HISIA ZA MWANAMKE ZINAKUJA AKIHUDUMIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 15

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 11 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah shekh mada nzur sana wanaume wanajisahau😢

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 8 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah shukran jazeelan somo zuri sana

  • @GareebNawaaz-c4n
    @GareebNawaaz-c4n ปีที่แล้ว

    A, ALAYKUM DADA ASANTE KWA MAFUNZO MAZUR M,MUNGU AKUPE KILA LA
    KHER.❤

  • @makhulukukp9056
    @makhulukukp9056 ปีที่แล้ว +1

    I think it is better cover your palm my sister class is so good for real

  • @zeinabathman4969
    @zeinabathman4969 ปีที่แล้ว

    Swadakta dang mashallah tabarakallah fih mashallah tuelimishe zaidi dadangu inshallah

  • @ukhtysalama4184
    @ukhtysalama4184 ปีที่แล้ว

    Nazifatilia sana Darsa zenu mashaAllah,namshauri dadaangu ajistiri

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Baaraka Allahu Fiikum Wa Jazzakumu Allahu Khairan ❤

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp ปีที่แล้ว +2

    ASALAM ALIEKUM...hafai kuonesha mapambo yko dadangu

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว

      Jamani mbona kawaida tuu

    • @mahamoudduchi3318
      @mahamoudduchi3318 ปีที่แล้ว

      ​@@nahlahassan-fd6lekawaida sio vipi na ww unaweza kuyaonesha au???

  • @fatemasalem9677
    @fatemasalem9677 ปีที่แล้ว

    Asante nice

  • @FakiAbass
    @FakiAbass 10 หลายเดือนก่อน

    Dada mbona upo uchi huku ukionesha mambo yako kwa mungu inakuwaje hii jaman, fikiria watu wangapi wanaangalia hii na masheikh upo nao hapo ila cjui inakuaje

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว +1

    Ndoa ina sheria nying jaman sjui kama ntaweza mm😂😂

  • @GareebNawaaz-c4n
    @GareebNawaaz-c4n ปีที่แล้ว

    Dada naomba namba Yako please