Aliyekusaliti ni msaliti tu, asingekuwa msaliti asingetaka watu waijue sehemu yake ya siri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Kama umejifunza kitu kupitia video hii na unapenda nikusaidie upate maarifa zaidi nashauri upate usaidizi kwa namna zifuatazo:
    Facebook | / madamleilaabubakar
    Instagram | / madam_leila_abubakar
    Tiktok | / madam_leila
    Usisahau kubonyeza neno SUBSCRIBE
    Pia usisite kutuandikia (comment) maoni yako.

ความคิดเห็น • 14

  • @safiasafiyah40
    @safiasafiyah40 26 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah..shukran sana madame Kila napo kusikiliza naongeza kitu na kujirekebisha inapo takiwa nijirekebishe..

  • @MwantumAbdallah
    @MwantumAbdallah 6 วันที่ผ่านมา

    Naomba ya madam leila anaeijua

  • @TatuMkalipa
    @TatuMkalipa 6 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @a.856
    @a.856 26 วันที่ผ่านมา +1

    Jazakallah khayran

  • @ZulekhaMohamed-w9y
    @ZulekhaMohamed-w9y 11 วันที่ผ่านมา

    Madam naomba no zako nikutafute private

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 22 วันที่ผ่านมา

    Binafsi nilisalitiwa kama mara nne hivi kwasababu nilikuwa bize saana kusafiri safiri kikazi nilimtimua wa kwanza mbaka wa nne lakini wa tano niliamua kumsamehe bure japo inakera saana hilo swala la usaliti

  • @user-qd2tp2mb5l
    @user-qd2tp2mb5l 26 วันที่ผ่านมา

    Mashaa'Allah ❤

  • @nasrafaustin
    @nasrafaustin 26 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf 25 วันที่ผ่านมา

    Mashallah ❤❤❤

  • @user-fe9op5yn3t
    @user-fe9op5yn3t 25 วันที่ผ่านมา

    Dada unasema upweke ninini daaah! Unajua maumivu yakuongezewa mke kipindi uko mjamzito??? Nitasahau niko namienzi 8 mpaka sasa niko uzazi

    • @MadamLeilaAbubakar
      @MadamLeilaAbubakar  24 วันที่ผ่านมา

      😓

    • @user-fe9op5yn3t
      @user-fe9op5yn3t 24 วันที่ผ่านมา

      @@MadamLeilaAbubakar Dada usione watu tunaingia humu nikwasababu tunatafuta faraja wengine tulishapoteza wazazi tumebaki na ndugu ambao nao wanapitia Yao sotunakosa hata tusimame kwenye njia ipi

  • @mayisarakarire7104
    @mayisarakarire7104 26 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤