Wakati wa kumuomba mume pesa ni wakati amekununia, atakupa utakacho, hasemi sana.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- Kama umejifunza kitu kupitia video hii na unapenda nikusaidie upate maarifa zaidi nashauri upate usaidizi kwa namna zifuatazo:
Facebook | / madamleilaabubakar
Instagram | / madam_leila_abubakar
Tiktok | / madam_leila
Usisahau kubonyeza neno SUBSCRIBE
Pia usisite kutuandikia (comment) maoni yako.
Madam Leila Mungu akupe maisha marefu yenye amani na furaha,nimejifunza mengi toka kwako🙏
Aamiin aamiin!!!
Haya tunasikiliza hili tujifunze madam leila ❤❤❤
Madam nafurahi sana maneno yako nikiwa nipo mwenyewe nikikumbuka huwa nacheka mwenyewe Allah akufanyie wepesi inshallah ❤
Amiin amiin!!! atufanyie sahali sooote
Nimejifunza mengi sana toka kwako.shukran.❤ kwa ajili ya allah.
Napenda mafunzo ya madam na nashkuru nimejifunza mengi tangu nianze kukufatilia mungu akubariki
Mashaallah tabarakallah
Mashallah mashallah 😍 madam Mungu awatunze daima
mashaAllah madam leyla Allah akuzidishie maalumati yako uzidi kutufunza nikiingia u-tube siwezi kutoka kama sijapata japo clip moja kutoka kwako😍
Amiin Amiin!!! shukran sana
Asante madam kwa darsa zuri lenye mafunzo mazur.
Mungu akulipe Kheir inshaallah.
Amiin 🤲🏽
Allah akuzidishie kwa kutupa elim
Mashaa'Allah ahsante
Jazzakum'llah kheri ❤
Madamleila nakupenda sana ukovizur nmejifunza mana mm nimkali snabusara nmejifuza meng alhamdulilah
Alhamdulillah, taratibu utakuwa sawa ndugu yangu
Mashaallah tabarakallah
Hongera madam,, tunakupenda
mashaallah madam upo vizuri sana , i wish niweze kunyamanza na kuongea taratibu
Ni suala la kujizoesha kwa muda mdogo tu kisha utaweza, usijikatie tamaa
❤❤ nakupenda sana maadam Leila kwa ajili ya Allah
💌
Woow so nice ❤
Haya mafunzo muhim
Wapewe somo la ndoa waume pia
Maana wengi hawajui wajib ndano ya ndoa zao
sahihi
Madam Leila Message noted
Assalam Alaykum warahmatullahi wabaraqatu
Jazakallah khayran
Maashaallah Allah akuhifadhi
Amiin
Maashallah
Sasa madam naomba namba yako
Khatibu anatuzulumu yaani Kila lake anapata jawabu khatibu tuweke mda wa kupiga simu 😅😅😅
zimemfikia 😁
Mashaallah tabarakallah