BIBI KIZEE ATOBOA SIRI YA WATU WENGI KUOA PEMBA(HUBBUL HALAL)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 82

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah wazee wetu wa zamani waliishi maisha ya tabu na raha mwanzo mwisho kufa kuzikana ❤kwenda mbele

  • @hafidhabdallah6292
    @hafidhabdallah6292 หลายเดือนก่อน +9

    Mashallah Allah aibariki pemba yetu❤❤❤

    • @asilahassan9965
      @asilahassan9965 หลายเดือนก่อน

      Ammina ya rabbill allamin allhuma

  • @BinTwahirinho-rw1nv
    @BinTwahirinho-rw1nv หลายเดือนก่อน +4

    daah,, mamb yameenda bibi yangu, xaiv kama huna nyumba, gar, kazi nzur ya muonekano, hakutak mwanamke wala wakwe hawakutak, watu wanajal kitu na c mtu, hatar xanaa.. na ole wako uwe nacho ila baadae uwe huna km utakua na Aman tena, Allah atufanyie wepes inxhallah ila hatar kwelii

    • @user-sv6ej5mv9q
      @user-sv6ej5mv9q หลายเดือนก่อน

      Na tabia hii imezaa fitna mbaya sana!
      1Mke wa mtu kuwa na boyfriend huko nje
      2.mke kutia fitina watoto dhidi ya baba yao.Hii utokea sana mume akielekea uzeeni.
      3.wake wa zama hizi huamini kuwa mume atatangulia kufa aache mali.Hii hupelekea wao kung'ang'ania taarifa za mali za mumewe zilipo.

  • @muhammadiabassi656
    @muhammadiabassi656 หลายเดือนก่อน +3

    ماشاء الله تبارك الرحمن يا جدتي الحمدلله على تلك المعلومات

  • @user-fo5my5pe3b
    @user-fo5my5pe3b 22 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah mashaallah mashaallah pemba yetu napajua nishaenda nishalala mashaallah kwetu sisi ni ziwani pia kuko bomba kabisa

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb หลายเดือนก่อน +9

    Kikwetu kizanzibar haitwi bibi kizee huyo anaitwa bibi mtumzima anajielewa na anafanya kazi zake na akili inafanya kazi.

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du หลายเดือนก่อน +1

      Kweli, lugha ya kiswahili imeharibiwa sana siku hizi.

    • @salmaelhinai833
      @salmaelhinai833 หลายเดือนก่อน +1

      @@Ali-nl2du naam kwanini wasimuandike bi furaha lugha ya heshima haipo tena siku hizi bibi kizee ndio nini ndio jina alilopewa na wazee wake hilo bibi kizee

    • @user-ib7kn6fs4x
      @user-ib7kn6fs4x 16 วันที่ผ่านมา +1

      Hawa al fataa sanyengine wanakoseya bibi kizee wananjuwa

  • @hijrakassim304
    @hijrakassim304 หลายเดือนก่อน +2

    Kipindi kizuri sana Leo Maaaashallah Bora ututafutie mabibi kama Hawa watuwaidh

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb หลายเดือนก่อน

    Alhamdllah kwakuo na history kutoka kwetu najifunia kuwa mpemba ❤❤alio ngea bibi nikweli mtupu mungu apemasha marefu huyu bibi waze kama hawa nidawa ktk mji

  • @MahmudOmar-gx2ok
    @MahmudOmar-gx2ok หลายเดือนก่อน +1

    Assalamu Aleikum warahmatullah wabarakatu
    Ma sha ALLAH leo umeweza kipindi kizuri sana hata sitaki kiishe nasubiri sehemu ya pili in sha ALLAH.
    Shukran wajazzakaAllah kheri

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 22 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah bibi yetu

  • @hadijaismail3619
    @hadijaismail3619 หลายเดือนก่อน

    Bibi Furaha nimekupenda bure umejieleza vzr mno Kuhusu zamani na yote ni kweli tupuu😊😊😊

  • @user-ml8bg7su2b
    @user-ml8bg7su2b 12 วันที่ผ่านมา

    Asnte sana vipenzi ujumbe umefika

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah kipindi kizuri

  • @asilahassan9965
    @asilahassan9965 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran sn alfatah tv online

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 หลายเดือนก่อน

    Home Sweety home😢Nimefurah kipind kizur Mashallah
    bib umenichekesha Et Usende ntakwenda kean sina miguu 😂 Allah atuongoze😭

  • @faridafaridaa4618
    @faridafaridaa4618 หลายเดือนก่อน +2

    Ila pemba mahari rahisi sana laki 2 unapata mke tofauti na unguja na wanaume wa unguja huowa pemba kwa sababu unguja wameacha wanawake sn hficha tabua zao hawajulikani huko

    • @AhmedAhmed-tb9nf
      @AhmedAhmed-tb9nf 29 วันที่ผ่านมา

      laki 2 mahari pemba ipi hiyo dada

    • @user-ul9qq8lo3d
      @user-ul9qq8lo3d 29 วันที่ผ่านมา

      Pemba ipi dada angu uliyokusudia wewe😅

    • @khajumkhamis7910
      @khajumkhamis7910 26 วันที่ผ่านมา

      Micheweni

    • @MuzneOthman-l7i
      @MuzneOthman-l7i 22 วันที่ผ่านมา

      Pemba hiyo unayoijua wewe. Tena ukasema ninabanda unguja ndio kabisa utapea wa mke karahisi hizo laki 2 nyingi

    • @khajumkhamis7910
      @khajumkhamis7910 22 วันที่ผ่านมา

      @@MuzneOthman-l7i hakika ni wewe tuuuu

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekupenda hapo kama peponi mashallah

  • @MrMona_TZ
    @MrMona_TZ 17 วันที่ผ่านมา

    Kwann umwite kizee bhn heading rekebisheni uyu n bibi mtu mzima

  • @user-sx1xi4yb2z
    @user-sx1xi4yb2z หลายเดือนก่อน

    Masha Allah bibi yetu,,
    Sasa mie nataka nije kuolewa huko

  • @aminamgaza6655
    @aminamgaza6655 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah ❤❤❤Pemba yetu

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 หลายเดือนก่อน

    Nampenda huyu bibi kaeleza vizuri sana.

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo la kuhuzunisha kuhusu watu wa kijiji hiki ni madhara yapatikanayo katika kazi zao. Wengi wa wanawake wa hapa ni WAFINYANZI udongo unawaathiri sana. Sura zao zinaonesha jinsi afya zao zilivyo. UMASKINI.

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff หลายเดือนก่อน

      Samaki wa kibua ntamu nae kantawala Unguja eee

  • @user-sx1xi4yb2z
    @user-sx1xi4yb2z หลายเดือนก่อน

    Jamani bibi nitafutie mume mstaarabu huko jamani.
    Nawapenda mno wapemba mie ila sijawahi mpata,
    Ila awe mtu mzima wa miaka 45 mpka 50,hata awe na watoto sawa tuu,maana napenda kuishi na familia kubwa.
    Mie pia nina watoto 2

  • @AminaSeif-ns3qt
    @AminaSeif-ns3qt หลายเดือนก่อน

    Tatizo kubwa nikua wazazi wengi hawana muda wa kuwafundisha watoto wao haya mambo ndio mana tumeharibikiwa,na kwa wazazi wanaowafundisha watoto wao haya mambo hata wakiolewa ndoa zao zinakua na furaha na mapenzi ya hali juu.

  • @BiubwaAljahadhmy
    @BiubwaAljahadhmy หลายเดือนก่อน +1

    A alaikum hichi kijiji pembeni ni sehemu gani nimependa hivo vyungu .

    • @aliharoun8659
      @aliharoun8659 หลายเดือนก่อน

      Ipo mkoa wa kusini pemba wilaya ya chake chake shehia ya kwale

    • @sheikhasalim1190
      @sheikhasalim1190 27 วันที่ผ่านมา

      pembeni zipo nyingi kuna nyengine ni kaskazini pemba karibu na madenjani​@@aliharoun8659

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 หลายเดือนก่อน

    Sio sahihi kumwita bibi kizee, ...Kwa lugha ya kizanzibari haitafsiriki vizuri.. huyo ni BiBi, na sio bibi kizee

    • @asilahassan9965
      @asilahassan9965 หลายเดือนก่อน

      Mimi nilikua sijui km kuita bibi kizee so sahihi lkn nilikua sipendi kumuita bibi , ukamuita bibi kizee

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @awaynaaaa3490
    @awaynaaaa3490 หลายเดือนก่อน

    Mm nimepend hivy vetezo wallah

  • @nasrimswaki4824
    @nasrimswaki4824 หลายเดือนก่อน

    maashallah

  • @SaidSaid-v9q
    @SaidSaid-v9q 29 วันที่ผ่านมา

    Waume wapo.

  • @jumahamadomar9124
    @jumahamadomar9124 หลายเดือนก่อน

    Vijana wa siku hizi wakishaingiwa ni nyege tu baasi hawasikii la mwaazini wala mteka maji msikitini mtihani sijui ivyo vizazi vya watu hao vitakuwaje ikiwa mama na baba ni Facebook na tiktok

  • @selemanijafari9225
    @selemanijafari9225 หลายเดือนก่อน

    Pemba sioi wanna kibur baaz yao tamaa mahar mengi wajane weng io zamani sio sasa

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 หลายเดือนก่อน

    Pembeni ya mwangaza kwetu Pembeni ya shengejuu

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah hakuna km Pemba

  • @SaidSaid-v9q
    @SaidSaid-v9q 29 วันที่ผ่านมา

    Wapemba tupo ushakua tayar kuolewa?

  • @Pemba680
    @Pemba680 หลายเดือนก่อน

    Pemba oyee😂

  • @KhamisSaleh-gg7ov
    @KhamisSaleh-gg7ov หลายเดือนก่อน

    Pembeni Iko PEMBA Gani? Maana sidhani kama hapa ni Pembeni Ya Shengejuu Kaskazini PEMBA!

  • @Mbarouk-l2n
    @Mbarouk-l2n หลายเดือนก่อน

    Nauliza muliopo pemba je pembeni kumeshajengwa barabara ya lami?

    • @user-ul9qq8lo3d
      @user-ul9qq8lo3d 29 วันที่ผ่านมา

      Hatujui,kama nini njoo mwenyewe

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni pemba ya juzi sio ya leo tusidanganyane

    • @AbuuswalhaYousuf
      @AbuuswalhaYousuf หลายเดือนก่อน

      Ndo mwafundishwa hivyoo muache midomo

  • @faridafaridaa4618
    @faridafaridaa4618 หลายเดือนก่อน

    Wanawake wa pemba hupenda kuolewa unguja wanakuona km ulaya mwanaume wa unguja ashaacha wake 4 au 3 akienda pemba lkm arudi na mke uchunfuzi tumeuchunguza cn

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln หลายเดือนก่อน

      Ulaya unakujua unakuskia ww. Ulaya hakuna shida. Huka kutafta maji ya kutumia shida utayasaka kwa mbwa wa polisi. Miji Michafu kila sehem kunanuka kwa makaro

    • @user-fo5my5pe3b
      @user-fo5my5pe3b 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@salehkhamis-ob8ln😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Uko ulaya unguja kumetengenezwa na wapemba watu waunguja ni wavivu hawataki kazi mjomba wang kaka ynf yupo ulaya anabweteka mpemba mumshukuru manake wapemba wapo kila sehem na wapo vzr kimaendeleo

    • @user-fo5my5pe3b
      @user-fo5my5pe3b 22 วันที่ผ่านมา

      Nadhani hapajui ulaya hhhhhhhhhhhhhhh unguja imekua mbayaaaaa

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu หลายเดือนก่อน +1

    Nimeowa Pemba sasaiv ninafuraha naenjoy wapemba niwazur

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 หลายเดือนก่อน

      Hilo ndo jina lako au la mkeo maana 😮😮😮

    • @mrfix6596
      @mrfix6596 หลายเดือนก่อน

      Umeoa au umeolewa😮

    • @user-ul9qq8lo3d
      @user-ul9qq8lo3d 29 วันที่ผ่านมา

      Umeowa wewe zuwena😅

    • @sheikhasalim1190
      @sheikhasalim1190 27 วันที่ผ่านมา

      kaoa anaenjoy mpaka kajisahau jina anatumia la mke 😂​@@fahadfaraj6474

    • @shamzone388
      @shamzone388 26 วันที่ผ่านมา

      Ndio na mimi najiuliza zurna umeowA pemba au ni wale..,,,

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 หลายเดือนก่อน

    Zamani hiyo sio sasa ujeuri na umalaya inashindana na bara

    • @ashabakary1462
      @ashabakary1462 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli si haba tunashkur Allah hatujafka huo

    • @aliharoun8659
      @aliharoun8659 หลายเดือนก่อน

      Sawa kenge wewe

    • @mrfix6596
      @mrfix6596 หลายเดือนก่อน

      Hujielewi ww

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 27 วันที่ผ่านมา

      Koma usifsbanishe wabara na wazanzibar mshenzi weye

  • @salum5803
    @salum5803 หลายเดือนก่อน

    Nimeowa pemba nakogeshwa nabebwa

    • @selemanijafari9225
      @selemanijafari9225 หลายเดือนก่อน

      Uongo atakubeba pemba gn

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 หลายเดือนก่อน

      ​@@selemanijafari9225😊😊😊😊

    • @user-ul9qq8lo3d
      @user-ul9qq8lo3d 29 วันที่ผ่านมา

      ​@@selemanijafari9225kweli anabebwa labda ww ndo hubebwi😅

    • @jumashaameomar-hs1fo
      @jumashaameomar-hs1fo 28 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli wapo Wana wake wa aina hii karafuu inafanya kazi

  • @AliymkubwaAliymkubwa
    @AliymkubwaAliymkubwa หลายเดือนก่อน

    Ukita mke mzur ninda kwetu pemba

  • @SaidSaid-v9q
    @SaidSaid-v9q 29 วันที่ผ่านมา

    Wapemba tupo ushakua tayar kuolewa?