Yaan wanachofeli hawa dada zetu walioyapata maisha mfano ni huyu isha na shilole ni kuwa na mahusiano na vijana wadogo, ambao ndo Kwanza wanaanza mihangaiko ya maisha alafu pia wao hawajui Kama hao wanahitaji size zao za kuanza nao maisha na kuzaa watoto, labda ili wasiteseke wawatafute hao vijana kwa lengo la kuwatoa jasho tu lakini wawaache na future zao hapo watawine
Sms kaachwa watu wanawakuta wanaume zao juu ya vinena wanawashusha wanarudi nao nyumbani maisha yanaenda mi nadhan angemsamehe tu atlist angefumania au angekuta picha za maajab wametumiana lkn sms tu real
Ww unalengo lako hukua na lengo la mapenzi kwa huyo kaka ww kwani humkosei mungu wako tena chaajabu ww nimuislam please msamee huyo kaka anavyo ongya niwazi anaapenzi ya zati
daah ila napata kuelewa sasa nini maana ya utanda waz una jua hata mtaan watu tuna achana lakini nyie mnajiita watu maarufu hamjui kwan kuna ulazima gani kuongea na mwandishi kujua siri zenu pumbaf ujinga kwani ukisema mimi sina lakuongea mtafuteni
Kwa nini mahusiono mpaka kwenye vyombo vya habari? Mgeachana polepole maana uwezi jua mkirudiana utakuwa umemaliza maneno kayamalizeni wenyewe kimya kimya huo ndio uungwana
Mashauzi safari Hii umeniudhi kuzungumuzia mapenzi yenu Kwa media mambo ambayo mngemaliza ndani na mkaachana kimyaa kimyaa Sasa mchele mbele ya kuku WENGI .
Jmn si kijana anasema hata asingekuwepo duniani ungetamani ubaki hata na chat a yake.sema tu mambo yamevurugika.sema kinachokutia hasira ni alivoanza kusema hakuna anachokumbuka kutoka kwako
Naliza kwani huyu kaolewa au mwanamme wake tu mbona sielewi na kana mwanamme wake tu kwanini watu wanashadidia zinaa na huyu isha kakosa haya mtumzima mitandaoni anajijashif kwa zinaa tu kishalaanika lol
Style zenu wa DADA WA MJINI ulishamchoka uyo jamaa ulichoķuwa umebakisha n kumtafutia sababu ya kumuacha ( kibaya zaidi uyo jamaa akujua hiyo n tabia yenu wa Dada wa mjini ) Yan akujua tu ila asingesubu kukupigia sm, kukuongeĺea popote, hatakumuona sura yake tangu ile siku ulivyojitangaza kuwa uko_single Hahahaaa... Auini abui mtu mzima unautangazia umma kuwa uko_single ili itusaidie nn? Tunataka mziki Dada ayo mengine na MFUGO wako kaa nayo kwako... Stupid & weak
Da Isha kiukweli mimi nilikupenda SANA ila nilikuwa sijui nitakupata vipi na bado sijafanikiwa kupata namba yako nikiipata namba yako nitafurahi SANA wewe ni embe dodo I LOVE YOU
Isha msamehee mpezi wk mlipendezaa saaaaaanaaa miii nilikuwa nawafatilia nawapenda❤❤
Pole sana mdogo angu nimeamini unamisimamo
Dd isha msamee kashajilekebisha
Msamehee banna isha 😢😢
basi uliamua kuachana nae sms jamani
Yaan wanachofeli hawa dada zetu walioyapata maisha mfano ni huyu isha na shilole ni kuwa na mahusiano na vijana wadogo, ambao ndo Kwanza wanaanza mihangaiko ya maisha alafu pia wao hawajui Kama hao wanahitaji size zao za kuanza nao maisha na kuzaa watoto, labda ili wasiteseke wawatafute hao vijana kwa lengo la kuwatoa jasho tu lakini wawaache na future zao hapo watawine
Nakupenda sana Isha pole kwa mapito .usijali yatapotea nayo
Kama umeskia sauti isha mashauzi inafana na ya gigi kwa mbali
Kwan wew hkoseagii utamkumbukaa ipo sku utamkumbkaa mabango sawa kaonbaa msamh lkn htki ipo siku tu
Sms kaachwa watu wanawakuta wanaume zao juu ya vinena wanawashusha wanarudi nao nyumbani maisha yanaenda mi nadhan angemsamehe tu atlist angefumania au angekuta picha za maajab wametumiana lkn sms tu real
Ingekua sms ingekua inavunja ndoa kusingekua na ndoa au watu wengi wangekua single
Ulikaa sng muda mrefu, bango kakuuza isha
Dah Isha msamehe walah wanaume usiwaamin unampiga Leo mchana jion anakwenda kupozwa na mumeo 😅😅😅
Ndiyo matatizo ya kuwa mtumzima kupenda wtt wadogo
Wtt wadogo damu inachemka
Jamaa lazima alie sana tu Jishangazi hilo dah hiyo midude mitamu mabaharia hehehe yaani we wacha tu
Da Isha naomba msamehe shemeji kwani baadhi ya watu awapendi nyinyi mnavyopendana inawa kawa Kuna mtu kawachezea mchezo ili nyinyi muhachane
Ww unalengo lako hukua na lengo la mapenzi kwa huyo kaka ww kwani humkosei mungu wako tena chaajabu ww nimuislam please msamee huyo kaka anavyo ongya niwazi anaapenzi ya zati
Huna malengo 😂😂😂
daah ila napata kuelewa sasa nini maana ya utanda waz una jua hata mtaan watu tuna achana lakini nyie mnajiita watu maarufu hamjui kwan kuna ulazima gani kuongea na mwandishi kujua siri zenu pumbaf ujinga kwani ukisema mimi sina lakuongea mtafuteni
Yan mie had nacheka umri huu nikae kuongelea mapenzi duuh mtihan wallah
Kwa nini mahusiono mpaka kwenye vyombo vya habari? Mgeachana polepole maana uwezi jua mkirudiana utakuwa umemaliza maneno kayamalizeni wenyewe kimya kimya huo ndio uungwana
Uyu ni maharufu watu maharufu ndo maisha Yao haya ata ww ungekua maharufu unge fanya hivyo hivyo
Mashauzi safari Hii umeniudhi kuzungumuzia mapenzi yenu Kwa media mambo ambayo mngemaliza ndani na mkaachana kimyaa kimyaa Sasa mchele mbele ya kuku WENGI .
Sasa kwani kunandoa?? hata amtaje? Hakuna ulazima
Isha please mwanangu mahusiano ni safari ndefu tulia usitangaze press be cool natamani nikuone uso kwauso
Mnafundisha watu kuwa wezi wambieni gali haliji kwa jelo
Jmn si kijana anasema hata asingekuwepo duniani ungetamani ubaki hata na chat a yake.sema tu mambo yamevurugika.sema kinachokutia hasira ni alivoanza kusema hakuna anachokumbuka kutoka kwako
Ayo mbona sio maisha uko ccta afu ufanani nayo kabisa yani ccta embu kausha
Leo ndo nimejuwa kama Ni kiki
Ndo shida ya hawa vijana ndugu yangu aisha tafuta pesa tuy wanaume unao wataka watakuja tuy
Umezingua😊
😢😢nilikua nawapenda nyie jmn
Ila isha msamehe huyo mmeo jaman mlipendezana wenyew
Wewe jieshimu dada iyo niaibu unajizalilisha loo chef
Unalolote wewe kama mwislamu kwanini usimsamee mshkaji wawatu ww umesha pata bahasha tayar
Isha msamehe huyo kaka jamani hawezi rudia tena
Ulimsifia sana kwa muda mfupi tu ulimt angaza kwa sifa zo te na muda mchache tu mnaza lilishana jamani mt ihani sana
Yan wasanii hawaoni tabu kuonekana tupu zao na kila mwanamme
💯👌
Kabis. Dadangu
Msamehe dadangu
Snura alikuja na kuacha mziki watu wamapishi waka potea isha nae kaja na jambo lake tumemsahau snura 😂😂😂 bado wengine
Umesahau amisa nae kwa zzk
Dada msamehe Tu
Kumbe hamna ndoa
Kwaiyo
@@BLACK.ANGEL_58 asiumize kichwa Mungu kamuonyesha mapema atamletea wa kumuoa
Mtu mzima mitandaoni kulilia zinaa lol lasna tu
@@HusnaSalum-p1q watarudiana hao tukae hapa
Da Isha aachana nae mshamba tu
Ah uzinzi tu shetani keshafanya yake
Sms tu uvunje mahusiano? Bado hujapea unautoto Isha!!!!!!!
Usionbe yakukute ndogo yategemea na hizo sms 😮
Isha umepooza huna furaha kama ambayo ulikua nayo Wakati upo na mabango
Acheni hiyo dhambi ya kuwachezesha watu kamari nyie Mungu awahukumu kwa dhambi hii.
Naliza kwani huyu kaolewa au mwanamme wake tu mbona sielewi na kana mwanamme wake tu kwanini watu wanashadidia zinaa na huyu isha kakosa haya mtumzima mitandaoni anajijashif kwa zinaa tu kishalaanika lol
Style zenu wa DADA WA MJINI ulishamchoka uyo jamaa ulichoķuwa umebakisha n kumtafutia sababu ya kumuacha ( kibaya zaidi uyo jamaa akujua hiyo n tabia yenu wa Dada wa mjini )
Yan akujua tu ila asingesubu kukupigia sm, kukuongeĺea popote, hatakumuona sura yake tangu ile siku ulivyojitangaza kuwa uko_single
Hahahaaa...
Auini abui mtu mzima unautangazia umma kuwa uko_single ili itusaidie nn? Tunataka mziki Dada ayo mengine na MFUGO wako kaa nayo kwako...
Stupid & weak
Da Isha kiukweli mimi nilikupenda SANA ila nilikuwa sijui nitakupata vipi na bado sijafanikiwa kupata namba yako nikiipata namba yako nitafurahi SANA wewe ni embe dodo I LOVE YOU
Nenda oficni kwake utampata
Au ndo nyie vijana wadowezi umpende ili ule ubwabwa wa bure
Kijana unataka Ajira naona😂😂.
@@AbasiJeilani Hapana Kaka mimi nafanya kazi tayari Technogel Italy ahsante shukran ila nimempenda tu kama wewe namba yake unayo nipatie
@@RiziwaniRashidNkumbilwa Sina namba yake kaka.
Nilicho gundua hii ni kiki
Vitu gan hivyo au n vyahalamu