RAIS SAMIA Kuhusu WALIOTOA MAONI MKATABA wa BANDARI - "HAKUNA ALIYEPUUZWA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2023
  • RAIS SAMIA Kuhusu WALIOTOA MAONI MKATABA wa BANDARI - "HAKUNA ALIYEPUUZWA"
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 58

  • @allymafita1985

    MWENYEZI MUNGU akulinde mama, uko na Busara na hekima tele kwakweli👏👏👏

  • @tanzaniacarschannel6975

    Mama huwa ana kiswahili kizuri sana...I wish I could master the language like how mama does!

  • @user-hu1ev9pt8q

    Hapo sawa kama hajapuuza❤❤❤

  • @salimumataula8073

    Mama tunacho hitaji maendeo kinacho takiwa fumba macho ziba masikio kaza Buti kaz iendelee

  • @farujohn622

    Mh Rais tunakuamini endelea kuchapa kazi Watanzania tupo nyuma yako

  • @user-sc8ux8gc9c

    Kweli sikio la kufa halisikii dawa

  • @ToshNiNe-uj8pf

    NYINYI MBWA MNATUONA NYANI 😢TUMEKATAA

  • @abdull_hafidh

    Bora hukò kwenù mnpata aslimia 60 ya Mapato sis zanzibar tumewap Bandar tunapewa alisomia 30

  • @erickrwebangira6525

    Let's pray the Lord

  • @paulrwechungura4284

    Piga kazi mh Rais ,tunakuombea sana mh Rais uwekezaji ni jambo muhimu sana, lazima watanzania tuifuate dunia na sio kuikwepa,

  • @ngombegeorge3577

    Wangewapa tanesco Kutwa Giza . Ndo wanasumbua wananchi wanozesha matunda na vyakula kwenye filiji. . Bandari tungempa MO dejw. .

  • @bellam.vyampi5528

    Ila watuu eti miaka 100,,uliiona wapii,,mama Samia ndio rais Bora kuwahi kutokea tz

  • @UzalendoNaUtu

    Hongera sana Madam President, I told all people about this. You are a Leader

  • @raphaelkaswahili323

    Unazunguka saana nenda kwenye point 👉 mshauza hamjauza?

  • @rebekakulwa6159

    Katiba mpya tume huru ni haki yetu

  • @solomonjackson3827

    TUMEKATAAA ILA MNALAZIMISHA BASI FANYENI

  • @magesajoseph

    Mama piga kazi hawa wenzetu ndivyo huwa walivyo hawa jawah kuyaona mazir wayasemee bal macho yao hua yanaona babaya pekeake

  • @nicholauskilosa5336

    Kwenye kura ndio mtajua wantanzania walimaanisha nn

  • @user-lb9np3ye2t

    Amkeni akuna elimu ya bure😂😂

  • @stanslausbereghe3819

    Mungu yupo mlangoni mwa midomo yetu ndiyo maana tumeongea pia mizimu ya mababu zetu...