MAGUFULI:NILIPOTAKA KUJENGA TRENI YA UMEME INAWEZEKANA HAWAKUNIAMINI''
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 มิ.ย. 2020
- Rais wa Tanzania Dk Magufuli akiweka jiwe la msingi wa ujenzi wa mahandaki ya reli kisasa ya morogoro Hadi makutupora.alisema wakati anaanza utawala wake alisema atajenga reli ya kisasa lakini anauwakika mawaziri,wabunge, hawakumuamini
MAGUFULI AKIWEKA JIWE LA MSINGI WA UJENZI WA MAHANDAKI YA RELI YA SGR
• MAGUFULI AKIWEKA JIWE ...
❤ hatakama umelala, badounaishi I proud through yourself.
Uliona mbali sanaaa. Pumzika kwa amani.
Kwel kabisa
Pumzika kwa aman uliko
tutakukumbuka baba
RIp rais wetu mpendwa
MUNGU akupe raha ya milele upumzike kwa amani
❤❤❤ RIP baba
Ulikuwa jembe tutazidi kukmbuka mzee
najigamba kuwa mtanzania
Endelea kupumzika kwa amani
Watu walikuwa wanachapa