kaz nzur mjomba ila...elew kuwa kit kinamuda wake....mafanikio unayoyapat Leo fany kama haitotokea tena.....nadhan utafanyia jambo la maana.....napenda kazi yako ...pia napenda ufanikiwe kupitia kaz ako kama wengne walivofanikiwa...
Mr Ben punguza kidogo uko vizur ila kwa kutumia maandiko na kuzungumzia habar za Mungu katika vichekesho nikushauri uache najua unaelewa nini namaanisha mengine sio lazima niandike hapa
Hii ni show yangu, nafurahi sana uwepo. Marekebisho ni madogo tu, kwanza muwe mnawaisha kuipost, pili mfanye promotion za kutosha, mfike na mikoani, then camera man ajitahidi kuonesha na audience. But keep it up
Kama unamkubali huyu jamaa anavyo bonga piga like apa
Big up
Huyu mtoto anautumishi ndani yake,,, mweny macho ya rohoni anaelewa ninachoongea,,,, ipo siku atakuja kuwa mtumishi mkubwa,,, Mungu akutunze BRIAN
Hata mimi nimeona
Anaitwa brian
Watu hucheka sana lakinia mwenzenu hapo kasha hubiria mtu kuhusu habari njema ya Yesu hapo nimtu kujiongeza
Umewaza kama mimi...yan huyu ni mtumishi wa Mungu kabisa
dhuuu!!! ni kweli
@@unknownsshayo1527 kabisaa
Beni uko vizuri sana
Kabsa
Nimekupenda unavomtanguliza Mungu kwanza utafika mbali jitaidi
Mimi nimvivu kucoment nimekukubali big up much
kwel
Sana
Nakubal mkali wao
Umehubir mr beneficial kweli Mungu akubariki
Jamaaa unampenda mungu thankyuu so much ndio maana unafanikiwa
malaika wanaazimana external 😂😂😂😂😂....
...nakukubali sana unavyomtanguliza mungu..
....@Free Tunaishi
ma like ya malaika wanoazimana external kwa hapa fasi
Wana mambo ya kiwaki 😂😂😂😂😂😂😂😂kifo cha kokorochi god bless you bro stay here
aise kaka napenda unavyomtangulizaga mungu jamani ubarikiwe Sana beni
nice
Nakukubal
Mambo vp
@@tuwalasway1117 pambanayaelayote
kwema
These is using comedy to preach word of God, very good
Hongera Sana
Ben wewe Nouma sana yani mungu kwanza ubarikiwe sana
Chuga noma sana kama una wakubali kongo like apa
Nilikuwa nimelala bila kusali duuh nimeamka kusali 😭
Chuga moja kama unamuelewa gonga like
We chuga noma sana
@@elibarickbarnabas955 ni mtu mmoja hivi hatari sana kwenye kazi yake chuga oyyeeeeee
Chuga hatari sanaaaa
Eti tunawachosha malaika hahhahaha.... Bryan we kiboko ya Cheka tu😂😂😂
Vp
Haaaahh
Mop
halafu huyu mshikaji anafanana gnako.
Sana
Sana
Saana
Uwiiiii saf sana asee niliisubiri sana hii yafunga mwaka mpo vizur broo nakubaliii
💝💝 nikikupataa milele nitafrahii nmependa instrumental 😍😘
SIMBA V TP
Hallow et wanaazmana extenal
kaz nzur mjomba ila...elew kuwa kit kinamuda wake....mafanikio unayoyapat Leo fany kama haitotokea tena.....nadhan utafanyia jambo la maana.....napenda kazi yako ...pia napenda ufanikiwe kupitia kaz ako kama wengne walivofanikiwa...
Ufunuo huo hakika blessed umeifanya kazi yako kwa sanaa ujumbe umefikaaa
Wakurya wenzang naomba like hapa
Like ya nini sasa mm sijaelewa
Neema richard Among'ana
Eeeeeeeeeee tupo
Neema richard Hahahahaha
Baby hadi hukuuuuuuu
2022 September still his king of stand up comedy....
Aiseee wew kaka umetisha mkono wabwana ni mkuu sana aisee umenichekesha ww
Dah sema mmechelewa kuipost
Wenye dhambi ndogo ndogo watakua wakiota Moto😂😂👊👊🇰🇪
Jamani huyu jamaa alipotelea wapi? Naangalia Leo tarehe 18/06/2024
God ana fight tutoboe heaven #hahahaaaaaa
yaaani narudia kila siku ,,,,Mr Beneficial plz mbavu zangu
Kama unapakubali matejoo ngonga like
u.s.o United street of ol matejo Bofya Kwa TH-cam channel yangu kuangalia VIDEO yangu mpya wakashina ft Mon genius Chalii ya matejooo Wakashina
Shaida Shivan q
The best guys
Shaida Shivan cc
Shaida Shivan barna
Keep it up Mr beneficial
Gabu gabu ganu jamani uwiiii
2022 on February am still interested in this comedy
Nammi nimeuona mkono wa Bwana,,,,,, uko juuuuu xana brooo
Mavazi yake yameninasa sana bro wewe chizi wakueneya kama mkali amunautofauti wowote kwau chizi
wale tutakaosema turudishie apoo nyumaaa tupooo umuuu 😂😂😂😂😂😂
Hahahahahaaa
Vp
@@dakwajuuonline8200 safi
Mungu akubaliki
hahahaha malaika wanaazimana external
Mr Benefial upo vizur komaaaaa kuendelezea kipaji
Duuuh,uko vzr kaka,unshubiri injiri kwa njia tofauti Sanaa,kiukweli nimekuelewa,Mungu akubariki
angalia shalo alivyo fanya usiku kuamkia leo
Chali wa R good
Hongera sana mwanangu kipaji ni kwafamilia yenu wote nawaelewaga sana hongera mno
Nice
Safi Sana head boy wetu duuh nimefurahi themi moja
Haki this man is preaching
Mr Ben punguza kidogo uko vizur ila kwa kutumia maandiko na kuzungumzia habar za Mungu katika vichekesho nikushauri uache najua unaelewa nini namaanisha mengine sio lazima niandike hapa
Ubarikiwe charrrry kutukumbusha god 😍 bless
Mbeba camera lazima ujue kuchezesha camera kuchukua audience na mshereheshaji sasa nusu saa unamwangalia tu mtu mmoja
Joel Joel kesoy anazingua huyo camera man
kaabisaa
Umeongea ukwel mkal
Kaifanye wewe hio kazi alafu atajua
Unazid kukua chalii ya r soon unaenda to the world
24 .11.2023 bado nakufwatiliaa chaliiii yangu😅😅
KAMA umesikia malaika wanaazimaana ma external ni masikio yako😂😂😂
Kwa kweli nimecheka kwa saut walah
Gonga like
Jamaa anajuaa
May God Bless You Brother
Good job cheka tu.
You are the Churchill of Tz.
Your shows are 🔥🔥🔥.
Pia it's very good mmefanyia kazi video colour!!!👏👏👏
Keep going!!!
Daaah unatisha sana mkaliwadee🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Alikuwa Ana roho mbaya NYOKA, enzi za uhai wake nyuma NYOKA by Chindo Man 😂😂😂😂
Perfect sana
Mura dhambi ni dhambi mura embu ingia huku😂😂😂😂😂😂
Sisi hao chalii ya chuganian fas ya hapo Kat😂😂😂😁😁😁😂😂Hamna kaz hapo 😁😁😂😂😂😂hutaki au 😯😯😯😯😯😯😯😯😯😯😯😯😈😈😈😈😈😈😡😡😡😡😡😡😡😡😡
yechu sana ben umetisha sanaa
Daz Medd Nandy
Migos TV hahaaa
@@afandebrighttz2887aikatox baba
OK
Mungu kwanza,, nakubali sana broo
wale tutakao kuwa tunaota moto tujuane tuyajenge tutaenda na mahindi yet ya kuchoma au tutayakuta mbele hahahaha
Mary Sixmund 🤣🤣
Mary Sixmund hahahahha
hahahahaha
Ni yechu yechu dingiii haikatox💯
uko vizuri brother beneficial
Sanaaaaaaaaaa Nakubal haikatai kabisa
kila mtu amezaliwa na malaika wake... SI NINAWAULIZA!!! genius hadi leo
Uko poa sana brother bigup
Jmn jmn waooooooooooh i reaaaal lov your wooooork beneficial
Nataka kulijua jina la hii nyimbo aloingia nayo TAFADHALI 🤗🤗🤗🤗
Bellamy Gong Unaitwa mkono wa Bwana
MKONO WA BWANA
Johnsia Petro ndio
Mkono wa bwana
Inaitwa Mkono wa bwana zabron singers kahama
Ahahahaha nakukubali sana dingiiiii
Papaa mafido unamtambua lakiniii
Hii ni show yangu, nafurahi sana uwepo. Marekebisho ni madogo tu, kwanza muwe mnawaisha kuipost, pili mfanye promotion za kutosha, mfike na mikoani, then camera man ajitahidi kuonesha na audience. But keep it up
Another 1 h
Mungu akupe longlife
Yechu yechu ni fire
Fire
MB zimetumika halali
Eti walele wenyedhambi ndogondgo watakuwa wanaota moto
Ni noma xana
nakukubali sana Arachuga lini
Hivi hii cheka tu uko wap nihudhurie hata siku moja jaman..
U kill it man....yechu yechuuuuu
Nakubari sana 100℅
#kumbuka maneno ya #papaa_mafido_Tz
Usisahahu kurikijnakusheya
maneno ya papa mafido kweli man
Yah
@@samwelkobe6455 kabx mwamba
Haikatai mpaka kwa God
Mungu ambaliki beneficial
😂😂😂umetisha
Jaman huyu chunga nakupenda sana. Unajua kunifurahisha
Nimecheka mbavu zinauma
Daaaaaa....nakukubar xan mr
He is talent👌
Jamaa utaniuaaaaaaaa!!!!!!!
noma chalii
kweliii hyooo ni mafekechooo
mim nitaota moto😀😀😀😀
Hahaha kali sana mwana
Asante tunacheka ili tuongeze siku za kuishi
Ujuu jamaa noma sana.....
nmependa ulivyoondoka chali
upo vzr mr beneficial
Tunataka huyu jamaa aje tena cheka tu atoke huko Usa
Umetisha kinoma mzee baba
Chali R respect sana
Napenda hili jamaa
Nimependaa hy love u