Video nzuri hakuna #mauno kama singeli zingine dah yan huyu jamaa Ngoma zake unaweza kuangalia hata na familia yako. Big up sana drop #like kama unamkubali #Kunta
Naye abadiliki anapita njia moja tu hii kama mamu hiyo hiyo pia kama wacha nilewe hiyo hiyo kama marioo leo naumia njia zile zile anabadili stanza tu chupa pia kama pipi
Video nzuri hakuna #mauno kama singeli zingine dah yan huyu jamaa Ngoma zake unaweza kuangalia hata na familia yako. Big up sana drop #like kama unamkubali #Kunta
Wewe meja wewe utatuua wenzio nakukubali sana
Ujawah kukosea meja huna baya kaka mungu akupe hitaji la moyo wako ..kaka hii nyimbo inabariki sana mioyo yetu.
Yaani mdogomdogo HAKUNA hata vurugu hata baba na mama wakiwemo unaangalia BIG UP MEJA KUNTA 🙏🏼🙏🏼
Uwezo Amini sana meja mtaalam sana👏👏👏
Watano leo meja baba lao
Nakubal sana meja akeee mzk mzur allah akupeleke mbele zaid bro
mapenzi👐👐
Duuuuh uyu mjuba ana kuja juu hatari 🔥🔥🔥
Mie sauti yako tu meja,wankoshaaaa🥰
#Mejakunta, nakukubali sana kiukweri nyimbo zako nazifuatilia sana
Wew nawe kubadilika hujui kama n singeli michano bac fnya kwel unatoa nyimbo ambazo ulisha ziimba kitamboo
Hatari dogo meja wakimbizeeee
Nakubali meja
YOU MADE IT💥💥💥💥💣💣💣💣💣💣💣
Hakuna ngoma Tam ka single na umjaliwa saut jaman inakosha
Marehem karudi Tena wako wapi wanaoteseka big up kunta meja
Nakukubali na kasauti kako m nikiwa na stress we ndio suluhisho uko vzr penda bureee
Kuimba unajuwa hilaunaludiludia sana ngomazako
Weuweeeeee htreeee team meja tujuane apo weuweeeeee
Awoteeeeee
Mm pia
Team meja
🤘
Nakubali meja
Itasumbua sana i ngoma trust me
Sikupingi mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥
Duh naumia roho
Well done brother.
Naye abadiliki anapita njia moja tu hii kama mamu hiyo hiyo pia kama wacha nilewe hiyo hiyo kama marioo leo naumia njia zile zile anabadili stanza tu chupa pia kama pipi
Ndio maana wasanii wenge huwa wanafeli bongo
kunta wh n hatari maze
Watching from 🇰🇪 🇰🇪
nakukubali sana
Nakubl mdogo wangu kazi nzur sana
Kelele kwa meja akeeeee weuweeeee
Nakubali mzee baba beat kali
Nakubar
wooow i feel the beats of that song na song ynyewe iko 5ti pia woooow love it more💙🧡💚💜👍
xo pow atariiii mwaa
Nakupenda meja singeri zako nzuri hatari hakuna mwingine
Pigs kelele kwa meja akeeee💖💖💖💖💖
Hii umeiimba toka moyoni ni kama imekukuta, hongera sana
Dogo nakubaligi ngoma zake
Jamaa anajua sana
Hongera
Sanaaaah weeh
Miye kwa meja 😍
Dogo una kipaji cha juu sana yani 🔥🔥🔥🔥🔥
Meja km meja love you broo
Nakupenda Sana meja
Weweeeeeeeee naumia moyo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Anajua kuu imba singeliii
Unabaya Kaka zote😂❤😢🎉😅😮😢😊
Dawa moyo si painkiller papaa🙇🙇
Namkubali sana huyu jamaa
Kama umemuona shoro mwamba gonga like hapoii
Nakuku bar sana msanii wangu wa kipekee dunuani
@@prettymimq5732 xo pw
Unakipajiii mkalii nakukubalii sanaa....
Huna bayaa mzeiii we endeleaa kuwaxha moto tuu had mwixho
Melody Sasa ndohiihii
Nawakubali sana
Nzuri sana 🔥🔥🔥🔥
Sijawaig kukaa kusikiliza singel maan mt akitaka kunifukuza aweke singel lakini hp nimepig salut wallah
wee jamaa unaandik san dahh😭😭🙌🙌
Huyu dogo nom
Jitahidi bro utafanikiwa
Kaliii sana,,,🔥🔥🔥🔥🔥
meja uwezo nkkbli dunia yn
2020
Ni Mwaka Wa Burudan,,,
Mpaka Mfalume Ninja akitoa Mkwaju wake ndio noma zaid
Am so proud of you brazo
Nakubali sana
Upo vzuri kaka 🔥🔥🔥❤🔥🔥🔥
Wasanii wakali wanatoka kusini..marioo,mboso,20%,konde boy,meja,
Bonge la ngoma piga kazi
hawakuwz meja tz
Meja power🙌🏾
U hongera
Makin sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakubali nyimbo zake 👍
Nakubali unyama
Hongera kwa Kaz,nzr
Nakubariii sanaa bigiiii
Umetixha
Yaani huyu ndo alosababisha nipende singeli
Meja unajua ila t unakosea video Zak t unachoimba na video aiyenda me Nakukubar San Sn
Meja, your voice daaah.., salut broo
Mfalme wa singeli dunia nzima🌍🌎🌏
Msikilize "Easy Man" ndo uje useme
Hamna kitu
Mm napenda meja kunta hana shobo
Umeuwa dogo
Kaz kaz wanangu
Meja kama meja ujawah kuniangusha
Nakubali meja umetisha kinomaa sikufichi kaka wote wanaiga kwko keep on going
.waooo
Mziki mzurii 💪💪
Napenda san ngoma zako
Upo moto
Kazi safi unaweza yiangalia narika lolote
Mbna kama meja kunta kafanana na ibrah wa konde boy mjesh
Team Meja kama Team Meja
😍😍respect
Ya kipekeee kbsa..Yani kavyake vyake👊👊
Wauwe babaaaa
Hauja wai kuniangusha
balaaaaa uwiiii
Nkbl unajua mpaka bc
Nani kamuona sholo mwamba kama mimi
Mejaaaaaaaaaaaa
🙊🙊nyimbo kali sana😍😍😍
Konk🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♂️😍
Imetulia xana vibe kama lote.
Sholo mwamba muuni wangu nakubali ngoma zako