Aah yayaya maintenant la Tanzanie rentre dans le delire de l Afrique de l ouest sisi j adhère on es ensemble et je kif le son sisi l Afrique réunissons nous on est ensemble tous frère et sœur
Oyooooooo hizi ngoma tunazijua wenyewe watoto wa uswahili kudadek naomben like zenu jamn daaaaa nimekuwa mtu 25 mejaaa baba pigaaa kaz ww fyatuaaa ty mbk mwaka uwishee dadek
Meja hii ngoma imeweza,, halafu masha hio pindu naaminiaa kinoma, 👍kupendeza nayo mashalah. endeeni hivo hivo,,,,,,, wapi nduruuu kwa mejaaaa wwwwww👌👌👌👌👌❤️❤️❤️❤️love you Sanaaaa,, all,,, don't say hapana,,, p, o, box twasubiria vitu motoooo
Wacha kazi,, iendeleeee kanu kama ww mwangu meja kwwnye singeli nakuelewa sana mwanangu sikupingi,,, tuko pamoja toka mamu mpaka saaa chura supa staaaa,
Kwakwel nipe tuu like maan naangalia hii video zaid ya mara kum kwa siku Mapenz ghalamia usiomb bure utaumia Meja kunta wakuache saut tuu inakutoa pangon 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🍷dada masha uaniuw mbav zang 😂😂😂
Makonda anaweza kuongoza, sema nyodo,majivuno,na kujimwambanisha, na hiyo inafanya asipendwe na watu wengi Maana siyo asili yetu, na hawezi kuelewana na wenzake Kama asipojirekebisha, hajachelewa ajirekebishe, maisha tunapita tu haya
Nani kaja hapa baada ya kuona Masha love yupo kwa video yaani nampenda bure💕💕💕❤️❤️❤️
Ni masha ndo kanileta🤣🤣🤣🤣
Me masha jamn hil dad lizuri lakn basi tu linavyojiweka
I love Jesus nampenda masha
Unatuchaunganya
Unampenda kila mtu 😂😂
Hahahahahahaaaaa
Tangu ulivyokufa halafu ukafufuka ndio nikaanza kuwa shabiki ako,kazi nzuri sijutii kuwa shabiki ako
Aah yayaya maintenant la Tanzanie rentre dans le delire de l Afrique de l ouest sisi j adhère on es ensemble et je kif le son sisi l Afrique réunissons nous on est ensemble tous frère et sœur
Nimeangalia video mara Saba yani masha ,mkojani na meja kunta wamekopi vizuri kwenye hi video .. kama umependa vituko vya Masha tujuane kwa like apa
Napenda Sana wimbo huo wiso upo juu Sana masha love,,, love you Sanaaaa
Masha love nampenda sana kwanza yupogo free hajali wala nini ngoma khali sana
Wimbo uko poa sana
RIP pengo halitaonekana tena bye pengo la Meja, Ngoma n kali zaid ya moto wa kifuu🔥🔥🔥🔥
Masha kavuma na ndo Atazid kuvuma da mwanamke nyonyo😅
Kuna nyimbo wamesema mpya ya meja paka mume wa Alicia Keyes kaipenda
Mzee jongo da wanatukumbusha mbal Zaman mchezo wa jongo na nyakomba tulikuwa tunawapendaga
Si alisema zar atamletea sigilia za sauz
Masha anacheza naye
Oyooooooo hizi ngoma tunazijua wenyewe watoto wa uswahili kudadek naomben like zenu jamn daaaaa nimekuwa mtu 25 mejaaa baba pigaaa kaz ww fyatuaaa ty mbk mwaka uwishee dadek
Huyu Sasa ndo 👑 of singeli makabila kaa chonjo kwanza
Wasoooooooo Wisoooooooooooooo wapi like from tz????💥💥💥🔥🔥🔥🔥
Tizama filamu ya MKE WANGU 👇🏻 Bonyeza 👇🏻
th-cam.com/video/1hE1LyqyX10/w-d-xo.html
Izooooo
Huu mziki tukiukumbatia ipasavyo inawwza kuwa nembo yetu na kututambulisha kimataifa maana una vibe mbyaaaa!!
True
Kweliii mdgoo wanguuu
Jaman aliemuona chura mnyonyeshaji tena superstar gonga like
masha fanya kazi achana na wapumbavu wakusema
singeli bora mwaka 2020🔥🔥 kama umemkubali #meja kunta Gonga like twende sawa 💪
Hi shafi your tagged in this video th-cam.com/video/YDHVeI95JZ8/w-d-xo.html
Umesahau #NAKUJA
Upo correct xanaaaa
Ukimkubal ww imetosha mzee nani😜😜😜
Singel bora 2020 🔥🔥🔥🔥🔥🔥mc balaa ft marioo nakuja
Meja hii ngoma imeweza,, halafu masha hio pindu naaminiaa kinoma, 👍kupendeza nayo mashalah. endeeni hivo hivo,,,,,,, wapi nduruuu kwa mejaaaa wwwwww👌👌👌👌👌❤️❤️❤️❤️love you Sanaaaa,, all,,, don't say hapana,,, p, o, box twasubiria vitu motoooo
Woyooooo Kama kawaida chezea Masha love akialibiki kitu💯💯💯
your tagged in this video th-cam.com/video/YDHVeI95JZ8/w-d-xo.html
Tizama filamu ya MKE WANGU 👇🏻 Bonyeza 👇🏻
th-cam.com/video/1hE1LyqyX10/w-d-xo.html
Wangap mmerudia alivo ingia super star mashaa na salakasi zakeee😀😀😀
Love frm the USA! 🇺🇸
This 🔥🔥🔥
Thax
Funga mwaka hiyooooooooooo unaachaje ku like hapa tukutane diskooooooo💃💃
Mwanangu wapi iyo tukutane
Wale machula super star gongen like hapa niwaone
More love from south africa 🇿🇦
I like your name surely
Nimemwona mdogo wng. Dwiz komaaaa mdog wangu nkupnd😍😍😍😍😍😍
tunakupenda kenya wewe ndo number one kwa singeli
Meja kuntaa goma kaliii mzee wa kaz🔥🔥🔥🔥🔥
Hi Habibu Omary your tagged in this video th-cam.com/video/YDHVeI95JZ8/w-d-xo.html
Kumbe KILA MTU ana kipaji.
Huyu dada kipaji chake matiti 😍
Kwel danga super star so kwa kurusha matiti😘😂😂😂🙆
Utabaki kuwa juu,mziki mzuri na ubunifu wa hali ya juu,dancers hatariiii ila,ila mash love nakugawa bureeee 😂😂😂
Ayo maziwa ya mashalove mm hoi 😂😂😂😂 sema ngoma kali kinoma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mimi ni shabiki wako namba 1,nakupenda sana 😘😘😘😍🏆
Huyo dada mwenye miziwa mikubwa nimempenda mchangamfu htr
kama nawew unayaonea huruma hayo manyonyo ya masha like hapa
hhhh kmmk...🤣🤣ziwa tanganyika iloo
😂😂😂😂
🤣🤣🤣 mweeh
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣dahhhhh jamn kuna vituko
Love from congo 🇨🇩 🔥 🔥🔥🔥
Thkyou kwa ngoma kali meja allh akupe miaka 10000000000
Masha minyonyo inamwagika mukitoka location wakasaidie kuokota😂😀 jamani likes za maziwa na men's zikam
Sema mwenyew anajkubal na minyonyo yake 🤣
Sjui haimuumiii😂😂😂
Tizama filamu ya MKE WANGU 👇🏻 Bonyeza 👇🏻
th-cam.com/video/1hE1LyqyX10/w-d-xo.html
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂sura nzur ila nyonyo sasa limezidi matako 😷
Mwanamke nyonyooooo jamani muna jinsi Masha love anavyojuwa kulitumia nyonyoo😜😜😜😜😜🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kama unapenda meja jinsi anavyomtaja waso wiso kwa utam weka like
Salut unajua
Ukosawa kaka lisongeshe pakatujiulize
Mamb
Yan mejja unajuwa mpaka unakela cc uku kigambon tunakuelewa atali nahapa ngoma yako iii inamaliza cku nzima atuitoi bg up mzee baba
Ila mashalavu unafulaisha good music
Hahahaha wana wake wachache wanao jiamini kama masha love
Sanaaa
gooooood boy kaz nzuri
Daaah Msala unaanza nilipoona salakasi ya chura😂😂😂🤸
🤣🤣🤣🇰🇪
Ujawai kukoseaga meja singeli ya kufungia mwaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimejikuta tu nimeipenda nyimbo nzuri sanaaaaaa🔥🔥
Wacha kazi,, iendeleeee kanu kama ww mwangu meja kwwnye singeli nakuelewa sana mwanangu sikupingi,,, tuko pamoja toka mamu mpaka saaa chura supa staaaa,
Mimi sio mpenzi wa singeli but dogo sauti yako special Sana hadi nimejikuta nafuatilia singeli
Love ❤ from Sénégal 🇸🇳
Kaka una taka mapenzi gharamia..........!!!!!!!!!!! usiombe bure uta umiaaaaa😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wa kina jack wote wamependa mstar huo nyie hatar 😂😂😂
Nakubali damu yangu wana wa tandika tunakupata vizur song good god bless
Meja asante kwa hili umefunga vzr mwaka🔥🔥🔥
Mdogo wangu mungu akubari sana pambana nakumbuka safar yetu ilipoanza ya mzik
Matiti ya huyo yamepata shida Sana inatakiwa yawekewe Sheria sio kwakupata tabu hivyo,😂😂😂😂😂😂 Ila meja kunta 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nkuelwag San meja kazi nzurii kipaji safi
Meja hakikisha masha unamlipa vizuri kabisa maelekezo kayatendea haki😂😂
🤣🤣🤣 sana
@@fatumazakaria9982 Sana mnoo
😃😃😃😃
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
😂😂😂😂
Masha love.matiti hayakuumi naona unayarusha. Sana
Nakuomba usipite bila ya ku-subscribe channel yangu
th-cam.com/users/SmartBrainTv2020
Sipendi izi vitu lani kama pamenoga leo uwiiii
Hi Florencia your tagged in this video th-cam.com/video/YDHVeI95JZ8/w-d-xo.html
Tizama filamu ya MKE WANGU 👇🏻 Bonyeza 👇🏻
th-cam.com/video/1hE1LyqyX10/w-d-xo.html
Leo 🔥🔥
Masha lv nakupendaa buree
Siupendi huu mziki wa singeli lkn kwa hii meja kunta umetoa kali ya 2020 km kweli unakubali hii ndo singeli kali gonga like apa
Kwawimbo upi au umependa tofali za Brock kifuan kwa Masha 😏😏😏
Mm maishan mwangu sipendi singeli hata ck 1 sijawahi ipenda na sitoipenda
Funga mwaka mziki mkali
@@munaahmed8499 na umekuja kuangalia na nakuskiliza 🤣🤣
@@qatarqqt8013 nimecheka sana huyu masha anavyosumbua hiko kifua
Kwakwel nipe tuu like maan naangalia hii video zaid ya mara kum kwa siku
Mapenz ghalamia usiomb bure utaumia Meja kunta wakuache saut tuu inakutoa pangon 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🍷dada masha uaniuw mbav zang 😂😂😂
Much love from Kenya
Nimempenda masha kwenye hii video
Oyooooooo!!, nipe like za maxha🤣🤣😅😂🤣😅😂
Hi Fatuma your tagged in this video th-cam.com/video/YDHVeI95JZ8/w-d-xo.html
Uyu dada Ni shida
Hhhaaaaaa
🙆🙆
Weeh Ayoub Khan bless maa gee @mejakunta_ PARISH LAWAL 🗣 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪
love from the usa, africa is the future
Mejakunta mkali sana.kweli nimeamini makabila akuwezi🔥🔥🔥🔥🔥😄😄😄😄👋👋👋👋🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Shua. Amuwezi
For really, i really like the intro 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. That girl is a ninja 🥷 🥷. Big up Meja for this hot song 🎧, sweden 🇸🇪 fun
Weweee boy uko poa.wah! Iyo song iko poa
Meja jino 😂😂😂 hatarì san mzee baba UMEUA🔥🔥🔥
Hi Edward Nelson your tagged in this video th-cam.com/video/YDHVeI95JZ8/w-d-xo.html
Tizama filamu ya MKE WANGU 👇🏻 Bonyeza 👇🏻
th-cam.com/video/1hE1LyqyX10/w-d-xo.html
Masha 🇧🇮nakupenda Bure
Beat imejazwa kisawa sawa hongera kwa producer!!!!!
Hongre Kaka yangu uko vzr
Masha lv .....miziwa iyo inadondoka daa🤣🤣🤣🤣....meja kaunta...nakipnda buree😍💥💥💥🇰🇪🇸🇦
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Balaaa na nusu Meja kunta gonga meza kwake hatariiiiiiiiiiii
Kama umeangalia hiingoma mpk mwishooo gonga like we👍
Mkojani kubali sanaaaaaaa
Masha love 😂😂😂😂hilo ziwa sasa 🔥🔥🔥🔥🔥
Meja hao madancer wako safi sana
Meja ww ndo king of singeri
Hi Aziza your tagged in this video th-cam.com/video/YDHVeI95JZ8/w-d-xo.html
kabisaa
Masha love nakukubali sana mejaa umetisha sna mdondo unaamshaAaaa snaaaaaaaaaaaaa lazima uamke tuuuuuu👍👍
Ngoma kalii na nusu👏👏🔥👏🔥🔥
Jamn kama umelipenda song.hili naomba like zanuu
Kama umemuona Mkojanii hum ndani gonga like
Saf
Tizama filamu ya MKE WANGU 👇🏻 Bonyeza 👇🏻
th-cam.com/video/1hE1LyqyX10/w-d-xo.html
😂😂😂
Meja kaza mwanangu wanokuponda wote wasenge22222222
Unaee mipnga meja ujuu na yeye chula
Uki,like na ku comment we ni Superstar
Makonda anaweza kuongoza, sema nyodo,majivuno,na kujimwambanisha, na hiyo inafanya asipendwe na watu wengi Maana siyo asili yetu, na hawezi kuelewana na wenzake Kama asipojirekebisha, hajachelewa ajirekebishe, maisha tunapita tu haya
Penda sana masha love❤from 🇰🇪🇰🇪💋💋💋
Jamn uwiiiiiiiihh 🤣🤣🤣 nmerud Mara 5 kuangalia selikasii ya Masha love
Kama unaikubali hii ngoma ngonga like twende sawa
Nakubal meja kunta xhoo kali mzk kpaji
Nimerudia mara miatano kwa kuanglia lile gema la mashlove gong like
Hi Abdulmalik your tagged in this video th-cam.com/video/YDHVeI95JZ8/w-d-xo.html
Abdul wew🤣🤣
Hhhhh
🤣🤣🤣🤣🤣
🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭😋😋😋😋😂😂😂😂
Hii nyimb dogo kauaw jmn don masha nae kaitendea haki kinouma ❤
Sana iko vizuri kinoma
Kama unakuabali hii video iko bomba gonga like hapo kuipaisha ili goma letu pendwa CHURA SUPERSTAR .🔥🔥🔥
weeeeeeeeeee
Daa huyo dada mwenye maziwa Kani chekesha sana
Ngomakali sanaaaaaa💃🔥🔥🔥🔥
your tagged in this video th-cam.com/video/YDHVeI95JZ8/w-d-xo.html
Duuuuuh mmetisha Sana ,nimekubali wap mkojani unanikosha
Meja hiz talented man...unajua sana
Meja kunta hakuna anaekufikia kwenye singeli unawakimbiza kila ukigusa jiwe, hakuna siku naacha kuangalia hii chura hapa youtube 🔥🔥🔥
Keke kunt
Haa haa kubali mejja kwa Ku like yako kwenye comment hii🔥💥💥💥🔥✔✔✔✔✔✅✅
Uyu ndo meja ,,, na kupenda ,,, asante kwa nyimbo nzury 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👊👊👊👊👊
bonge la ngoma..nice bro
Sijawahi kupenda singei ila hii nyimbo nimerudia Mara 8 meja unajuwa big up
😂 😂 😂 😂 😂 masha love 😍 😍 ana vituko jaman
hi rachel your tagged in this video th-cam.com/video/YDHVeI95JZ8/w-d-xo.html
singeliiii international mzee wangu