😁 MACHOZI YA FURAHA WALIOCHAGULIWA FAINALI YA CHEKA TU COMEDY SEARCH 2021
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2021
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#ChekaTu #ChekaTuComedySearch #WasafiTv - บันเทิง
Naombeni like za mc eliud😉
coy ni jaji mziri sana.napenda kicheko chake.mungu akupe maisha marefu mwanagu.🎉🎉🎉
Eliud very nice
Eliud & Leonardo all the best guys wote mnajua kinyama 🤣🤣🤣🤣
Leonardo hatari sana unajua kinomaa 🙌🙌🙌
Tangu nmjue koy Tena kwa kumuona kwenye cheka tu cjawah juta kumfaham nampenda na namkubal vbya mno uyu Kaka may God keep him alive atakuwa msaada kwa weng one day🙏
Said kanichekesha ad nguvu zimeisha so talented bro salute
Baba levo akitaniwa uchawa dizaini kama hapendi hv..hahahahaha
Daaah Mr coy yaani icho kitu ulicho kifanya naona kama umenifanyia Mimi asante sana. Napia hii imenisaidia kuwa na kujiamin na kuto kukata tamaa atakama ni hatua ya mwisho asante sana coy mzungu na uwongoz wote wa Cheka 2
Dah! Boom Chakalaaa imeniuma kumpoteza Uyu mwamba
😭😭😭😭😭
Said leo ametisha sana, from today im your fun
Leonardo na asma, ewe MUNGU wajaalie washinde, Leonardo namba moja, asma namba mbili
Mimi sio mtanzania ila mimi nimu Africa big up saana wasafi .
Leonard leo hana maaajabu Ndaro kaua sanaaaaa yaaaan😂🤣
Leonard,asma,na Eliudy yanii mi bomba sana
Jamn mm Nina uhakika watu wangu wawili tuu leonado na saidi said mshindi number moja na number mbili mtakuja kuniambia maana hawa viumbe wanachuana n noma Sana💪
Daah mo town....umetishaaa sna brother 🔥🔥
Coy maneno yako.. Daaahhh hatari sana we mtu.. Ubongo wako uko na madini...
Dah nikwel
MC ELIUD PLS JITAHIDI BABA UR MY WINNER😍
Eliud apambane... Wakina Leornard , said said na asma ni moto wa kuotea mbali
Leonard he's the best 😍👏👏👏
❤❤❤❤
i love that judge in between the lady and baba levo ,,he is very kind he uses wisdom
His name is Coy Mzungu
Huyu jamaa Coy Mzungu anafaa kuwa Consultant kabisa, I appreciate your efforts bro
Asma kama Asma kazi nzuri saaana!!! You nailed it girl!! Kaza buti!
hata mm nampenda Asma na Leonardo
Leonardo always is the GREATEST
Well said
@@zaizaitwaha6633 hakika
Hakika ye mwenyew anajiamin Hana papara
@@elithadam2791 yes ofcourse he is fantastic
@@zaizaitwaha6633 jj5
Eliud is mastermind
Boom aende USA ama Europe yaani ataeleweka sana. He is very smart and talented.Yaani anaelemisha kuwa bangi ni ukichaa . Said na Asma nao wapo vizuri
Aisee amefanyaje
Mbona hawajasema nini tatizo
Me mwenyewe najiuliza kafanya nn kafanya mistke gn
Ile magic alofanya mwisho ndio iliyomuangusha lkn mwanzo alianza vzr
Anaujanja mwingi kuliko mazingaombwe yake ukikagua vizuri kuna vimshipi kavptsha vidore uzuri ata kama mazingaombwe yake feki ila kipaji cha ujanja anacho anajua kucheza ns akili za watu
Leonard yupo poa ila asiwe kama msoma taarifa amiliki jukwaa kama jol master au erico, mo town amewaokoa waliotakiwa kuondoka na huruma za coy Mungu awabariki,
Baba levo yupo real ni mtu poa sana nae anakueleza uhalisia ili ujirekebishe na ni kamanda wa uvumilivu ameingia kwenye sanaa tangu mtoto ndio anatoka rasmi sasa. Nc tm
Leonard Asma and saidi Mungu azidi kuwainua ,
Brother koi god bless you my brother
Asma she is genius
More love to her
@@aidanfrancis7209 🤜👍
Leonardo u kill it, said said, ndaro wish u all the best
Coy..umefanya kitu Cha motivation Sana always Mungu azidi kuwa nawe....maana umenifundsha kuwa hata nyakati za kufeli ushindi unaweza patikana ndani yake💪🏽💪🏽💪🏽
Coy umeongea vizuri mungu akubariki. Baba levo jamani 🤣🤣🤣
Said said ni mshindi wangu😂😂😂
kabsa yAni
Baba levo... Anazingua sn uwez mchek mtu.... 👏 👏 👏 Hata kam kashindw.... Hapo umezinguaa... BIGUP koy
ALIE GUNDUA SANYA ALICHAPIA BADALA YAKUSEMA NI KUKUMBUSHE AKASEMA NIKUKUMBUKE ALAFU CHAPU AKAIUNGANISHA KAMA AKIJATOKEA KITU 🤣🤣🤣🤣KAMA UMEELEWA ICHO KIUNGANISHI NIPE LIKE
Asma anatumia akili nyingi sana ..respect Dada!!
Leonard and asma 🔥🔥
tupo wengi sana kwamuda huu🇨🇩🇨🇩
Jaribuni mchekeshaji akiingia kwenye jukwaa awe angaa na salamu za kujitambusha… Za kuleta shangwe hivi. Otherwise you Are doing a good Job 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Duh leonardo namkubal sana ila said said anakuja juu hatary, xo wanachuana vikal sana
Nawapenda sanaaaaa cheka tu
Show Kali. Leonardo, Said na Boomchakala
Leo siloswagQ wa mwanzo nakubali cheka tuu..na wasafi kwa ujumla
th-cam.com/video/L0HUlvg01XA/w-d-xo.html
Jamaa ana huruma sana mungu amsimamie 🙏
Nakupenda sana coy,yani una roho ya ajabu sana na hii nimeanza kuiona tangu nilipoanza kukuona
Leonard ni moto wa kuotea mbali kam hawajamp hamn mwengine
Headmaster is another level😍😍😍
Leonard 🔥
Boom shakala you will make it ma men,am your hard fun
Eliud Performance Ya leo ni Nguvu. Keep it up
Nawaombea kwa MUNGU, asma na Leonardo wapate ushindi
coy una kitu mkali we ni mtu pekee upo tofaut sana💪
Ila washikaji huyu Koi ni Binadam Sana. Mungu ambariki Sana
Koi I love your life Experience and motivation bigup ✌️👍💪🔥🔥🔥
Aseeee eliudy umetisha
Am team eliudi,eliudi kwenye hiyo 10 million,buku tu litanitosha
Mbeya boy oyeeeeee....
AZABOI JAMAA YUPO VIZURI SAAANA...MSHINDI WETU AZABOI🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Said said&Leonardo mko pw sana, ila Leo leornado said kakufunika vibaya sana, kama unataka mpunga kaza sana mwshoni huku, said saidi pia kaza buti mumpe mtihani katka selection ya mshind chawa baba levo.
Said said,.. Ndaro, Leornado na Esma hawa wote ni balaaa🙌
Boom shakala… i believe in you bro keep it up show them fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I like this guys ndaro,leonard,saidi and asma this guys wako poa sana😁
Daah kwamba headmaster hujamuona em nmuadd apo🔥🔥
Muliyo jaaliwa kuingia final ,ongezeni material musilewe sifa,kwa nyote muko vizuri lkn haya ni mashindano lazma tupate mshindi
Said said diserve to be the best✊
Real bro
Team Asma here 🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤
leonard anachekesha tu jinsi alivo hata bila kuongea
Nakupenda Asma Majid, ila ongeza zaidi material uchukue ubingwa.
Aisee koi nimempeñda sanaaa! Much love to this humble man
Tukutane trh 1-10-2021 Mlmni- City
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Mc Eliud u killed it home boi
Reonado, said said, na ndaro the best
Eliud killed it
Ndo mshind
Eliud noma
@@user-jk5ir4ke3z Hakika ana utamu wa pekeyake
Said said umetisha 🤣🤣🤣
Eliud for life ❤❤😂
Its the konde boy's instrumental teacher for me i love that song konde boooooy to the world 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kha wenawe
@@nlmnextlevelmsck9127 ssssssssssssssssssssssss
Ndaro..saidi..asma..eliud..😮😮
Leonardo you kill it, bt acha mazoea ili uweze kushinda, don't relax my boy.
Saidi is so fantastic today
Wow! Boom 🔥🔥🔥 wish you good luck
Said😍😍😍
Said😍😍😍
Huyu mc Eliud ni fundi saana aisee 😂😂🤣
Eliud
Ronardo anashinda
1) Leonardo
2) asma
Said saidi joke was crazy 😂😂😂😂😂
from Kenya cheka tu you are doing good thing congratulations 👏
Coi uyo ulimwambia I love you fundi ase
Headmaster is next level
Mc Elliud🔥🔥💯
Napanga kikosi, cha ushindi tarehe Moja, wa kwanza, Said said, pili leonard, na tatu ndalo
.
Leornard number uno
Mdundo wa ama piano 🎹 ya Harmonize ndo kifunguo.
Unajua mweny nyimbo original ni nani sema unajitia uchiz tu
Daaah uyo head anajua sanaaaaaaa😂😂😂😂
The magician and comedian is a biggest star that guy has challenged me
Said Said na Leonard nan tumupe ushindi
Koi Mungu akubariki
Baba levo thanksss
leonardo nakupenda sn unauwezo mkubwa kiukwell yaan ww nasaid na Asma ngoma droo
Baba levo,,,jokes nyingi sana broo
Humble man Koi nimeamini kweli wewe ni Mzungu
Dahhh Coy Mzungu ana motivation sana!! Anafaa kuwa Councelor!!
Asma ongeza nguvu dada utuwakilishe wanawak wenzio 🙏🙏🙏
You can and unaweza
Mnhhh🤣🤣🤣