🤣 UTACHEKA UVUNJE MBAVU | BALAA LA WASHIRIKI WA CHEKA TU WALIOPATIKANA KATIKA MIKOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 813

  • @Anitajoseph792
    @Anitajoseph792 2 ปีที่แล้ว +8

    Wasafi mnadharaulisha dini yetu.Ww mchungaji gani Msanja unafurahia jina la Yesu kudharirishwa. Mungu atusamehe makosa yetu.

  • @kasmirypaschal2228
    @kasmirypaschal2228 3 ปีที่แล้ว +20

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaaaaah m nmeckia eti shoko halisuki 5:44 hapa jamaaaa kajiongezeaa kipaji cha kunichekesha bila yeye mwwnyewee kujuaaaaa

  • @richiuskoba7918
    @richiuskoba7918 3 ปีที่แล้ว +21

    Yaani kwanzia no2 mpk wa mwisho hamn kitu kbxaa..all in all yule wa kwanza ndo kaua

  • @joachimsamwel812
    @joachimsamwel812 3 ปีที่แล้ว +33

    Huwezi taja Jina la YESU kwaajili ya vichekesho vinavyo leta zalau kwa YESU

  • @aishahussein4884
    @aishahussein4884 3 ปีที่แล้ว +14

    Saidi nimecheka mpka nimelia😃😃🇰🇪

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 ปีที่แล้ว

      Heheheeee th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html

    • @shimbirobo9586
      @shimbirobo9586 3 ปีที่แล้ว

      Hata mim nmecheka sana, na nimeparudia rudia sana daaaaaaa!

    • @Saidaaid
      @Saidaaid 3 ปีที่แล้ว

      Thanx

  • @joachimsamwel812
    @joachimsamwel812 3 ปีที่แล้ว +23

    Mnazalaulisha imani yetu kwakuifanyia mizaha na vichekesho ..waandalizi mnapaswa kuweka mipaka sio kila kitu ni chakuchekeshea tuu

    • @bikabucha7905
      @bikabucha7905 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

    • @josephhaule9123
      @josephhaule9123 3 ปีที่แล้ว +2

      Hata mm sijafurahishwa kabsa halafu masanja anayejiita pastor anachekelea tu hap

    • @mr.machange1377
      @mr.machange1377 3 ปีที่แล้ว +1

      Roho ya Makufuru inatenda kazi

    • @gidygiam9867
      @gidygiam9867 3 ปีที่แล้ว

      Wanacheze iman

    • @SankaEmanueli-bz8cr
      @SankaEmanueli-bz8cr ปีที่แล้ว

      Mnazingua sana acheni matani na yesu unajua ww ni Mtu mzima unapumua kwa ajili ya mungu afu unamzungumzia yesu kwenye utani wenu

  • @davidchesco1150
    @davidchesco1150 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwan kuchekesha hadi atajwe Yesu!!. Sijapenda hapo mmekosa content

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 ปีที่แล้ว

      Kwani Yesu katukanwa???? Jina la Yesu mnaliheshimu nyinyi kwa wazungu kuna hadi mashoga wanaitwa Yesu

    • @rajabunjadika455
      @rajabunjadika455 3 ปีที่แล้ว

      Haaaaaaaa

    • @carlixtz4594
      @carlixtz4594 3 ปีที่แล้ว

      @@BigZhumbe ushasema nchi za wazungu lakin sio sisi wao ni wao

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 ปีที่แล้ว

      @@carlixtz4594 Na dini si ni yao mbona mnaishobokea 🤣🤣🤣 kwani Yesu ni msukuma

    • @davidchesco1150
      @davidchesco1150 3 ปีที่แล้ว

      @@BigZhumbe Kila mtu na iman yake. pia najua wapo wanoitwa yesu mi sizungumzii ma yesu hao mi nazungumzia YESU wanaemuweka kwny jokes zao. Alaf ni wao sijakuzungumzia ww

  • @bibliakitabukitamu6015
    @bibliakitabukitamu6015 3 ปีที่แล้ว +30

    Komedi ni kitu kizur Ila naomba nionye kitu TUSIMFANYIE MUNGU MZAHA ATA KIDOGO naomba mfikishe iliii

  • @officialtakatuka7127
    @officialtakatuka7127 3 ปีที่แล้ว +6

    Punguzeni kutumia biblia kujok mnapoteza mvuto wa s.comed

  • @Zaburi-
    @Zaburi- 3 ปีที่แล้ว +40

    Acheni dhihaka na imani za watu, it's total stupidity

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 ปีที่แล้ว

      Heheeee th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html

    • @markleonardo8634
      @markleonardo8634 3 ปีที่แล้ว +3

      Total stupid, sijawahi kuona wakitumia kitabu cha waarabu kile

    • @AsiaMkusa
      @AsiaMkusa 3 ปีที่แล้ว

      Mmmmmmmh

    • @othmantv2654
      @othmantv2654 3 ปีที่แล้ว +3

      @@markleonardo8634 kuwa na heshima broo yale ni maneno ya Allah sio kitab cha waarabu

    • @nasramohamedi8190
      @nasramohamedi8190 3 ปีที่แล้ว +1

      @@markleonardo8634 pumbavu wee umeona wapi maneno ya haki yakachezewa ndio muone sasa hiyo mnayoiita dini inavyozalilishwa

  • @bingwa4039
    @bingwa4039 3 ปีที่แล้ว +4

    Yan mumetumia adi majina ya mitume kuchekesha lkn wote ni pumba tu amjuh chochote ila mwaisaa hela hiz zitatuua tutafute hel mwaisa hat kwa kuforce

  • @angelmasawe9232
    @angelmasawe9232 3 ปีที่แล้ว +1

    Af uy dogo mwingne katokea startv anajua kujiongeza big up kwake kachangamkia fursa

  • @davidmendrad4749
    @davidmendrad4749 3 ปีที่แล้ว +24

    Wasitumie sana dini ( Yesu na MUNGU) wasitanie jina la Mungu

    • @zawadichalale4047
      @zawadichalale4047 3 ปีที่แล้ว +2

      Hata mm sifurahii kabisa

    • @ruzisalm2031
      @ruzisalm2031 3 ปีที่แล้ว +2

      Nimungu wawapi huyo yesu

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 ปีที่แล้ว

      Yesu sio mungu

    • @YahyaSaiid-vx4rz
      @YahyaSaiid-vx4rz 6 หลายเดือนก่อน

      Ivi mungu anyone kana?anakula?anapanda mtumbwi?anavaa kanzu?

    • @whitetigerprincy5882
      @whitetigerprincy5882 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@yusufuheri6524Babako au kasome bibilia

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 ปีที่แล้ว +55

    Leonard, MC Eliod na Azaboi mmetisha sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️. Ile nyie mnaotumia jina la Yesu mnakosea sana Yesu hachezewi

    • @azaboicomedy
      @azaboicomedy 3 ปีที่แล้ว +4

      Shkrn sana, ubarikiwe

    • @ceciliaombela7159
      @ceciliaombela7159 3 ปีที่แล้ว +2

      Tena sana sijui hawajui dhamani yake

    • @rubniyi3551
      @rubniyi3551 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ceciliaombela7159 mimi nimekosa lakusema 🤔🤔🤔🤔

    • @sayimagina1334
      @sayimagina1334 3 ปีที่แล้ว +2

      Jina la Yesu linatakiwa kuheshimiwa kila mahali......wangetakiw watumie mifano mingine sio kumkejeli Yesu....Haijafaa ila Mungu awasamehe maana hawajui watendalo

  • @rasulmtemi7595
    @rasulmtemi7595 3 ปีที่แล้ว +3

    wabongo mmepigwa... Hamna comedians apa. Imbeni tu.. comedy tuachieni Wakenya

    • @MohaAisha-i5y
      @MohaAisha-i5y 2 หลายเดือนก่อน

      Kenya kuna comedian gan

  • @ahadijohn9190
    @ahadijohn9190 3 ปีที่แล้ว +5

    LEONARDO & IZACK wa FELIAZA mmetixhaa saana

  • @agustinonwaka2089
    @agustinonwaka2089 3 ปีที่แล้ว +11

    Duu japokuwa sio mlokole ila Mungu achezewi kihivyo

  • @winfridahubert4072
    @winfridahubert4072 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanacheza na maandiko😔

    • @celinekenedy870
      @celinekenedy870 3 ปีที่แล้ว +1

      Alaf bad enough hawayajui.

    • @winfridahubert4072
      @winfridahubert4072 3 ปีที่แล้ว +1

      Yani wamefanya Bible kama kitabu cha story wanageuza maneno wanavyotaka wao hawana hata hofu na Mungu

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 3 ปีที่แล้ว +97

    Ombi langu kwa wananchi:ningependa tuigizeni kila kitu lkn maneno matakatifu ya kitabu cha dini yyte yasiruhusiwe.mnacheka kwa dharau kwa maneno ya Mungu jamani?mbona ckupenda hilo?

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 3 ปีที่แล้ว +3

    Hivi mmekosa vichekesho Hadi mkomae na Yesu?
    Why not Muhammad?
    Mnafatiliwa na watu wengi wenye Imani tofauti...

    • @hawasadick2156
      @hawasadick2156 3 ปีที่แล้ว

      Nielewe wewe Muhammad s a w sio wa dhihak hizo kbs😡

    • @officialbntrasool5223
      @officialbntrasool5223 3 ปีที่แล้ว

      Waanza na mtume waone tutachowafanya

    • @whitetigerprincy5882
      @whitetigerprincy5882 4 หลายเดือนก่อน

      Muhammad muarabu wa kawaida

    • @whitetigerprincy5882
      @whitetigerprincy5882 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@officialbntrasool5223unafananisha Muhammad na yesu.read the bible properly

  • @rasymb6190
    @rasymb6190 3 ปีที่แล้ว +9

    MO town nakubari giii

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 ปีที่แล้ว

      Nouma bro th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html

  • @samwelsanga5339
    @samwelsanga5339 3 ปีที่แล้ว +4

    Mkalimee tuu maisha yamekuwa mgumu kishenz,hapo mnachekesha nn hasara na nyiny 😄😄🤭

  • @arbstationary7544
    @arbstationary7544 3 ปีที่แล้ว +7

    Muache kumtaja taja Yesu kwenye mambo yenu yasiyofaa

  • @zakariagerald6381
    @zakariagerald6381 3 ปีที่แล้ว +24

    Kweli matumizi ya dini kwenye comedy wanazingua

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 3 ปีที่แล้ว +4

    Guy's hivi hao wanao joks kupitia mambo ya DINI huo ndi upumbavu kufanya joks na mambo ya dini

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 3 ปีที่แล้ว +17

    Me naitwa mo town sanya aka nembo ya mtaaa watu oyooooooooooooooo

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 ปีที่แล้ว

      Heheheee th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmekosa jocks nyie wacheni upuuzi kuchezea DINI bhana na nyie mwashangilia ujinga huo

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyo mshiriki anabifu na yesu amaaa?waache kufanya comedy za dini jamani khaaa

  • @raiszongo1580
    @raiszongo1580 3 ปีที่แล้ว +1

    Leonardo huy0 dogo ni 🔥🔥🔥

  • @yohanamagoye1370
    @yohanamagoye1370 2 ปีที่แล้ว +4

    Hapo kwa Yesu mlikosea Sana wakubwa

  • @nestoemanuel2821
    @nestoemanuel2821 3 ปีที่แล้ว +23

    Kitaa kina mishe kibao bro! 🔥🔥

  • @ruthkomba3382
    @ruthkomba3382 3 ปีที่แล้ว +1

    Sijapenda kutumia jina la Yesu kwenye utoko wenu fyuuu

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 3 ปีที่แล้ว +10

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂idea mbadala hahaha

  • @HamadMagozi
    @HamadMagozi 9 หลายเดือนก่อน +1

    jesus is a prophet but god is one and he is allah and he has no partner and he is not like anything

  • @celinekenedy870
    @celinekenedy870 3 ปีที่แล้ว +5

    Hamna kitu wote kasoro wa kwanza na Eliud,,, kwani YESU aliwafanyia nn mbaya? Kuweni na uoga na heshima pia.

  • @amanicalvn
    @amanicalvn 8 หลายเดือนก่อน +1

    kwakweli maneno matakatifu sio vyema kabisa kutumika kwenye uchekeshaji wa namna hiyo wapendwa tumuogope mungu

  • @sbreezedaclassictz9666
    @sbreezedaclassictz9666 3 ปีที่แล้ว +4

    Hapa wote hawachekeshi bado sana n moyo tu ndo tunawapa wapambane sana

  • @michaeldavid4322
    @michaeldavid4322 3 ปีที่แล้ว +5

    Huko kwenye utani na dini au na mungu mnazingua sana halafu ni ujinga kabisa acheni hoyo tabia mara 1

  • @tomzone6267
    @tomzone6267 3 ปีที่แล้ว +11

    Leonardo 🔥, Eliudi 🔥 ....
    Uyo watatu mtanisaidia
    Lakini Kuna baadhi ya watu wamekuja apo kwa platform as if Amna 10 M ivi au ni Mimi uelewa mdogo

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 3 ปีที่แล้ว +1

    Leonard namba 1

  • @EagleMaestro
    @EagleMaestro 3 ปีที่แล้ว +1

    Mnakosea Kutumia Jina La Yesu Kwenye Commedy... Fikirieni mambo mengine ...Very sorry kwa hilo ila hapo mmechemsha

  • @benjaminmunkondya
    @benjaminmunkondya 3 ปีที่แล้ว +44

    Leonardo Is The King

    • @mikienne6058
      @mikienne6058 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/T4hBOa2FRmQ/w-d-xo.html

    • @lukamagova6678
      @lukamagova6678 3 ปีที่แล้ว +2

      Baba lev atasababisha uyo akose kujiami

  • @jacobmhozya4127
    @jacobmhozya4127 3 ปีที่แล้ว +1

    Mshindi niyule aliyebuni vitu vyake hajawekamo mambo ya yesu

  • @mr.machange1377
    @mr.machange1377 3 ปีที่แล้ว +31

    Hivi hawawezi kuchekesha bila kutaja jina la YESU 😭😭😭
    So sad!!

    • @muasewamukadogo9729
      @muasewamukadogo9729 2 ปีที่แล้ว +2

      Ni kama kumdhihaki Yesu hawajaona chakuchekesha hao

    • @rachelkihaka9204
      @rachelkihaka9204 11 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa hata mie wananikera sana maana amri ya pili unasema usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajayebure jina lake

    • @hoseamwanisenga7102
      @hoseamwanisenga7102 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@muasewamukadogo9729😊p

    • @AredFered
      @AredFered 9 หลายเดือนก่อน

      Sijapenda

    • @whitetigerprincy5882
      @whitetigerprincy5882 4 หลายเดือนก่อน

      Waislam wote ni watumwa wa waarabu ndio maanake wanamchukia yesu

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +6

    Naona njili tu akuna kitu maandiko mnatumia kwa kuchekesha upuuzi tu

  • @happnessmdemu1740
    @happnessmdemu1740 3 ปีที่แล้ว +1

    muache kumtaja yesu chekeshen vingine sio lazima mmtaje yesu mnakufuru

  • @Az__2012
    @Az__2012 3 ปีที่แล้ว +5

    Mnashinda gani na yesu lakini sijapenda

  • @tvnineonline8556
    @tvnineonline8556 3 ปีที่แล้ว +38

    Ushauri wangu , uongozi wa jukwaa la cheka tu utoe seminar kwa washiriki dhidi ya kutumia sana material ya dini, hii italeta matatizo baadae ikizingatiwa hii ni platform mama kwa sasa hivyo ikiacha hivi itazalisha ukakasi kwenye dini za watu. Otherwise KAZI NI NZURI SANA, keep entertaing guys, Africa Is watching .

  • @MaasaiPesa
    @MaasaiPesa 2 ปีที่แล้ว

    Nyote mnachekesha kutumia jina la yesu ... Yesu asifiwe...

  • @jaydany6192
    @jaydany6192 3 ปีที่แล้ว +1

    Mnavuka mipaka sasa yesu kawa babu yenu mbn mtume Muhammad hamuwekagi kwenye utan

  • @thobiaspaul5691
    @thobiaspaul5691 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbwa nyinyi mbna mna mtaja muumba mbingu na nchi mnatumia Kama kiki tafuteni mambo yakuzungumzia mnakera

  • @simonmlisa4311
    @simonmlisa4311 3 ปีที่แล้ว +10

    Ni kama wanasimuliana stories kabla ya kupanda stejini..washiriki kama watatu wote wamelalia upande wa hadithi za Yesu..
    Ila huyu Leonard yupo vizuri sana

  • @fredmwaifwani1802
    @fredmwaifwani1802 ปีที่แล้ว

    Wanakera wanapotumia jina la Yesu kufanya dhihaka.YESU NI MUNGU ACHENI KUTUMIA VIBAYA JINA LAKE

  • @TaiWaTzTV
    @TaiWaTzTV 3 ปีที่แล้ว +26

    33:03 Eliud Bro, uko vyema sana

  • @marthalangia
    @marthalangia 9 หลายเดือนก่อน

    Neno linasema msiketi balazan pa wenye midhaha na nyinyi mnatumia jina la Yesu kwenye midhaha mkumbuke Mungu hadhihakiwi, na wewe unatumia vifungu vya maandiko kuweka maneno Yako, bible imekataza kuongeza au kupunguza neno lolote so tahadhari mambo ya dini yasihusishwe ktk Kaz zenu hayo tuyakute misikitini na makanisani

  • @braitonmwandata404
    @braitonmwandata404 3 ปีที่แล้ว +1

    Vipo vitu vya kuwekea utani siyo utani wa kumuingizaBwana Yesu hii haijanibariki.mjilekebishe

  • @farijimgimwa6299
    @farijimgimwa6299 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana muwe naadabu naimani za watu mnaniuzi amchekexhi uximamizi uwemakin

  • @neemauhehwa7742
    @neemauhehwa7742 3 ปีที่แล้ว +1

    Leonard amefany ki2 Cha kipekee wote fun lakin uyu Ani anawez jamn

  • @KadTheGenesis
    @KadTheGenesis 3 ปีที่แล้ว +3

    Wagechekesha tu Yesu wakaachana nae

  • @Richesfam
    @Richesfam 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwani awa comedians wote no jina la YESU tu 🙄 Ya'll are not funny envolvin the LORD in this mess

  • @mrmartinipaul2464
    @mrmartinipaul2464 ปีที่แล้ว

    Nilichogundua hawana aidia yeyote mpya zaidi ya kuisema dini ya kikristo tu

  • @chrianahchrison855
    @chrianahchrison855 3 ปีที่แล้ว +18

    Mshiriki namba 3, kutoka dar es salaam, tunaomba uheshimu dini za watuuuuu!🙏🏻

    • @fayzarashidi2203
      @fayzarashidi2203 3 ปีที่แล้ว

      Sijaona mchekeshaji

    • @leylamark3193
      @leylamark3193 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabsa yaan ....sijapenda hata tone!!!!😏😏😏....yaan anasema tu yesu ....yesu ...yesu daaah!!! Amekosea sna!!!

    • @rubniyi3551
      @rubniyi3551 3 ปีที่แล้ว

      @@leylamark3193 nimehuzunika mimi😫😫😫😫

  • @isdoriemmanuelnzige1988
    @isdoriemmanuelnzige1988 3 ปีที่แล้ว

    Sijapenda mlivyofanya kumtumia yesu kwenye vichekesho vyenu au nyinyi yesu mnamchukuliaje? Mbwa nyie

  • @rachelmuhehe2593
    @rachelmuhehe2593 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awahurumie na kuwarehemu bure kwa mtaja Yesu kijingajinga

  • @pintymelodytz913
    @pintymelodytz913 3 ปีที่แล้ว +2

    Mnafanya vizur lakini mnakosea kukufuru

  • @bikabucha7905
    @bikabucha7905 3 ปีที่แล้ว +1

    Cjapenda kufanya mzaha na Yesu...mheshimu mungu tafadhali haijalishi ni comedy wala nini....hilo hilo jina walichezea kuna mwingine analitegemea kuishi

  • @eliyawilliammagesamarwa8413
    @eliyawilliammagesamarwa8413 2 ปีที่แล้ว

    Acheni kumtania MUNGU Hii ni ibada ya kukufuru ole WENU mketio kwenye Baraza la wenye mzaha

  • @hawasaid5286
    @hawasaid5286 6 หลายเดือนก่อน

    wewe hapo ni mwislam kila mara kumtaja Yesu na kumzihafu, kama umetumwa ndugu utapotea, kwa nini usimtaje mtume wako mhamadi na kumdhihaki hivyo??? muogope sana Mungu maana hukumu yako yaja.
    uchekeshaji kwenye neno la MUNGU aliye hai????
    be careful what comes from your mouth. hiyo ni najisi. omba toba........

  • @kottaflavour7055
    @kottaflavour7055 3 ปีที่แล้ว +3

    Leonardo Hana mpinzani

  • @itsjkamolabeatz
    @itsjkamolabeatz 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂Diamond platnumz hatimae âme mjibu harmonize ki djanja djanja jionee
    Apa uta cheka 😂👀,,
    👇👇👇👇👇👇👇👇👇
    th-cam.com/video/D5Cexy_UXxU/w-d-xo.html

  • @sportsnewss8779
    @sportsnewss8779 3 ปีที่แล้ว +20

    Comedian wa kwanza ametishaa sanaa

    • @princessmiki3210
      @princessmiki3210 3 ปีที่แล้ว

      Hata mm nmempenda sana huyo wa kwanza

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 ปีที่แล้ว +2

    Ushauli watu wajukwaa msiruhusu wachekeshaji kutumia mambo yadini nakuwataja mitume au manabii hilinikosa kiimani sikupenda hii

  • @subiraaddo864
    @subiraaddo864 ปีที่แล้ว

    Huyu Said ajiangalie sana, anamtaniaje Yesu hivo??

    • @subiraaddo864
      @subiraaddo864 ปีที่แล้ว

      Yaan hawawezi kufanya comedy zao bila kuhusisha maandiko ujinga mtupu😏

    • @subiraaddo864
      @subiraaddo864 ปีที่แล้ว

      Kizazi Cha hovyo Hiki hakijui hata heshima kwa Mungu

    • @subiraaddo864
      @subiraaddo864 ปีที่แล้ว

      Kina Senga na Pembe hawakumtania Mungu kiasi hiki lakini bado walichekesha

  • @johnmasegese9787
    @johnmasegese9787 3 ปีที่แล้ว +3

    Ujinga ni kumtaja Yesu kimzaha

  • @raiszongo1580
    @raiszongo1580 3 ปีที่แล้ว +1

    Dogo wa kwanza kabisa KWA stage ametisha sana

  • @whitetigerprincy5882
    @whitetigerprincy5882 4 หลายเดือนก่อน

    Waislam comedian you're still joking with the name of Jesus Christ ila hipo siku mtashtukia yeye ndio atakaye kaa katika kiti cha enzi

  • @kalikumtimamaganya4448
    @kalikumtimamaganya4448 3 ปีที่แล้ว +5

    Mnashangaza sana why ktk majiji tyuu ,vip kuhusu mikoa mingine

    • @umojamedia4167
      @umojamedia4167 3 ปีที่แล้ว

      Wanapenda sana majiji

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 ปีที่แล้ว

      Yaan th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html

    • @imranshafii678
      @imranshafii678 3 ปีที่แล้ว

      Nyinyi wengine pambaneni na hali zenu

  • @hawasaid5286
    @hawasaid5286 6 หลายเดือนก่อน

    huwezi kusoma neno bila roho wa Mungu. kuelewa kwako sio maana ya maandiko....acha kupotosha umma... kesi unayo tayari Mangendo... kama umelipwa kufanya hayo jua yatakutokea puani .....

  • @MR_GUNDI
    @MR_GUNDI ปีที่แล้ว

    Kiongoz ili nweze kushiliki cheka tuu nafanyaje mm Zaid ya comedy ipo ktk damu yangu so nafanyaje

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 3 ปีที่แล้ว

    Unajua ingelikuwa Said anatumia jokes kwa mtume mhammad ungeona mashehe wangemea Mimi sijapenda mtu kutumia jina la yesu vibaya kwenye matani naenda kufungua kesi kuishitaki cheka tu kwa kosa la kuthahaki din ya kikrsto

  • @sophierseyyd1162
    @sophierseyyd1162 3 ปีที่แล้ว +2

    Hajamtukana mungu wala yesu sema tunatafsiri vby yy anachokesema kumbuken movie ya yesu imechezwa na binadam kwahy hawa wanatumia misemo ilotumika mule elewi kitu jamn

  • @idanelias4245
    @idanelias4245 3 ปีที่แล้ว +5

    Mshiriki wa kwanza kaua vibaya

    • @leshasky8893
      @leshasky8893 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli na hajaingilia dini ya mtu

  • @GoodluckShiyo
    @GoodluckShiyo ปีที่แล้ว

    Acheni ujinga wa kuzungumza habari za Yesu wakati hamzielewi hata wanaowapigia makofi nao hawaelewi chochote. Acheni na hhabar za dini

  • @robertcosmas9233
    @robertcosmas9233 3 ปีที่แล้ว +3

    Usilitaje jina la MUNGU wako bule

  • @richardlayses8925
    @richardlayses8925 3 ปีที่แล้ว +1

    Naona mtume wa waislam hataniwi kabisa Sasa endeleen tukigeuza kibao msije kusema wakristo wakorofi.

  • @danielmbindithecomedian1471
    @danielmbindithecomedian1471 3 ปีที่แล้ว

    Huyu wa mwisho amenihudhi,ati Mungu babu?nkt

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 ปีที่แล้ว +9

    Waaaaasaaaafiiiiiiiiii mmetiiiiiishaaaa

  • @kavoomshana7289
    @kavoomshana7289 3 ปีที่แล้ว +1

    Sijafurahishwa hata kidogo kwa sababu ya kumuingizia utani yesu haifai...!!!

    • @saadebakari
      @saadebakari 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani yesu c nimtu tu kama cc

  • @AmosiSaimoni-fi6gb
    @AmosiSaimoni-fi6gb 6 หลายเดือนก่อน

    Kama MUNGU aishivyo na jina lake liishivyo awalipe sawasawa na kazi yenu mnaom fanyia dhihaka kanisa la MUNGU tuji andae yale yesu Ali tabili Sasa tunaya ona kwa macho afu watu Hawa elewi kuwa kanisa Lina ingiliwa inua macho yako juu yesu ana ludi kaa tayari uspo tambua huta okoka matayo 24.9

  • @NaomiSumaih
    @NaomiSumaih 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani sio kwamba hatupendi vichekesho vyenu ila kuzungumzia suala la kutaja yesu kwa vichekekesho sio vizuri

  • @JoelMussa-l3m
    @JoelMussa-l3m หลายเดือนก่อน

    Fanyeni yote ila tu usimchanganye MUNGU usimchanganye YESU kwenye mambo yako ya mzaha, huo ni upumbavu na ujinga unaowasubua.

  • @jescaelias6838
    @jescaelias6838 3 ปีที่แล้ว +5

    Mmeona Yesu ndo wakuwekwa kwny comedy zenu na mlaaniwe milele

  • @hawasaid5286
    @hawasaid5286 6 หลายเดือนก่อน

    kama kweli mnataka kudhihaki anzeni na MUhamadi na Allah ili tuone kama mko siliasi kwenye uchekesheni wenu.
    stop all this....,.

  • @slamasta1542
    @slamasta1542 3 ปีที่แล้ว +6

    Leonardo mwamba sana...anatisha kishenzi

  • @geraldseba
    @geraldseba 3 ปีที่แล้ว +4

    Pawepo na drisha la wazi kuwapigia kura washiriki.
    Gerald Sebastian.
    Arusha,Tanzania

  • @AndrewWoiso
    @AndrewWoiso ปีที่แล้ว

    Mm sijapenda kbs awo vijana wa daslam walivyotumia maandiko kimzaha na jina la yesu kwenye mzaha wanakosea sana japo sina mamlaka yakuhumu ila hii aijakaa sawa sijaegemea upande wwte wa udini la kwangu mm wte awafai na awajui kuigizaa ama Mwasemaje wadau??? Thanks,, naleft😢

  • @emmabroy1209
    @emmabroy1209 3 ปีที่แล้ว

    Mi Niko pamoja na alichokisema baba levo na hata Kama mtakua hamna hela mwambie afate milioni yake kumi na kiwanja kwangu baba levo hupindishagi maneno

  • @irenegrasihani2651
    @irenegrasihani2651 3 ปีที่แล้ว +1

    Biaatam vom aminaiz
    G

  • @festoasanga5572
    @festoasanga5572 3 ปีที่แล้ว

    Masanja masanja kemea ujinga huo wewe ni mchungaji biblia ina sema usilitaje jina la mungu wako bure vp hao wajinga mungu so wa utan

  • @HappyApron-fo5vl
    @HappyApron-fo5vl 7 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu kinasimamiwa Na mungu ila sio kutumia maandiko kuchekesha watu ....mshirika namba tatu jirekebishee