia hadithi tu. Allah atunusuru.

  • @seifkhatib9731
    @seifkhatib9731 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mnatutowa machoz kwa kwel zanzibar dah utajir wote umepotea

  • @HusnaH-t4v
    @HusnaH-t4v 3 หลายเดือนก่อน +7

    Natamani kama muwepo skuzote jamani rashid wapangie tena kipindi ❤❤❤

  • @ZanzibarTrustTours
    @ZanzibarTrustTours 3 หลายเดือนก่อน +2

    26/04/1964 hapo ndo Zanzibar kwisha kila kitu. Allah tusamehe sisi wakaazi wa Zanzibar sote.

  • @kassimjuma6151
    @kassimjuma6151 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tunaomba utuletee sheikh Shaharani
    Na pia utletee professor Abdul Sharifu

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli. Mimi nimekwenda Nairobi January 1963 nikajiunga na chuo fulani. Nilikuwa naonekana mtu tafauti na karibu kila mmoja akawa rafiki yangu. Nilipendwa sana.

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hongereni wazee wetu kwa kutupa elimu

  • @iddi29
    @iddi29 3 หลายเดือนก่อน +4

    Napenda niwasklze tu wazee wetu❤❤❤❤

  • @jumahamad3723
    @jumahamad3723 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa wameongea kwa uchungu sana kwa kupotea
    Asili yao

  • @AminaOthman-b4f
    @AminaOthman-b4f 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nice conversations..thanks for sharing.

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 3 หลายเดือนก่อน +6

    Yote hayo yamekuja baada ya huu muungano ambao haukupata ridhaa ya wazawa.

  • @issamangapi5486
    @issamangapi5486 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huo ndo utawala Bora

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 3 หลายเดือนก่อน +1

    Zanzibar imekufa na kheir zake zimeletwa tabia za kibara watu kwenda uchi na ulevi na madawa ya kulevya na mengi Tu.

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 3 หลายเดือนก่อน +2

    Burdaaani....😊❤❤❤

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 หลายเดือนก่อน +3

    Shida viongoz wetu wnaogopa kusema

  • @songombingo108
    @songombingo108 3 หลายเดือนก่อน +1

    Zbar ilikufa siku ya Muungano 1964 na ikazikwa rasmi 1977 kulipounganisha Vyama vya Siasa😢😢

  • @mbaroukhamza8508
    @mbaroukhamza8508 3 หลายเดือนก่อน +4

    Zanzibar aijawai kuwa na utulivu ata mwaka mmoja,

  • @NassourJuma
    @NassourJuma 2 หลายเดือนก่อน

    kabisa wazee wangu

  • @musakibwana4596
    @musakibwana4596 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kwasababu marais wenyewe waizi kwa hiyo wafanyi kazi wa serikali wanatanuka haraka.

  • @khalifeamani7742
    @khalifeamani7742 3 หลายเดือนก่อน +1

    Msiache kuendelea wazee wetu kipindi kizuri juu ya kuwa mama yangu tu ndio Mzanzabari baba mtanga bali nafurahikia kipindi

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hii combination tunaitaka tena

  • @ZanzibarTrustTours
    @ZanzibarTrustTours 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba vitabu vya JECHA ni mtoto mtoro vyote virejeshwe ndani ya mahule ya Zanzibar 01/01/2025 Wanafunzi waanze kusomeshwa tena kwa vitabu vya Jecha,Qur-an na kina Social Cience.

  • @ZanzibarTrustTours
    @ZanzibarTrustTours 3 หลายเดือนก่อน +1

    Zanzibar ilikuwa Dola ila kwasasa ishakuwa shiling au rand. Kwasasa tusahau kuwa dolla tena hadi kiama. Wenyewe Zanzibar washakufa tuliobakia sisi s wenyewe sisi ni wakaazi tu.

  • @abdullahabdullah8782
    @abdullahabdullah8782 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wellcome Sizini

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mleteni Sheikh Muhiddin (Maalim Siasa)

  • @ZanzibarTrustTours
    @ZanzibarTrustTours 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tufanyeni Sensa ya Wapemba walioko Mikoa yote ya Tanganyika na Watanganyika waioko Zanzibar kisha tijumlishe upande upi wakimbizi/wabamizi watakuwa wengi? Kisha jibu hili swali kwa usahihi.

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wamachinga wamejaaa wapi na mapemba yamejaa wapi?; wapemba nyinyi ,, zama hizi unazungumzia ujinga huu

  • @ZanzibarTrustTours
    @ZanzibarTrustTours 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi wenyewe tunagombana na kuchukiana wakati sote ni ndugu kisa vyama vya leo hivi tushagawana sana. Hivi sasa tunanyongana kwa vyama. Tusubiri tufe tu hapa wakati tushakuwa mizoga kabisa. Zanzibar ileeeeee! Yabuju.

  • @thedon8467
    @thedon8467 3 หลายเดือนก่อน +1

    Izo stori za mwisho kama Kali hivi Izo jamaa wa samaki na uyo fundi baskeli

  • @abdullahabdullah8782
    @abdullahabdullah8782 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee umetugusa Sizini tupe historia yake

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @SalumShomari-s9x
    @SalumShomari-s9x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiwa mchoyo usiwe mroho

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 3 หลายเดือนก่อน +1

    Miaka hii vijana wengi wameishi ulaya na wamerudu znz ,, huwezi kuwadhibiti,, globalization DUNIA hii

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 3 หลายเดือนก่อน +2

    Utacomet mara mia kuwasema Wapemba, kuwasema wapemba au kuwachukia ni sawa na kujamba kwenye maji kazi bure, Wapemba kwa Tanzania hii ni Top kwa kila jambo iwe la kheri na hata akipotea mpemba akikufanyia la ubaya utatembea ukisema peke yako, wapemba wachukie tu lakini Allah amewanyanyua kwa kila fani na pemba yao, wewe bakia na chuki husda uadui na roho mbaya dhid ya wapemba, lakini kwa Tanzania hii Pemba ndio bado kuna angalau iman na aman japo kwamba wapo kina nyie munaifanya pemba isikalike kwa itikad zenu mbaya na siasa zenu chafu,

    • @SalumShomari-s9x
      @SalumShomari-s9x 3 หลายเดือนก่อน +1

      Unasema nn ww kama hamtaki watu waje kwenu nyinyi kwenye miji ya watu mnafata nn

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 3 หลายเดือนก่อน +1

    JA'AHIL

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 3 หลายเดือนก่อน

    Wagawane wagombane ili upate kuwatawala huwezi kuwatala wakati wako kitu kimoja sisi hivi sasa ndugu baba mmoja mama mmoja hawapendani chuki hasama ndio ibada yetu

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi mauzinde kaharibiwa na wamachinga wa tanganyika? Dunia nzima mauzinde anajulikana,, hivi omar kopa alikuwa mtanganyika
    Acheni politics kwenye utamaduni

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 3 หลายเดือนก่อน +1

    Zamani ipi maana miaka 30 ilopita ni kelele za siasa tupu zamani inaanzia wapi?

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 3 หลายเดือนก่อน +3

    Itazidi kuharibika kama serikali ya Zanzibar bado inazidi kukumbatia ndugu zetu wa damu.

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 3 หลายเดือนก่อน

      MUUNGANO NI KOTI LA
      NGUVU ZA KANISA✝️
      @IddiKhamis-u6c.Kama ni ndugu ni damu kwa nini wanawatala na kuwauwa?
      Hawa ni ndugu wa ujirani tu. Na sio wa damu kama
      Manyan'gau wanavyosema na kupotosha Waislam.😂

    • @salummussa9871
      @salummussa9871 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nani aliyekwambia znz inaharibiwa na watanganyija,, hivi mauzinde ni mtanganyika? Au omari kopa alikuwa mtanganyika?

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 3 หลายเดือนก่อน

      @@salummussa9871 Unataja watu wawili tu. Kwani hao ndio walioiharibu Zanzibar? Huoni watu wanaokwenda uchi hapa Zanzibar wengi sana kutoka Tanganyika?

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unapinga bar unajua wanaokunywa ni wazanzibar ? DUNIA imebadilika shekhe.

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mnataka watu waingie na viza kutoka wapi? Hao wapemba waliojaaa Tanzania bara

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 3 หลายเดือนก่อน +2

      Tatizo nyege zinakusumbua unatafuta basha

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe nunua ndege yako uandike znz

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 3 หลายเดือนก่อน +1

      Unawashwa we m,bongo

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 3 หลายเดือนก่อน +1

    Masihara makubwa mnafanya upotoshaji kinachotoa znz na Tanzania bara hivyo hivyoo,, vijana wa Leo wameibadili DUNIA na wanaiga ulaya nknk siasa mnaziweka kwenye mjadala wa utamaduni ,, hivi hujaona waZungu wanaokwenda sound Arabia kutalii..

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwaka Kogwa = MWAKA KOROGWA

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 3 หลายเดือนก่อน +1

      BAADA YA MAPINDUZI
      MWAKA KOGWA
      PIA UMEPINDULIWA
      Mwaka Kogwa au Nairuz (Mwaka Mpya) hufanyika Iran (Persia), Afghanistan na Zanzibar.
      Pia na neno ZANZIBAR ni la Kishirazi sawa na neno la SERIKALI. Lakini, Mwaka Korogwa ulianza baada ya Muungano na kupinduliwa na Serikali ya Kupinduwa.

  • @HamedSaid-b6j
    @HamedSaid-b6j 3 หลายเดือนก่อน

    Kipande cha 3 mbn hakipo youtube

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini Leo anatokea MTU anasema historia haifai eti Kwa Kasi ya maendeleo ya awamu ya nane sasa hao ndio wazanzibari na hiyo ndio Mila ya wazenji

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 3 หลายเดือนก่อน +2

    Unajua wameuleta watawala wenu salmini Amour ndio kiongoz aloleta ubaguz wa hali juu znz mpka akiruhusu watu wa taarab watunge nyimbo za ubaguz

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Salmin hivi sasa Allah anamuonesha hapa hapa duniani kufa hafi na akhera hendi!tunakumbuka alivyodhalilisha watu kulisha watu mapicha ya MaalimSeif na kuruhusu watu kulawitiwa na kufavywa vitendo vya kinyama mbele ya familia zao,alipoelezwa akasema waacheni vijana wafurahi!Kwa hili hatumsamehe kamweeee!

    • @KhasayoubSaid
      @KhasayoubSaid 3 หลายเดือนก่อน

      ​Subhanaallah

  • @mohamedaayda6060
    @mohamedaayda6060 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli ni mtihanj

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mamlaka ziliopo ndio chanzo cha yote haya mabaya

    • @abdullahabdullah8782
      @abdullahabdullah8782 3 หลายเดือนก่อน +1

      Masaallah

    • @abdullahabdullah8782
      @abdullahabdullah8782 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tupe mzee historia ya Sizini

    • @abukingkima092
      @abukingkima092 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo ni aina ya watu wanaowekwa😢katika izo idara hawajui majukumu yao me nadhani wakiwa wanajua nini majukumu yao basi kila kitu kitakua sawa

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 3 หลายเดือนก่อน +2

    Si mulitaka mapinduzi ndio matunda yake hayo

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwahiyo mapinduzi ndo yameleta hayo au

    • @fatmasaid9765
      @fatmasaid9765 3 หลายเดือนก่อน

      @@fahadfaraj6474 ndio

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 3 หลายเดือนก่อน

      DODOMA NI LANCASTER
      YA KUDAI
      UHURU WA ZANZIBAR
      ​@fahadfaraj6474 Bila ya Vita vya Msalaba, huitwa Mapinduzi Matukufu (Holy Crusade), kusingekuwa na Muungano (Ukoloni) sawa na Ukoloni wa Uingereza wa Ukatoliki Anglikana.✝️
      Wazanzibari walikwenda kudai Uhuru Lancaster ya Uingereza. Baada Karume kuondoshwa Wazanzibari wanakwenda Dodoma. Ni Lancaster ya Tanganyika.

  • @Saleh-c6f4b
    @Saleh-c6f4b 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwakwakwakwakwakwa upumbavu tu

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni upitishaji DUNIA mzima imeharibika hata uarabuni,,

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 หลายเดือนก่อน +1

      Saudia tu leo kina Ronaldo wanakaa na vimada, disco zinapigwa hao wazungu nao wanalalamika wageni wamekwenda wengi wameharibu utamaduni hakuna sehemu ilobaki vilevile lazma wakubali vitu hubadilika.

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 3 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa kwakua Warabuni imearibika na Zanzibar ndo iaeibike? Akili Gani hii? Kwa hiyo kama mwenzio kaiba na wewe Uibe?

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 3 หลายเดือนก่อน

      WARABU NA WAZANZIBARI
      @salummusss9871. Huko
      Uwarabuni kuna Mamlaka Kamili. Uzanzibarini kuna Ukoloni kulinda Ukafiri.✝️

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@zanzibarboyzanzibar509 ndio hapo wanachekesha khasaa eti flani anafanya hata km baya na mimi ndio nilifanye sijui watu wawapi hao

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hata kama Saudia imeharibika lkn wageni wote wanaingia Kwa utaratibu wa kisheria na wanajulikana hata wanapokaa,na kuhusu Zanzibar kama haina mwenyewe hata Mh Rai's Hussein alisema Zanzibar haina mwenyewe na nyote mulikaa kimyaaa!