REV. DR. ELIONA KIMARO: CHEO CHA KIMO CHA KRISTO (SAFARI ZA UKUAJI)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ส.ค. 2023
  • MORNING GLORY THE SCHOOL OF HEALING 09 AUGUST 2023
    SOMO : CHEO CHA KIMO CHA KRISTO
    (STANDARDS - VIWANGO)
    SAFARI ZA UKUAJI
    Mwanzo 13 : 14 - 18
    Mwanzo 45 : 21 - 28
    Mwanzo 47 : 7 - 12

    Mwanzo 13 : 14 - 18
    14 Bwana akamwambia Abramu, alipokwisha kutengana na Lutu, Inua sasa macho yako, ukatazame kutoka hapo ulipo, upande wa kaskazini, na wa kusini na wa mashariki na wa magharibi;
    15 maana nchi hii yote uionayo, nitakupa wewe na uzao wako hata milele.
    16 Na uzao wako nitaufanya uwe kama mavumbi ya nchi; hata mtu akiweza kuyahesabu mavumbi ya nchi, uzao wako nao utahesabika.
    17 Ondoka, ukatembee katika nchi hii katika mapana yake, na marefu yake, maana nitakupa wewe nchi hiyo.
    18 Basi Abramu akajongeza hema yake, akaja akakaa kwenye mialoni ya Mamre, nayo ni miti iliyoko Hebroni, akamjengea Bwana madhabahu huko.
    Mwanzo 45 : 21 - 28
    21 Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli. Yusufu akawapa magari kama Farao alivyoamuru, akawapa na chakula cha njiani.
    22 Akawapa kila mtu nguo za kubadili; lakini Benyamini, alimpa fedha mia tatu na mavazi matano ya kubadili.
    23 Na babaye akampelekea kama hivi, punda kumi waliochukua mema ya Misri, na punda wake kumi waliochukua nafaka, na mikate, na chakula kwa babaye njiani.
    24 Akaagana na ndugu zake, wakaenda zao; naye akawaambia, Msigombane njiani.
    25 Wakatoka Misri, wakafika nchi ya Kanaani kwa Yakobo, baba yao.
    26 Wakampasha habari, wakisema, Yusufu angali hai; naye ndiye mtawala katika nchi yote ya Misri. Moyo wake ukazimia, kwa sababu hakuwasadiki.
    27 Wakamwambia maneno yote ya Yusufu, aliyowaambia; na alipoona magari aliyoyapeleka Yusufu, ili kumchukua, roho ya Yakobo baba yao ikafufuka.
    28 Israeli akasema, Yatosha! Yusufu mwanangu angali hai; nitakwenda, nionane naye kabla sijafa.
    Mwanzo 47 : 7 - 12
    7 Yusufu akamleta Yakobo babaye ndani akamweka mbele ya Farao Yakobo akambariki Farao.
    8 Farao akamwuliza Yakobo, Je! Siku za miaka ya maisha yako ni ngapi?
    9 Yakobo akamjibu Farao, Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni mia na thelathini; siku za miaka ya maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikilia siku za miaka ya maisha ya baba zangu katika siku za kusafiri kwao.
    10 Yakobo akambariki Farao, akatoka mbele ya Farao.
    11 Yusufu akawakalisha babaye na nduguze, na kuwapa milki katika nchi ya Misri, katika mahali pazuri pa nchi, katika nchi ya Ramesesi, kama Farao alivyoamuru.
    12 Naye Yusufu akawalisha babaye na nduguze na nyumba yote ya babaye, kwa kadiri ya hesabu ya watoto wao.

    Mhubiri : Rev.Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 11

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 11 หลายเดือนก่อน +1

    AmeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeSamueliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ameeeeeeeeen

  • @BeathaSwai
    @BeathaSwai 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwaa Sanaa mchangaji Kwa maombi Kwa kwel

  • @BeathaSwai
    @BeathaSwai 9 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaaaaaaaa

  • @joycemosha1898
    @joycemosha1898 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dr Eliona kimaro mahubiri yako duniani inafatiwa na waumini wengi sana ubarikiwe kwa mambo ya kiimani wtu wanao kuja tz kupona kwa imagine runakuombea

  • @jenifamoshi1219
    @jenifamoshi1219 9 หลายเดือนก่อน

    nabarikiwa sana

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli huhitaji gari au ndege, panga safari hata kwa mguu mpaka ufikenunako taka. Nami naomba ili niweze kupanga safari za kiibada kanisani, kutembelea ndugu kuwapatia kakitu mkononi, kwani naamini hata wanangu mungu anawakutanisha na watu kakt safari zao wakikanyaga ardhi mpya mpya nisiyoweza kufika mm mama yao..wanabariki WOTE wanaokutana naonkwa mema. AMEN

  • @jenifamoshi1219
    @jenifamoshi1219 9 หลายเดือนก่อน

    nabarikiwa sana 3:58

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 11 หลายเดือนก่อน

    Man of God fundisha huyo Binti yako mamaJJLll haelewi kabisa for me

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 11 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa na kukua kiimani

  • @bilechaasukulu992
    @bilechaasukulu992 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @bilechaasukulu992
    @bilechaasukulu992 11 หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌