CHEF GUDLOVE AMWAGA MCHELE/ HII NDIO SIRI YA UTAJIRI WAKE/ USO KWA USO NA MWIJAKU, UTACHEKA😂
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
Anachokisema chief Godlove ni sahihi asilimia kubwa ya sisi wabongo ni mawakala wa watu wenye pesa tunakua na aibu ya kutafuta pesa hapo ndo tatizo tunaogopa maskini wenzetu✌️✌️✌️✌️🌷🌷🌷💯💯💯💯
Ila jamaa angesema kilicho fanya afike hapo hayo mengine ya kusema eti atawapotosha watu ni uongo.
Izo ni kelele tu ndg yangu anazo leta afu uyo kenge tu
Tuna wapata vizuri sana kutoka Danmark 🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🤝❤️
❤❤🇹🇿
Wakat uko mbagala maji matitu
🙄🙄🙄
@@BonnyMwajombe-iu7hb😂😂😂😂
Mwijaku BiG Up sana unajua kuhoji sana ❤❤❤❤❤❤❤ clouds wamepoteza jembe
Chimakeke umeona Sasa. This is the greater chief Salut kama zote toka hapa na nyanya wako wa kizungu 😂😂😂😂
Chima ni hustler wew afu sio stunt creator km hao wase**" akina chef godlove
Sio Chef ni Chief, sio Gudlove ni Godlove
😂😂😂 wamezingua
Wanatuangusha bhana media bado mpya kabisa kweli😂😂😂😂
Hawajazingua that is our English of 2tay see yuuuu hahahah
This is huge media.......
@daniel_89_89, jina lake kaliandika hivyo kwa sababu siyo mjinga kachagua, kaaamua kubadilisha tu, acha upimbi, mchizi yuko powa wewe una nini na kujua kuandika kwako? Roho ya kimaskini
Leo maskini tumesemwa mpaka basi 😅😅😅
😂😂😂😂Lizika na ulicho nacho my mwache atuseme
Dah bc tufanyaje sas
Hahaha yaan acha tu ni huzuni 😅😅😅
@@salomewandya7257 saw bn
😅😅😅😅😅
Image zuri,sauti mbovu kisha munaitia emo mikwasa😂atuelewi vizuri.
Anachosema ni kweli,Godlove tangu mdogo anaishi Kama tajiri 😅
😂unemjuaa umeongeq
Acha kujifanya unamjuwa unataka kk 😂😂😂😂😂😂😂watakupaka mwamposaaaaaaaaà
mimi ni Juma Madala nikiwa south Africa Pretoria na wafatilia sana na peda gisi mwijaku akiwa kazini Klaus ni tofauti akiwa yeye na baba levo anani furaisha sana
Ulienda kwenye kikao bagerspark
😂
@@babamiltonkyando NICHEKEEEEEEE MIE SOUTH
"Mtu amepata ajali anafia mikononi mwako kisa amekosa hela ya matibabu" Hii sentensi mbn kama haiko sawa ajali n emergency case ulienda hospital yoyote wanajali kwanza kuokoa maisha ya mtu alfu ndo malipo au Mimi ndo sielewi
Sasaivi dungu birapesa akuna uduma
Asee hospital bila pesa wongo lazima uweke pesa mbele ndio vipimo ufanyiwe hivyo huna pesa kufa kwenye kiti nijambo la kawaida
Tema mate chini
Fanya utafiti zaidi ndugu.
😂Aisee!!! Hiyo Mpya kabisa.
Eti na yeye ni tajiri 😂😂😂 hivi matajiri wanawajuwa???
Crown congratulations 😊
Ahsante sana jamaa yetu😂 sikuelewi ila umenikosha daaa❤
Yaani tujitume tu jamani 🇨🇩🇨🇩☝️
Huyo jamaa ni mjinga sana hakuna mtu aliewah kufanikiwa ndio maana biligate ni tajiri lkn kila cku anatafuta pesa huyo ni mshirikina na pesa za aina hiyo ni shida pia wanajuta sana maisha waliochagua
Weee 2lia2😂😂😂
Hongera sana Chief Godlove kwa jitihada zako za utafutaji
Wewe mafanikio ni Siri yako kinachonifrahisha kwako ni ukweli unapenda kusema ukweli.safi sana.
Hyo nikweli lakin tupe njia mojawapo chief 🎉🎉🎉🎉
Upumbavu tu kwenye vituko vingine vya redio na Tv, MO Dewji ni tajiri na shughuli zake zinajulikana lakini huyu hasemi;nguvu nyeusi na tamaa zitawamaliza vijana! Hutaki kusema kazi au biashara unavyofanya, hata Mungu humuongezea mtu kwa kile anachokishirikisha nacho!
Ukiachana na uongo uongo kijana anaongea fact, tuache kujaji mengne fuata point tu 🎉🎉
Huyu jamaa mm huwa namuelewa sana chief huna dhambi
Una Utajiri gani kijana😂😂😂😂
Utajiri unaujua wewe?kuwa na hela sio Utajiri hata wacheza kamari wana hela ila sio matajiri
Upo sahihi kabisaa.....
Nakukubali sana chief wanao kuchukia achana nao vijana wengi awataki kufanyaa kazi
Watu kitu hawajamuelewa chief ni wanataka kujua anafanya nn kupata utajiri lkn anachojibu ni kila mtu aishi NDOTO yake
Hey nakupat madam tuko pamoja hapo studio
Crown fm hoyee! I have already subscribed
Ishii Sanaa babaaa maisha nikuamua😮😮😮😮
Fedha unapokuwa huna huonekana ni kitu kidogo sana, na zinapoongezeka huonekana unao uwezo wa kuzimiliki, zinapozidi hugeuka kuwa GIANT anayeanza kukuzidi uwezo kiasi kwamba unapoteza uwezo wa kuidhibiti ktk nafsi yako, inapozidi kuongezeka zaidi na zaidi inageuka kuwa GIANT usiyeweza kumdhibiti tena. Kisha hilo GIANT linakumeza, linaanza kukutumia kuanzia kwenye kinywa chako likitamka madharau, majivuno, majidai, kiburi na kujifanya linaweza kufanya chochote litakacho. Hapo huwi wewe tena bali ni LIDUDE fulani very terrifying in life. Linayafanya macho yako yaone kila kitu ni kidogo na rahisi kabisa. Lakini likikutana na KIFO ni linyonge hilo DUDE utadhani siyo lile lililokuwa LIKIJIVUNA kwenye mdomo wa mtu.
umetixha sana chief nakukubar kiongozi wangu
Mike joseph from Malawi 🇲🇼
Tajiri hazungumzii masikini hivyo huyo bado masikini na mafanikio yake ni miujiza tu😅
huyu akiwa darasa la sita frash zilikuwepo kweri mmmh🤣🤣🤣🤣
Anamaanisha CD ndiyo zilikuepo kipindi iko
Mimi ni tajiri sana sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sisi amba tuna D 6 tumeelewa😅
Kuna muda media zinatakiwa kututafutia watu wa maana zaidi kuwahoji ili jamii ijifunze kutoka kwao. Mtu anasema hapendi umaarufu wakati analipa bajaj ibandikwe picha yake then anakuja kujisifia kuwa anamiliki bajaj kadhaa mikoa tofauti. Kitu ambacho ni upuuzi na hakuna cha kumfunza mtanzania wa kawaida ili apate kujikwamua kiuchumi.
Ndo mana kelele ni nyingi kumbe katoka bush ambako tajili anamiliki debe mbili za mchere na baiskeli😅😅😅
😂😂😂😂😂
Utawaonaje watu wenyeshida au unapatikana wapi?ili nije ninashida kweli
Mnyakyusa mmoja kama elfmoja 🔥🔥🔥🔥.....🤣🤣🤣🤣
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 big up sana.
Maskini anafurahi kuona maskini wengi😂😂😂😂
Yes boss
Maskin tunasemwa sana lkn we believe in Allah crown tv respect
Basi kuna watu wanajua jamaa anamzigo kweli 😂
Jamaal anajisahau Mara alisema aliishia la Sita mara lasaba anatuchanganya
Uku kwetu nirifungua duka warivyo hona maendereo yangu wao wao wateja wakaja kufungua karibu na mimi apoapo
😂😂😂😂😂😂
We hata kuandika hujui
@@IkoUwasi-it6qy bona tunasiliyako ulibakwa
Ndo maana walikuzunguka kwasabab huwezi kutofautisha R na L
@@njoroboihastla nawewe tupe istolia yako ya kubakwa
Mwijaku mwamba unaakili sana kwenye swala la network unatisha sana
Ivi watanzania mnajua maana ya matajiri kweli....kwaiyo chief godlove nae ni tajiri😂😂😂😂 aya bana
17:40 usonji sio vichwa maji (vichwa vikubwa), hayo ni matatizo mawili tofauti ya watoto. Watangazaji/waandishi mjielimishe kabla ya kuongelea jambo lolote.
Hilo pua la mwijaku😂😂😂
Toka italy 🇮🇹 nawapata vzr
Sawa kuna ipinda mbili kuna ya barabara kama unaenda kasumuru huvuke kwenda malawi na pia kuna ipinda hii yenye shure ya kafundo mana napajua jua uko nilikaa sana hapo mwalisi busare nkokwa shinyanga karambo itope ndobo hitungi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
towa background music 🎶 mbona mnakuwa washamba nyiye editors
Yeah cheif godlove nakufatilia mpaka
Nakukubali sana kaka mkubwaa
Katika maisha fanya kitu ambacho kipo kwenye ndoto yako sio kuiga utapotea afu badae utaisi yure mtu ni mchawi na utaferi kabisa fanya yako usipende kufatiria maisha ya watu utaferi kabisa
WANAUME TUTAFIUTE HELLA
Pesaaaa ndio kilakitu ndugu
Nikweli kabisa jamaaa alikuwa na ndoto ya kuwa na hela ukiangalia hata fb yake akiwa katoto alikuwa anapenda kujiita god bilionare mwakibete,
By the way nyingi sana humu 😂
Nyie hilo beat katengeneza Nan? Linanipandisha midadi 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 mamaeeee
😂😂😂😂😂😂😂
Kheeee 😂😂
Hayo mapete kumanina zenu ndo mauchawi yenyewe tumbafu
Mbona sisi tunamtafuta hatumpati na tunashida jamani mie ni mama mwenye miaka 57 namuomba anisaidie napitia wakati mgumu mno
Umeacha shule darasa la sita lakini umeanza kupanga ukiwa daraza la 7
Mgongano wa maneno hapo hapaeleweki
Waandishi mko busy na camera kuliko kusikiliza mnaemhoji.
Akuacha shule ila alitoka kwao wakati Yuko darasa la sita
Pia alikuwa anasoma
Kwa jinsi uyu jamaa anapenda ujiko keel pesa aina mwenyewe
Tajiri mdogo mwenyewe mbao nyingi
Muoooooooooooongoooooooo uyoooooo aondoke zake hapaaaa
Uku vzur
Nauchukia umasikini sanaa
Kuanza hustle mapema ni akili kubwa
Nawapata kutoka Mkoa wa Malunga Kahama tanzania😊
Ni story ndefu kidogo 😂
Mm namkubali godlove tajiri waokwea kweli brooo🎉🎉
Kaka godlove ww ni noma
Masikini hatuna Haki leo😂😂😂😂
uyu jamaaaaa ushuz tu
Yaniii tatzo sio kufanikiwa hakama hamja notice kitu huyu jamaaaa hajawahi kutaja kazi yake(
Mcheza forex Trading huyu
Hizo beats za background zinapunguza usikivu. Km kuna mahojiano basi zihondoeni ili kuongea usikivu.
Eti hujawai Acha shule na vile unaakili yakijinga
Hapo studio mbona kama mmebanana
Mbona anazunguka mbuyu huyu si aseme anafanya shughuli gani.
Ana shughuli nyingi sana,,,Anauza fulana,,Ana group la whatsapp kujiunga laki 1,,Ana migodi n.k,,, TUTAFUTE HELA BROH.
@@jamesmzaki6041group la WhatsApp laki 1 😅😂 si bora mniue
Chief Godlove una kipaji cha utangazaji
Umekula kiapo Cha miaka mingapi?
Baasi atakuwa JAMBAZI wala hakuna wakukuiga hukoooooMixxxx
Jamaa anajibu sahihi sana
Ww Mariam hupendi kujitanda😢
There is no poverty to our cosmology.
Hii redio bado san riyama ndo kabisa hajui kitu
Ila mwijakuungeaza kumuuliza yeye ni mtt wa ngap, amesoma mpka wap ingia ndani kabis mambo kama hayo tunataka kujua
Ukimuangalia Mwijaku amependa godlove kimahaba
😂😂
😂
😂😂kati yao nani ndo bwabwa sasa
Kwani mwijaku niwakikeee epuka makauli hayo bhana ss tunakataaa roho za ushoga na usagaji
We gasho nin....unayajua mahaba
Chief Godloves doto magari anamuita mfalume 😂😂😂😂
Duuuh usimzarau mtu na usimjaji mtu vbaya coz ujui back ground yke 🙏🙏🙏
Ukweli ni uyo ni freemason akuna tajiri alie pambana kwa jasho aka tangaza
katka mtu anaetumia nguvu nying kutangaza kuwa yye ni tajiri ni huyu brother.. pesa haihitajj kelele
Nakuelewa goodluk
Nahapo unafanya nini kama siyo kutafuta umaarafu 11:34 11:44
Huyu kazidi uongo harafu baba ake ni muchungaji harafu Shure arikuwa ana jihudumia muogope mungu uongo mubaya wewe urirerewa kama yai
Chief alisem atachinja ng,ombe Leo kwao mbey why tena Bado yup daar?
Hivi unaweza kushindwa kusema chanzo cha utajiri wako duh sema hata uongo nachinja watu nina joka linatema ela hivyo tuu
Wanaohaso sana huwezi kujua kilichomtoa. Unagusa gusa sehemu nyingi mwisho unapata njia.
Maskini day😂😂😂
Kwani lazima mujue anafanya nini,mimi nampenda 2 ananip elimu ,mamb yakaz anafany mim sitak kujua.