"miaka ni 30 sio 100" Shangwe lalipuka MAPYA KUHUSU MKATABA WA BANDARI Mkurugenzi Mkuu aeleza

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 40

  • @filbertmunywambele5012
    @filbertmunywambele5012 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera Mh.Rais kusikiliza maoni ya WA Tanzania.
    Kazi nzuri sana

  • @johnmichael3883
    @johnmichael3883 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera raisi wetu

  • @nestor384
    @nestor384 8 หลายเดือนก่อน +3

    Maelezo haya bado hayabadilishi vifungu vya IGA

    • @zeldakahitwa7509
      @zeldakahitwa7509 8 หลายเดือนก่อน

      Wengi wetu hawajui kinachoendelea ni watumia smartphone kuandika chochote

  • @augustinonestorysasi3683
    @augustinonestorysasi3683 8 หลายเดือนก่อน

    Mnamwangusha mama mmesoma kuendesha Bandari mmeshindwa wengia wengine sio DP !!

  • @augustinonestorysasi3683
    @augustinonestorysasi3683 8 หลายเดือนก่อน

    Usalama Wetu Jeshi linalinda mpaka Leo tunauza Bandari Dar es Salaam!!

  • @PASTORPETERMKIPAYAWORDOFLIFE
    @PASTORPETERMKIPAYAWORDOFLIFE 8 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli viongozi wa TEC wameridhika na mkataba huu?

  • @bryanmagee5681
    @bryanmagee5681 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm wameanza kampeni 2025 watanzania wazalendo tulinde Rasilimali zetu.

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 8 หลายเดือนก่อน +1

    yani kijana mzima unakirikushindwa kuendesha bandari, hii ni atari sana.

  • @augustinonestorysasi3683
    @augustinonestorysasi3683 8 หลายเดือนก่อน

    Hisa ngapi kuingia mkataba huo ?kesi itafanyikia wapi kama Serikali itajiondoa Mahakama Kuu inje ya Nchi !?

  • @augustinonestorysasi3683
    @augustinonestorysasi3683 8 หลายเดือนก่อน

    CCM. Mmechoka Sasa ni mwisho wenu mwaka kesho tumechoka tunahitaji katiba mpya Tume Huru CCM mtaleta Vita Tusifike huko

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 8 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @maligiretongora3333
    @maligiretongora3333 8 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni uongo mtupu, mnauza nchi!!

  • @galluskanenge4898
    @galluskanenge4898 8 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @mohammedhamza8935
    @mohammedhamza8935 8 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la watanzania ni kwamba tunakubali kudanganywa na wachache, walitembea mikoani kuwa hakikisha wananchi kuwa mkataba ushawekwa tena miaka mia. Lazima tuwe makini na wanasiasa uchwara

  • @iddynjonjo
    @iddynjonjo 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona mh amemuangalia hivyo huyo wa tpa alipo sema mkataba ni miaka 30

  • @johnmichael3883
    @johnmichael3883 8 หลายเดือนก่อน

    Maan uwamuzi huu umechelewa mama

  • @allykhalfan8552
    @allykhalfan8552 8 หลายเดือนก่อน

    Hata waliopo apo wanaona aibuuongo wa wazi

  • @timopanga5286
    @timopanga5286 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna Cha tukio kubwa wala Nini hatupangwigiwi 2025 kazi mnayo

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 8 หลายเดือนก่อน

    Kube wamehongwa na warabu hawa

  • @davidmwandiga3465
    @davidmwandiga3465 8 หลายเดือนก่อน

    Malalamiko yetu yasaidia kwa kiasi kupunguza miaka iliokuwa haiweleweki mpaka sasa mika 30, Naomba kwenye mikatayoye mlioweka iwe wazi na sisi wananchi tuelimishwe mlichobadilisha na kile cha awali!!!!??

    • @zeldakahitwa7509
      @zeldakahitwa7509 8 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢😢 Pole sana

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @user-di3vt7us4l
    @user-di3vt7us4l 8 หลายเดือนก่อน

    Yani watu wamesema Hadi wengine wamefungwa

    • @FENIHASMAUNDA
      @FENIHASMAUNDA 8 หลายเดือนก่อน

      Nani kafungwa ila kunawatu siwasikiii nipe taatifa

  • @jumannerajabu8259
    @jumannerajabu8259 8 หลายเดือนก่อน

    hivi kuongea namdomo nakuongea na document kipi kibo kwenye shelia maezo yako kidog nimazuli ira nimaerezo hewa mana mkataba ulienda bungeni na hauja wahi kubadilishwa sasa wew haya maezo yako yameandikwa wap kwamba DP atahudumia gate tatu nasio zote au mmekosa pakutokea mkitaka rudisheni mkataba bungeni ndio mkatoe hivyo vipengere hapo itakua kweli

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 8 หลายเดือนก่อน

    Inamaana serikali iliyoko madarakani imeshindwa kusimamia mpaka inawapa warabu hii CCM haitufai kuweko Tanzania .

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 8 หลายเดือนก่อน

    Hizo sababu niza hovyo kabsa nchi ya tanzania haijafikia hatua ya kushindwa kujenga hizo gati, nakataa ila kwa7bu mpango wenu ndo huo mnatoa sbabu ambazo haziingii akilini mwetu, hii laana itaawarudia,

    • @yahayagimbu4216
      @yahayagimbu4216 8 หลายเดือนก่อน

      Nenda kaendeshe unaeweza

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 8 หลายเดือนก่อน

      We ndio bwege kweli uchumi wa kisasa hata uingereza wapo DP world kazi ya serikali ni kukusanya kodi sio kufanya biashara.

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 8 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi CCM ni wajinga wakubwa sana

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii imeenda, uthubutu ndy njia ya mafanikio ya maendeleo.umewakaanga wanafiki waliokuwa wakisema mkataba ni wa milele

    • @jumannerajabu8259
      @jumannerajabu8259 8 หลายเดือนก่อน

      wewe hujui2 mkaba ule ulienda bungeni huyu anatoa maerezo ya mdomo nawakati kule bungeni watu washapitisha teari ilitakiwa wazili wakatiba nashelia arudishe bungeni ukabadilishwe kilicho andikwa mwanzo ndio kinaenderea hapa anatuliza kelele zawajinga2 wasioerewa

    • @zeldakahitwa7509
      @zeldakahitwa7509 8 หลายเดือนก่อน

      Bado ni wa milele hicho ni kitambaa

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 8 หลายเดือนก่อน

    Ama kweri wajinga tanzania ni wengi sana yaani serikari inashindwa kupokea pesa za bandari mpaka aletwe mwarabu ndio ataweza kitupokelea pesa za bandari aisee tumekwisha hawa viongozi wa kiisram ndio wanaoliangamiza taifa

    • @nassormohammed9742
      @nassormohammed9742 8 หลายเดือนก่อน

      Wanaongelea bandari wewe unaongelea udini, jinyonge basi

    • @nassormohammed9742
      @nassormohammed9742 8 หลายเดือนก่อน

      Kichaka kimeingia moto, itabidi mlipe kodi sasa