Umuhimu wa Ndoa kwa Vijana |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • KIPINDI: MSETO
    MUONGOZAJI: Khatib Salim Omari
    MGENI: Mwanasaikolojia Bi Leyla Abubakar (@MadamLeilah)
    MADA: Umuhimu wa Ndoa kwa Vijana
    94.5 𝙛𝙢 𝙏𝙖𝙣𝙜𝙖
    𝙆𝙞𝙩𝙪𝙤 𝙘𝙝𝙖 𝙃𝙞𝙠𝙢𝙖
    𝐓𝐔𝐅𝐔𝐀𝐓𝐈𝐋𝐈𝐄 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌𝐈𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀𝐎 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐉𝐀𝐌𝐈𝐈
    𝗜𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺: / radionuurfm
    𝗙𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸: / radionuurfm
    𝗧𝗶𝗸𝘁𝗼𝗸: / radionuurfm
    𝗧𝗵𝗿𝗲𝗮𝗱𝘀: www.threads.ne...
    𝗧𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿: / radionuurfm

ความคิดเห็น • 24

  • @adijamuke8590
    @adijamuke8590 9 วันที่ผ่านมา

    ManshaAllah tabaraka Allah Allah akuzidishie umli mlefu wenyekheri nabaraka Madam dada yetu ❤❤❤❤

  • @user-ej2hj4zr9y
    @user-ej2hj4zr9y 7 หลายเดือนก่อน +3

    Manshaaallah tabarak allah kipindi❤

  • @yussufmiraji9408
    @yussufmiraji9408 7 หลายเดือนก่อน +6

    Yani alo muowa huyu dada amepata pepo ya dunia Allah amepe mwisho mwema na kukubali sana sister

  • @mohamedabdalla8402
    @mohamedabdalla8402 7 หลายเดือนก่อน

    Shukran Sana Madam wetu

  • @a.856
    @a.856 7 หลายเดือนก่อน

    Jazakallah khayran

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah nilikusubir sana madam Laila ❤

  • @musamadua8102
    @musamadua8102 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @radjabuyamungu
    @radjabuyamungu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Love from our home 🫣🫣🤣

  • @feiswalsalim2117
    @feiswalsalim2117 7 หลายเดือนก่อน

    Samahani nifahamishe tofauti ya kopesho na mkopo

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 7 หลายเดือนก่อน

    Kutukanwa jee utasamekhe mimi dada zangu mtu anatolewa jeuri anakaa tu hana kwao hii hatari ni shida hilo mungu anisuru na aghadhabu hiyo looo nachiya kamba😮

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r 7 หลายเดือนก่อน +3

    Madam wengine wanasali sala tano na sijidina kubwaa na wakikupa maneno yao ya kiulaghai unampa unamuona mtu dah wanaume shikamooo

  • @user-sy1rr1sg7i
    @user-sy1rr1sg7i 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @ARNOLDKARISA-fs3ht
    @ARNOLDKARISA-fs3ht 7 หลายเดือนก่อน

    hapa nmesoma kweli
    nakumbuka dada wa mtaa alochumbiana na kijana hali kijana hakuwa na kazi
    mdada aliyekuwa kaajiriwa vzur akaamua kujenga kwa kina kijana
    punde kijana alipo pata kazi kaowa kwengine
    mudada akaamua kuvunja nyumba ya mamillioni

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 18 วันที่ผ่านมา

    Madam ipo haja yakuongelea kisa Cha bi hadija na mtume wetu kwamana wanaume wengi marioo wanazani mtume wetu alikuwa na binadija Kwasababu yamali na nisawa tu mwanaume kuoa mwanamke mwenye Mali kwamana nikawaida Kwa waislam...wengi hawajaelewa kuhusu kisa Cha mtume wetu s.w..wanahisi bi hadija alimpa tuu mtume wetu s.w pesa tu bila kujua tabia yake ...ebu tupe kisa vizuri madam ya bi hadija kumpa mahali mtume amuoe na kumfanya amsimamie kwenye Mali zake na biashala zake...tupe kisa Cha mtume na bi hadija kuhusu kummkabizi mali

  • @user-hr7zs1ex8d
    @user-hr7zs1ex8d 7 หลายเดือนก่อน

    • @HifadhAli
      @HifadhAli 3 หลายเดือนก่อน

      Madam endele na dawa

  • @hammytototundu9292
    @hammytototundu9292 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo mwanaume yaani alogwe tu mbwa huyo😢😢😢😢😢😢😢

  • @feiswalsalim2117
    @feiswalsalim2117 7 หลายเดือนก่อน

    Aslm Sasa dada kwamii ukiombwa mkopo nimakosa or nimakubaliano

  • @Omarionsaidi-fl9gs
    @Omarionsaidi-fl9gs 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hao wanawak wa ss sio unaow leo kesho mk kakimbiy kun waolewj ss shhhh

  • @ibnimasoud8228
    @ibnimasoud8228 6 หลายเดือนก่อน

    Apo kwenye milioni 20 nami nimeguna mmmmm 🤣🤣

  • @mohamedabdallah6480
    @mohamedabdallah6480 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mi mwanaume iyo dhambi siwezi kufanya,pia huyo mwanaume hatotoboa

  • @gladnessmbise
    @gladnessmbise 7 หลายเดือนก่อน

    Hata kama kamuomba amuhudimie hatakiwii kusema lolote aililomfanyia aongelee kosa