WEMA NA IDRIS WAMEKOSEA KUONGEA KIINGEREZA, NAWASEMEA KWA MAMA: STEVE NYERERE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 8

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Steve Ana Akili Sana huyu akipewa cheo kikubwa serikalini ataweza Sana

  • @IAM_GAUCHO
    @IAM_GAUCHO หลายเดือนก่อน +4

    Lugha haiwi kikwazo hata kidogo,,, mbona hao wakorea hawaongei kiingereza na wameendelea?? Lugha sio maendeleo lugha ni mfumo tu wa mawasiliano

  • @user-qt6qd4no1v
    @user-qt6qd4no1v หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa jivunie utamaduni wako umeepukana na ukoloni mambo leo kiswahili ni kizuri asikwambie mtu

    • @aediayumgo8546
      @aediayumgo8546 หลายเดือนก่อน

      Putin 💯 kamsikiliza. Tulia Aksson Kwa lugha Yake k

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 24 วันที่ผ่านมา

    Tanzania shida Gani mkonayo kung'ang'ania kiswahili 😅😅

  • @invocavitykitaly2483
    @invocavitykitaly2483 หลายเดือนก่อน

    😅

  • @ip_header
    @ip_header หลายเดือนก่อน

    Acheni kujipa moyo kujua lugha za kimataifa ni muhimu.
    Airport utajaza form kwa kiswahili?
    Kujua lugha haina maana unadharau tamaduni yako.

  • @ndannahkashindye19
    @ndannahkashindye19 หลายเดือนก่อน +2

    We km hukijui kaa kimya...
    "royal tour" lugha gn ilitumika..😂